Rest in peace... This is your best song .. kila wakati Mungu ni mwema... Mungu ni mwema kila wakati... I came across this song when I was succeeding in life so this is a song to rejoice... 🤲🏾
ngoma iko poa sana huyu ndo zilla yulee nlkokua namuelewa 2010+ co hapa kati unyamwezi ulizid mpk ukawa unaharibu ladha ila hapo ndo umerud niga keep it up
Kaz nzur sana kaka , tulia hum hum kweny style hii , ukiflow ivii unapendeza sana na vocal yako broo , I hope utafika mbal zaid ya hapo ulipo kimuzik kwa kufanya style hii . 🇨🇦
Daa! Hii ngoma nilikuwa nikiipiga siku zima aise😢😢
Kila wakat mungu ni mwema🙏🙏
Kila Wakati Mungu ni Mwema, Sleep well Zillah😢
Wakisema god is good najibu all the time!! Gonga like kama umeisikia leo 11 /01/2021
2023 ila tupo pamojaaa
Kila wakati🙏
Rest in peace... This is your best song .. kila wakati Mungu ni mwema... Mungu ni mwema kila wakati... I came across this song when I was succeeding in life so this is a song to rejoice... 🤲🏾
Kila wakati Mungu Ni kwema!Munguu Ni mwema Kila wakati!.
R. I. P jesh kikawakati nakukumbuka bado tunasogeza arakati kila wakat mungu ni mwema
Ziillaaa
To me, Zilla is number 2 comes after Ngwear. RIP both of you homies, mbele yako nyuma yangu.
Pumzika Zilla. Umetuachia mziki mzuri. Kibaya umeondoka huna kitu.
Kitu ni message yake
R.I.p kingzila hip hop yako bado inaishi mungu akupe pumziko mema amin
ngoma iko poa sana huyu ndo zilla yulee nlkokua namuelewa 2010+ co hapa kati unyamwezi ulizid mpk ukawa unaharibu ladha ila hapo ndo umerud niga keep it up
Umeacha kitu weng wanafata njia zako mmojawapo billnas
Humu Godzilla ajiongelea kile anachopaswa kufanya na kile anachopitia.
2023 still listening to this hit🎯 everytime God is good 😊 Amen🙏
fanya yote hommie its natz easy to be me🔊🔊
yah this is the really king zilla i used to know...we missed yuh hommie...wasioelewa mziki mzuri hawawezi kuelewa... God is good all the tym
¹1¹
Kila wakati Mungu ni mwema.
Mungu ni mwema kila wakati🙏🙏
Yes kila wkt Mungu ni Mwema hii ngoma ya kuwakimbiza wabeba chuki mida ya wanga...asante ZIZI🙏
feelz like first time i heard zz...stuff #gud job# soup ya kangaroo
21/6/2024 🐐🕊️
my favorite hip hop artist from tz
R I P KING ZILLA
ngoma Kali
All time.... Am listening to this music ...... Too much dope
R.i.p zilla mungu ni mwema Kila wakati
We Miss u zizi 😔😞
Kila wakati mungu ni mwema pumzika kwa amani kaka GODZILLA.
daaaaaah!sisi watanzania tunamatatzo makubwa kam tunashindwa kutambua nn anafanya godzila n vtu vkubwa sana
Dah! Saa zingine Mashabiki tunazingua
kaz nzur brodah, sio lazima iwe hit song ndio tuipende,
Rip k Zilla mungu n mwema kila wakati
Zizi. 2022. God bless u bro.
Umetuachia mziki mzuri.
uyu jamaa cjui kakwama wap daaah
kali kwa waelewa
Hiphop naipenda/daima nitazikwa nayo.
Rest in peace ZILLA/Salam kwa Sharo.
DaAh😢😢 zilla umeacha pengo
Godzilla my bext rapper ever.
KinG zillaah
Ukinipa njoa moja ya maisha me nai Dublicate
song fulani hivi kiwango cha hali ya juu sana, big up yourself bro #zilla and #gnako 👏👏👏👏💪💪💪💪
😢😢😢 tumepoteza mtu
kila wakati mungu ni mwema unaweza kua king bila bifu na billinass
God is good najibu all the time, rest easy Zillah
Still🔥 kingzilla🕊️❤️
Legend zilla rest in paradise see u bro we all in same passage way
my all time Favorite track from King Zilla thanks for this Gift..Rejoice In Paradise
muziki mzur zilla
my all time Rappa
I don't get tired listening to this beautiful song men
may Your Soul Be On God Hands #Forever#GodisGood#Allthetime
We miss you Ziz😢
Zizi god bless you nakukubali sana homie
Jamaa alikua anajua huyuuu
R I p king wasalasala
Kila wakat the best song 2023 daah rest easy broo
Fantastic song
Welcome back king Zila,i love the song...God is good all the time.
Zizi god bless you nakukubali sana homie
Daaahh ! r i p z z
Rest in Peace King Zilla.
Mungu ni Mwema Kila Wakati
Kaz nzur sana kaka , tulia hum hum kweny style hii , ukiflow ivii unapendeza sana na vocal yako broo , I hope utafika mbal zaid ya hapo ulipo kimuzik kwa kufanya style hii . 🇨🇦
He passed away 😥😥😥
God is good all tym
Keep rest in peace classmate
2020 I'm listen to this
tuwape ukaribu watu wa vidole kwa trigger🙌🙌🙌👉💪
Nieleweshe huu mstari Yaani nimeshindwa kuelewa alimaanisha nini
yes kila wakati Mungu ni Mwema
MUNGU NI MWEMA R.I.P
God is good all the time...big up zillah......##hip hop
Mungu ni mwema
This is one of the best song you had in your career . rip kingzillah
King zizi....kila wakati
🎉🎉
Rip brother Pumzika Kwa Amani Brother
Ulivyo fariki ndiyo wanakupenda
We micd this zizi, real food kitaa
Hii nyimbo huwa sichoki kuisikiliza
Achia bit ya hii ngoma tumuenzi mchizi wa salasala
R. I. P MY HOMIE "LEGENDS NEVER DIE"
ni noma hii ngoma
RIP Zilla. God is good all the time
R.I.P Zilla umetuachia mangoma makali tunaendelea kuyasikiliza
WE LOVE YOU KING...REST IN PEACE LEGEND
Noma sanaaaa
Banger🔥🔥🔥🔥🔥
Legacy
kila wakati
dope as always the game micd ur tracks
Never ever happen. Something like this
We miss yoh zizii!
We are waitin for video dude.
kila wakat usiku nackilizaga ili dude..noma sn
Kideo Ln kijana
God is good all the time RIP Godzilla👃👃👃
oi uko vizuri ila kwenye interview unazidisha kimombo arf pia nakuelewa sana kwenye freestyle
Nice song zilla
RIP KINGZILLA
nyc song man zizi
🔥🔥🔥🔥🔥
2024..so hot
2023 still 2nakuskiza kingzilla
some calm down music. unajua unajua
Rip king zilla 😢