Dear my great grandkids in 2120 during my generation this dude was a king and he gifted us with so many good songs including this very classic hit............but he left this world a very sad 😔 fella since many people didn't recognise his great talent.
Kinachoniuma kabla ya jana huu wimbo ulikuwa na Views 40k tu ila nashangaa siku moja tu tangu afe wimbo umefikisha views 70k! Tujifunze kuona thamani za watu wakiwa hai. ZILLA PLEASE STAYYYYYYYY
Hii ni kazi ya Media... Inabidi iwapo promo watu.... Hasa ambao ni talented... Watu wengine furariki kwa stress na uchungu.... Mtu una work hard... Unakipaji then watu wanakupa maneno hasi na media ina promote watu wenye kutoa hongo hata kama wanaimba ushenzi.... Bado nitazidi kulaumu industry Sisi watazamaji tunategemea sanaa nzuri iwe promoted na industry.
Hivi ujue nn sio wanambania au wanamchukia msanii anapokua hai wengine wanakua hawamjui kabisa so wakiona kafa ndo wanatafuta alikua anafanya ngoma gani ni nani sio wate wanapenda hipop
Dah we Jamaa Nabii Aisee! ila Kinachoniuma kabla ya jana huu wimbo ulikuwa na Views 40k tu ila nashangaa siku moja tu tangu afe wimbo umefikisha views 70k! Tujifunze kuona thamani za watu wakiwa hai. ZILLA PLEASE STAYYYYYYYY
Leo Ndio wameona umuhimu wko ndo ushatangulia zizi atuta kuona Tena Allah akufanyie wepesi. Ila zizi nimkal akuna ambae ajui ilo media tuwape thaman zao kabla awajatangulia nilikuwa Nakukubal na ninakukubal kingiiiii ziziiii
Huyu Jamaa alikua legend ila Tanzania Hamthamini mtu hadi apatwe na matatizo Tubadilikeni jamaa tuangalieni wanaofanya vizuri kimziki ila hawasikiki , iweje usinipe mchango kuchangia mziki wangu sahii ila utoe mchango nikiwa nimekufa haisaidii Rip king zilla much love from kenya
Mimi ni mkenya na siku wahi skia ngoma zake since hazi kuchezwa sana but after kuona kuona kifa chake kwenyu u tube nime cheza ngoma zake na kwa kweli he was a king
Ma nikka haujaacha glory ambayo Mungu aliweka ndan yako iende na ww kaburin...umefanya part yako n nyngne 2muachie Mungu....cya again Kemosabe....Rest In Peace bruh.

3:00 i wanna u r voice ladies one more time staaaayyyy thats sound sexy and dope daaaaaaaaaaaaaaaah RIP MNyamweziii Godzilla ndo basi tena swaga hatutazisikia tena Kk unaondoka na unyamwezi wako woteeeeee
Hivi ndio walkua wanasema umechiz kwa hiz kitu. Kama ni matani au ushindani wa game vipite mbali. Uko sawa. waschokielewa ni wasiokuelewa kukupa nafas isiyosahihi kwako. Ukiacha ujuzi mwingi wa mziki ata sauti yako2 inatambulisha ww ni msanii
Mziki ni zaidi ya vina na mizani au beat. msanii anaweza kuadd chochote sababu anakipaji (msikalili) sababu ata kabla ya kuyajua ayo na kuyazingatia, mziki ulikuwepo tangu zaman na uliwaburudisha watu. Maproducer wasio na uwezo wa kugundua au wasanii pia wasio na uwezo uo wa kugundua au mashabiki wasio na utashi wa kugundua chochote kwenye mziki huwa hawana nafasi zaidi ya aliemuumba na kumpa kipaji msanii. Mda mwingine kuweni wastaarabu na ukimya ni bora kuliko maneno yasio hai?
Dear my great grandkids in 2120 during my generation this dude was a king and he gifted us with so many good songs including this very classic hit............but he left this world a very sad 😔 fella since many people didn't recognise his great talent.
Nani ameletwa apa na kifo chake gonga like godzilla alale mahala pema
Wengi bro ##
RIP😢
unafki huo ad mtu afe
Kinachoniuma kabla ya jana huu wimbo ulikuwa na Views 40k tu ila nashangaa siku moja tu tangu afe wimbo umefikisha views 70k! Tujifunze kuona thamani za watu wakiwa hai. ZILLA PLEASE STAYYYYYYYY
Apo mzee wananchi atuna rawama walio mbania afu leo wanampost mungu anawaona
Hii inatokana badala ya yatu kusia mtu kafa afu hawamjui ndio wanataka wamjue ndio ukaona hivyo but hawana mpango wa kufatilia mziki.
Hii ni kazi ya Media... Inabidi iwapo promo watu.... Hasa ambao ni talented... Watu wengine furariki kwa stress na uchungu.... Mtu una work hard... Unakipaji then watu wanakupa maneno hasi na media ina promote watu wenye kutoa hongo hata kama wanaimba ushenzi....
Bado nitazidi kulaumu industry
Sisi watazamaji tunategemea sanaa nzuri iwe promoted na industry.
Hivi ujue nn sio wanambania au wanamchukia msanii anapokua hai wengine wanakua hawamjui kabisa so wakiona kafa ndo wanatafuta alikua anafanya ngoma gani ni nani sio wate wanapenda hipop
Zilla yupo high
Respect zilla,
Only few will understand this type of skills,
This kid is special,
Usipomkubali leo Kingzilla utamkubali akifa kuwa alikuwa Simba Dume mamake!
Duh! Hatimae maneno yako yametimia 🙏
zacharia mswati umeona eenh...dah!
Utabiri ulotimia dah rip zillah
Dah we Jamaa Nabii Aisee! ila Kinachoniuma kabla ya jana huu wimbo ulikuwa na Views 40k tu ila nashangaa siku moja tu tangu afe wimbo umefikisha views 70k! Tujifunze kuona thamani za watu wakiwa hai. ZILLA PLEASE STAYYYYYYYY
Ndio umeonaa sasa tayari washampost
Kama ulishazoea kusikiliza ngoma laini hautaelewa.
We kweli ni King Big up.... Hii ngoma kali sana.
kwa watanzania ambao wanakurupuka bila kusikiliza nn msanii kaimba nn watesema vbaya bt ipo vzur sanaaaaa i need big shout say STAY
Zilla Nimeona nije niongee na wewe leo.. Nimekukumbuka sana mwang
2020 nanii anasikilizaa hapaa🔥🔥🔥🔥
Leo Ndio wameona umuhimu wko ndo ushatangulia zizi atuta kuona Tena Allah akufanyie wepesi. Ila zizi nimkal akuna ambae ajui ilo media tuwape thaman zao kabla awajatangulia nilikuwa Nakukubal na ninakukubal kingiiiii ziziiii
R.I.P king,, i still see yu n feeling ur music homie🙏
mziki wa kiutu uzima, mwenye ubongo raini hawezi elewa, fireeeeee
Continues rest in paradise Godzilla.. Your gap still not filled
u still make me STAY on ya Utube video page bro, and u still STAY too on HipHop Music Industry........ Shutout to yaaaaaa
Rest Eazy King .2022 still feel in it
Kituuuuu...... "Mim ni mpango wa Mungu so nipo kwenye mission"
Huyu Jamaa alikua legend ila Tanzania Hamthamini mtu hadi apatwe na matatizo Tubadilikeni jamaa tuangalieni wanaofanya vizuri kimziki ila hawasikiki , iweje usinipe mchango kuchangia mziki wangu sahii ila utoe mchango nikiwa nimekufa haisaidii Rip king zilla much love from kenya
Mimi ni mkenya na siku wahi skia ngoma zake since hazi kuchezwa sana but after kuona kuona kifa chake kwenyu u tube nime cheza ngoma zake na kwa kweli he was a king
Rest eazy big bruh..ulichokiacha kina'stay safe na hii ndio njia rahis natumia kila nikikumic narudi hapa big..Pumzika zizi🙏🕊️
Ma nikka haujaacha glory ambayo Mungu aliweka ndan yako iende na ww kaburin...umefanya part yako n nyngne 2muachie Mungu....cya again Kemosabe....Rest In Peace bruh.
Braza dah umenigusa moyoni big mc big rapa best bongo hip hop musician
Wa pumbuvu sana nyinyi wa bongo kipindi mzima mlikua kimya sasahivi fyoko fyoko
Huwezi danganywa na msenge tuu ' etiii!!! Billnass zaidi ya huyu mzee baba noma sana 🔥🔥🔥🎤🎤🎤
zilla lov 4lv bro,..natamn nifny kama wew ulipo fikia niendlez kama mim one time one day yes
Hii ni kazi ya Media... Inabidi iwapo promo watu.... Hasa ambao ni talented... Watu wengine furariki kwa stress na uchungu.... Mtu una work hard... Unakipaji then watu wanakupa maneno hasi na media ina promote watu wenye kutoa hongo hata kama wanaimba ushenzi....
Bado nitazidi kulaumu industry
Sisi watazamaji tunategemea sanaa nzuri iwe promoted na industry.
RIP king zila dah 😭😭😢 mapema sana mzee baba. Nenda mzee sauti yako daima itaishi masikioni mwangu
Back again in 2024 and I still feel it...Rest in Power Ganster Ziziii
3:00 i wanna u r voice ladies one more time staaaayyyy thats sound sexy and dope daaaaaaaaaaaaaaaah RIP MNyamweziii Godzilla ndo basi tena swaga hatutazisikia tena Kk unaondoka na unyamwezi wako woteeeeee
Aisee kweli huyu Jamaa Ni mnyamwezi hakuna Hapa Duniani, naamini hadi nakufa mnyamwezi wa maneno atakayebaki kichwani kwangu ni huyu jamaa
duh zilla hii ngoma IPO vizuri lakn kibongobongo hauta eleweka kk
Am Hustles Am Hustles 🔥🔥🔥
Hii remix tu hii ni nyimbo ya jcole
ukiweza unaweza tu hiphop unaifanya iishi maskion mwa weng keep it up bro#stay.....luv it
Nasikiliza Mizi wake maana do upo kwa sasa
Hili ni balaaa mzeee babaaa
Hiiii ngoma ni hataaar balaaa mzeee #king
umeunga sana sema tunaojua tunaelewa ilikua freestyle
broo ndo usanii huhuu utofaut kwenye game gud broo #stay
Akili ndogo aziwezi kuielewa hii ngoma bonge la ngoma #stay
G❤❤ udongo tajiriiii sanaaa😢
mamamamamamaeeee sasa hv ndo mnaona thamani ya zilla kulaleki zenu
hii nyimbo kali sana bro... tatizo video zinachelewa broo
Pongezi kali sana kwa production..luffa killed this one
Rest in peace boy....I loved this #maisha ni maamuzi#stay
DAAAH JOMBAAA UNANENEPA SANA UNAPOTEZA MVUTO SEMA NN FANYA MAZOEZI MAMBO YAENDE SAWA
Asa mvuto wa nn kwa simba acheni ushamba
Daaaah aise kaka zilla salute sana kwako ww no one like u
Still listening to this
Staaay...much love from Kenya 😅😅 we miss you ZZZZZILAA
Kazi nzuri turudi kwa nguvu zote brother kwani game ni ngumu
Tabasamu la ukarimu haliwezi Fanya mauaji#kingzilla hii ni fire
ni nani anaangalia hii video leo km mimi
Asante kwa kutuelimisha bro #RestEasyBroo. Kwa wasiokuelewa wataanza kuelewa ss
ur really a king.... keep up with the culture,
2021 nani ameona hii song
good joint, video tu ndio sio poa . we missed you Zilla
Labda watanielewa siku nikifa daaaa rest in peace brothe kifo ni hatima ya mwanadamu duniani sote tu safarini
jamaa unaweza sana nice songs🔥🔥🔥
We missed this kind of Hip Hop welcome back ziller we don't need to compare yo with anyone
Duuuh jama kamenepa kichizi king zilla stay👊👊👊👊😂
Ngoma Kali aisee
Hivi ndio walkua wanasema umechiz kwa hiz kitu. Kama ni matani au ushindani wa game vipite mbali. Uko sawa. waschokielewa ni wasiokuelewa kukupa nafas isiyosahihi kwako. Ukiacha ujuzi mwingi wa mziki ata sauti yako2 inatambulisha ww ni msanii
Mziki ni zaidi ya vina na mizani au beat. msanii anaweza kuadd chochote sababu anakipaji (msikalili) sababu ata kabla ya kuyajua ayo na kuyazingatia, mziki ulikuwepo tangu zaman na uliwaburudisha watu. Maproducer wasio na uwezo wa kugundua au wasanii pia wasio na uwezo uo wa kugundua au mashabiki wasio na utashi wa kugundua chochote kwenye mziki huwa hawana nafasi zaidi ya aliemuumba na kumpa kipaji msanii. Mda mwingine kuweni wastaarabu na ukimya ni bora kuliko maneno yasio hai?
Umeuwa mzazi
13/11/2021 listening this bomb ........................ rest easy king zizi
Staaaaaaayyyyyyyyyyyyy 😭😭😭
U will remain my favourite rapper forever king...
umetisha ile mbaya
Daaah pumnzika kwa amani
R.i.p king na ma king wote mlotangulia akiwemo my Dady🙏
naandika hii comments huku machozi yananitoka wallah, allah akufanyie wepesi insha allah
namwelewa nas...nakuelewa pia!!!stay
Hana jipya huyo kashasaau kuimbaa
Kumbe kimya kingi kilikuwa na maana men!! We need u bro
Rest Easy Champion ....
eti ndo mkamlinganishe msenge bilinass king ni king tu hatar Sana
One of the BEST!
zizi wee n king kweli
Kazi poa sana 👏👏👏👏
usiwasikilize wanafiki ukaacha hiphop brooh
July 2023 still listening to this Jam , Keep resting Easy King Zilla
upendo mwengine hujaa watu wakiona ushakufaa wanakupaa maua wakati wanajua uyawezi kuyanusaa 💔💔💔😪
life is too short.Rest in peace king zilla though we gonna miss u.SEE you AGAIN
Mziki mzuri sana king zilla
Kazi nzuri
R.I.P Godzilla Asante kwa mziki Mzuri
Miss him 2023😢
Zilla #Akili nyingi sana
Nice, smooth and easy...
mistari inaukweli Godzilla
This soooong maaaan!! 🔥💕🔥💕🔥💕
Who enjoy this song 2021 na akaelewa kwamba zizi alikua ahead of the fuckn time r .i.p zizi dah
Killed this Jcole beat for real
Duuuhhhh.bro zila umeuwa kwawale tunaoelewa.lkni kwa wale kibongobongo wataona umezingua
Day big sana bro zila
Salasala Stand Up Kingzillaaaaaa Wa Nyumbani japo mm niko china Niko katika Biashara sio mda nakuja big up Zillaaaaaa ,
kiswahili nasikia tu
Fish Boy kwani nani kakuliza ulipo
Ya Kinyama sana hii Mkuu Stay
hujawah kuniangusha zilla... ntakukubal mpaka uzeeni...
Nomaaaa mzee🔥🔥🔥🔥
Rip king
Hii ngoma kama 2pac bro, Makaveli stunts...So dope dawg
hustle Zizz stay bless
R.I.P. godzilla
Big up bro dope work
Yake amemaliza sisi tunafata
Dont wory zilla tuko back...tunakuelewa tunaoelewa'
Pumzika kwa aman King