Akili zetu haziwezi kuhesabu yale ambayo Mungu wetu hufanya, hata tukijitahidi kukumbuka kuna yale ambayo miyoyoni mwetu tunasahau kabisa kwa kuona zilikua nguvu zetu, uwezo wetu au elimu yetu, na hata nyakati zingine tukajipa kuona tulistahili tu. Ukweli ni kwamba hatukustahili na hatukufaa kabisa kupewa upendeleo wa neema ya Mungu. Neema imeleta rehema kwenye maisha yetu, neema imetupa wokovu, neema imetufadhili siku zote, neema imetufanya kuingia katika malango ambayo hatukujua tungewezaje kuingia na kuketi. Hivyo basi, ni maombi yangu neema ya Kristo ikupe sababu ya MOYO WA SHUKRANI katika majira yote (Zaburi 30:4)
It’s a blessing and a chant. It plays in my heart whenever I listen or think of my life so far. We always question what we are going through forgetting how many things God helped us. Am forever grateful and thankful to God.🥺🖐🏽. Be blessed so much❤️
Akili zetu haziwezi kuhesabu yale ambayo Mungu wetu hufanya, hata tukijitahidi kukumbuka kuna yale ambayo miyoyoni mwetu tunasahau kabisa kwa kuona zilikua nguvu zetu, uwezo wetu au elimu yetu, na hata nyakati zingine tukajipa kuona tulistahili tu.
Ukweli ni kwamba hatukustahili na hatukufaa kabisa kupewa upendeleo wa neema ya Mungu. Neema imeleta rehema kwenye maisha yetu, neema imetupa wokovu, neema imetufadhili siku zote, neema imetufanya kuingia katika malango ambayo hatukujua tungewezaje kuingia na kuketi.
Hivyo basi, ni maombi yangu neema ya Kristo ikupe sababu ya MOYO WA SHUKRANI katika majira yote
(Zaburi 30:4)
Nabarikiwa asante
Amen amen
Nimechagua kusema Asante Yesu
Nimebarikiwa saana
Amina sana
Hili songi ukisikiliza kwa utulivu nisongi kubwa Sana
Nimechagua Moyo wa shukrani
Amen
Mungu akupiganie zaidi
Huu mwaka ni wa kusema asantee sjui kwenye lipi ila
Asante Mungu kwa zawadi ya maisha na hii neema ya wokovu ❤❤❤
Wimbo wangu wa kunifariji
Yesu akafanyike faraja
2023 haukuwa mwaka mwepes...Mungu mwema tulipata wengine muda wa kujifunza neno na tumeona uwaminifu wa Mungu..Tunasema Asante
Nimechagua kusema ahsante
It Mesmerizing 🎉🎉
Onger sana kaz nzri sana mungu akubariki
Powerful Powerful.....In the name of Jesus
🙌🏻🤲🏼🙏Mungu azidi Kukutumia Ndugu yangu🫂
Hongera sana mungu akuinue zaidi
Amina
🙌🏾🙌🏾Nimechagua kusema Ahsante kwa Yesu wangu. This is a Nice song indeed.
Indeed i do say thanks to my almighty God Amen be blessed
Ubarikiwe kaka kazi nzuri
Neema
Nyimbo nzuri sana barikiwa sana kaka
Amen
❤🔥
Wimbo mzur sana huu kaka barikiwa
Nimechagua kusema asante🙏
Good work
Be blessed man of God
Beautful song, very blessing one. Keep do what your doing broo.
Nakushukuru Mungu wangu kwa yote
So powerful song💪🏼🙏🏽
Be blessed
Nimechagua kusema Asante Mungu.
Mungu akubariki sana kwa wimbo mzuri.
Mungu azidi kukubariki aunt yangu ❤
Wimbo mzuri unabaruki. 👏👏
Amen
Glory to God almighty 🙌🙌
Amen beloved sis
MUNGU MUAMINIFU SANA SIKU ZOTE , MOYO WA SHUKURANI KILA SIKU UTUONGEZEA RIZIKI NA KUWA KARIBU NA MUNGU WETU , ASANTE SANA MUNGU KWA MTUMISHI WAKO HUYU
Amina
God bless you Man of God
The song is powerful
Nimechagua moyo wa Shukurani
Amen to this my friend
Mungu Akubariki Sana. 🔥
Amen 🙏
Wimbo umenibariki mate barikiwa zaid
It’s a blessing and a chant. It plays in my heart whenever I listen or think of my life so far. We always question what we are going through forgetting how many things God helped us. Am forever grateful and thankful to God.🥺🖐🏽. Be blessed so much❤️
Glory to Jesus 🙌🏾🔥🔥🔥🎶
Ameen ❤️ 🙏
Tunabarikiwa na huduma yako bro
Amen
God sana
So good 🎉
🔥🔥🔥🔥
Oh my! What a song
@@rehemamercy1134 GOD BLESS YOU
So powerfully
Amen in Jesus name
Always blessing
Nimechagua kusema Asante
Moyo wa shukrani
Nice song brother🎉
Amen kaka
Ameen
Amen
🔥🔥
🙌🙌🙌
🎼🔥
👍👍👍
🔥🙌🏽
❤
❤❤❤
Kaka hii nyimbo nimeipenda kweli ila kwenye platform zingine tofauti na UA-cam sijaipata naitaka audio.
Ipo kwenye platform zote kaka
1:03
Mungu akupiganie zaidi usije mbili zaidi
❤🙏🙏
Kila saa nasikiliza hii nyimbo
Nimechagua kusema kusema Asante
Ameen
❤🔥
❤🔥
❤🔥
❤🔥