Jina la Amina ni mama wa Mtume Mohammad [SAW] sio mke wake naomba mrekebishe hili suala, mmemtusi mtume wa MwenyeziMungu kwa kujifanya mnajua sana, huo ni udhalilishaji sana.
Someni historia vizuri nyinyi ni wanahabari msije mkapotosha watu. Amina alikuwa mamake Mtume Muhammad wala sio bibi yake namna mhoji mmoja amekazana hapo.
Mashaallah mtoto wa kike ndo unatakiwa uwe ivyo unauso wa aibu ongera sana my dear amina. Ila bi amina mama yake ya mtume unatakiwa ukubali mumeo aongeze ata angalau mmoja suhna my uku duniani tunapita.
mwache aongeze wajina sunnah imehalalishwa mtangazaji umekosea AMINA ni Mama wamtume Muhammad (s.a.w) MKE WAMTUME NI BI KHADIJA R.A HUYU NDIE MKE WAKE WAKWANZA WAPILI BI AISHA R A N.K POLENI TUJITAHIDI KUSOMA DINI YETU JAMANI
Bibi amina si mke wa mtume bali ni mama mzazi alomzaa mtume muhammad s.w.a Na pia apo uwisilamu gn alokuwa nao km hawezi tamu ya mnemonic wake 4 bibi wee
Kimya nalo pia ni jibu hahaha! kifupi bi Amina hataki tusitumie akili nyingi hapo!mungu awape baraka na ndoa njema mukae lwa amani!ustar wake ni huku nje ndani ni mume wako!period!nimeipenda hiyo amina!
Basi naww usingeolewa kwani hyo mume umeumbiwa peke yako wanawake ni wengi wanaume kidgi nam mungu ametuamrisha waoe wanne ili kuepusha zinaa mke mmoja hatoshi
Kutoka Team WCB...Msema kweli ni mpenzi wa Mungu...Ali Kiba mke kapata👏
Jina la Amina ni mama wa Mtume Mohammad [SAW] sio mke wake naomba mrekebishe hili suala, mmemtusi mtume wa MwenyeziMungu kwa kujifanya mnajua sana, huo ni udhalilishaji sana.
Amina ni mama wa Mtume Muhammad S.A.W sio mkewe.
Amina ni mama wa mtume na si mke wa mtume Muhammadi acheni kupotosha watu, kama hamfamu ulizeni kwanza.
Amina alikuwa mamake Mtume Muhammad (S.A.W)
hapa ndo ninapo kukubali angekuwa star mwengine mkewe angekuja uchi manyele bandia full editing lakin bi amina mashaawaah
Msiseme msichokijua kuhusu dini. Bi Amina alikua mama yake mtume muhammad SAW
tafadhlini musiongee Kuhusu Mtume Muhammad kama hamjui mnachokizungumza. Tafadhalini sana.
Ninamkubali king kiba sana ☺☺☺pongezi kwa kuoa kwenya like Shemela amina kama unapenda twende pamoja ☺☺😂😂😂
Aiseeeeeee Kama mjasoma acheni kubwabwaja maneno AMINA ni mamaake MTUME (s.a.w) kuweni Makin kwenye din sawaa.
Sijawai kusikia Amina sauti yake
Mashallah ❣️❣️❣️❣️❣️nimemsikia Leo 👌👌👌👌mpole. Had saut jaman ❤️❤️❤️u vipenz vya Allah
Someni historia vizuri nyinyi ni wanahabari msije mkapotosha watu. Amina alikuwa mamake Mtume Muhammad wala sio bibi yake namna mhoji mmoja amekazana hapo.
Samahani...Bi Amina hakua mke wake mtume,bali ni mamake mtume wetu( pbhm)
Amina Mmependeza sana na King Kiba mtunze vyema mfalme 👑
Mashaallah mtoto wa kike ndo unatakiwa uwe ivyo unauso wa aibu ongera sana my dear amina. Ila bi amina mama yake ya mtume unatakiwa ukubali mumeo aongeze ata angalau mmoja suhna my uku duniani tunapita.
Iyo si sawa, akiuliza ajibu kistaramu apana kunyamanza kama mujinga, uyo akisirimuka ata shinda wembe makali
Mke wa Mtume (S A W) aliitwa Aisha. Amina ni mamake
Mwanamke wa King raha zote💕❣️❤️💯🙌🙌
Amina ni mke wa Mtume!!!!!
Ten aalikuw anampenda😱.
Amina ni Mama wa Mtume 🥺
Amina hakuwa mke wa mtume alikuwa ni Mama wa bwana mtume
Amina hakuwa mke wa mtume jamani. Amina lilikua jina la mamake mtume (saw)
mashaallah tumepata WiFi anahaiba yakike kabisa.ila turekebishan Kidogo AMINA nia mama take mtume.Mke Wa mtume ni ni Khadija
Jamani Amina mamake sio mkewe mtume mohamad(S.A.W)
she is smart "MUNGU NDIO ANAJUA" ni vigumu sana kujibu la wakati ujao.
Amina sio mke wa Mtume Amina ni mama wa Mtume
Aaah jamani Amina hakua mke wa mtume Mouhamad.Amina alikua mama wa Mtume Mouhamad
wallah utaj unapendezesha amina uskae kichwa waz wallah umepemdezaa ssaana jaamani maashallah
Amina akua mke alikua mama wa mtume
Claouds pls Amina alikua ni mama wa mtume Muhammad (s.w) na mtume alikua na wake 9
Amina ni mpole aki
Amina alikuwa Mamake Mtume sio Mkewe .
umeongea point hata Mimi sitaki unaweza. Hongera sana Amina kwa kupata mume umpendaye
ww Amina sio mke wa mtume Amina ma mama Yke mtume Muhammad (s.w) msiseme vitu ambavyo hamna uhakika navo
Amina! kama huezi kumkubali mumeo kuowa mke wa pili,basi unapinga sheria za dini,
Amina acha uchoyo bs hutaki ata sisi wa Tz tufaidi maligafi yetu!!!!
Maa shaa Allah mmependeza
Lkn ukhty amina jina lako ni zuri iweje ukatae endapo mumeo atahitaji kuongeza mke wa pili na dini imeruhusu
mzee baba bi Amina sio jina la mle wa MTUME MUHAMMAD SWA ILA NI JINA LA MAMA YAKE MZAZI.
Ndio alokua kidonda cha mtume wetu muhammad s.w.a
Nawapenda kwel Hawa watu bg up Kaka kiba muendelee hvohvo mpendane daima
Ruhusa keshatoa M/Mungu ya mwanamme kuoa wake zaid ya mmoja. Ww huna ruhsa hiyo ispokua ushauri tu kwako ndo unaokuhusu ila sio ruhusa.
jmn amina sio kma hana rraha wallah ana haya mtoto wa kislam mashallah
mwache aongeze wajina sunnah imehalalishwa
mtangazaji umekosea AMINA ni Mama wamtume Muhammad (s.a.w) MKE WAMTUME NI BI KHADIJA R.A HUYU NDIE MKE WAKE WAKWANZA WAPILI BI AISHA R A N.K POLENI TUJITAHIDI KUSOMA DINI YETU JAMANI
mungu awadumishe ktk ndoa yenu
lakini jaman mmechapia amina siyo mke wa mtume ni mama wa mtume jaman
Amina ni mama wa mtume msikurupuke majibu
Jamani musa unajina ya kislam na haujui mamake mutume ndo useme anaitwa amina unakufuru amina ni mamake c mke wa mtume
Ama kweli uislam sasa hv ni majina t. Maan waitwa mussa ila wasema amina ni mke w mtum subhanallah
Amina ni mama wa mtume na cyo mke wa mtume
Kwanza Mtume Muhammad (S.A.W.) hakuwa na wake 4 tu basi bali walikuwa 13 na Amina hakuwa mkewe bali alikuwa ni mamake.
Amina hataki kbs Ali kuongeza mke wa pili, karoho kanauma
kiba VP mama kagoma
Naye alikamata King Ali alikuwa bwana wa batu, walikuwa wameshakuzaa mtoto kwaiyo naye King Ali atamualika tuu. Bwana siyo mwenzako
Mashalaaaagh.. Kiba anampenda sana mkewe ...hug za kutosha na mahaba ya halo ya juu 😍
astaghafura kama hamjui historiya ya bwana mtume bora mnyamaze tu bi Amina ni Mama wa nabii Muhamad s.a.w
mvumo waladi
Tuwsamehe uwenda wameteleza walitaka waseme aisha😁
That's king Kiba and his queen
Bibi amina si mke wa mtume bali ni mama mzazi alomzaa mtume muhammad s.w.a Na pia apo uwisilamu gn alokuwa nao km hawezi tamu ya mnemonic wake 4 bibi wee
Uyo ndo mke lazima awe na aibu ingelikua mishangingi ilo shinda kwao ishatamka sitaki kuongezewa mke eheee tena akome
Omar h Mcha !!,😂😂😂😂😂
Haha
🤣🤣🤣🤣kbsaa na mabusu angempiga kuwakomesha alozaa na kiba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂kabisa
Kimya nalo pia ni jibu hahaha! kifupi bi Amina hataki tusitumie akili nyingi hapo!mungu awape baraka na ndoa njema mukae lwa amani!ustar wake ni huku nje ndani ni mume wako!period!nimeipenda hiyo amina!
Napenda mwanamke mwenye aibu mimi jamani😘sio wale wanatoa mimacho juu utadhani wamebanwa na mtengo wa panya😳
😂😂😂
Bi Amina ni mama wa Mtume saw na sio mke
Bii amina dada mzuri wakenya tumerepresentiwa vizuri
Amina sio mke wamtume jaman ni mama wamtume
hahahahaha musaa jina zuriii la kiislamuu lakinii aujui Amina etiii mke wa mtumee duh Amina ni mama yakeee mtumee
Mmelongi mtume hakuwa na mke anaeitwa amina mama yake mtume ndiyo amina
Amin na mama jaman sio mke wamtumeeeeeeee
Amina mama wa mtume
2:55 Bi. Amina mke wa Mtume!!! Jamani madrassah muhimu...loh!!!
Na Mtume lukuwa anampenda kweli😃😃😃
Amina ni jina la mamake mtume sio mkewe
mmependeza
Exsi
Point of correction Amina hakuna mke wa mtume alikuwa Mama wa mtume Mohamed S.A.W
Amina ni Mm yake mtume Aisha ndiyo mke wa mtume
Amina mama wa mtume so mke
Mashallah Amina,,,mungu ndo anajuwa
masha ALLAH mwanamke Ana aibu hadi raha.
Subhanallah Amina ni mamake Mtume
Mimi mwenyewe ilibidi nishangae tu 😂
Daaaaah umepata Mke mana anaibu sn biamina hongera sn mume umempata pia nawapenda sn❤❤
Saumu Kaisi
Imani dhaifu......
Mtume hakuwa na mke aitwa amina
Ali Kiba mzinguaji tu . Interview zake zinaboaga sana kujimwambafai kwingi wakat chenga tu hamna kitu
Khaaa Amina mama wamtume sio mke somen sira vzur
We kenyans tuna hayaa ,amina hajazowea mambo yakuitwa kwa radios au tv stations
Athman Bello kweli wakenya tuna haya na adabu
😁😁😁😁 unachoma
Amina sio mke kwa mtume bali ni mama ake mtume
Amina mama ya mtume sio mke wake ....
atausiruhusu nimeoenda ulivyovaa umependeza kweli umetisha utafikili mke washehe
king sikuwai kuona sifa zako ila apo daaaaa nimeona hongera kwa amina
Amina n mamake mtume ....subhanallah
Yaani,wanajiongelea tu!
Halaf wamekutana wote hakuna anaejua anachoongea.mtihani!
Amina ni mama wa mtume
Kweli Musa hapo uli wrng kidogo Amina ni mama wa mtume
Jaman Amina ni mama wa mtume,, na mke alopendwa na mtume ni bi Aisha,,, acheni kuropoka vitu vya dini kama hamvijui,,,
Et bi amina alikuwa mke wa mtume...kweli amina ndo mama yake nabii muhammad swallalluh alyi wasalaam
AMINA ni mlezi wa mtume sio mkewe
Amina ni mama wa Mtume sio mke
Mmmh Amina ni mama bana sio mke
Onakiffaa chalikiba kuliko diamond zari mtoto wakisalamu alfu mcha mungu sio wa kishettani diamond
nilidhani mzuriiii kumbe....shikamoo Jokate kamuacha wapi Mke mkubwa Ommy Leo...???
Mmependeza kiba na Amina
Amina ni mamake mtume sio mke wa mtume boss
Amina alikua mama yake mtume sio mke wa mtume
Alikiba ako na vituko aki wacha nicheke aki😆😆😆😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃😃😃😃😃😃😃😅😅😅😅😅😅😅😅
Basi naww usingeolewa kwani hyo mume umeumbiwa peke yako wanawake ni wengi wanaume kidgi nam mungu ametuamrisha waoe wanne ili kuepusha zinaa mke mmoja hatoshi
Amina ni mama wa mtume c mke
Mussa amina ni mama wa mtume na si mke wa mtume
Simulizi Mix . Halafu ana itwa Musa 😂
Simulizi Mix wawe makini kusoma sra cyo kukurupuka kwa kuwa nyuma ya maic
Simulizi Mix wanaropoka ropoka tu hawajui wanasema nn,,, mama wa mtume awe mke wa mtume,, hawa vp???
Hahhaha
Simulizi Mix mussa elimu imemteleza hapo ujanja mwingi tu na habar hana 😂😂😂
Jamani rudini madrasa mukasome dini B Amina alikuwa mamake mtume (SAW) Khadija Aisha na wengineo, ndio wake wa mtume
Amina mama wa mtume na siyo make dijei wa aliy kibaume bugi wasomi tupo
Amina ni mamake mtume wetu