MAOMBI YA USIKU - Pastor Myamba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 348

  • @FransiskaJohn-fq1nf
    @FransiskaJohn-fq1nf Рік тому +1

    Leo ni mara yangu ya kwanza kuomba pamoja nawe uck huu pastor , namshukuru mungu Kwa dada aliyeniekekeza kuomba pamoja nawe ,nateswa na roho za majini mahaba ,Kwa imani napokea uponyaji katika Kila eneo

  • @gloriamichael6781
    @gloriamichael6781 2 роки тому +5

    Maombi haya ni Kama Mungu kakufunulia kuhusu maisha yangu yote

  • @neemanelius2478
    @neemanelius2478 Рік тому

    Jaman naomba mnielekez kanisa lake likowapi naomba sana

  • @elympinga4440
    @elympinga4440 2 роки тому +20

    Toka nianze kusikiliza maombi Aya yausiku nimepokea uponyaji waali yajuu biashara yangu imepona mwili wangu nimepona ahsante yesu

    • @EllyShao
      @EllyShao 11 місяців тому

      Napokea. Kwa jina layesu amen

  • @bingwa.Artist
    @bingwa.Artist 4 місяці тому +1

    Am healed i Jesus name amen

  • @FilbertaMahundi
    @FilbertaMahundi 6 місяців тому +1

    Amen nimeona nyumba yangu ikiwa na ulinzu wa mungu namimi mwenyewe niko huru ubarkiwe mtumishi

  • @stellahokworo3947
    @stellahokworo3947 2 роки тому +2

    Namukabidhi rafiki yangu Emily Nyaboke ambaye ni mgonjwa kure Iraq apokee uponyaji katika jina la Yesu kristu wa Nazareth aliye hai Amen

  • @evodiaevance1377
    @evodiaevance1377 2 роки тому +2

    Kuanzia Leo hofu na woga vimenitoka avina nafasi tena katika jina LA yesu amen

  • @dominickmabada1631
    @dominickmabada1631 6 місяців тому

    Asante yesu nimepokea uponyaji...Mungu akubarik mtumish kwa maombi yako🙏🙏🙏

  • @NifaBaziry
    @NifaBaziry 5 днів тому

    Kupitia maoMbi yausiku mungu kanifunguw nakunioNesha mambo makubwa. Balikiwa sana baba

  • @tiffahjuma5323
    @tiffahjuma5323 Рік тому +1

    Asante sana mchungaji kwamaombi haya nasikilizaga maombi Yako kilasiku na Maisha yangu kwasasa mungu amenifungulia baraka amen

  • @rehemamwankusye2345
    @rehemamwankusye2345 Рік тому +1

    Ameeen nimepokea katika JINA LA YESU 🙏

  • @AzizaJoseph-n3e
    @AzizaJoseph-n3e 2 місяці тому

    Mda huu tarehe 3/11/2024 saa moja kamili uck nmepokea uponyaji asante Mungu nlikua sion siku zangu kwa miez mitatu ulipoombea nyonga gafla nmeziona sahv

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 5 місяців тому

    Baba naomba nipone vidonda vya Tumbo sasa hivi Amen 🙏

  • @leticiakaiza299
    @leticiakaiza299 2 роки тому

    Assnteee saana pastor kwa maombi haya Mungu azidi kukuinu ktk huduma yako🙏🙏 kwaimani napokea uponyaji

  • @miriammgaya7301
    @miriammgaya7301 Рік тому +1

    Kupitia maombi haya mungu ananitnda jsmho langu barikiwa sana

  • @RoseCharles-b7e
    @RoseCharles-b7e 3 місяці тому

    Amen, nashukuru kwa maombi haya, nimeyadikiliza leo na kufunguliwa, Mungu akubariki pasta

  • @salmasailen8871
    @salmasailen8871 6 місяців тому

    Usiku huu nawaunganisha watoto wangu keira and bernice mungu akawafungue

  • @felistercharles
    @felistercharles 5 місяців тому

    Ahsantee Yesu nimefunguliwa na roho ya hofu 😢

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 11 місяців тому +1

    Asante nabarikiwa sana na haya maombi asante Yesu kwa kutupatia huyu mtumishi

  • @gibsonsilungwe685
    @gibsonsilungwe685 3 місяці тому

    Nimekushukuru Sana Kwa maombi ya usiku huu Mungu akubariki sana mchungaji

  • @MaryMkumbi
    @MaryMkumbi Місяць тому

    Amina mbarikiwa mungu awe nawe siku zote🙏

  • @KaisonTenesi
    @KaisonTenesi 5 місяців тому

    Napeleka Ndoa yangu mkono mwako baba🙏🙏

  • @janethisdory7769
    @janethisdory7769 7 місяців тому

    Namuunganisha mwanangu zai katika mambo haya mwenyezi mungu akamponye kila aina ya mambo mabaya

  • @CharityBundi
    @CharityBundi 5 місяців тому

    Amen pastor kwa maombi nilikua naumwa na koo lakini imefunguliwa🙏🙏🙏

  • @pendomatei846
    @pendomatei846 2 роки тому

    Mungu wangu napokea baraka ktk maisha yangu mungu wangu ulie hai mungu napokea uponyaji katki familia yangu mungu

  • @christinemoranga7598
    @christinemoranga7598 2 місяці тому

    Amen and Amen more blessings 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AgnessEustace
    @AgnessEustace 9 місяців тому

    Asante ubarikiwe mtumishi wa mungu❤❤

  • @LydiaFesto
    @LydiaFesto 9 місяців тому

    Mchungaji nimefunguliwa kupitia maombi haya mungu akubariki sana

  • @LeilaSpembo
    @LeilaSpembo 6 місяців тому

    Nakuimba pastar kuomba na ww mizimu michafu inanitesa na maadui wengi na mwili kuniuma naomba kwa jina la yesu ameen

  • @aminanahimana5251
    @aminanahimana5251 Рік тому

    Ubarikiwe mtumishi Tokeya nihanze skiya haya Mahombi sinaga tena stress nyingi Niko Salama kabisa nimeshapokeya Amani kabisa ubarikiwe Mcungaji

  • @VeroTesha
    @VeroTesha 5 місяців тому

    Jmn najihisi kuwa karibu na Mungu sana 😢😢

  • @leonidangimbwa1526
    @leonidangimbwa1526 6 місяців тому

    Baba, asante kwa maombi ya usiku miguu imeachia usiku huu

  • @mariamuharubu6577
    @mariamuharubu6577 2 роки тому

    Mtumishi mungu akubariki mm nilikuwa naumwa na nyonga nimekusikiliza nimepona mm naitwa Mariam naishi Europ nimepona Kwa jina la yesu Kristo WA Nazareth nikweli nimepona

  • @esterpaul6314
    @esterpaul6314 2 роки тому

    Nmepata Amani usiku huu nmefunguliwa na vifungo vya shetani kwa jina la YESU KRISTO WANAZARETI MUNGU ALIYE HAI na ninapokea kufunguliwa kwa jina la YESU KRISTO AMEN

  • @susanmburati8519
    @susanmburati8519 7 місяців тому

    Nafunguliwa na roho za madeni achia maisha yangu kwa jina la Yesu kristo

  • @karisaneema7399
    @karisaneema7399 2 роки тому

    Amen amen pastor myamba,,aki nlikua sikujua lakini kuna dada fulani amenipostia haya maombi kwakweli naamini yatanisaidia,,bariki wa xna

  • @marybongo
    @marybongo Рік тому

    asante kwa maombi yako mtumishi mungu azidi kukupa kibali

  • @Akilunah
    @Akilunah Рік тому

    Naamini nimepona katika jina la Yesu

  • @felistercharles
    @felistercharles 5 місяців тому

    Nahisi kufunguliwa kabisa 😭 ee mungu nateseka sana na ndoto mbaya, uchawi na hofu mungu nisaidie

  • @gladysbuloa4107
    @gladysbuloa4107 3 місяці тому

    Mtoto wangu wa kwanza anaitwa Niva Nasimiyu kifua kimembana watu wamemuinukia but kupitia maombi yako natumai anaenda kuwa huru kabisa kwa jina la yesu kristu wa nasareti mungu alie hai

  • @TheresiaPaschal
    @TheresiaPaschal 8 місяців тому

    Namuungamanisha mtoto wangu Dorothea katika maombi haya nguvu za kichawi ziweze kumwachia mtoto huyu kwa jina la Yesu kristo Mungu aliye hai

  • @neemasulle8422
    @neemasulle8422 Рік тому

    naomba niombee mchungaji roho ya uzinzi inanisumbua sana

  • @rizikinibale6748
    @rizikinibale6748 2 роки тому

    MUNGU wambiguni akutie guvu mtumishi

  • @shapukivivantv4375
    @shapukivivantv4375 2 роки тому +2

    Mungu ni mwaminifu siku zote hakika wema wake nimeuona Ahsante sana Yesu kristo kwa uponyaji wako juu yangu 🙏

    • @elizabethmichael6682
      @elizabethmichael6682 2 роки тому +1

      Asante pastor si mara moja nimesikilza maombi yako napokea uponyaji Mungu akubariki.🙏🕊️.

  • @pendomatei846
    @pendomatei846 2 роки тому

    Ameni mtumishi napokea uponyaji kupitia maombi haya mungu wangu biashara walionizunguka Hili wafanye wao mungu kaangalie wewe mungu napokea biashara mpya mungu nasehem mpya mungu wangu

  • @marymkumbimarymkumbi5153
    @marymkumbimarymkumbi5153 2 роки тому

    Nilikua naota pumzi zimeziba na naota mwanangu anakula taa zikazma nikaomba anpige njia ya msaraba kwenye paji la uso na akafanya ndipo nikamka na kutafuta maombi yako ahsante 🙏🙏 mchungaji pua zimefunguka amina

  • @maureennyakio
    @maureennyakio 2 роки тому

    God bless you paster,, nilikuwa nauoga but hii maombi nimskia nikiwa uhuru in Jesus name Amen🙏🙏

  • @evamarianjohn5804
    @evamarianjohn5804 2 роки тому +4

    Today, 1yr ago. I receive blessings, Favour and healing through these prayers. I rebook the bad dreams and destructions in Jesus's Name 🙏

  • @cristianoprincegabrielles3951
    @cristianoprincegabrielles3951 2 роки тому +3

    Be Blessed Man Of God, I never knew that you're a Pastor in Really life, I thought you only Acted that in the Bongo Movies. Though through acting I suspected you must be one of the Godly Men.

  • @josephmayaka4962
    @josephmayaka4962 3 місяці тому

    Niombee mungu hanisaidie

  • @akolowapenina1688
    @akolowapenina1688 2 роки тому +4

    Amen 🙏 lord bless you and your family

  • @NzadzechizigwaNzadzechizigwa
    @NzadzechizigwaNzadzechizigwa 11 місяців тому

    Amen 🙏🙏 may God bless you

  • @kabulabenjamin8634
    @kabulabenjamin8634 2 роки тому

    Napokea maombi haya kwa jina la yesu

  • @TwahaIssa-i3e
    @TwahaIssa-i3e 4 місяці тому

    Amen mtumishi wa mungu

  • @sebonikegobi6244
    @sebonikegobi6244 2 роки тому

    Ubarikiwe pastor myamba uko wapi

  • @nancypeter4300
    @nancypeter4300 Рік тому

    Eeh mungu wa majeshi ni we unae nijua

  • @esterflorenceflorenceester9351

    Ameni mtumishi wa Mungu

  • @mariamuharubu6577
    @mariamuharubu6577 2 роки тому

    Asante Sana mtumishi nitakupata je mm nimu Tanzania naishi ulaya naomba no zako mtumishi WA mungu

  • @SalmaSalma-f6u
    @SalmaSalma-f6u Рік тому

    Asante mtumishi wa bwana nimeuona mono wa bwana niripokuwa katka maombi mm nirikuwa ngonjwa sana kira Kona ya mwiri nirikuwa naumwa baada yakusikia maombi haya nikahisi kumwa sana kichwa sasa mm ni mzima Mungu akutunze mtumishi

  • @bernardndjila4740
    @bernardndjila4740 2 роки тому

    Aman thx ☺️ asant San

  • @jorgelilembochabane2928
    @jorgelilembochabane2928 6 місяців тому

    Mungu napokeya kupona kwa usindi wako bwana

  • @sesybahati1716
    @sesybahati1716 2 роки тому

    naomba niombee napitia mambo mangu sana baba niombee baba

  • @islamkarata9655
    @islamkarata9655 Рік тому

    mungu ni mwema naamini na kwa wote wamuaminio mimi ni muislam ila nashangaa natetemeka na kutoa machozi

  • @jacquelineziporaulise7374
    @jacquelineziporaulise7374 2 роки тому

    Asante sana Muchungaji tangu nianze maombi kila usiku na asubuhi kusikiliza maombi yako na lala maumivu mwilini na pona na usiku na lala usingizi Asante yesu

  • @wandwizakaria9817
    @wandwizakaria9817 2 роки тому

    Asante mungu maombi yameonyesha miujiza mda huu nilikua nakabwa nilikosa amani kabisa

  • @نورةكينيا
    @نورةكينيا 2 роки тому

    Asante xna mtumishi wa mngu kwa maombi wcha mngu atende xwa na mapenzi yke barkiwa xna

  • @mamabetty7925
    @mamabetty7925 Рік тому

    Amen napokea

  • @jumahabiba7372
    @jumahabiba7372 2 роки тому

    Napokea uponyajikwa jana last yesu

  • @ClaudeBulambo-s7q
    @ClaudeBulambo-s7q Рік тому

    AMINA Bwana yesu asifiwe kabisa

  • @furahazero6559
    @furahazero6559 Рік тому

    Nimeparikiwa

  • @ponsianabyarugaba1564
    @ponsianabyarugaba1564 2 роки тому

    mchungaji asante kwa maombi makubwa

  • @mediatricen4705
    @mediatricen4705 2 роки тому

    Nafurahi kupata video hii ❤

  • @jacklinekalekyenyamai3562
    @jacklinekalekyenyamai3562 2 роки тому

    Amen barikiwa sana

  • @DoreenGodfrey-vr9yh
    @DoreenGodfrey-vr9yh Рік тому

    Napokea uponyaji naamini Mungu wangu anatenda kwanzia Sasa nilikuwa na maumivu ya tumbo na nimeota ndoto mbaya lakini Kupitia maombi haya nimefunguliwa 🙏🙏

  • @MgeniTwaha
    @MgeniTwaha 6 місяців тому

    Asante yeau

  • @nadiachalres
    @nadiachalres Рік тому

    AMEEEN MUNGU akubariki sana

  • @wardamuhudi4168
    @wardamuhudi4168 Рік тому

    Amen 🙏 barikiwa San mtumishii Nina amanii juu moyo wangu.

  • @mariethafaustine2539
    @mariethafaustine2539 2 роки тому

    Amen mch🙏🙏🙏

  • @pembathomas7840
    @pembathomas7840 2 роки тому

    Amen mchungaji nirikua nimelala nikaota naumwa na mujus nilikua Sina Aman kabisa sass Aman imerudi kwa maombi yako ubalikiwe Sana🙏🙏

  • @hadijaprudences3686
    @hadijaprudences3686 7 місяців тому

    Nakataa ndoto mbaya usiku huu ktk jina la yesuuuh

  • @mercykoech1487
    @mercykoech1487 2 роки тому

    Mimi ni mbarikiwa..najihisi mwepesi

  • @yassintaibrahim3541
    @yassintaibrahim3541 2 роки тому

    Ameen 🙏🙏🙏
    Napokea Maombi Haya Kwa Jina La Bwana Wetu Yesu Kristo Wa Nazareth Aliye Hai 🙏🙏🙏

  • @notburgamlelwa
    @notburgamlelwa 2 місяці тому

    Amina mtumishi

  • @shebahmorara3453
    @shebahmorara3453 Рік тому

    Poster asanti Mimi. Ninaona ndoto nikijaribu kuangalia naona hiko na maana za kutisha lakini ni kama umejua kila kitu changu ningependa tuwe tukiomba pamoja

  • @catrinarose8488
    @catrinarose8488 Рік тому

    Napokea🙏

  • @jesusismyeverything1630
    @jesusismyeverything1630 2 роки тому

    Asante Yesu

  • @youngafricans7361
    @youngafricans7361 2 роки тому

    Amee nime funguliwa

  • @josephalfonce4493
    @josephalfonce4493 2 роки тому

    Amen napokea kwa jina la yesu kristo amen

  • @kashindiseti4493
    @kashindiseti4493 2 роки тому

    Nishindiye vita ihi Jehovah 😭❤️🧎‍♀️🙏

  • @gracekenzo8823
    @gracekenzo8823 2 роки тому

    Me uwa nalala vizuri snaa

  • @annastaziamilanzi533
    @annastaziamilanzi533 2 роки тому

    niombee baba biashara yangu inakufakufa

  • @memorykateko514
    @memorykateko514 2 роки тому

    Asante kwA maombi man of God. God bless you. 🙏🙏🙏🙏

  • @ambasiayona9779
    @ambasiayona9779 Рік тому

    Naiwe kwangu kwajina yesu

  • @stellaerick2735
    @stellaerick2735 2 роки тому

    Nmepokea kwa jina la yesu KRISTO amen

  • @mariethasilvan2524
    @mariethasilvan2524 2 роки тому

    Ameeen Mtumishi Wa Mungu Barikiwa sana na Bwana kiukweli najihisi mwepesi sana baada ya kusikiliza maombi haya M/Mungu Akuongezee Upako zaidi na zaidi 🙏🙏

  • @josmasbaha5392
    @josmasbaha5392 2 роки тому +1

    Amina! Naamini Mungu ametenda kupitia maombi haya

  • @jackisonjoseph6301
    @jackisonjoseph6301 2 роки тому

    Mtumishi Mungu akubaliki kilakitu ulichokiomba kilikuwa juu ya familia yangu akika Mungu ametenda muhujiza wa ajabu

  • @rehema6660
    @rehema6660 2 роки тому

    Asante kwakuniwezesha ndoa na kunipa amani Jesus thank you

    • @abdulbakari
      @abdulbakari 2 роки тому

      Tumebarikiwa kwa maombo haya mm nilikuwa nasumbuliwa natumbo ila Niko huru sasa mtumishi

  • @AnnaLugendo-c1u
    @AnnaLugendo-c1u 4 місяці тому

    Namkabidhi,kaka yangu kwenye maombi haya apate uponyaji wa moyo