As salaam alaykum Warahmatullah wabarakatu... Alhamdullilah..... Shukraan sana kwa darsa zuri sana Allah(s.w.t) akulipe kher hapa dunian na kesho Yaumul kiama... Aamen allahumah Aamen.. Naomba uniambie ni kitabu gani ambacho utaweza kupata dua zote hizo na dua nyingine...
nitapendekeza huwe unatoa uradi moja kwa moja taratibu bila kuchanganya na maneno mengine yaani unapo anza kutoa uradi useme umalize bila kupeana story zingine sababu unapoyeza yale maneno ulikuwa uyaseme
Pole kwanza hii yote ni kwa sababu hujasoma na huna vitabu vya dua jitahidi uisome dini yako alivoongea hivi maneno ni mengi ila nitaitafuta kwenye kitabu cha dua samahani kama nimekukwaza
@@maryamtanzania9743 i think you are the one who has really read to understand yourself completely hauna aibu kuongea kwa mtu kama mimi elimu yangu uwezi ifikia wewe na ukoo wenu wote kuja kenya ili ujue watu wamesoma
@@maryamtanzania9743 hakika uko na ujinga sana eti sijasoma ulinipeleka shule nikakataa kusoma naweza kuwa sijui kiarabu lakini nikawa na elimu inayo leta pesa na chakula mezani kwa kufanya kazi kuja kenya nikupeleke shule usome English Uelewe Kusoma ni kusema nini
Mashaallah Allah akuhifadhi sheikh wangu uzidi kutukumbusha IN SHA ALLAH
Allahu akbaru. allahu atujaliye tupasi hiyo Mitihani subhanallah
Asalamualeykum warahmatullah wabarakatuh shukran Allah akulipe kila lililokuwa lakheri 🎉
Manshaallah allahu akujaliye afya umri mrefu minallah
Masha Allah shukran shekhe wangu nitakutafuta napitia changamoto ila nashukuru mafundisho yako yamenibadilisha kiasi Alhamdulillah
Masha Allah darsa nzuri sana nazidi kujifunza ..Allah azidi kukufunguliya kila lenye kheir.
Masha ALLAH nashukuru sana shehe Mungu akupe mwisho mwema
Ameen 🙏🙏
Mashallah shekh,,ningeomba hizo dua ungetuandikia kiswahili kwani wengine hatujui kiarabu in sha allah
❤Mashaa Allah Allah akupe afya
Allah ukujalie afiya na umri mrefu sheikh othman
Mashallah tabarakah allah
Masha Allah Sheikh
Mashaallah mashaallah
As salaam alaykum Warahmatullah wabarakatu... Alhamdullilah..... Shukraan sana kwa darsa zuri sana Allah(s.w.t) akulipe kher hapa dunian na kesho Yaumul kiama... Aamen allahumah Aamen.. Naomba uniambie ni kitabu gani ambacho utaweza kupata dua zote hizo na dua nyingine...
Mashallah jazakallah kheir, Allah akulipe heri duniani na akhera
Mashallah Allah akubariki uendelee kutupa madini
Shukran shekhe Mungu akulinde na kila balaa la wari na majini
Mashaallah shukran
Asalam aleikum warahmatul’Allah wabarakatuh
Shukran Jazaakum Allahu kheir Shekh
Mashallah
Rabi latadhrni fardan waanta khayrun warithin
Rabi ani maasnia dhuri waanta arhama rahimiin
Shukraaan sheikh Michael
Shukuran shekh wag ❤❤❤❤❤❤
Shukran sana tena sana kwa hii clip yako na omba no yako ya WhatsApp tafathali Allah akujazi kheir.
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatu uje burundi sheikh tunakuitajia napnda nije tanzania nikuone tu uwezo sina
Waiza marhdtu fahuwa yashfii
I'm
nitapendekeza huwe unatoa uradi moja kwa moja taratibu bila kuchanganya na maneno mengine yaani unapo anza kutoa uradi useme umalize bila kupeana story zingine sababu unapoyeza yale maneno ulikuwa uyaseme
Pole kwanza hii yote ni kwa sababu hujasoma na huna vitabu vya dua jitahidi uisome dini yako alivoongea hivi maneno ni mengi ila nitaitafuta kwenye kitabu cha dua samahani kama nimekukwaza
@@maryamtanzania9743 do you think it's all people who have gone to school
@@maryamtanzania9743 i think you are the one who has really read to understand yourself completely hauna aibu kuongea kwa mtu kama mimi elimu yangu uwezi ifikia wewe na ukoo wenu wote kuja kenya ili ujue watu wamesoma
@@maryamtanzania9743 kama unadhani kujua kuongea kiarabu ni kusoma uko wrog mwanamke