Masantula "Mtoto wa mjini"
Вставка
- Опубліковано 30 жов 2024
- "Mtoto wa mjini" -- child of the city -- by Orch Masantula. Composed by King Kiki. From Tanzania Hit Parade vol 4. Probably Ndala Kasheba on guitar. Recorded 1978 or 9. Any info appreciated. King Kiki, or Kikumbi Mwanza wa Mpango, started out in Orch Fauvette, then was in Maquis du Zaire, OSS, Masantula, and then Double O Band and finally Zaita Musica. Artwork courtesy of Afro7.net
See also www.muzikifan.com/tanzania.html
Sijui nifanye nini, niseme nini. Hakika mziki ni wakati zamani. King kiki ni hodari na hatari, Nkomba Kababa, Twahir na saxophone yake alikua hatari.
I like these old good music.
Am in mombasa mtwapa.
I was 14 when this song came out. It takes me back to Sinza Dar-es.Salaam...home sweet home! I was a Sofphomore at Jangwani Girls Secondary School Dar!
Naisikia Sax ya Twahiri Ali (RIP). Huyu jamaa alikuwa balaa kwenye ala ya upepo! ilipopamba sauti nzuri ya mzee Kikumbi MwanzMpango
Huu ndioo ulikuwa muziki ukiitwa muzikii.
King Kikii like never before...ukiwakosa wana Kamanyola pitia Sikinde Ngoma ya Ukae....
Usisahau msondo ngoma wanachakachua usubiri
Used to buy these records in Nairobi in the 80s.
Lang'ata social hall,acha bwana
Enzi zetu miaka ya 80s
king kiki ktk ubora wake enzi za daresalaam acha bwana
Hii yote masantura ngoma mpwita
Ah Twahir Sax nikupe nini mtoto....basi basi....huyo ndio Twahir Sax alikuwa si wa kawaida
Shit! This is gold, i was probably 3 when i listened to it. Thanks.
Barikiwa...I agree with you... this song is like a piece of gold to me too...
nice music
Yeah, muziki wa kweli, na hapana bagua bendi, anazitaja zilizokuwapo. Kweli Dar ilichemka kama bahari!
Dat es Salaam yachemka kama bahari
We had no radio at home.so i used to listen this song from our neighbours.espcially mzee Shilinde who had a radio cassete national
We were paupers.
@@stephenchagu1628 we ulikuwa usukumani nini?
@@Bintimrembo-y1v hivi King Kikii ni wa kwetu Usukumani