the Christian power mbalikiwe sana na mchungaji wa msikiti wa makangalawe fundisha hao makafili wa kiislam wamjue yesu na mtume Paulo maana majini yamesha wamaliza sana wachungaji pigen injili waokoke hao waslam hareluyaaaaaaa
yani ukiitwa mkristo raha sana maana nisifa kubwa sana kuitwa mkristo mchunhaji wa msikiti was makangalawe pamoja na the Christian power mbalikiwe sana wafundishen hao makafiri wa kiislam waijue kwel waachane na majini yan yame wakaba mpaka wamekua vipofu haleluyaaaaaaaaa
Some times inabidi tu uachilie kicheko Ha😂ha😂ha😂ha🤣 haa 😂yani hapa Nivichekesho tuu alafu chakushangaza takbirr inapo semwa maskini Mabinti wadogo waso hatia na Wazizi wetu wakike wanajibu alawakbar na ilkhali wewe kiumbe cha Mwenyezi Mungu hueshimiki mbele ya wanaume wakisilamu yani mwanaume atakuheshimu wakati waroho mtakavitu anapo Mshukia, kwaufupi wanawake niwatumwa wa kiisilamu ,yani Smatfone inathamani kuliko mwanamke coz wako nazo hadi misikitini lakini wanawake wanatwengwa,Kisa eti Mwanamke ndicho chanzo cha shida yote duniani, ukiwambia ndio maana Bwana YESU alikufa msalabani ili kuuondoa na kuosha dhambi zetu zote hawataki kusikia.Ha😂ha😂ha😂 ha😂 yani waisilamu Mungu wenu nikama Mti alafu mti wenyewe amuumwagii maji nimkavu na mnautegemea ninyi wote ,naninavyo ona mimi mti umeshaanza kuegemea upande mmoja soon nd very soon In The MIGHTY NAME OF JESUS utaangu pwaa lakini kabla mti huo uanguke Dadazngu wakiisilamu Njooni kwa YESU kwa Maana yeye ni Pendo, apenda wote, wake kwa waume vijana kwa watoto yeye ni mwingi wa REHEMA na wala simbaguziiii.BWANA YESU APEWE SIFA MILELE NA MILELE AMINA.
Mchungaji wa musikiti wa makangarewe nakuombea mungu akuzidishie elimu zuri ya mungu kupitia vitabu viake vitakatifu pomoja na wote unao shirikiana nao the Christian power hufatilia kwa makini sana mdahalo wako kwa hakika ndungu kazi yenu nizuri inasimamisha miyo ya wengi kusimama na kristo yesu mbarikiwe sana.
Waislam kwa kweli kwenu Dini ni MILA tu maana Babu yako BBAB yako alikua Islam Mama hivyo hivyo nanyi munamua kutumbukia nanyi mumaemua kutmbukia hivyo ila ukweli munaujua wazi Uislam haufai ww unafikiria mtu alie na hisia za Mtume wenu kuowa Isha akiwa na umri wa miak 6 kwenye Carne hiyi nyote mungelifia JELA TU. IKIWA UONGO BASI MKWELI ALETE COMMENT
innalillahi wainna ileihi rajiun... kweli yesu aliposema mna macho lakini kuona hamuoni na mko na masikio lakini hamsikii. . yaani kwa ushahidi huo na maneno ya Paulo anayosema kwa kinywa chake bado tuu akili haijafungukaa
Namshukuru Mungu sana kunizaa katika njia ya kweli ya ukristo.Naomba Mungu uwaokoe ndugu zetu wa imani ya kiislamu wakujue wewe ndie Mungu wa kweli,Mungu usie na visasi.
Jofurey Epimaki toa andiko ktk qur an linalosema hii qur an imetokan na bibilia. mm ntabadili din n kuw mkristo. lkn ona kitabu chebu kun agano la kale na jipya, mmebadilishiw maandiko na paulo ili mpotee zaid. ulion wap vitabu vy Mungu vinatoka mar 2??
Ukiwa upande wa yesu siku zotee ushindi tuu uwa tunajiamini mnooo maana yesu alisema walipo wawili watatu kwa jina langu nami nimo Kati yao so apa yesu yupo ndio maana wakristo wanashinda kila siku
@@hanifaharet3739 utajua wp ww unazan yesu kama uyo kibaka wenu Mohammed alie minywa pangoni mpaka akajamba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yesu alikua na mitume wake 11 na wao wanajulikana kwenye bible
@@financialloan9818 aliminywa mpaka akajamba kisha wacheka,ww kiakilini mwako unafikiria utume na unabii waupata kiholela tu acha fikira potevu huyo umchekae bas ndo raisi wa manabii lkn wenzetu mushalishwa mikate mikavu sasa itakuwa ni vigumu kumuelewa na uwache dhihaki zako
Waislam mwatafsiri biblia msiyo ijua someni isaya 1:18 wabaya hubadilika ndo maana paulo kabadilika baada ya kuwatesa watakatifi yaani wakristo c waislamu. Waislamu c watakatifu.hats we we nikama Paulo kashifu watakatifu na Sikh moja Mungu atakubadilisha kama Paulo .Mungu wetu c was maneno mengi Bali matendo mema
Hivi hawa wakristu hata kitabu chao hawakijuwi wamekaliya kutamka kula nguruwe kitabu chao kinakataza hata kusogeleya nguruwe lakini wamekaliya kusema nguruwe nihalali kweli hawa watu niwa ajabu
Mche mwenyezi Mungu hiyo quraan yako haitokupeleka popote sababu imeandikwa kwa mikono ya wanadamu! Baba yetu wa imani Ibrahim hakuwa na kitabu chochote na alimcha Mungu kuliko wanafiki mnaojiita waumini mliopo leo duniani!!!halafu cha kusikitiaha zaidi ni kuwa dini yenu ililetwa na mtume ambaye hata hakusoma na matendo yake hayakuwa ya kinabii hata kidogo....mtaaminije masimulizi ya mdomoni????alikufa kabla kitabu chenu hakijaandikwa!walibakia watu waliohifadhi tu juzuu..Paulo anamzidi muhammad kwakila kitu kuanzia tabia njema mpaka uchamungu mpaka miujiza na upako aliokuja nao na ishara za maajabu toka mbinguni...mtume hakuombea hata mtu mafua akapona!!!
Changia mada sio mambo ya kuruwe ayo ayasaidii nyinyi waislam mnamkataa Paul wkt uyo Mohammed kazaliwa kakuta Paul kashafanya kazi yake na kashakufa sasa nyinyi waislam iyo dini mmeitoa wp
Halafu waislam msipobadilika mnaongia motoni kwa ujinga wenu kabisa . Kwa sababu injili ya kweli mnaisikia lakini mnakomaa tu gizani , Hivi kwanini video mmeikata ili waislam wasipate majibu ?
sheikh acha uongo kuuliza nani kampa paulo utume type paulo in quran ktk google itakusaidia kusearch uone quran ina mpasifa zote paulo halafu wewe unabishana na quran basi wewe ndo kafir au una mpinga mtume wako au unaendeleza uongo wa quran ie taqqiya
Tatizo wakristo tatizo lao hwasomi kitabu chao chote ndo tatizoo,yaani ,wametekwa tü kiakili,atachosema kiongoz wao baş hapo hapo wanatazama wala hawana mda wa kuchambua na kutafakar kitabu chote.
Kılıç Özgür kitabu chenyewe hakihifaziki unazani watakuwa na moyo wa kukisoma kweli,toka karne zote zilizopita mwaka 2016 eti mtu mmoja ndiyo kaanza kuhifazi bibi lia,mpaka sasa sijui atakuwa kahifadhi kurasa ngapi
Nafurahi kwa kujua hilo neno la mungu halihifadhiki lote kichwani kama vitabu vya hadithi vilivyoandikwa na waandishi duniani moja yapo quran asante kwa kujua hilo
Poulo awa vuta watu ili kumkufurisha mungu tena nimjumbe wa shetani moto una wangoja nyinyi na baulo wenu mungu ataamwabia Malaika tukuweni hawa taka taka ingiseni jahanam
Alhamdulillah kwa kuwa muislam.
Wakristo mpo juuu!
Ma shaa allah Sheikh Said Kinyogoli hakika wewe ni kiboko
mikafiri haina akili wallahy shukran Akasha jazakallah kheyr
Wewe ni kafiri mkubwa mno duniani yuda 1:4
aka akaashaa daawah naomba mdahalo wa asili ya ukiristo na ibada zake
Takbir Allahu akbarr
masha Allah ustazi saidi fundisha hawa
Sheikh Said kinyogoli umemaliza mambo. Maana unafundisha na asiyefahamu basi duh....
the Christian power mbalikiwe sana na mchungaji wa msikiti wa makangalawe fundisha hao makafili wa kiislam wamjue yesu na mtume Paulo maana majini yamesha wamaliza sana wachungaji pigen injili waokoke hao waslam hareluyaaaaaaa
😂 😂 😂 😂 Wewe ndo kafili usie jijua na usio ijua dini ya kweli ni hipi wakristo wote ni wapagan na nimakiafili u kubali ukatae
yani ukiitwa mkristo raha sana maana nisifa kubwa sana kuitwa mkristo mchunhaji wa msikiti was makangalawe pamoja na the Christian power mbalikiwe sana wafundishen hao makafiri wa kiislam waijue kwel waachane na majini yan yame wakaba mpaka wamekua vipofu haleluyaaaaaaaaa
Jina mmepewa na wapagani hlo
Some times inabidi tu uachilie kicheko Ha😂ha😂ha😂ha🤣 haa 😂yani hapa Nivichekesho tuu alafu chakushangaza takbirr inapo semwa maskini Mabinti wadogo waso hatia na Wazizi wetu wakike wanajibu alawakbar na ilkhali wewe kiumbe cha Mwenyezi Mungu hueshimiki mbele ya wanaume wakisilamu yani mwanaume atakuheshimu wakati waroho mtakavitu anapo Mshukia, kwaufupi wanawake niwatumwa wa kiisilamu ,yani Smatfone inathamani kuliko mwanamke coz wako nazo hadi misikitini lakini wanawake wanatwengwa,Kisa eti Mwanamke ndicho chanzo cha shida yote duniani, ukiwambia ndio maana Bwana YESU alikufa msalabani ili kuuondoa na kuosha dhambi zetu zote hawataki kusikia.Ha😂ha😂ha😂 ha😂 yani waisilamu Mungu wenu nikama Mti alafu mti wenyewe amuumwagii maji nimkavu na mnautegemea ninyi wote ,naninavyo ona mimi mti umeshaanza kuegemea upande mmoja soon nd very soon In The MIGHTY NAME OF JESUS utaangu pwaa lakini kabla mti huo uanguke Dadazngu wakiisilamu Njooni kwa YESU kwa Maana yeye ni Pendo, apenda wote, wake kwa waume vijana kwa watoto yeye ni mwingi wa REHEMA na wala simbaguziiii.BWANA YESU APEWE SIFA MILELE NA MILELE AMINA.
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👌👌👌👌yesu ndo njia watake wasitake
Kuna ujumbe mzuri sana kuusu utume wa Paulo
Shekh kinyogoli fundi wa dini
muhadhara mzuri
innalilahi wainailaihi rajiun
Kijitu Mlikimo mwenye SURA YA NGEDERE.
Waislamu hawajuagi maandiko kaz yao ubishi tu,
Some segments in the video are stamped not adjacent to each other
Mchungaji wa musikiti wa makangarewe nakuombea mungu akuzidishie elimu zuri ya mungu kupitia vitabu viake vitakatifu pomoja na wote unao shirikiana nao the Christian power hufatilia kwa makini sana mdahalo wako kwa hakika ndungu kazi yenu nizuri inasimamisha miyo ya wengi kusimama na kristo yesu mbarikiwe sana.
kwani Waisalm kweli hata aibu hamna ukweli uko wazi sana ila bado muna papasa papasa
Waislam kwa kweli kwenu Dini ni MILA tu maana Babu yako BBAB yako alikua Islam Mama hivyo hivyo nanyi munamua kutumbukia nanyi mumaemua kutmbukia hivyo ila ukweli munaujua wazi Uislam haufai ww unafikiria mtu alie na hisia za Mtume wenu
kuowa Isha akiwa na umri wa miak 6 kwenye Carne hiyi nyote mungelifia JELA TU. IKIWA UONGO BASI MKWELI ALETE COMMENT
JT4Gamez nyie je dini ynu kakupeni nani?
@@Actioins hata ww kabla hujabatizwa ulikuwa ni muislam
umepotoka akili unayelinganisha bibilia na Quran Kwani uislam ulikuja mwaka wa mia sita na kumi wakati wakristo walikuwa wakiamudu kitaaaambo
Una andiko lolot km ukristo n dini ya mungu
Wapagan ndo wamewaita nyny wakristo
Kitabu cha mungu kinakua na upuuzi kwa huu
Yeremia 4:10
Isaya 7:20
Methali 6:26
Bila shaka Yesu ni MUNGU na Paul ni mtume wake
ngugi gitau tena weye uko nashaka sana NGUGI soma tena mzuri biblia utazingatiya vema paulo ni mtume wa shetani
innalillahi wainna ileihi rajiun... kweli yesu aliposema mna macho lakini kuona hamuoni na mko na masikio lakini hamsikii. . yaani kwa ushahidi huo na maneno ya Paulo anayosema kwa kinywa chake bado tuu akili haijafungukaa
yesu nakupenda sana
@@ummuabdillahi6381 soma wagalatia 1 moja
sasa paulo kapewa utume na mtume mwenzie yesu hii haingii akilini hata Kwa mrevi
Soma biblia vzr
Nayoo haiwezi kuingia akilini mwako kweli kwa sababu umependa gizah
Ndo mana hamuelewi kwa sababu ya kudanganywa kuwa Yesu ni mtume tu. Yaani Quraan imewapoteza kabisa
Kweli uislam ni falsafa tu Wala hamna dini apo kwa sababu hamna roho mtakatifu ,hamuwezi kuelewa ukristo mpaka wale wateule tu
Namxhukulu mungu kuzaliwa ktk uisilamu mana uku upande wa pili mtihani jamani
MmHg pole sana uyo Mohammed kakuta manabii wote wamekufa ata awajui yy utume kautoa wp?
Namshukuru Mungu sana kunizaa katika njia ya kweli ya ukristo.Naomba Mungu uwaokoe ndugu zetu wa imani ya kiislamu wakujue wewe ndie Mungu wa kweli,Mungu usie na visasi.
Unawaonya wakiristo wasipandishe jukwaani wanawake kwa kutumia mafundisho ya Paulo unaye mkataa wakrnto 14:34 huu ni upunguwani
Nyie waslam mbon akili zenu kam watot kwaxab qoran xo maneno ya MUNG ni nukuu ya maneno ya kweny biblia samo nemiya sula ya 5
Jofurey Epimaki toa andiko ktk qur an linalosema hii qur an imetokan na bibilia. mm ntabadili din n kuw mkristo. lkn ona kitabu chebu kun agano la kale na jipya, mmebadilishiw maandiko na paulo ili mpotee zaid. ulion wap vitabu vy Mungu vinatoka mar 2??
Ivii nyie wakristo mbna akili zenu zimeganda.. Yaani mayakataa hata maandiko ya biblia kua Ngurue ni haramu kuliwa..
Ukiwa upande wa yesu siku zotee ushindi tuu uwa tunajiamini mnooo maana yesu alisema walipo wawili watatu kwa jina langu nami nimo Kati yao so apa yesu yupo ndio maana wakristo wanashinda kila siku
Wewe baki na kristo wako na wale walio waletea kristo wana silimu makundi kwa makundi wewe bakia hapo hapo kwa kristo wako
Yesu kamtokea kamtuma kwa mataifa Paulo ni mtume
Alfred Jungo kwani yesu ni Mungu??Mungu ndie anaechagua mitume na manabii
@@hanifaharet3739 utajua wp ww unazan yesu kama uyo kibaka wenu Mohammed alie minywa pangoni mpaka akajamba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yesu alikua na mitume wake 11 na wao wanajulikana kwenye bible
@@financialloan9818 aliminywa mpaka akajamba kisha wacheka,ww kiakilini mwako unafikiria utume na unabii waupata kiholela tu acha fikira potevu huyo umchekae bas ndo raisi wa manabii lkn wenzetu mushalishwa mikate mikavu sasa itakuwa ni vigumu kumuelewa na uwache dhihaki zako
ameeni kutoka kenya waislamu ni kondoo zilizopotea
tatizo la wakristo nini? bibilia inakataza mwanamke kusimama mbele ya wanaume lakini sjui wanafuata kitabu gani? au wansoma magazeti ya catholic italy
Waislam mwatafsiri biblia msiyo ijua someni isaya 1:18 wabaya hubadilika ndo maana paulo kabadilika baada ya kuwatesa watakatifi yaani wakristo c waislamu. Waislamu c watakatifu.hats we we nikama Paulo kashifu watakatifu na Sikh moja Mungu atakubadilisha kama Paulo .Mungu wetu c was maneno mengi Bali matendo mema
Mungu wenu hyo ndo Yesu!, Mchungaji ankwambia kabisa Yesu ni mungu n Paulo ndio mtume wake!!!
Mtume katumwa na mtume
imani ya makfili bhana ipo siku mutajuta
Hivi hawa wakristu hata kitabu chao hawakijuwi wamekaliya kutamka kula nguruwe kitabu chao kinakataza hata kusogeleya nguruwe lakini wamekaliya kusema nguruwe nihalali kweli hawa watu niwa ajabu
Mche mwenyezi Mungu hiyo quraan yako haitokupeleka popote sababu imeandikwa kwa mikono ya wanadamu! Baba yetu wa imani Ibrahim hakuwa na kitabu chochote na alimcha Mungu kuliko wanafiki mnaojiita waumini mliopo leo duniani!!!halafu cha kusikitiaha zaidi ni kuwa dini yenu ililetwa na mtume ambaye hata hakusoma na matendo yake hayakuwa ya kinabii hata kidogo....mtaaminije masimulizi ya mdomoni????alikufa kabla kitabu chenu hakijaandikwa!walibakia watu waliohifadhi tu juzuu..Paulo anamzidi muhammad kwakila kitu kuanzia tabia njema mpaka uchamungu mpaka miujiza na upako aliokuja nao na ishara za maajabu toka mbinguni...mtume hakuombea hata mtu mafua akapona!!!
Changia mada sio mambo ya kuruwe ayo ayasaidii nyinyi waislam mnamkataa Paul wkt uyo Mohammed kazaliwa kakuta Paul kashafanya kazi yake na kashakufa sasa nyinyi waislam iyo dini mmeitoa wp
Biblia imekataza kula nguruwe iweje mule nyie vichwa vibovu ndo mana akilini zenu zinakuwa km nguruwe
@@dullyvidully7798 kwan waislam awali nguruw?bible imekataza kula sungura na ngamia vp nyinyi amli izo nyama?Kuna samaki wengi wamekataza Kwenye bible mbona nyinyi mnakula?
Ngamia cyo haram wew
Daudi n ibrahim wamefug ngamia hawakufug nguruwe
Yohan kavaa mpk singa ya ngamia kiunoni huku anambatiza yesu
Yesu ni bwana
ndio nimetambua jinsi Paul alivomtume kweli kweli kataa upotee
Amulele shivachi ww ulokubali nd umepotea xx
Sasa waislam mnamkataa Paul kvp wkt Mohammed kawakuta aho manabii woteeee Yan kama leo uzae mtoto amkatae nyerere kama akua rais😂😂😂😂😂
We hujawah kuon baba mlevi af mwana n muumin mzur ty wa dini
@@twaariqahmad7249 apo unamaanisha nn kwa mfano
Hhhhhh Leo nimeamua kuacha ukiristo
0706276143 0706276143 hongera kw kuutambua ukweli
😂😂😂😂😂
Keisha habari yako
Shetan anakuita hukohuko islam
Halafu waislam msipobadilika mnaongia motoni kwa ujinga wenu kabisa . Kwa sababu injili ya kweli mnaisikia lakini mnakomaa tu gizani ,
Hivi kwanini video mmeikata ili waislam wasipate majibu ?
sheikh acha uongo kuuliza nani kampa paulo utume type paulo in quran ktk google itakusaidia kusearch uone quran ina mpasifa zote paulo halafu wewe unabishana na quran basi wewe ndo kafir au una mpinga mtume wako au unaendeleza uongo wa quran ie taqqiya
Tatizo wakristo tatizo lao hwasomi kitabu chao chote ndo tatizoo,yaani ,wametekwa tü kiakili,atachosema kiongoz wao baş hapo hapo wanatazama wala hawana mda wa kuchambua na kutafakar kitabu chote.
Kılıç Özgür kitabu chenyewe hakihifaziki unazani watakuwa na moyo wa kukisoma kweli,toka karne zote zilizopita mwaka 2016 eti mtu mmoja ndiyo kaanza kuhifazi bibi lia,mpaka sasa sijui atakuwa kahifadhi kurasa ngapi
Nafurahi kwa kujua hilo neno la mungu halihifadhiki lote kichwani kama vitabu vya hadithi vilivyoandikwa na waandishi duniani moja yapo quran asante kwa kujua hilo
@@mwambiretv165 , nanikakwambia Qur'an ni kitabu Cha hadithi, wadhani ni biblia inay badilishwa Kila siku
Eti sauli akawa petro,huyu jamaa ni muongo sana..Wakristo badilikeni muijue haki ya kweli.
Poulo awa vuta watu ili kumkufurisha mungu tena nimjumbe wa shetani moto una wangoja nyinyi na baulo wenu mungu ataamwabia Malaika tukuweni hawa taka taka ingiseni jahanam
Paulo mwenyewe anajua yy ataingia motoni ndiyo awavute na nyinyi asiingie peke yake motoni na shetani wenu
Yeso kamkata Paulo nyinyi wakristo akili zenu doogo sana
Some segments in the video are stamped not adjacent to each other
umepotoka akili unayelinganisha bibilia na Quran Kwani uislam ulikuja mwaka wa mia sita na kumi wakati wakristo walikuwa wakiamudu kitaaaambo
uislamu umeanza toka adamu