NGONDO Sehemu ya Tatu (3) Final

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Filamu hii inasimulia maisha ya mzee anaejulikana kwa jina la Mzee MBINGA,ni mzee mwenye misimamo katika maamuzi yake,kijana Dondora anaingia katika 18 za mzee huyo baada ya kutaka kumjaribu kwa kumuacha mkewe hatima yake anatambua kwamba mzee hataniwi...!!! Endelea kufuatilia Mkasa huu wa NGONDO
    MAONI/MATANGAZO Tupigie
    +255769000762
    +255763308787

КОМЕНТАРІ • 308

  • @daimafikra7045
    @daimafikra7045 Рік тому +111

    Leo jamani na miye ni wakwanza naombeni like zenu angalau 10 tu!

  • @williammachumu724
    @williammachumu724 Рік тому +61

    kazi nzuri sana kaka madebe lidai. samahani kaka kwa hili, nilikuwa naushauri kidogo kama hutojari-:
    1. ni kuhusu kukaa muda mrefu kidogo bila ya kuachia kazi baada ya kutoa kazi, sisi mashabiki wako tunapenda uachie kazi mfurulizo.
    2. baada au mwisho wa kila kazi unayo toa, tungependa uwe unaposti nyimbo zilizo tumika katika kazi iyo. kwani nyimbo hizo huwa zinatugusa sana, tunatamani tuwe nazo kwa ajiri ya kuwa tunasikiliza.
    samahani kwa ushauri huu, pia nakutakia majukumu mema.

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 Рік тому +2

      Mbn nyimbo imepostiwa kabla hata haijaa hii movie

    • @mokiwasaid6871
      @mokiwasaid6871 Рік тому +4

      Hili sio tatizo nais anatumia muda mrefu kuandaa story nzuli kama hizi alizotoa apa mwanzo hakulupuki na kutoa tuu filamu zinahitaji maandalizi yakutosha

    • @niyonkururamadhan3283
      @niyonkururamadhan3283 Рік тому +1

      Namkubali

    • @sajadyhusseni7067
      @sajadyhusseni7067 Рік тому

      good work madebe lidai, keep it up

  • @nsengumuremyisylvester4950
    @nsengumuremyisylvester4950 Рік тому +10

    ahsante mzee mbinga kuonyesha wakati maalumu wa kutoa talakaaa.ume elimisha vya kutosha baba.

  • @official_kingnabiryOg
    @official_kingnabiryOg Рік тому +25

    Madebe lidai sio Siri wewe Ni mkal Sana watu wanatamani ingrkuwa season ndefu 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @edgartz3367
    @edgartz3367 Рік тому +10

    Nimechelewa lakini so Sana nombeni like za madebe apa

    • @abbasabdallah9052
      @abbasabdallah9052 2 місяці тому

      napenda sana kaz za madebe anafanya vizur kwakweli

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 Рік тому +10

    Mashallah izi ndio kazi una angalia unajifunza sauti zko vzury madebe na group yke yote ongereni

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 Рік тому +19

    Kumuelewa madebe inahitaji akili ya ziada big up broo mola abariki kazi ya mikono yako

  • @nalisimai1670
    @nalisimai1670 Рік тому +7

    Kati ya sehemu ya kwanza mpk hii ya tatu ipi nzuri zaidi

  • @edwinjohn6334
    @edwinjohn6334 Рік тому +5

    Sija chelewa sana jamani nime kuwa wa kumi like zenu hapa 🔥

  • @harithkisauji7298
    @harithkisauji7298 Рік тому +3

    Mwalimu mzuri sana kwa jamii🙏🏻Asante Madebe Lidai MUNGU azidi kukuweka tuzidi kufurahia uwepo wako 🙏🏻🙏🏻🙏🏻💝

  • @assalamtv8820
    @assalamtv8820 Рік тому +7

    hakika madebe anakuwe zaid ya star wewe kweli ni Nabii kwa kiswahili nimekielewa , kila nikila chakula chako Utamu haumaliziki hongera sana broo One love.....

  • @sinjetz9704
    @sinjetz9704 Рік тому +16

    NISEME TU UKWERI NAKUESHIMU SANA MADEBE RIDAI KWA KAZI ZAKO SIWEZI FICHA HISIA ZANGU

  • @BensonMwanyawa-fx9pk
    @BensonMwanyawa-fx9pk Рік тому +1

    Mwisho wa mawazo Benson kutoka Kenya nakukubali sanaaa Tena zaidi ndugu madebe mungu akupe maisha marefu uendeleee kutuelimisha

  • @razackmuna5785
    @razackmuna5785 Рік тому +1

    madebee we jamaa unajua xn hongera xn mungu kakujaalia kipaji kikubwa xn we n nuru y sanaa yetu ap tanzania km watu awajui inabid tukutunze xn serikali yetu inabid ikutunze sanaa ch kukushauli naomba sana uumtunze huyu dogo anae imba nyimbo zako yuko vzr xn anatoa nyimbo inayoendanaa n movie halisi 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @swaswamedia0809
    @swaswamedia0809 Рік тому +5

    Kazi nzuri sana
    Hakika mwenyezi Mungu azibariki kazi za mikono yako kaka 🙏🙏🙏🙏

  • @roverjumeromar8056
    @roverjumeromar8056 Рік тому +3

    Mi napenda filamu za uhalisia na utamaduni ndio zinaz nifunza sio majumba makubwa n mahotel ya kuiga kwak bro big up👍👍💕💥

  • @mchambikisupi9204
    @mchambikisupi9204 Рік тому +4

    I wish to sea this movie at Netflix
    It's a big movie bigup MADEBE

  • @binamubinamu1151
    @binamubinamu1151 Рік тому +4

    Mashllah hongereni sana hii move ya moto kweli naikubali mnoo

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 Рік тому +12

    Madebe king of swahili 🔥🔥

  • @paulkambulo6435
    @paulkambulo6435 Рік тому +3

    nice one blood bro kambulo Paul from south Africa

  • @College254
    @College254 Рік тому +3

    Madebe lidai ww ni noma xan mungu akupe maish marefu

  • @nadhiruomar699
    @nadhiruomar699 Рік тому +1

    Mzee madebe uko sawa lakin mm sangine hunifurahishi Kwa sababu humalizi episode zako kama Ile ya mkwaju nakupenda sana

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 Рік тому +3

    Hadithi nzuri sana , Hongera Madebe Lidai na LP Media wotee ... Kazi Inaongea

  • @zuu9022
    @zuu9022 Рік тому +1

    Iv ndio tumeelewa kua imeisha.. maupendo daima Kwa kazi nzuri

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 9 місяців тому

    Mia fil mia Madebe...Wafunze kiswahili vilivyo...Watching from Qatar Doha🇧🇭

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics Рік тому +4

    Kazi mzuri sana MADEBE LIDAI pongezi yako.

  • @benidictsimbuka4676
    @benidictsimbuka4676 Рік тому

    Hakika nimejifunza kitu juu ya hii filamu madebe mungu akubariki Sana na akutie nguvu zaidi uendelee kutupa mafunzo kupitia Sanaa yako mana kazi ya msanii ni kuelimisha jamii kwakupitia Sanaa umedhihirisha kwamba wewe ni Bora katika kutuelimisha kupitia Sanaa yako hasa Sisi tuliopo kwenye ndoa

  • @winfridamapunda-wd7le
    @winfridamapunda-wd7le Рік тому +1

    Asante kwa team zima ya madebe nimejifunza kitu 🙏

  • @Leonarnk3
    @Leonarnk3 Рік тому +2

    Asante sana Mwalimu Lidai...

  • @del-mohaa7527
    @del-mohaa7527 Рік тому +5

    @madebe lidai kusema ukweli ww ni mfano mzuri sanaa katika hii dunia ya sasa na ndio maana waigizaji wengine wanakupiga vita wale wanaofunza maisha yakuiga wabeberu wala sio culture yetu ya kiafrica pamoja na dini yetu asante nakupongeza sanaa ndugu nimejifunza na naendelea kujifunza kwako mengi zaidi ya hii dunia

  • @arashjeshi2646
    @arashjeshi2646 Рік тому +2

    Nipeni like zangu wadau

  • @shukuranimasudi5946
    @shukuranimasudi5946 Рік тому +1

    Yaani nimechelewa kweli ila tupo pamoja kazi nzuri madebe

  • @wahidamwanathumu5976
    @wahidamwanathumu5976 Рік тому +1

    Mashallah yaani napata mafunzo mengi kupitia kwako Allah akuzidishie

  • @khalidzayan-zh3bd
    @khalidzayan-zh3bd Рік тому +4

    wakwanzaa Leo💥💥💥💥💥💥

  • @ummiramadhan5144
    @ummiramadhan5144 Рік тому +8

    Mziki mzuri 🔥🔥🔥

  • @georgefabian-bx6su
    @georgefabian-bx6su Рік тому +2

    Madebe lidai
    Mimi kwaupande wangu nakuchagua wewe kuwa muigizaji nambali moja Tanzania bara na visiwani
    Na wapenzi wa filamu wataliona Hill wakiwa wamechelewa sana kupata radha halls ya filamu zako
    Ila kwasasa walio wengi wanakuchulia poa

  • @fadhilinassro6638
    @fadhilinassro6638 Рік тому +2

    Daàà madebe unakitu adimu Sana mungu akuweke daima

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 Рік тому

    Nimejifunza mengi sana katika movie hii Asante sana madebe kazi iendelee kwa mazuri yajayo💓💓💓💓💓💗

  • @shafizzomanyota
    @shafizzomanyota Рік тому

    Masha allah, masha alla, masha alla..yajayo yanafurahisha kila kazi inayotoka inakua nzuri zaidi . munu azidi kuwabaliki muwe n afya njema madebe pamoja na timu yako kw ujumla mzidi kutoa burudani yenye elimu ya kutosha

  • @githongagenesisgithonga
    @githongagenesisgithonga Рік тому +1

    Jameni hyu mandepe ako sahihi kibasi na filamu zake zilizo nzuri na mtungo uliyo sawa na zipenda sana.

  • @jamesjameswisdomtz1577
    @jamesjameswisdomtz1577 Рік тому +8

    Madebe never disappoint 🙏💯

  • @Ummykassimtz
    @Ummykassimtz Рік тому +1

    Asante sana madebe kazi nzur tuna omba nyingine

  • @banzamukalay5396
    @banzamukalay5396 Рік тому

    I'm the first one in the USA 🇺🇸 to watch ,I need your like 👍

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 Рік тому

    Wewe sio mwigizaji bali mwalimu
    Asanteeeeé Madebe LIDAI 🎉🎉🎉

  • @mohammedcutstv700
    @mohammedcutstv700 Рік тому +3

    😃😃 KIKENI 😃😃🙌 MWENYEKITI SIO MIMI

  • @DirectorCodeBrand
    @DirectorCodeBrand Рік тому +5

    😂😂😂 umebakwa matakwa yako 🙌🙌🙌

  • @samuelpandege-jj8tb
    @samuelpandege-jj8tb Рік тому +3

    Sasa huyo ataitwaje govi 😂😂😂

  • @lailalaila8206
    @lailalaila8206 Рік тому

    Madebe nakupenda sana kwa kaz mzuri sana nimefurah kuwa na msimamo wako wazaz wengi wajifunde raha sana sio kumrazimisha mtto arud kwa mume wakanti kamuacha

  • @geniusjinix6691
    @geniusjinix6691 Рік тому

    Madebe huwa unafanya niipende bongo movie keep moving bruh unajua sana God bless u utakua bora ya hapo ulipo na utafika mbali zaidi ya hapo inshallah 🙏🏿

  • @NgasaniTV5425
    @NgasaniTV5425 Рік тому +1

    Noma sana ,kazi nzuri sana, daaa aise;;;

  • @amostsuma8131
    @amostsuma8131 Рік тому

    Kazi nzuri madebe filamu zako wazifanyia vijijini sio kwenye nyumba za kifahari 👍

  • @munirajackson2695
    @munirajackson2695 Рік тому +1

    SoMo zuri sana madebe,eda mke hukaa Kwa mumewe..

  • @aloycebaraka2250
    @aloycebaraka2250 Рік тому +1

    Movie kali sana...
    Ongeraa sana madebe inamaudhui yakushiba saana...💪

  • @thegunnerzjulius1206
    @thegunnerzjulius1206 Рік тому

    Hii kazi imekuwa nzurii zaidii hongereni kwa nyote mlohusikaa kutoka Kenya nimefurahi sanaaa

  • @milliardere9177
    @milliardere9177 Рік тому +2

    Like mnazipelek wapi nipe basi

  • @AaAa-tb2zw
    @AaAa-tb2zw Рік тому +1

    Shukrani sana Mr. Madebe..nmejifunza mengii...💕💕💕🥰🤣

  • @Dagreattimz
    @Dagreattimz Рік тому +5

    Tunaisumbiri mkuu

  • @rahuumkiwendu9582
    @rahuumkiwendu9582 Рік тому +2

    Mjomba jaman kucheza anataka ila anaogopa dada ake

  • @kidawakambi2536
    @kidawakambi2536 Рік тому

    Nimecheka mpaka nimecheka tena kidufu pambe baba kama baba nimependa kazi yako 🔥🔥🔥

  • @jccjjxjc3705
    @jccjjxjc3705 Рік тому +1

    asante sana kaka wee kibokoyaoo hata iwejee✌️✌️

  • @africanlumititvke
    @africanlumititvke Рік тому +2

    Mimi wangapi Ila nipeni za kwangu nitamshukuruni Sana.

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 Рік тому +2

    Yani ngondo filamu kali

  • @eliaskwemoi8862
    @eliaskwemoi8862 Рік тому +1

    Kazi safa, madebe Asante

  • @donmonda7150
    @donmonda7150 Рік тому

    Madebe one of the finest gem. Kazi nzuri kaka sisi tulipo 254. Tunakupokea vizuri

  • @arashjeshi2646
    @arashjeshi2646 Рік тому +3

    Safi mkuu

  • @Cambarada
    @Cambarada Рік тому +3

    Anamaanisha barabara zilizonyooka haziwez kutoa madereva walio makini

  • @simbakasimila-9336
    @simbakasimila-9336 Рік тому +2

    Nimejifunza k2 leo wafundishe nawenzio watupe elimu kama hizi......

  • @samuelniyongabire6969
    @samuelniyongabire6969 Рік тому +4

    Ata mimi maisubili kwahamu

  • @wardahrajabu8710
    @wardahrajabu8710 Рік тому +1

    Fupi afu tamu daaahhh👌🔥🔥🔥🔥🔥 hongera kaka

  • @enockmwilongo5771
    @enockmwilongo5771 Рік тому +1

    Madebe your so genius brother unajua sana

  • @alimahmud1228
    @alimahmud1228 Рік тому +1

    Brother uko vizuri sana mashallah

  • @da45king
    @da45king Рік тому +1

    Safi sana, simple na imeeleweka vyema.

  • @mushi6879
    @mushi6879 Рік тому

    Nimeienda sana hii filamu maana inamwongozo kinyama na kutoa darasa

  • @hbsolo5579
    @hbsolo5579 Рік тому

    Unatuwakillisha vizuri sana Allah awazidishie rizk hikma na mafanikio mema...barabara ilo nyoka huezi tengeza dereva makini...👊👉

  • @ummiramadhan5144
    @ummiramadhan5144 Рік тому +3

    Ila kusema ukweli siku hizi wanaume wamezidi na talaka sizizo kuwa na maana

  • @chorotz6252
    @chorotz6252 Рік тому

    Kila elimu ni elimu na saa asante sana @madebe lidai umenielimisha

  • @mirumbenickson6247
    @mirumbenickson6247 Рік тому +1

    Do! Hii ndoa ni ya kushtukiza kweli. Hakika nimeanimi matamshi ya huyu Nguli kwamba "kuna Mungu, serikali na Madebe mwenyewe😃

  • @kasembeyujini
    @kasembeyujini Рік тому

    Yn bando Lang linaenda kihalaliiii debe boy nadagala home 🤝🤝🤝

  • @valiantmdao57
    @valiantmdao57 Рік тому +3

    nakubali Sana madebe

  • @ocholamwanafalsafa8627
    @ocholamwanafalsafa8627 10 місяців тому

    Kazi Safi wakuu wote walioshiriki✅

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 Рік тому +2

    MASHA ALLAH. Kaka madebe

  • @mzaliwabitangaca7377
    @mzaliwabitangaca7377 Рік тому +3

    Mbinga nakukubali Mtemi tz .

  • @janegati6031
    @janegati6031 Рік тому +1

    Vitu vikali sana nakukubali sana madebe 🌹🌹🌹

  • @josephchandi6192
    @josephchandi6192 Рік тому

    Umefanya vizuri sana hapa kwenye hii
    Uko poa kuliko thanks

  • @husseinallyshego4915
    @husseinallyshego4915 Рік тому +1

    Movie Kali na yenye mafunzo ya kutosha

  • @jaharaoman6478
    @jaharaoman6478 Рік тому +1

    Asante sana madebe na team yako

  • @gabulierkalunwge4621
    @gabulierkalunwge4621 Рік тому +1

    Kwa kweli hii ndio maana halisi ya mali media ambaye ajatoka na mali APA basi atakufa umaskini kichwani mwake

  • @sharifahussein8034
    @sharifahussein8034 Рік тому +1

    Naipenda iyo nyimbo

  • @cishahayosaidi3162
    @cishahayosaidi3162 Рік тому

    Asante sana kaka zangu nimejifunza mambo mengi sana kabisa. #MADEBE

  • @sajadyhusseni7067
    @sajadyhusseni7067 Рік тому

    kazi nzuri kka unatoa mafunzo yakinifu.

  • @achimibachir-bj3ty
    @achimibachir-bj3ty Рік тому +1

    Madebe! You're the best ever

  • @faniahassani2238
    @faniahassani2238 Рік тому +2

    Madebe lidai unajua unajua unajua tena..unaelimisha jamii unastahili tuzo

  • @mercymwamure2707
    @mercymwamure2707 Рік тому

    Kazi Iko fire 🔥 💯💫 hogera madebe lidai na team yako

  • @yusuphsule4798
    @yusuphsule4798 Рік тому +3

    Lidaiii

  • @kheriramadhan4603
    @kheriramadhan4603 Рік тому

    💯Kazi Nzuri Sana Kaka Madebe Lidai 🤝 Hongera Sana💯

  • @loongawilondja2395
    @loongawilondja2395 Рік тому +3

    Niko pale nikisubiri tu

  • @mokiwasaid6871
    @mokiwasaid6871 Рік тому +1

    Hapa bado Nina swali Kuna muda mtamu alitaka kumwambia jambo mjomba wake govi mara baba Ake mzee mbinga akaja ni kitu gan hicho!! mzee mbinga mbona hakikutajwa na kuisha hivyo tuu🙏

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 Рік тому

    Bongeeee la funzoooo sijui niliweke vipi ujue nilivoelewa na kazi iliyofanyika isn’t jokes it’s big bro

  • @habibuyasin9359
    @habibuyasin9359 Рік тому +4

    Jipange kuwa Mume na sio kuwa mwanaume anae tafuta kuwa na mke🤨

  • @newsuprisetv9286
    @newsuprisetv9286 Рік тому

    DAAHHH MADEBE UMETISHA SANA KWAKWELI . MWENYEZI MUNGU AKUFANYIE WEPESI KATIKA KUFIKISHA UJUMBE NA NAAMINI UJUMBE UMEFIKA NA NIMEONDOKA NA KITU SIJATOKA BURE . KONGORE SANA KWA HIKI NA HAUJAPOTEZA BURE ILA WAPO ULIO WAAMSHA WALIKUWA WAMELALA .