S1.Ep02: Wema Sepetu Apigana Ndani ya Ofisi za Global Publishers | GLOBAL KAZINI Series

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ •

  • @goldenson4729
    @goldenson4729 6 років тому +10

    Pole sana Wema my dear ukweli ww ni mtu wa kipekee sana umekaa kimya lakini wanakuchokonoa tu my love pole sana remember god power full is you

  • @aminaally4028
    @aminaally4028 6 років тому +4

    Umenifurahisha wema kweli hongera kwakujiamin huyo muandishi ungempiga koko ya uso ukamtoa shoo walijua umevaa viatu kumbe silaha chezea ww good

    • @theresiamichael5817
      @theresiamichael5817 Рік тому

      wemaaaaa huooii ujasiriiiiii uliutoaa wapiiiiiiia nimeshtukaaaa

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 3 роки тому

    Hongera sana ulinifurahisha mijitu inafaidika kwa kukuandika kila leo komesha wapumbavu hawa bravo wema.

  • @glorylema1927
    @glorylema1927 6 років тому +3

    Safi sana wemaaaa magazeti ya bongo yamezidi kuandika upuuzi

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f 7 місяців тому +1

    Hii ilikuwa kiki tu hakuna jengune ,mtu ashasetiwa nyuma ya pazia

  • @happyboniphace8000
    @happyboniphace8000 6 років тому +3

    da wema best angu walimwengu ndo walivo so potezea make unangara an wanakosa LA kusema juu yako

  • @sofiaahmed8880
    @sofiaahmed8880 6 років тому +11

    very good wema sepetu! mara nyingine hawatakuchezea ovyo kwa habari zao za kipuzi,nimefurahi kuchukua hatua mikononi mwako.nimepanda hii video ya komesha watu,japo ya zamani

  • @browntiger4849
    @browntiger4849 6 років тому +1

    Wema you did what was right dear ...bongo wanachapisha vitu vya kusikia rumours nk bila kufanya research

  • @sadickrajabu4536
    @sadickrajabu4536 7 років тому +7

    Wema ulifanya vzur kwan magaazeti ya bongo yamezid kuandika ujinga naabar pasipo research

  • @jacquilinenoah949
    @jacquilinenoah949 Рік тому

    uyu mwingine alikula viatu ving vya kichwa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 років тому +9

    Safi sana wema my dear wavuruge hao😂😂😂😂

  • @nancyjohn5010
    @nancyjohn5010 6 років тому +2

    Mkome 😁😁😁😁😁😁mmezidi kuandika habari za uongo

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 4 роки тому +1

    I wish nigekuwepo nimsaidie wema kutuaga hao mafisi stupid people they can’t eat without mentioning people names makofi kwa wema frm 254 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @mirajimohamed5710
    @mirajimohamed5710 6 років тому +2

    Safi wema umenifurahisha ulivyompiga na viatu huyo aliyekuja na mikwara,,,,,kikubwa ni kujiamini

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣napita jmn nimekukumbushia tu

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 3 роки тому

    Wemezidi kumchokoza mbona Wema yy hajawai kumchafua mtu?? Kama wanapenda kumuandika kwanini wasiandike mazuri?? Mpaka wamchafue wema ndio uandishi wao unakamilika??? Ni hasira hata mwenye kampuni akiandikwa kuchafuliwa hivyo hawezi kufrahia mm sijaskie Wema amemvunjia Mtu heshima Lakini watu wanamchokoza sana.

  • @gracejohn886
    @gracejohn886 4 роки тому

    Umeyakomesha

  • @ikentertainment3145
    @ikentertainment3145 3 роки тому

    Safi sana wema

  • @wennceslausmushi2356
    @wennceslausmushi2356 3 роки тому

    Tena ikibidi rudi tena hawa grobal niwashenzi tu na aliyekuwa anawatia jeuri apumzike kwa amani,na vigazeti vyenu vimedoda.

  • @beatricemkinga7275
    @beatricemkinga7275 6 років тому +2

    Kweli uongo unauma wamezid kujiandikia ovyo vitu visivyo na ukwel

  • @enosh22wanyeche45
    @enosh22wanyeche45 6 років тому +6

    Mmmmh wanaume wa dar bahn kabisa WEMA anawatetemesha na nyie mnatetemeka hahahaaaa mmmh et kajana team yake hahahaaaa wema sikuiz anamipiki team?

  • @princessfettyrashidi2409
    @princessfettyrashidi2409 6 років тому +2

    Kijumbe paka muoga hatari 😁😁😁 kasahau hadi camera mchezo

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 років тому

    umbea umewazidi

  • @mzugigizzlelife6229
    @mzugigizzlelife6229 6 років тому

    Mwanaume unasema kabisa mi siwezi

  • @tebogolucia6889
    @tebogolucia6889 4 роки тому

    Kumbe wema ana kishuzi kidogo😂😂

  • @latifahussein7629
    @latifahussein7629 6 років тому +1

    Safi sana

  • @AliBaba-zb3tg
    @AliBaba-zb3tg 6 років тому

    Na kichwa chake kidogo kama sisimizi .Maana sisimiz anatako kubwa kichwa kidogo dada nime mzarau huyu kama chupi yangu ya kwanza nilio iona period ya kwanza

  • @annateze9502
    @annateze9502 5 років тому

    Vzr mamy

  • @dodyrosariorosario1738
    @dodyrosariorosario1738 6 років тому

    Jamani hee Wema kumbe wewe unahasira za ivo!!!😲😲

  • @chechelawasafi3409
    @chechelawasafi3409 6 років тому

    Ndio ni yakitambo san

  • @reinelove6734
    @reinelove6734 8 років тому

    Hum wema umeni tiekesha kumbi uko ma kali ivvio😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @jacklinelaizer3500
    @jacklinelaizer3500 7 років тому +1

    Wema safiii

  • @anastaziamapunda2289
    @anastaziamapunda2289 6 років тому +1

    Wanakela sana

  • @agnesssmichaely9707
    @agnesssmichaely9707 6 років тому

    Hahaahaa nahisi imekua funzo pumbavu

  • @sokohurugroup
    @sokohurugroup 2 роки тому

    Ina maana hii ni Movie si ndio? Basi sawa..😂

  • @ibrahimjobu9141
    @ibrahimjobu9141 4 роки тому +1

    Ahahahahahahahahahah matukio yenu mnakatisha yawenzenu mnaonesha mwanzo mwisho keba nyie

  • @vanessavanedssa8068
    @vanessavanedssa8068 6 років тому +1

    Siy vizur acen kumusifiy anefany nakos

  • @bantuempress1744
    @bantuempress1744 7 років тому +2

    Aliwakomesha maana walikuwa wamezidi kwa umbeya

  • @lebahatikivuyo6941
    @lebahatikivuyo6941 6 років тому

    Daah kaachwa na Simba

  • @rehemasharriff7494
    @rehemasharriff7494 8 років тому +8

    unajua kusoma magati kumbe kioga hivyo ulikua usubir pia ww akupge na kiatu kisha ukimbilie kutoa habar

    • @loveness_g2619
      @loveness_g2619 8 років тому +1

      Rehema Sharriff 😂😂😂😂😂😂😂

    • @tatut3889
      @tatut3889 7 років тому +1

      Rehema Sharriff nimecheka mpaka nimelia 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁umejuwa kunichekesha

  • @pelusemanueli858
    @pelusemanueli858 6 років тому +1

    salut kwako da wema popote ulipo

  • @dottohenry2794
    @dottohenry2794 6 років тому

    umarufu wawema ndounaelekea mwishoni,ajuwe kwamba umri wakeunaenda hakuna alilofanya lamaana

    • @wennceslausmushi2356
      @wennceslausmushi2356 3 роки тому

      Tafuta na wewe umaarufu wema tunampenda umaarufu wake maisha upo wewe mbona usifanye hilo la maana?

  • @husnasimon7543
    @husnasimon7543 6 років тому

    We ni chiz kwel

  • @zubedasaid5962
    @zubedasaid5962 6 років тому

    RPC Makonda mulimsema sana mkamuona anawa-degraded wasanii kwakuwasihi wasanii wawache kupiga msuba, leo mumeona hasara ya kuvuta msuba

    • @wennceslausmushi2356
      @wennceslausmushi2356 3 роки тому

      Yeye mwenyewe choko tu hana maana afadhali wasanii wetu wanatuburudisha ,eti makonda huyo mungu mtu mshamba ,komesha wema ulinifurahisha sana enzi hizo walitajirika kwa kuuza habari za umbea juu yako.

  • @thedragonempire4797
    @thedragonempire4797 6 років тому

    Wema muna mkawiza Sana apelekwe tuu

  • @abujumanne7570
    @abujumanne7570 Рік тому

    Ally kamwe huyu mbona enz hizo

  • @olaislukumay571
    @olaislukumay571 7 років тому +1

    Hekima ni muhimu

  • @kajjalbeellee1722
    @kajjalbeellee1722 6 років тому

    Kujifanya mukli

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 6 років тому

    Wanaume wa dar mnatutia aibu wenzenu wa mikoani yaaani Malaya anawatoa jasho ?

  • @johnmbinda2799
    @johnmbinda2799 7 років тому

    uyoooo baamedi ana lolote anatafuta kiki

    • @munsicosmas2600
      @munsicosmas2600 6 років тому

      sijui serikal ina nia na nn na hawa Malaya wema

  • @kajjalbeellee1722
    @kajjalbeellee1722 6 років тому

    Ndio maana hausonge mbere

  • @mamad1175
    @mamad1175 7 років тому

    Hivi anajiamisha nn kufanya fujo ktk ofici za watu za kaz he kun wanya kaz kibao au ndio ccm chama chakav kukosa adabu na hekima hy kwelo pimbi

    • @moriceemma9158
      @moriceemma9158 6 років тому +1

      Mama D fikria Wema angekuwa ndugu yako ungejisikiaje

  • @annyrutty657
    @annyrutty657 6 років тому

    Mmmmmhhmmmmh me nawazoom tu

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 4 роки тому

    ♣♣♣

  • @makalamadumba6253
    @makalamadumba6253 7 років тому +3

    mnauzi,sananyie,waandisi

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 4 роки тому

    2021

  • @victoriacollins1979
    @victoriacollins1979 8 років тому +3

    hii niyakitambo saaaanaaaaaa

  • @fakihizanjo8643
    @fakihizanjo8643 7 років тому +1

    nyie mnaboa kwann msiandike habar ya kweli

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 8 років тому +2

    Hii niyakitambo sana nauwenda wana habari waliandika
    Kitu sio cha ukweli kwenye magazeti.sasa wema Ame tuli
    Hii video mlio Iweka tena ni Fitina mnatafuta nasio vizuri
    Kwani mmekosa kitu ya kutangaza jamani? Magazeti haya wezi
    Kutangazwa bila jina la wema. MtAfanya ni siamini habari zingine zenyu
    I didn't appreciate 😌😔😣☹️😔😔🙇🙇🙇🙇🙈🙈🙊🙉

    • @janewacera7812
      @janewacera7812 8 років тому +1

      Doreen Malesi sio poa vile wame post tena Leo haki sijafurahia kabisaa
      Ama wana taka Watu wamchukie wema?
      Hatuwezi tukamchukia Mimi hakuna mtu Nina chukia, ati Tim wem , Tim Zari
      Sina hayo mambo ya kufatana na maisha ya mtu kabisaa, Chenye na Elewa hapa Nikuwa
      Labda waliandika habari mbaya ya uongo kumuhusu,nakama ni ya ukweli Mbona hawakumchukulia
      Hatua,najua wema aliwasamehe laki inafaa hii video I block kiwe isiwahi kuwekwa kwa midia tena
      Mimi wata niwia rathi nime sema yaliyo Moyoni na sijafurahia Kama wata itoa ni sawa. Sababu hi nikuleta
      Fitina, ama wana taka aje tena kwa office zao ndio wapate cha kutangaza Kesho?? Hata sitaki kusema Mengi
      Nikisema tuta lala hapa .

    • @janewacera7812
      @janewacera7812 8 років тому

      Kama hawata block basi wasiiweke tena

    • @giftgodson5603
      @giftgodson5603 8 років тому

      nikajua ni story mpya tena kumbe ile ile kipindi amenyoa nywele

    • @dkalhajijbmatatala9392
      @dkalhajijbmatatala9392 7 років тому

      KWELI YA KITAMBO SANA,,
      HARAFU MHARIRI ANAKAZI GANI?,, KAMA KWELI MMEANDIKA HIVYO?, OMBENI MSAMAHA, TU,, PIA KUWENI NA AIBU WAANDISHI WA HABARI, SIO MNAKURUPUKA TU KUANDIKA ULONGO,, MKIKOSA, HABARI SEMENI TUMEKOSA HABARI LEO:, SIKU NYINGINE MTAKUWA, NA ADABU,, ACHENI KUKURUPUKA,, KAMA KWELI MLIYAANDIKA HAYO.

  • @makalamadumba6253
    @makalamadumba6253 7 років тому +1

    wemasafisana,mazoeya,,hyasizidi

  • @princesstess8968
    @princesstess8968 6 років тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @yusrakhalifa9598
    @yusrakhalifa9598 6 років тому

    ma ribs😆😆😆😆

  • @dianajoseph2495
    @dianajoseph2495 7 років тому

    sokwaviatu ivyo

  • @makalamadumba6253
    @makalamadumba6253 7 років тому +1

    nyiewaandisi,mnakoseA,sana,,kuandika,,abalizawema,,mbovu

  • @Ba63828
    @Ba63828 6 років тому

    KAMA UMEKASHFIWA KWANINI USIWA SUE BINTI?

  • @laymapeace4538
    @laymapeace4538 6 років тому

    😂😂😂😂

  • @yasminkituku3875
    @yasminkituku3875 8 років тому

    hehe

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 7 років тому

    Dogo anapanik..

  • @AliBaba-zb3tg
    @AliBaba-zb3tg 6 років тому

    Mngempigs huyu Malaya aso jielewa ona kichwa chake kama kilitolewa kwakuma alio zaa mzazi bado mbichi afu kikatolewa

    • @wennceslausmushi2356
      @wennceslausmushi2356 3 роки тому

      Ikiwezekana hata mama yako tutampigs malaya mams yako asiyekuonesha baba pyuuu.

  • @kharidyblauda7046
    @kharidyblauda7046 7 років тому +1

    hahahahahA

  • @margaretnelima2039
    @margaretnelima2039 8 років тому

    haaaaaaaaaa

  • @halimatanzani8587
    @halimatanzani8587 5 років тому

    Safi sana