HOUSE GIRL EP 29 | S4 | LOVE STORY 💞💕

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 417

  • @ImamXheikh
    @ImamXheikh 21 годину тому +65

    Kama unaamini zuu atakuja kujua uongo waliotunga kilamba na kai kuhusu ajali ya kai gonga like,, from Kenya

  • @MapenziZuma-k7x
    @MapenziZuma-k7x 12 годин тому +59

    Wanaokubali Kai Hana msimamo nipeni like

    • @Aminah-r4s
      @Aminah-r4s 9 годин тому +1

      Kweli kabisaa 😢

    • @aishajuma7128
      @aishajuma7128 6 годин тому +1

      Yaan mpuuzi hajielewi yeye ndo anabore kwenye hii move

  • @LilianShikuku-te3jy
    @LilianShikuku-te3jy 7 годин тому +6

    Nani anangoja Chiko akifeli kwenye misheni ya kumuiba mtoto wa Zatitu🎉jameni naomba likes ❤🥰🥰

  • @Teresia-bg9dt
    @Teresia-bg9dt 21 годину тому +18

    From Kenya nimesubili hii movie mbaka Data zikaisha jamani nipewe like basi hata kaa ni 5 tafathari 🎉🎉

  • @ummymwanga5094
    @ummymwanga5094 11 годин тому +22

    Bora iishe tu hiii movie mtunzi kaiishiwa maarifa yn mnarud tn mlikotoka mmmh 😢 hainogi tn humu ndan watu wanaboa tu

    • @HalimaMuwanya
      @HalimaMuwanya 8 годин тому +1

      Kweli jmn kheee km wahind

    • @VEREDIANAMUMBA
      @VEREDIANAMUMBA 7 годин тому +1

      Kweli ni upuuzi tu

    • @MaryamMaryam-ru1qt
      @MaryamMaryam-ru1qt 7 годин тому +1

      Yni nilikuwa naependa hii movi lkn sasaiv sasaiv ni utopolo kwanza wanazd kuongeza watu, pili cha maana hakuna

  • @ElinahChama
    @ElinahChama 8 годин тому +7

    Jamani mbn Kai ananibowa atar ni kweli ni batazari😂😂😂😂😂

  • @MsafiriSarawanyema
    @MsafiriSarawanyema 21 годину тому +66

    Sasa huyo kai anakwenda kwa belina kufanya nini nawakati hawana mausiono eti anakwenda kumuacha rasmi kwani walikuwa wanapendana😂😂😂 mnatuvuruga

    • @AnsaB-j2m
      @AnsaB-j2m 21 годину тому +3

      Kwanza wa malize hii movi juu chiko na arimbu😂

    • @dorcenoah8890
      @dorcenoah8890 20 годин тому +2

      Ndo hapo sasa 😅

    • @neemakoi6635
      @neemakoi6635 20 годин тому +3

      Ansutaka uyoo muache aende anakera sana mtu amekufanyia hayo alafu unapea pesa za matumizi na bado unaenda uko tena

    • @ChantalGAKIZA
      @ChantalGAKIZA 20 годин тому +4

      Kai unakera!!!!!

    • @neemakoi6635
      @neemakoi6635 20 годин тому +1

      @@ChantalGAKIZA kaonjaasali ataka kuvunja stupa

  • @jasminemtavangu-n2e
    @jasminemtavangu-n2e 10 годин тому +9

    tunaomba movie iishe sasa imeanza kuboa khaaa!!!

  • @TatuBaya-jy8jl
    @TatuBaya-jy8jl 5 годин тому +2

    Afu Kai anaboa hana msimamo anapelekeshwa kaa gari bovu 😂😂😂😅kibendu utafungwa umeua 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤kazi nzuri hongereni

  • @AdijaRumonge
    @AdijaRumonge 2 години тому

    Yani iyi movie inawashinda wanakosa muelekeo 😂😂 wanao kubaliana na mimi like.

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 21 годину тому +7

    😂😂😂 kibendu nakuona unaelekea jera 😂😂😂 justice for keina freee kibendu

  • @RehemaKipanga-k4l
    @RehemaKipanga-k4l 5 годин тому +2

    Yaani hili kai limeshakuwa boya kwenye hii muvi anakera sana na umalaya wake mfyuuuuuuu

  • @MarimuDotto
    @MarimuDotto 11 годин тому +6

    Jamani saheel pumzika kwa amani 😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏 na pia poleni sana wazazi wa saheel😭😭😭🙏🙏🙏☕

  • @rosemasanja245
    @rosemasanja245 7 годин тому +1

    Keina na da masoz mbon hatuwaon jamn❤

  • @SheilaSiriya
    @SheilaSiriya 18 годин тому +8

    Kai! Kai! jikaange, alafu we Kilamba nikuone ukimpa ushauri tena

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 12 годин тому +4

    Kay! Wewe nikikulacho huna musimamo wowote unajifanya unampenda muke wako huku unacha nganywa nama Demu wanjee pole sana Zuu uyo mwanaume sisahihi kwako nimiyayusho

  • @JaphethShallo-m7c
    @JaphethShallo-m7c 22 години тому +17

    Wakwanza mm leo like kumi tyu 😂😂😂😂❤

  • @AnnaAman-k6u
    @AnnaAman-k6u 20 годин тому +6

    Yaani humu comment zoote ni za kurekebisha makosa ya movie nimepenta😂😂😂😂❤❤🤗🤗

  • @BertinaCatitiAdamu
    @BertinaCatitiAdamu 4 години тому +2

    Kwani malaika kaenda wapi jamni ndugu yake zuu aliekuwa anamtaka tasha

  • @JoinaKahwa
    @JoinaKahwa 2 години тому

    Ila pweza anaipambania damu yake jamani kibebdu kuwa muelewa basi 😢😢😢😢😢🎉🎉🎉🎉

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 6 годин тому

    Wana busati tv tuko pamoja mpaka mwisho wa house gel🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EstherStephano-o6e
    @EstherStephano-o6e 12 годин тому +8

    Jaman ukipata mwanume mjinga kama kai umeisha 🤣🤣🤣

    • @saidamwavuo9926
      @saidamwavuo9926 9 годин тому +1

      Mwanamume malaya huwa hawana musimamo niwaongo na hawajali family zao 😂😂😂😂

  • @NihifadhiAli
    @NihifadhiAli 13 годин тому +7

    Ww shani nazani humjui vizuri bibi zuu

  • @ValerianaKhiwili
    @ValerianaKhiwili 4 години тому

    Mjumbe hauwawi lakini sio na familia ya kend😂😂😂😂

  • @OlivierOlivierIsmail
    @OlivierOlivierIsmail 10 годин тому +1

    Jamani sisi mashabiki tunaomba final 😂😂😂😂😂

  • @شريفهسليمان-ق9ش
    @شريفهسليمان-ق9ش 7 годин тому

    😮😮😮😮😮😮😮Kibendu Ukale Ugali maharage hukoooo segerea

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 4 години тому

    Nice movie 🎥🎥

  • @AsaliRilo
    @AsaliRilo 7 годин тому

    😂😂😂😂😂chiko sasa hyo mdada ni mzrii kuliko zatiti ,tafta mwingne 😂😂😂

  • @AishaMasele
    @AishaMasele 2 години тому

    Sania kabadilka candy kakosewa ladhi masoz papaa mganga ngode chisa Tasha wamepotea movie ikaisha

  • @rozamarcelle1241
    @rozamarcelle1241 22 години тому +3

    Mimi wakwanza naombeni lake twende jamani eeeee Raha sana wanduguzetu munatupa vitu moto moto jamani eeeee Raha sana 🥀❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك 51 хвилина тому

    Kibendu ww. Unsleta zesheni 😂😂😂😂

  • @riziki8406
    @riziki8406 6 годин тому

    Batazali azengua kweli na kibendu mbona wajizima data ukisema candy ana babatajiri 😂😂😂 naomba chiku asifanikie kwa hilo inshallah

  • @FatumaMwinyimvua
    @FatumaMwinyimvua Годину тому

    Chiko Chiko acha roho mbayaaaaaa, unataka kumuiba mtoto wa zatiti weee😢

  • @NosimuJoramu
    @NosimuJoramu 19 годин тому +7

    Kai likukute jambo

  • @dalilaabdulkarim4458
    @dalilaabdulkarim4458 5 годин тому

    Kai mbona unamtesa zuu uwelewekiii huko kwa ndoa looh 😊

  • @ZZawadi-s5v
    @ZZawadi-s5v 13 годин тому +3

    Mmeanza kuharibu movie sasa unako elekea haina haja ya kuangalia tena kwa sababu haina mafunzo😢😢😢😢😢😢

  • @queensmum9518
    @queensmum9518 6 годин тому

    Kibendu naona jera inakuhusu😮😮😮😮

  • @Smart7-b5e
    @Smart7-b5e 19 годин тому +1

    Hongera sana ❤❤❤❤

  • @jobmoffat7844
    @jobmoffat7844 19 годин тому +3

    Hii movie imecompliketiwa sana mpaka hapa.
    Nasubiri miisho ambayo itaakisi title ya movie wenyewe.
    I hope mwisho hautakuwa mbovu.

  • @BintmohamedNasiri
    @BintmohamedNasiri 20 годин тому +6

    HIVI MNAJUA KAMA SAHEEL MTT WA ZUUU AMEFARIKI DUNIA 😢😢😢 INNALILLAHI WAINNAILAHY RAJJIUN MUNGU AMREHEMU MTT WETU AMLAZE MAHALA PEMA PALIPO NA WEMA PEPONI AMEEEN 🤲🤲

    • @Aisha-o4v
      @Aisha-o4v 20 годин тому

      Tunazo tokea hio jana usìku

    • @ChantalGAKIZA
      @ChantalGAKIZA 20 годин тому

      Ni kwel filamu😢😢😢😢

    • @Sameerramadhan-hq3gu
      @Sameerramadhan-hq3gu 19 годин тому

      Mmh kweli au move

    • @Aisha-o4v
      @Aisha-o4v 19 годин тому

      @@Sameerramadhan-hq3gu kweli alimwa gafla kwawale walio jiunga na ngrp la house girl kama mm wanazo tarifa

    • @Aisha-o4v
      @Aisha-o4v 19 годин тому

      @@ChantalGAKIZA dio

  • @paulinengeresa8649
    @paulinengeresa8649 11 годин тому +1

    Kai wewe wasambongo wanakuona😂😂😂😂😂

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 11 годин тому +2

    hii movie imalizeni 2 mana imeisha ladha kai halijielewi😏😏 chiko Anazidi kuaharbu kbsa

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 21 годину тому +6

    Huyo kai ndio anaeharibu hii movie sababu yeye alishasema belina alimbaka sasa yanini kwenda nyumbani kwa belina...

    • @HamsoTsuma-y5m
      @HamsoTsuma-y5m 19 годин тому

      Anachemka uyu

    • @MswakiMoha
      @MswakiMoha 6 годин тому

      Shida ni director ameshindwa kupangilia mambo yaende vizur nsio washaanza kuboa hawa

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 12 годин тому +2

    Belinaunaboa sana nakai anazingua sana muvi mnaihalibu sana

  • @Bestnakaya
    @Bestnakaya 21 годину тому +5

    Tupendane wapendwa wa kristo

  • @ZainabuKakozi
    @ZainabuKakozi 22 години тому +2

    Watu hamlali nilijua nimekuwa wa kwanza 😂😂 tunaoangalia tumelala tujuane😁🤣🤣

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 12 годин тому +1

    Kijiko😂😂

  • @asmaabdalla-v7f
    @asmaabdalla-v7f 13 годин тому +2

    Huu mchezo ushakua Haina ladha kai ana haribu hii movie kila siku makosa ayo ayo hariziki na mkewe

  • @RahimaHussein-v4p
    @RahimaHussein-v4p 6 годин тому

    Sqsa kai anaboa hana msimamo kabisa😢😢😢 naanza kuichukia hii move

  • @MariamKitsao-b6w
    @MariamKitsao-b6w 18 годин тому +1

    Kibendu umemuua baba bob male jela yakuita😅😅😅😅😅

  • @JULIETHGORWA
    @JULIETHGORWA 12 годин тому +1

    Kibendu hizo hasira😃 zako zitakupeleka pabaya

  • @chelahkenyah3596
    @chelahkenyah3596 7 годин тому

    Wanaokerwa na wana busat gonga like .

  • @SelemanMalandi
    @SelemanMalandi 7 годин тому

    Tasha hii move ilianza vizur sana, sasa huku mnakoelekea mnaharibu tuu mfanye muimalize, mtuletee muendelezo WA snake girl

  • @OmanBd-s7z
    @OmanBd-s7z Годину тому

    Huyu kai na chiko wanahalibu move saiv jaman kai kawa malaya 😢😢😢😢😊

  • @SasherKhamisi
    @SasherKhamisi 10 годин тому +1

    Tunaomben mpunguze matangazo jamn❤❤❤

  • @MagalieBeros
    @MagalieBeros 5 годин тому

    Kwan mjinga na kiatu kaa pweza mezan

  • @salmamakala4728
    @salmamakala4728 11 годин тому +1

    Jaman et apo😂kai na shani😂 hawajuan mmmh 😂😂😂akat walikutana hospital

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 9 годин тому

    Movie yenu mbaya kama vipi marizeni2😏😏😏😏😏😏😏😏

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 12 годин тому +1

    Mashallah ❤❤❤❤❤

  • @petronillalukhobi1775
    @petronillalukhobi1775 6 годин тому

    Kai anaharibu movie

  • @Ummyrahy6666
    @Ummyrahy6666 21 годину тому +2

    Tunaanglia ep29 tukiwa na huzuni kubwa ya bby saheel😢 Saheel we miss you 😢😢😢😢 pumzka kwa amani mtoto wetu kpenz
    Asante busati tv kwa ktultea hii anglau tunajfariji nayo

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 20 годин тому +1

    We Jordan umetoka jela salama,heri huachane n chiko ubadilike umuoe sania😅shooriyako ataolewa n sukari rooobo 😂😂😂😂we Kai nawe mjinga kweli,ati naenda kuachana nae rasmi kwani mlikua kwenye mahusiano😅

  • @KamekoChristine
    @KamekoChristine 21 годину тому +2

    Wa kwaza mimi leo nipeni like zangu

  • @ARCENIADAMIÃODAMIÃO
    @ARCENIADAMIÃODAMIÃO 22 години тому +1

    Wakwaza Mimi kutoka Moçambique ❤🎉

  • @AbduliRazake
    @AbduliRazake 3 години тому

    Jamani mbonaunakujakuaribu mnaongezawatuwengi adiutakujakuaribu movies

  • @Lucy-t7n
    @Lucy-t7n 19 годин тому +1

    Ila hawa wahuni simunanibamba😂😂😂😂 kibendu pweza amuke huyo asipo amuka jela inakuhusu kichaa wangu😂😂

  • @AliceLumiti-gm1qi
    @AliceLumiti-gm1qi 4 години тому

    Mr Kai umekuwa Malaya sasa,uko na zuu uku unaangaika na wanawake unataka doa yako kwel kai

  • @CarolineSaumu-ng3zk
    @CarolineSaumu-ng3zk 7 годин тому

    Huyu chiko na Kaiwanabow sana...

  • @LinaLina-uu5pw
    @LinaLina-uu5pw 15 хвилин тому

    Mm sielewi Kai mbona kaenda kwa belina na hapo alisema kuwa kabakwa,na chiko mbona hajasahau kuteswa kwa jera.

  • @Nassrah737
    @Nassrah737 22 години тому +1

    Watu mpo vizuri maninaa😂 ata dakika2 hazijafika mmejazana

  • @LissaMgoba
    @LissaMgoba 7 годин тому

    Hata sielewi sasa mnairudisha nyum visasi chiko bado tu mm nikifikiri chiko na Jordan baada yakutoka jera watakuwa wamejifunza lakini wapi Haya na yule bos Wa kai munamludisha wann haya kayi nae zamwamwa 😂😂😂😂uwiiiii

  • @FaustaGilba
    @FaustaGilba 20 хвилин тому

    jaman kai amekuwa bogaz mpak anakera kawa baltazari kweli😅

  • @SalomeBahati-f5n
    @SalomeBahati-f5n 10 годин тому

    Hii Movi imechoka😂😂😂😂

  • @SomyaS-q9t
    @SomyaS-q9t 9 годин тому

    Huyu Kai ananiboesha walai😢😢

  • @zeyanaAlley
    @zeyanaAlley 9 годин тому

    Fanyeni muimalize hiiii movei mutafte nyengnie

  • @FestusFilberthMuyoba
    @FestusFilberthMuyoba 4 години тому

    😂😂😂😂😂 kafatwa kuachwa rasmi bhn

  • @AbubakariMdeve
    @AbubakariMdeve 10 годин тому +1

    Jaman mmeishiwa ama 2mechoka mna2katisha tamaa kufuatilia bola muimalize 2

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 19 годин тому

    Kibedu kaka. Jela inakuita alafu ayi mambo unayoyafanya unaaibisha suti🎉 bii zuuu ❤❤❤ wew uko vzr kwenye nafas yako❤

  • @InnonciataInnocent
    @InnonciataInnocent 13 годин тому +1

    Mnalalamika sana lakin cha ajabu mnaiangalia 😂bongo sihami😂😂

    • @hanifahkhamiss8485
      @hanifahkhamiss8485 12 годин тому

      😂😂😂tunaangalia kwa mazoea tu kiukweli 😂

  • @JaneMhango-yl7xo
    @JaneMhango-yl7xo 21 годину тому +1

    Pweza kaonga Mali 😂😂😂

  • @Zeinabmea
    @Zeinabmea 20 годин тому +1

    Mmmh huyu Kai jaman 🤔🤔🤔

  • @ZuuAthman
    @ZuuAthman Годину тому

    Inalilah wainailaih rajiuna matatizo juu ya matatizo

  • @FaidaYoreki
    @FaidaYoreki 7 годин тому

    Jamani kai,wewe ndiye uli kua mfano bora ndani ya movie,kapatwa na nini,?si furahishwi na tabiya yako mbaya

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 19 годин тому +1

    Huyu chiko alifaa abaki jela na mwenzie,,,na wewe kai ni mpuuzi sana

  • @UmaziMdzomba
    @UmaziMdzomba 20 годин тому

    Congratulations for good work 👏

  • @aisha770
    @aisha770 21 годину тому +1

    Wa katikati leo😂😂😂❤❤

  • @amosmacompyuta1015
    @amosmacompyuta1015 22 години тому +3

    Na Leo nimekuwa wa kwanza

  • @evarlinecharo9066
    @evarlinecharo9066 10 годин тому

    Kai saii ata anaboo kwa kweli

  • @FatumaMgonda-d9k
    @FatumaMgonda-d9k 11 годин тому +5

    Jamani Nani anachukia matendo ya Kai kama Mimi!?

  • @SbsBts-g3v
    @SbsBts-g3v 19 годин тому +1

    Next plz 🎉🎉🎉🎉

  • @saniaabdi-qe7eb
    @saniaabdi-qe7eb 4 години тому +1

    Kai mchez unauharbu

  • @افااقع
    @افااقع 21 годину тому +2

    Huyu kai simuelewi kwakweli kwa belina anaenda kufanya nini eti naenda uachana na yeye rasmi kwani ulikua una mpenda karogwa sijui

  • @aishajuma7128
    @aishajuma7128 7 годин тому

    Kibendu naye akili zake na za kendi hamna tofauti

  • @AsaliRilo
    @AsaliRilo 7 годин тому

    Shemeji yake kibendu nila sku anazimia yeye😂😂😂 alafu mshenga na dogo mweny tishet nyekundu , sjaelewa ,mm

  • @Ellybeny
    @Ellybeny Годину тому

    Huyo nae mhun gan anakua na afya mgogoro

  • @MunaMuna-d4b
    @MunaMuna-d4b 12 годин тому

    😂😂😂😂ilamshenga kanikanifurahisha mavazi yake 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 7 годин тому

    Kai sio mwanamume mwenye kunielewa n mwenye kutoa maamuzi sahihi 😢yaani mtu yshamkosea zuu vyakutosha bado waenda kwa mchepuko mbaya zaidi n shmj yko😢 kibendu hujabadilika kaina uwakukanya Kila siku ila huskii hyo ddko aliyataka mwenyewe n sasa Nia yke n hyo nyumba kuiuza n utaenda jela 😢

  • @pilipilygaram7892
    @pilipilygaram7892 9 годин тому

    Km mumeishiwa mawazo ogeni muende mlale hakuna kitu mmefanya apa ni kuharibu mumeharibu

  • @AshuraKigoma-vf7wb
    @AshuraKigoma-vf7wb 22 години тому +3

    Wakwanza nipewe mau yangu jomon

  • @edinagidion5395
    @edinagidion5395 11 годин тому +1

    Kai ebu acha ujinga Basi ww ni mwanaume Tanya maamuzi ya kiume eti unaenda kumwacha berina kwani ulikuwa na mausiano nae mbna ueleweki au unataka tumwambie zuu ukweli au umemsahau bibi