HOUSE GIRL EP 11 | S3 | Love Story 💕💞

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 4 місяці тому +171

    Utakayesoma hii coment mungu akuhamshe salama wachaw 😂wakija usiku wasikuone😂🤲🤝🙏🤲🤝🤝🙏🙏🙏

  • @WardaSuleimn
    @WardaSuleimn 4 місяці тому +90

    Àsalam aleykum kila atakae soma comet hi Allah amuashe akiwa na frah tele yenye ijumaa njema

  • @كامليا-ر7ز
    @كامليا-ر7ز 4 місяці тому +120

    Kiramba umenichekesha leo ety batuli anataka mikwaju😂😂😂😂weka like kwa kiramba 😂😂😂😂

    • @NoorEesa
      @NoorEesa 4 місяці тому +3

      😂😂😂😂😂😂😂hata mm nilikua sijaelewa hapo kumbe anamaanisha mikwaju😅😅😅

    • @anethkihombo1432
      @anethkihombo1432 4 місяці тому +1

      🤣🤣🤣🤣kiramba

    • @paulinanhinde6845
      @paulinanhinde6845 4 місяці тому +2

      Mikwaju ya penati 😂😂😂

    • @FlorenceTondo-iw9te
      @FlorenceTondo-iw9te 4 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂

    • @HidayaMbodze
      @HidayaMbodze 4 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂

  • @TanashaPamelah
    @TanashaPamelah 4 місяці тому +90

    Kama unaamini kendi atarudi Kwa mamake akilia na Sania atamruka naomba tu salamu 😂😂🙏alfu niko single 😂🤭

    • @HusnaX-u6q
      @HusnaX-u6q 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @TanashaPamelah
      @TanashaPamelah 4 місяці тому

      😂😂😂🤭​@@HusnaX-u6q

    • @DengzongbarDennis
      @DengzongbarDennis 4 місяці тому

      Kuja hapa kenya pia mm niko single😢🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @TanashaPamelah
      @TanashaPamelah 4 місяці тому

      @@DengzongbarDennis 😂😂🙌

    • @TanashaPamelah
      @TanashaPamelah 4 місяці тому

      @@HusnaX-u6q 😂😂😂🙌

  • @Hadija-o5b
    @Hadija-o5b 4 місяці тому +7

    Kendi ni mzuri sana wa sura na umbo, tabisasa mmmmh! Gonga like kupinga tabia za watu km kendi

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula 4 місяці тому +48

    Batuli utajua haujui , Wa kwanza kutoka kenya🇰🇪🇰🇪

  • @mejumaaamohamed2151
    @mejumaaamohamed2151 4 місяці тому +41

    Niwai ila watu wachoyo wa like,tokea kipindi kianze mpaka kilipofikia watu zii

  • @ElihurumaAxwesso
    @ElihurumaAxwesso 4 місяці тому +6

    Nampenda candy, the way anaspeek

  • @EverlineTyra
    @EverlineTyra 4 місяці тому +28

    Nimejikaza Leo.......naombeni like jamani alafu kandy na sania mnaboo❤😂😂😂❤

  • @TabuAthumani-i4o
    @TabuAthumani-i4o 4 місяці тому +24

    Anaesoma coment hii allah amlaze xalama na amuashe salama akiwa na nguvu tele ya kuswal swal ya jumaa

  • @NajmahBebbsy-uw5iz
    @NajmahBebbsy-uw5iz 4 місяці тому +7

    Jamn house girl nowdays mnatoa episode fupofupi sana 😊😊❤one lov kama unakubaliana na mm gonga like tukisonga

  • @GracianaChatanda
    @GracianaChatanda 4 місяці тому +19

    Jamn move inaendelea candy na shoga ake hela zinaisha mtazingukumbuka 😢😢😢😢😢😢😢 sisi yetu macho

  • @MaryamMoosa-g5s
    @MaryamMoosa-g5s 4 місяці тому

    KAZi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Jacky01180
    @Jacky01180 4 місяці тому +7

    Yaani huyu chiko ukimuona kwa baba Karobo akiwa pastor,huwezi sema ako na roho ya hivi😅 😊😢😅

    • @نيجي-ن1د
      @نيجي-ن1د 4 місяці тому

      Huu ni uigizaj tu sio alivyo any part anaigiza

  • @NelsonTukero
    @NelsonTukero 4 місяці тому +3

    Sania na candy wanaboo sana kwa ii movie Kila sasa mganga mganga aaaaahhh

  • @EstherMzungu-b4n
    @EstherMzungu-b4n 4 місяці тому +11

    Jamani chiko usimwiite mwenzako kipochi manyoya😂😂

  • @hawaali8371
    @hawaali8371 4 місяці тому +2

    😂😂kilamba. Etii Mbadilishane Mawazo Na Somoe

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 4 місяці тому +9

    Candy wala raha na pesa ya nyumba 😂😂😂acha iishe utulie juu ndo umemnunua batuli akamue zuu acha kiwarambe mpka mshangae

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 4 місяці тому +26

    Kilamba una Mungu ww, ungekufa leo

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 4 місяці тому +1

    Cend cend na sania ni 🔥🔥🔥 maisha wameyapati Kwa muda lakn sio milele Hila 🔥🔥🔥utawakiya muda sio mrefu cend unajidagaj my dear ?? Kiramba mchuzi Leo kachagamka masikin mpumbavu mwezetu Hila batuli batuli au somoy supir fumbo kutoka Kwa mpumbavu mwezetu

  • @ElishaClaude
    @ElishaClaude 4 місяці тому +13

    Nilikuwa naomba 🙏🙏🙏ongezeni dakika

  • @OfficialEmmy-b8r
    @OfficialEmmy-b8r 4 місяці тому +18

    Jaman na mm Leo nmewah like tano tu

  • @AshuraHamiss-g1l
    @AshuraHamiss-g1l 4 місяці тому +9

    Sas candy somoyee unamtumia location kwenye cm gan😂😂😂jmn enewey guys nawapenda

  • @AlineBaby-m5l
    @AlineBaby-m5l 4 місяці тому +13

    We kai na tasha mbon munatak kwenda wote, wata watega awo wapumbafu

  • @Liliankerubo-ye1le
    @Liliankerubo-ye1le 4 місяці тому +22

    Sania kweli alienjoy ile kitu ya ng'onde ako tayari kumpea tena 😂😂😂

  • @Viviankemmy-p4k
    @Viviankemmy-p4k 4 місяці тому +1

    Nafurahi kuona kiramba karudi kwa Hali yke Sasa ❤❤❤..ila somoe ww umeingia cha kike hpo hutoboi uliangukia mikono mbaya bibi zuu atakuonyesha

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 4 місяці тому +10

    Kendy na sania wake😂😂😂😂😂😂 hawajui dunia inaelekea wapi😂😂😂😂😂 hadi huruma jamen

    • @MonkeyDLuffy-p4g
      @MonkeyDLuffy-p4g 4 місяці тому

      Tusubiri liwatokee puani 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @JudithMuhingi
    @JudithMuhingi 4 місяці тому +13

    Mimi ndio Wa Kwanza 🎉 from Kenya

  • @EnkyalFelick-ys8mq
    @EnkyalFelick-ys8mq 4 місяці тому +1

    Inazidi kuwa hatari sanaa haijapoa ata mala moja kama unaikubali basi naomba like.

  • @shamillahsuleiman3431
    @shamillahsuleiman3431 4 місяці тому +4

    Mmmm..much love❤❤❤leo top 10🎉😊

  • @majumamusa8972
    @majumamusa8972 4 місяці тому +11

    batuli myiramba mwenzangu kumbuka fathila za zuu lekite danda yanso mau weee😂😂😂😂

    • @MaryMkoma
      @MaryMkoma 4 місяці тому +1

      Mwele nwasho waleke nkolo na mbee

    • @JumaMsiri
      @JumaMsiri 4 місяці тому +1

      Waleke nkolo na mbee uyu

    • @majumamusa8972
      @majumamusa8972 4 місяці тому

      @@MaryMkoma kumbe wanyiramba moo na hamsemi😂🤣

    • @zuleykhasaid967
      @zuleykhasaid967 2 місяці тому

      Tumoooo Sanaa TU 😂 😂 😂 😂 ​@@majumamusa8972

  • @GllO-qo5rh
    @GllO-qo5rh 4 місяці тому

    Kazi nzuri Sana nawakubali nyute ❤❤❤❤

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 4 місяці тому

    Nice ❤❤❤

  • @EvaluluMpandagoya
    @EvaluluMpandagoya 4 місяці тому +12

    Wa kwanza leo jmn🎉

  • @AngelGenes-ue6bg
    @AngelGenes-ue6bg 4 місяці тому

    Jamani Sania na candy bwanaaa mnajua😊

  • @sarafinamochache8269
    @sarafinamochache8269 4 місяці тому +9

    Mwachiko jamani hilo jina kipochi manyoa la kufaa wewe sio mr tasha 😂😂😂😂😂😂 Vile unavyo litamka

    • @نيجي-ن1د
      @نيجي-ن1د 4 місяці тому

      Kabisa yy ndio limemfity sana sio Tasha

  • @SadaDjuma-e9b
    @SadaDjuma-e9b 4 місяці тому +11

    Wana BUSATI TV na washabiki wenzangu Ninawapenda saan, Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ❤❤❤❤

  • @SarahRichard-iv2dl
    @SarahRichard-iv2dl 4 місяці тому +16

    Oyoooooo me wakwanza leo

  • @Betty-ls6yz
    @Betty-ls6yz 4 місяці тому

    Sania nakendi munanipag furah😅😅

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 4 місяці тому

    Kai 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Kwa kumfikia tash mapem

  • @FelistusKimanzi-f2g
    @FelistusKimanzi-f2g 4 місяці тому

    Nice one

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 4 місяці тому +1

    Hila Sania tuka aliwe na ngonde ndoge imekuwa ishima na adabu nyege zote zimemuisha chezea wanganga ww na kazi zao 😂😂

  • @umentco9600
    @umentco9600 4 місяці тому +2

    😂😂😂😂 kilamba kikwanzo si kuraisi leo umesahau muchijiga mwesangu

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g 4 місяці тому +1

    Kilamba bnaa, siku chache hizo alizotekwa mpumbavu mwenzio unatka kugawa urojo😂😂😂😂

  • @HhUhh-io8ix
    @HhUhh-io8ix 4 місяці тому

    Batul umenoa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mungu yupo bi zuu fanya kazi

  • @MwanarusiRupia
    @MwanarusiRupia 4 місяці тому +1

    Mashaallah movie nzuri sana😂😂😂😂😂😂😂

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 4 місяці тому +1

    Zuri huwezi mzuru kiupande wa sumu au nguvu za giza....juu amezungukwa na nguvu za giza za Bibi.... alafu candy umezengua....utamtumia batuli location kupitia mulika mwizi au😅😅😅

  • @atumichael7168
    @atumichael7168 4 місяці тому

    Ila candy na Sania 🤣🤣😂🤣😂🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @EhrustineZ
    @EhrustineZ 4 місяці тому

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Ummyrahy6666
    @Ummyrahy6666 4 місяці тому +3

    Mpumbavu wehhhhh umenimlzaa😂😂😂

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 4 місяці тому +3

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤kazi nzuri sana nawapenda bure ❤❤❤❤❤

  • @Tatufadhili-ud6se
    @Tatufadhili-ud6se 4 місяці тому

    Wanaijoy cady na sania hawajui vihela vitaisha ivyo warudi kwa kina kibendo 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @FetrissJanni-lb5il
    @FetrissJanni-lb5il 4 місяці тому

    Sania ana aza kumuelewa mganga ngonde...😂😂😂

  • @MagdalenaZephania
    @MagdalenaZephania 4 місяці тому

    Kilamba kashamsahau mkewe anataka atemneze mikwaju jamani😂😂😂😂😂🙌🙌🙌nimecheka sana

  • @modestajamada3496
    @modestajamada3496 4 місяці тому +2

    Chiko 😅😅😅😅mpilikene

  • @vallerybaraza5567
    @vallerybaraza5567 4 місяці тому

    Waaaaa this movie keeps me on toes ... Big love from 🇰🇪

  • @SabrahNibuka
    @SabrahNibuka 4 місяці тому

    Kai na tasha mnaurafiki wa ❤

  • @CarolyneNyanchama-yk1gf
    @CarolyneNyanchama-yk1gf 4 місяці тому

    Batuli chunga😂😂😂the days are numbered,,,kwa zuu huwezi

  • @MaryMaige-t1b
    @MaryMaige-t1b 4 місяці тому +3

    wanao sema kend na sania wanachekeana kinafki lake hapa

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 4 місяці тому

    Nice movie ❤❤❤🎉

  • @DidahChuma
    @DidahChuma 4 місяці тому

    House girl firee aijawaikupoa wala kuboaa👏👏👏

  • @PurityDida
    @PurityDida 4 місяці тому

    Jamani sjachelewa wadauu😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @MoureenmohWabwire
    @MoureenmohWabwire 4 місяці тому +1

    From Saudi Arabia,, Riyadh ❤❤

  • @MercyRisper-s4t
    @MercyRisper-s4t 3 місяці тому

    Chiko jameni😂😂😂😂😂mkitaka kumwona chiko akiwa pastor watch baba yangu kipofu😂😂😂

  • @DominPallangyo
    @DominPallangyo 4 місяці тому

    Sania anajiona kama yupo Korea 😂😂😂

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂kilamba kilamba kilamba 😂

  • @RehemaMwakisyala-k9u
    @RehemaMwakisyala-k9u 4 місяці тому

    Kiramba bhana😂😂😂 duuu umenivunja mbavu

  • @buru1235
    @buru1235 4 місяці тому +2

    Waah Leo top 50 Mashallah Alf nyieeeh kwn Candy alutapeliwa ayiii 😀😀🫣

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 4 місяці тому +1

    Ni wangapi wanao amini mpingo ya sania kumteka mr tasha haitafaulu gonga like hapa tujuane 😂😂😂😂😂

  • @HalimaMchuma
    @HalimaMchuma 4 місяці тому +1

    ❤❤❤❤

  • @MaryWekesa-s3c
    @MaryWekesa-s3c 4 місяці тому

    Ni moto kweli ❤

  • @saidamwavuo9926
    @saidamwavuo9926 4 місяці тому

    Kendi hujakoma kwa mganga ni mizimu ya bibi ngoja ukatimuliwe mbio 😂😂😂😂😂

  • @HabibaShabani-p8h
    @HabibaShabani-p8h 11 днів тому

    Kilamba so kwailo kwaju😂😂😂😂😂

  • @NasraBakari-ic5jv
    @NasraBakari-ic5jv 4 місяці тому

    We kilamba wew ety au chumvi au ngonja kwanz 😂😂😂😂

  • @HanifaHabibo
    @HanifaHabibo 4 місяці тому +1

    Yani chiko unamuita Mr Tasha kipochi manyoya 😂😂😂mbona mwatuvunja mbavu ww na Candy 😂😂😂 nyie mkubalieni tuu kuwa mmeachwa safy sana Kai kumlinda rafiki yako Tasha asiejuwa kinachenderea tunaeomba Zuu asipatwe na tatizo lolote like plz🙏

  • @GladysOmwando
    @GladysOmwando 4 місяці тому

    kilamba usiywe huo uji 😂😂😂😂😂😂😅😅

  • @MisheyJohn
    @MisheyJohn 4 місяці тому +2

    Ila kilambaa😅😅😅anamatatizo ila watayamaliza na batuli

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 4 місяці тому

    Jmn wenye D2 tujuwane😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AnnastaziaVicent
    @AnnastaziaVicent 4 місяці тому

    Sania wew ulikula kitu Cha Ng,onde wew 😂😂😂

  • @SharifaA-y4t
    @SharifaA-y4t 4 місяці тому

    Kiramba 😂😂😂 Jamani ana ngea kweli

  • @SbsBts-g3v
    @SbsBts-g3v 4 місяці тому

    Next plz 😂😂😂😂😂😂

  • @KhadijaRonda
    @KhadijaRonda 4 місяці тому

    Samahani utowe ingine❤❤❤❤

  • @lovenessmichael7098
    @lovenessmichael7098 4 місяці тому +3

    Jaman ndo kipochi manyoya😂😂❤

  • @FaisalAlrefai-u2y
    @FaisalAlrefai-u2y 4 місяці тому +1

    Tasha wewe ni mwanaume acha kuwa muoga bana 😂😂😂umenichekesha kweli 😂😂😂😂

  • @UmaziMdzomba
    @UmaziMdzomba 4 місяці тому

    Kazi nzuri sna kwa kwel

  • @حسنا-ض3ز
    @حسنا-ض3ز 4 місяці тому

    Much love from Kenya ❤❤❤❤❤❤❤😮😮😮

  • @JenipherPetro-m1w
    @JenipherPetro-m1w 4 місяці тому

    Chiko anamtaka kipochi manyoya 😂😂😂😂😂😂😂

  • @SalmaShabani-f1n
    @SalmaShabani-f1n 4 місяці тому

    Huyo Kai hajui kabisa kaboronga

  • @GloriaNahimana-x8p
    @GloriaNahimana-x8p 4 місяці тому +50

    Tunao penda Tacha ndoa yake ipite na zatiti tujuane🎉🎉🎉

  • @salhaissa-xq9ov
    @salhaissa-xq9ov 4 місяці тому

    Yani kiramb wew kibok unamtaman batuli mawazo ya mkeo yameisha kisa batul😂😂😂😂😂😂😂😂🎉

  • @HarrietNeema-d9v
    @HarrietNeema-d9v 4 місяці тому +1

    Sania na kendy mwadanganyana lakini nawapenda ❤❤❤❤ Kwa maigizo yenu🎉🎉🎉

  • @NYUNGIJAMES-vo1ep
    @NYUNGIJAMES-vo1ep 4 місяці тому

    yan kend na sania simpendi wacio mpenda kendi na sania gonga like😀😀😀

  • @WambuiKibanya
    @WambuiKibanya 4 місяці тому

    Kiramba na kwanju😂😂😂😂😂😂jamaanii😂😂😂

  • @CellineDige
    @CellineDige 4 місяці тому +1

    kendi unasaka mume utazani unadeni kwenye vikoba mtakuja kuumbuka vibaya nye na somoe wenu huyo lohh

  • @AmosYohana-c5s
    @AmosYohana-c5s 4 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @elvinakalu6991
    @elvinakalu6991 4 місяці тому

    Batuli naona kitakuramba tu 😂😂😂😂

  • @daphinekemto3094
    @daphinekemto3094 4 місяці тому

    😂😂huyu mkumbaff jamani

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o 4 місяці тому

    Bwana kiramba 😂😂😂😂😂😂San hapo umeipigaje ety😂😂😂😂😂😂

  • @MarykwambokaNyamboye
    @MarykwambokaNyamboye 4 місяці тому +1

    Sania Ako na nguvu ya kumpa mganga 😅😅😂😂

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 2 місяці тому

    Yote tisa kumi kendy ni commedy 🤣🤣