Ukiwa Na Shida Zako Soma Sala Ya Mtume Hii X111/ Kwa Haja Zako Mungu Atakutatulia/Sheikh Walid Alhad

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 114

  • @husnaabdulkari.267
    @husnaabdulkari.267 2 місяці тому

    Sheikh kwa kutuleteya mambo ya kheri Allah akuzidishiye ilm akulinde na kila shari akuzidishiye umri wenye afya.Amin

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 6 місяців тому +3

    Mashallah tabarak Allah shelkh ningeomba utuandikie kwa comment ili Tuzihifadh 😢 tafadhali shelkh 🙏🙏

  • @mudasina6968
    @mudasina6968 2 місяці тому +1

    Allah Ambarik sheikh na wewe ulietufanyia wepesi kuisoma Allah akulipe heri Amiin

  • @zainaomar1545
    @zainaomar1545 3 місяці тому +1

    tuandikie ustadh ww ndio ustadh bora mashallah

  • @MohdYussuf-z4y
    @MohdYussuf-z4y 3 місяці тому

    Mashaallah, Allah atujaalie kher kwasote inshaallah,

  • @zainaomar1545
    @zainaomar1545 3 місяці тому

    mashallah tabarak lillah allhamdulillah shukran jazaka waul kher

  • @JumaKhamis-o5r
    @JumaKhamis-o5r Місяць тому

    Salaam alaikum warahmatullah wabarakatuh sheikh naomba uandike vitabu

  • @strawberryrachii12-xh5bq
    @strawberryrachii12-xh5bq 7 місяців тому +1

    Shekh tunaomba utuandikie dua izo in sha Allah tupate kuikalili shukuran kwa msaada wa njia ya matatizo yetu🤲🙏

  • @LatifaMwandu
    @LatifaMwandu 6 місяців тому +13

    KWA KUONGEZA ELIMU SOMA;ALLAHU MASWALI WA SALIMU ALA SAYYIDINA MUHAMMAD SWALATAN TUKIRIJUNAA BIHA MIN DHULMAT,WAH'MI WA TUKIRIMUNA NUUR FAHMI WA TUH'KHIZHU LANAA MA ASH'KALA HA-TAIFAHAMA INNAKA TAALAM WALAA TAALAM WA ANTA AALAM.
    RABB SHILAHLI SWADRI WAYASIRLIL AMRI YAKHUL HUKHDATA MIN LISAN YAFKAHU KAULI

  • @DullyRamadhani-s3u
    @DullyRamadhani-s3u 4 місяці тому

    Mashaallah Allah akubariki

  • @ballpoint0340
    @ballpoint0340 7 місяців тому +14

    اللهم صلِّ على سيدنا محمد صلاةً تخرجني بها يا الله من ظلمات الوهم، وتكرمني بنور الفهم، وتوضح لي الشكل حتي يُفهَم، إنك أنت الأعلمُ ولا أعلم، إنك علاَّم الغيوب، وعلى آله وصحبه وسلم.
    Dua zenu ❤

  • @LolydrogbaCamaldine
    @LolydrogbaCamaldine 24 дні тому

    Asante

  • @BakariMussa-qn4oy
    @BakariMussa-qn4oy 7 місяців тому

    Maashaallah jazakallahu khayraaa shekhe walidi

  • @LatifaMwandu
    @LatifaMwandu 7 місяців тому +19

    ALLAHU MASWALI WASALIMU ALAA SAYYIDINA MUHAMMAD WA ALA ALIH SAYYIDINA MUHAMMAD ADADA KHALIKIKA WA RIDHWAA NAFSIKA,WA ZINATA ARSHIKA,WA MIDADA KALIMATIKA

    • @Rehema-yr6md
      @Rehema-yr6md 7 місяців тому

      Naomba unitumie

    • @NiyonsengaModest
      @NiyonsengaModest 7 місяців тому

      Iyi ni mpya kbs

    • @juwairiyamambo
      @juwairiyamambo 7 місяців тому

      Asante sana samahani lkn unaweza kutuandikia na hiyo nyingine ya wanafunzi kuisoma In Sha Allah.

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 6 місяців тому

      Andika hio ya pili kama unaweza hio ya shida hio anayo soma min hubika fii aindike sasa

    • @LatifaMwandu
      @LatifaMwandu 6 місяців тому

      Tayari nimeandika Njoo usome ​@@juwairiyamambo

  • @salumawadhi2745
    @salumawadhi2745 7 місяців тому

    Jazaakllahu khaira shekh wng.

  • @ayoubrashid8392
    @ayoubrashid8392 7 місяців тому

    Assalam aleikum....Mwambieni shekh walid atuandikie ile dua Yaaman yaraama fi dhwamiri ...h

  • @SarahIrakoze-m3w
    @SarahIrakoze-m3w 7 місяців тому

    Asalamualeykum warahmatullah wabarakatuh shukran Sheikh wetu Allah akuhifazi🎉

  • @hawasaidi7745
    @hawasaidi7745 5 місяців тому

    Asalam aleyiku mm ninaomba hii swala ya mtume aljili ya kazi iwe kwa kiarabu kabisa hiki cha kiswahili siwezi vizuri

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 3 місяці тому

    Be blessed Ameen

  • @wazirikipanga325
    @wazirikipanga325 6 місяців тому +1

    Msaada iyo swalatu alaa Muhammad ya 111 naiomb kwa kiarab

  • @ArafaSuleiman-db9pw
    @ArafaSuleiman-db9pw 7 місяців тому

    Barakah ALLAHU fiiqum hbbi

  • @AminaMwamba-v8w
    @AminaMwamba-v8w 6 місяців тому

    Asalam Aleykum warahmatullah wabarakatuh
    Shukran sana Shekh kwa dua
    Mie naomba niandikie hiyo dua kwa tafusiri ya kiswahi
    Yaan kiarabu na swahili
    Shukran

  • @KizzboyTz
    @KizzboyTz 7 місяців тому +8

    Tuandikie hapa kweny coment tuweze kuihifadhi vzr

  • @LatifaMwandu
    @LatifaMwandu 6 місяців тому +4

    SOMA MARA 111 KWA HAJA ZAKO NI KUNFA YA KUN KWA IDHINI YAKE ALLAH SEMA:AllAHU MASWALI WA SALIMU ALA SAYYIDINA MUHAMMAD SWALATA ABDIH AH'HIL MURTAJI AL-LADH YURAJA MIN DHIKH WA HARAJE, WARTAJA ILLA BAHAB KAREEMI FA FUTIHAT LAHU ABUWAB FARAJE WA ALA ALIH WA SAB'H WA SALAAM.

    • @khadijaHatungimana
      @khadijaHatungimana 6 місяців тому

      Assalam alaikum wr wb , Allah akujaze kheri apa duniani na kesho akhera kuweza kutuandikiya sala alaa Nabie. Naomba tuondikiye kwa kiswahi lkn kwa herufu kubwa kuna maneno yangine atuoni vizuri
      Jazzakallah kherayn

    • @LatifaMwandu
      @LatifaMwandu 5 місяців тому

      NITAKUANDIKIA INSHAALLAH.

    • @LatifaMwandu
      @LatifaMwandu 5 місяців тому

      ​@@khadijaHatungimanaAMEEN KWA SOTE NIMESHAANDIKA KWA HERUF KUBWA

    • @LatifaMwandu
      @LatifaMwandu 4 місяці тому

      @@khadijaHatungimana SWALA YA MTUME;ALLAHU MASWALI ALA SAYYIDIA MUHAMMAD WA ALA ALIH MUHAMMAD KAMAA SWALAITA ALA IBRAHIMA WA ALA ALIH IBRAHIMA INNAKA HAMIDUN MAJID,
      ALLAHUMMA BARIK ALA MUHAMMADVWA ALA ALIH MUHAMMAD KAMAA BARAKTA ALA IBRAHIMA WA ALA ALIH IBRAHIMA INNAKA HAMIDUN MAJID

  • @amrykhamis4482
    @amrykhamis4482 7 місяців тому +1

    اللهم صل وسلم علا سيدنا محمد، عدد خلقك، و رضا نفسك، وزنت عرشك، ومداد كلملتك، وعلا آله واصحابه

    • @ishajivraj560
      @ishajivraj560 7 місяців тому

      asalam aleykum sheikh naomba pia hiyo yapili niandikie

    • @ishajivraj560
      @ishajivraj560 7 місяців тому

      asalam aleykum sheikh niandikie hiyo ya pili plzzz

    • @ishajivraj560
      @ishajivraj560 7 місяців тому

      asalam aleykum sheikh naomba niandikie hiyo ya pili plzzz

    • @ishajivraj560
      @ishajivraj560 7 місяців тому

      sheikh naomba uniandikie hiyo ya pili

    • @ishajivraj560
      @ishajivraj560 7 місяців тому

      tuand8kie kiswahili zote 3 ametaja

  • @ZiadaMaulid
    @ZiadaMaulid 2 місяці тому +1

    Nakumbea mungu akuzidishie,ila wengine atujuwi kusoma kiarabu. Tunaomba tutasfilie kiswahili

  • @yusufhamza7573
    @yusufhamza7573 7 місяців тому +11

    اللهم صلِّ على سيدنا محمد صلاة العبد الحائر المحتاج الذي ضجّ من كل ضيق وحرج ولجأ إلى باب الكريم ففُتحت له أبواب الفرج وعلى آله وصحبه وسلم تسليمًا
    Hii ndio swala ya mtume...niombeni Mungu iwe kwenye mizani yangu ya wema

  • @mchangamjaka-ui6pp
    @mchangamjaka-ui6pp 6 місяців тому +1

    Shaikh! Nakuombea kwa ALLAH mwingi wa rehma akuzidishie nuru ya elimu anayoijua yeye na akujaalie umri wenye siha na imani thabit ili uweze kutuelimisha zaidi na zaidi . Naomba utuambie sala hizo tunaweza kuzipata kitabu gani ili tusikusumbue kwa kutuandikia kutokana na muda na shughuli nyingi ulizonazo.

  • @jumakhamis4483
    @jumakhamis4483 6 місяців тому +7

    SWALA NILIZO BAHATIKA KUZICHUKUA KATIKA CLIP HII
    SWALA YA 1 kutwa nzima
    Allahumma swalli wasalim ala sayyidina muhammad wa ala ali sayyidina muhammad ‘adada khalqika, wa ridhwaa nafsika, wa zinata ‘arshika, wa midada kalimatika,waala alihi waswahbihi wasalim
    SWALA YA 2
    Allahumma Salli `ala Sayyidina Muhammadin Twibbil qulubi wa dawaa'iha, Wa `afiyatil abdaani wa shifai'ha, Wa nuril abswari wa dhwiya'iha, waqutil ar'wahi waidhaaiha Wa `ala Aalihi wa Sahbihi wa Sallim.
    SWALA YA 3 (×111)
    Allahuma swali wasalim alaa sayidina Muhammadin swalata al'abdi alhaair almuhtaj aladhi dhwaja min dhwiqin waharajin , faltajaa 'iilaa babilkarim fafataha lahu ab'waba alfaraj waalaa alihi waswahbihi wasalim
    NA UNAPOINGIA DARASANI /KUSOMA
    Allahumma swali ‘ala sayyidina muhammadin swalatan tukhrijuni biha min dhulumatil wahmi wa tukrimuni bi nuril fahmi wa tudhwihu li ma ushkila hatta afhama innaka taa’lamu wala a’lamu wa anta ‘allamul ghuyub.
    اَللَّهُمَّ صَلِّ وَسَلَّمْ عَلَى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ صَلَاةٌ تُخْرِجُنِي بِهَا مِنْ ظُلُمَاتِ
    الْوَهُم وَتُكْرِمُنِي بِنُورِ الْفَهْمِ. وَتُوضِحُ لِي مَا أُشْكِلَ حَتَّى أَنْهُمْ إِنَّكَ تَعْلَمُ وَلَا
    أَعْلَمُ وَأَنْتَ عَلَّامُ الْغُيُوبِ

  • @TawosiTawosi
    @TawosiTawosi 6 місяців тому +1

    Masha allah 🙏🙏

  • @jumakhamis4483
    @jumakhamis4483 7 місяців тому +3

    Swala ya ×111 ni hii
    اَللَّهُمَّ صَلِّ وَسَلَّمْ عَلَى سَيِّدِنَا مُحَمَّدٍ صَلاَةَ الْعَبْدِ الْحَائِرِ الْمُحْتَاج
    لَّذِي ضَجَّ مِنْ ضِيقٍ وَحَرَجٍ فَالْتَجَأَ إِلَى بَابِ الْكَرِيمِ ، فَفَتَحَ لَهُ أَبْوَابَ
    الفرج

    • @ishajivraj560
      @ishajivraj560 7 місяців тому +2

      asante kaka allah atakulipa tunaomba utu andiye zote alizo sema hapo juu ziko 3 kazitaja tusaid8e allah atakulipa

    • @khadijaHatungimana
      @khadijaHatungimana 7 місяців тому +1

      Assalam alaikum wr wb, tunaomba pia mtuandikiye iyi dua kwa maneno ya Kiswahili . Jazzakallah kheiran

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 6 місяців тому +1

      SEHEMU MBILI MNATUCHANGANYA SEHEMU YA KWANZA KUTOKA NENO ALLADHIY NENO LINALOFUATA YEYE ANATAMKA RRAJA NINYI KTK MATINI MMEANDIKA DHWAJA
      NENO LINGINE KUTOKA WAHARAJA LIFUATALO ANATAMKA WALTAJAA NINYI MMEANDIKA WALJA-A
      MMETUCHANGANYA IPI SAHIHI KTK HAYO MANENO

    • @TwaliathAndrea-dm3dy
      @TwaliathAndrea-dm3dy 6 місяців тому

      ​@@msafiriduwiya7765itafute you tube utaipata

    • @fatmamaulid2948
      @fatmamaulid2948 4 місяці тому

      Mashaallaah wajazaka llahul kheir aammeenn Sheikh plse tuandikie kitabu au utuandikie kwa pdf tutanunu n wewe itakua Swadaka kwako na utuandikie kwa kiswahili n kiaarabu Twakuomba Uzingatie mie Niko Mombasa Kenya. Shukran ❤❤❤

  • @latifasalim679
    @latifasalim679 5 місяців тому +1

    Mie ninayo hii dua ya kwanza unayosema Wazinatul arshi ila sijui kutuma picha ninacho kitabu kinacho mswalia aina tafuta Mtume wetu na maelezo yake

  • @NiyonsengaModest
    @NiyonsengaModest 7 місяців тому +1

    Tunaomba mtu atuandikie swala ya mtume ya ku hifadhi masomo kwa kiswahili kiarabu ta fadhali

  • @mohammedgulam9274
    @mohammedgulam9274 7 місяців тому

    Write for us here please

  • @worlworld9404
    @worlworld9404 7 місяців тому +3

    Nani anaeza kutuandikia hapa hizo swala za mtume

    • @SiriNkya-z9m
      @SiriNkya-z9m 6 місяців тому +1

      Allahumaswali wasalim alaa sayyidna Muhammad,swalatan tukhrijuna biha min dhulumatil wahmi ,watukrimuna binuril fahmi,watuudhi ghulana maash qala hatta ifahama innaka taalamu,walaa na'lamu,waanta 'alamul ghuyub.Ya shule

    • @SiriNkya-z9m
      @SiriNkya-z9m 6 місяців тому

      Ya Mtume,:Allahummaswali wasalim 'alaa sayyidina Muhammad,swalata 'abdin hairin muhtadi,Alladhii rajja min dhihri haraj ,waltajaa ilaa baabil kareemi,fafutihati lahu abuwabul faradh waala alii waswahbihi wasalim x111

  • @arafatbarissa8392
    @arafatbarissa8392 7 місяців тому

    Naomba namba ya sheikh

  • @mariamabeid5847
    @mariamabeid5847 Місяць тому

    Naomba nirekebishie hii sijaipata vizuri. Alluma swali alla saidina muhammad wasallim swalatan abdihi muhqtad alladhi x111

  • @AthumanAthuman-wy4fu
    @AthumanAthuman-wy4fu 7 місяців тому

    Shekh tuandikie hapa kwenye komenti basi

  • @JadaUwase
    @JadaUwase 7 місяців тому

    Asalam Alaikum warahmatullah wabarakatuh,swari langu ni hivi,why 111 not 113 ao less than 100

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  6 місяців тому +1

      W.msalaam Jibu Iliko Hapo Hapo Kama Unaakili

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 6 місяців тому

      ​@@DarsaTV.
      NAOMBA UFAFANUZI KUNA MANENO MAWILI ANAYATAJA SHEIKH SIYAPATI UZURI LA KWANZA NI KUTOKA NENO ALLADHIY JE NI RRAJA AU DHWAJA?
      LA PILI KUTOKA NENO WAHARAJA LIFUATALO NI WALTAJAA AU WALJA-A MAANA WANAOTUANDIKIA KWA MATINI HAKUNA TEE JE UPI USAHIHI WA MANENO HAYO MAWILI

    • @mzulwa2006
      @mzulwa2006 6 місяців тому

      Darasa zake hazinaga dalili

    • @abdulraufuAziz
      @abdulraufuAziz 6 місяців тому

      Had hapo hujui dalili Inna lwaha wamalaaikatahu yuswalluna Alaa nabiyy Aaah Kaka epuka akili mgando ​@@mzulwa2006

    • @shamisahmed4806
      @shamisahmed4806 3 місяці тому +1

      ​@@mzulwa2006Kumswalia Mtume ni amri ya Allah ipo pale Ktk suuratu L-ahzaab,sigha yyte tu inafaa na idadi ni jitihada tu za wanawachuoni wetu, Allah wala Mtume hawakusema tumswalie kw idadi gani,kw iyo yachukue maelezo hayo ya Warithi wa Manabii!!