Jaman batuli umeingia kundi LA wabaya umekwish bor ungekua umoj na zuu mam ako angesaidiwa na akapon hap umepotez ket kwa Hao Sania n kend Pol batul😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Candy ,Sania Na Batuli kitawalamba maaana Bibi zuuu karudiya tena kuiokowa Familiya yake wanaohitaji Batuli nawenzake wakimbiye barabarani kama Wenda wazimu gongeni like hapo
Yeye Tena bibi zuu 🎉🎉🎉 upingaje hap nimependa hyoo bibi zuu batuli batuli au somoy somoy kitakuramba kitu kizito San nakuonea huruma San ww wezio watakuja kutaa ww cend ww ten Kwa papa
Battle yaan bor ungemwambia Zurich matatz yak bas mama yako angepona ila kw candy hpn kwanz candy bahir kutoa pesa yak kump mtu uongo mtupu anawafanyisha kaz t hp
Wanao amini kwamba bibi atamsaidia zuu tujuane hapa
I Like
❤❤
Aky nyanya atamsaidia najua iyo
@@LennaAjiambo Ndio bibi atamsaidia Zuu.
❤❤
Nimewahi kutoka Kenya 🇰🇪 Bwana Yesu asifiwe nawaombea kwa Mungu kila mwenye tatizo Mungu amfanyie wepes na amfungulie milango ya Baraka 🙏🙏🙏
Amen
Amen
Amen 🙏
Amen🎉
nyie hamumpendi candy😂😂😂😂lakin mi ananifuraisha sana nasubir kimrambe tu😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂
Nimechelewa Leo.....mwenye atasoma hii comment abarikiwe❤❤❤❤ naombeni likes jamani
Hatimaye bibi kawasili😂😂 thank you bibi zuu hawezi tuacha halaf bibi komesha yule house help ikiwezekana aondoke asitukosee heshima otherwise nawapenda ❤
Jaman batuli umeingia kundi LA wabaya umekwish bor ungekua umoj na zuu mam ako angesaidiwa na akapon hap umepotez ket kwa Hao Sania n kend Pol batul😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Lazima atawageuka 😂😂😂
Huyo si mum wake ilikua ni game tu ili akae n zuu
Wanao amini kutekwa kwa mpumbavu mwezangu nimipango ya boss wa kai tujuane hapa
Tunaoamin batuli hana roho ya ukatili na atawageuka wakina kend na sania gonga like hapa 😂😂😂😂😂
😂😂😂Vzr iweivyo
Ni kwel batuli anaonekana tu😂😂
Nikatili mbona analaumu wangeaaca amuuwe Zuu
Nikatili mbona analaumu wangeaaca amuuwe Zuu
Nimekawiy
Oyoooo bi zuu huyooo mambo si hayo tunaomkubali bi zuu tujuane ❤❤❤ maan candy anatamba sana
Tunaotaka mganga na kundi lake wasifanikiwe like hapa👌👌👌
Hawatafanikiwa wote hao wamekutana mazombie hakna wanachokiwaza cha akili😂😂😂😂😂
Watakutana na mizimu ya bibi Zuu
Ah jameni niwapongeze ninyi munaweza ❤❤❤
Candy ,Sania Na Batuli kitawalamba maaana Bibi zuuu karudiya tena kuiokowa Familiya yake wanaohitaji Batuli nawenzake wakimbiye barabarani kama Wenda wazimu gongeni like hapo
😂😂😂
Jamani Busati TV tunasubiri house Girl irusheni basi tuangaliye Ili tulale maaana tunasubiri kbs
Uyo baturi amjui bibi yake zuuu😂😂😂😂
Somoe,candy,Sania,nataka muumbuke mbaka mjione mpo uchi wakati mmevaa nguo😅😅😅
😂😂😂 kitawalamba
😂😂😂 bibi yupo
😅😅😅kama unafurahia bb zuu alivyo ingia kwa wakati na hakuna kitu kitasumbua familia ya kai gonga like tuki songa ❤❤❤
Candy tunakuomba usimsumbue bibie Zuu😂😂muache tuu mdada wa watu ainjoy ww Kula tmutajili wako na shoga yako
Ila chisa yupo happ kishingo upande 😂😂😂 moyo wake upo kwa masoz
Yupo tu kuogopa kilichomkuta
Kai anahabar kama dada wakaz wao anampango wake juu ya mkewe zuuuh
Candy Candy Candy mara ya kwanza ulienda kwa mganga na ulikiona kwa bibi Zuu umesahau ngoja ss yakukute
Mwache ahangaike atakiona chamoto
Waaah now days Candy ana akili jmn kageuka papa and bibi yangu good job bt naomba ukaadhibu akina Candy eeh
Bi zuu oyeeeeee😂😂😂😂 kazi safi wakubwa
Sijawai kucoment tokea episode 1 ila leo nmekua wakwanza leo likes zangu basi wadau❤❤
Tuliofurai kuona bi zuu kwa mganga tujuaneni jamani team fulus hoyeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
oye team fulus
@@JullyKasungwa hoyeee hatulali mpaka kieleweke
@@NoorEesa ww upo gulf sehem gan
@@JullyKasungwa nipo Riyadh Alkharj
Tupo hapa
Mganga hapo ndio napokupenda tu kula wote hao😂😂😂😂😂
At least nimewahi kidogo ila nawapendaa watazamaji wenzagu na Wana Busati tv ❤️❤️❤️🫡🫡.
Batuli wewe unajiingiza kwenye kumi Na nane za bibi zuu
Tupo pamoja rahma mpka bale chisa atakapokuacha mataa😂
Soon yani kilio kitamramba
Wakwanza naomba like jameni from kenya😊
Haya kula like ushibe😂😂
KWan like uwa zina wapa nn
😂😂😂@@nasmamponde5737
tupo❤❤❤
Yaan batuli bora uache kwasababu hakuna unacho kosa pale kwazuu ebu jitathimini
Mganga wa kwetu kabisa uyu "Tegule" anyway nawapenda❤❤
Tegule_ chukua
Sania unavojichekesha mzushi kabisa 😂😂😂😂😂
Weeee shinda wewe kama unataka kutebea kichwa chini manuu weee fanya kile unataka kufanya
Mimi nashangaa batuli ametumiwa vipi location wakati anatumia kabambe😅😅
😂😂😂😂😂
😂😂 mi pia nashangaa
Hivi kwani kabambe haiwezi kutuma location siametumiwa tu kwa msg njooo hapa cocobeach
@@AwadhAdam-j5fyeah mbn kila kitu kinawezekana tuu . 😂
Hata mem nilishangaa Bora angesema txt
I love you bib zuu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Hongee kwa kumpa onyo kali ngonde
Busati yani nawapenda nyote hongera sana kwa kazi nzuri❤❤❤❤from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hii yaleo Kali Tamu Hata cjui nisemeja yangu Ni asante SN mungu awabariki🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Jamani usitucheleshee epsde nyengine❤
Mm sio wakwanza lkn leo niwakarb naomben like😂😂
Kendy Bora ulivyo mgundua papaa
Papa umeinginiana leo wewe kendy na team yako nikinghangula mtamueza bibi zuu kitawaramba nyie amuogopi😅
Waoo bibi kaja
Kazi nzuri sana team Busati🇹🇿
Bbi zuuuu nakupenda sana unaupiga mwingi Bbi yangu nafulahi kukuona umeenda kwa ngond kumupa onyo ili utetee mujukuu wako ❤❤😂😂
Nakukubaly sana Bibi sinta❤❤❤ msaidiyeeee zuuuuh
Wa kwanza leo jamani 1 ❤ from Istanbul Turkey movie kali sana🎉
Nice movie ❤❤❤❤🎉🎉
Skuzinavyo kwenda House GiRL
Mashaallah
naisubili Komba ya Bibi Zuu na Ngonde
Mashallah ❤❤❤❤❤❤
Am a first one ❤❤❤❤🎉🎉🎉 for Busati
Welcome this movie perfect❤❤
Kina kendi na Sania nabakuli mkienda kwa mganga kwisha habari yenu,namtamkuta bibi zuu ndomhudumu,nendeni mkakipate Cha moto🔥🔥
Hahhahahahahahahahhahaah ahsantee sana mgangaa🎉😂
Asante bibi zuuuu fanya jambo bibi
Ashte bibi zuuu fanya uwaumbue hao wana roho.mbaya jmniii kaaah
This tym round hawamuwezi zuu ❤ Kwa Imani 🤲🙏
Mr papa nimefurah kukuona haki tunajifunza mengi Toka movie ❤❤❤❤
Hapo umesem batur hawez kuwa na roh Kam ya kendy na sania ila jaman loho mbay hai jegi skuzote
Naomba Mungu Bibi zhuu aone haya
Hahahaha mganya anamtaka kimapenzi kendi 🎉🎉🎉🎉
tuwe na sku njema sote
Batuli umeyakanyanga mwenyewe sw hpo hapo sipo sw😅😅
Jmn eps iliyoisha c kai na tasha walikua wanaenda kwa sania sasa imekuaje tena😮
Kwl mwaya ht mm sielew
Asanteni kwa kuniongezea chaka 😁kiota jungle 💥🏃🏃🏊
Weweeeeee bi zuu katinga kwa mganga ubaya ubwela
naomba mipango ya kend isitimie na alie sana na azurumiwe
Nakupenda sana bibi zuu kwn kuijali familia yako ❤❤❤❤
Hahahaha cand anahamu namganga 😂😂
Hawara unampenda hadi unakiona kivuli chake duuuh.....Batuli,sania,candy bibi hatawaacha salama kuweni makini
Wigi la candy kam mopu ya kupigia deki😅😅
😂😂😂
😂😂😂😂
Candy I like your style
Shangazi rahma anajua kujimaliza mwenyewe 😂😂
Leo nimewaho mapema naomba like zenu hapa tujuane
Masha Allah tabaraka Allah
Busati TV hamcheleweshe kazi ❤❤❤
Tuache masihara bwana Misezi chisa dada Rahma akee mzuri bwana uyu dada karangi kazuriii Mashallah 😂😂😂
Jaman na mm Leo nmewah😮😮
Yeye Tena bibi zuu 🎉🎉🎉 upingaje hap nimependa hyoo bibi zuu batuli batuli au somoy somoy kitakuramba kitu kizito San nakuonea huruma San ww wezio watakuja kutaa ww cend ww ten Kwa papa
Much love from Kenya ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
Nitafurahi Sana candy akikulwa na ngonde
Mm hii tamthilia nimeichoka kila siku visa vinajirudia
Mmmmh Ngonde we jitowe akili tu bb Zuu atakutiya akili we subiri
Napenda cendy sana❤❤❤❤ lakni balsa analo kwa bibi zuu
I see nyie hatari kweli 😂😂😂😂anyways much love from Kenya guys
Hongereni movie nzuri❤❤❤
Namungu amsaidie bibi zuu agundue mchezo mapema❤
Asante kendy kwa huo uwamuzi wa kumwambia papa ukweli 😂😂😂 hiyo tu ndio umefanya kitu cha maana tangu nianze na nyinyi
❤naipenda sana hii move tamu mweee
Kwel kabisa papa nitapeli kend
Fanya Kaz bib zuu nasubiria vilio vya watu candy ,Sonia,na batuli
Napenda sana Tasha na Kai wanapo shirikiaña
Na huyo mganga sialipewangwa onyo na bibi zuu😅😅
Ngooonde Kimamura ni nouma sana
Battle yaan bor ungemwambia Zurich matatz yak bas mama yako angepona ila kw candy hpn kwanz candy bahir kutoa pesa yak kump mtu uongo mtupu anawafanyisha kaz t hp
candy si mtu ana roho mbaya hanaga mkono wa kupana huyo batuli atajuta bora angemwambia Zuu amsaidie kumtibisha mama yake
Kweli candy kamkataa mamake
🎉🎉🎉jaman na mm leo nimewah 😊
Oya nyie wachawi me wa milioni Leo mbwa nyie😅😅
Umesamaje😂😂😂
@@SharonMokeira-ij7iq 😂
Nilijua tu bi zuu atatokezea kwa mganga amkomeshe,tusubiri aende na maji sasa
🎉🎉
Ww ndo langu jua gizani umenitoa bozen kaboga mmewangu😂😂😂😂😂😂
Hi
Kendi leo umejua kunifurahisha umemkomesha papaa wangapi wamepnda gonga like tujuane🎉
Bibi wa zuu tutakukubsli hsujawahi kutuangusha ❤❤❤
Yaani candy mabeer tuuuuuuu😢😢😢
Kweri kabisa atawasalir😊😊
Waooo