02 - MUNAQASHA WA MOMBASA || BAINA YA SHEIKH MUHAMMAD BACHU NA SAID OMAR ABDALLAH

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 1,7 тис.

  • @muuhhb4787
    @muuhhb4787 Рік тому +142

    Wallah walio muelewa BACHU jinsi anavyoelewesha vzr na ewe ukaelewa vzr anachokizungumza plz like apa 👍

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 Рік тому +2

      Masha Allah

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris Рік тому +1

      Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

    • @shukridawood5139
      @shukridawood5139 Рік тому +2

      Walio muelewa wote baadhi ni watu ambao wanapinga Maulid., lakini huo munaqasha uliwekwa na MADA ya Uongo katika barzanji na wakawekeana masharti yakua watumia Wana vyuoni peke yake kuthibitisha MADA ama Wana vyuoni walitoa hukmu Gani katika Hadith....hii tayari ilikua mtego Sheikh Bachu asingeweza ku ukwepa sababu ya kwanza ni maneno yake ndo yalitumiwa kuwekwa MADA hio Kwa kusema katika MIHADHARA MINGI kua Barzanji ni Muongo ama kile kitabu Sasa Waka amua watumie NENO lile la Uongo na pili hakuna mwana chuoni yoyote aliwahi kutoka hukmu ya urongo kwenye barzanji ange maliza library nzima asinge pata ndipo aligundua ni MANENO yake yeye kusema ni urongo na si Wana vyuoni ndo akashidwa kujibu...,

    • @Alrisaalaturrahmahislamiccente
      @Alrisaalaturrahmahislamiccente Рік тому

      lakini wewe ndugu yangu @shukrdawood mada asli yake ni yale maswali ya Tanga urongo na shirki ndani ya barzanji na kwa ushahidi wa maneno yangu angalia kwa umakini sana mandalizi ya munaqasha shekh aboud alisema Nini?na shekh Abu Ahmad alisema Nini? ndio utajua ni upande upi uligeuza mada tafadhali angalia clip kuanzia 13 to 15 angalia na usikize viziri kwa hivyo said akufaa kumuliza bachu urongo WA Jafar barzanji laaa alifaa kujibu hayo maneno ayatole Aya au Hadith lakini kuuliza swali eti ni wanazuoni Gani wahadith wanamhukumu mtu(barzanji)akitumia maneno hayo huitwa mrongo. hio pia ni kama kuuliza ni wanazuoni Gani wa hadith wanamhukumu mtu(barzanji)akitumia maneno hayo Huwa mkweli mpaka hapa utaona said aliuliza swali la kitoto pili watu waupande wa twariqa walikwepa mada asli ambayo ilikuwa nikujadili urongo wa hio mistari lakini sio kumjadili mtu(barzanji)

    • @ahmedsalehe9489
      @ahmedsalehe9489 Рік тому

      @@jambojambosafaris jibu liko wazi

  • @uzmanoorani6727
    @uzmanoorani6727 Рік тому +12

    Ustadh. Said Omar..alhamdulillah tutasoma maulidi..Kwa maisha yetu yote.. hakuna mwenye atatubadilisha..sisi na mtume pamoja hadi jannah.. Ameen

  • @abubakarallykalyuku9618
    @abubakarallykalyuku9618 Рік тому +16

    Poole na Jazzaka'Allah khaira Sheikh Muhammad Bachu kwa kuelezea hurongo wa maneno yanayo patikana katika Barazanji.... Allah akulipe kheri kumtetea mtume

  • @hemedimsuya7024
    @hemedimsuya7024 Рік тому +18

    Barakallah fik ,, Muhammad bachu Allah akufishe katika kalimatuh Laillaha ilallah,, jazakallah kheir nakufatilia vizur tangu munaqasha wa Tanga nimejifunza mengi xna Jazakallah kheir

  • @leomwaki9366
    @leomwaki9366 Рік тому +20

    allaah amhifadhi my akhil kariim ust. muhammad nassor bachu. kafanya la maana kumaliza mujadala Kwa heshima ya ELIMU maana huyu mtetezi wa barazanji anataka kuaminisha watu katika kitu ambacho si sawa

  • @Mina-rb8kx
    @Mina-rb8kx Рік тому +12

    Allah akujalie kila lenye kheri na akuepushie kila lenye shari sheikh wangu sheikh Muhammad nasor bachu barakallah fiiik mashallah shikh

  • @shadyayussuf341
    @shadyayussuf341 Рік тому +10

    huy shekh wa mombas hana lolote kashindwa maan kakaa kam kahifadhishwa hy maneno anayo ya sema shekh wang muhammad bacho allah akulioe kila la khery fidunia walakhira❤❤

  • @alhilalymediapro
    @alhilalymediapro Рік тому +34

    Allah Akuhifadhi Na akulinde sh Muhammad Bacho na akufufuwe na Mtume ﷺ Kwa Juhudi hizi unazo fanya Ujira umefikie sheikh Wetu Marhuum nassor Bacho rahimahullah

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 Рік тому

      Isha Allah

    • @ummuwawili
      @ummuwawili Рік тому

      Allahumma amin yarablghalamin

    • @mubarakaibrahim5715
      @mubarakaibrahim5715 Рік тому

      Sheikh muhamamdi nasoro bachu. Allah akuongoze. ila pia nilikuwa nakushauri ndugu yangu. Usifanye tena mdaharo na hawa watu wa bidaaa wasioelewa wajanja ktk din uelewa wao umeishia hapo ni vichwa mchunga

  • @fahimabdallah77
    @fahimabdallah77 Рік тому +10

    Kiboko yao hawa ni sheikh abdallah humeid, sheikh Muhammad bachu mungu akujaze kila la kheir kwa kazi unayofanya.

  • @habibuchwinyaaisaidi
    @habibuchwinyaaisaidi Рік тому +14

    mashaaAllah Shukran shk Bachu Hawo ni tarika ...قال تعالي "و إذا خاطبهم الجاهلية قالوا سلاما"Nashkuru Shk Bachu Shk saidi Ana khoofu

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 Рік тому

      BAADA YA KUJIKOJOLEA MAMBRUI NA KUKIMBIA SUALI 🤣🤣🤣

  • @khadijaali299
    @khadijaali299 Рік тому +16

    Masha'Allah lakuwwata Illah Billah, Allah akuhifadhi Sheikh Muhammad Bachu

  • @oscarkulundu3848
    @oscarkulundu3848 Рік тому +18

    Mwenyezi Mungu akuzidishie Ilmu na hikma sheikh Muhammad Bachu Masha-Allah, Allahuakbar, Maulidi ni Bidhaa leo imebainika wazi

  • @qassimsothe7808
    @qassimsothe7808 Рік тому +10

    Tunashuhudia tukiwa marsabit tumejua ukweli sh... Muhammad bacho uko sawa kabisa 💯💯💯🙏👍🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @Hamad10Salafi
    @Hamad10Salafi Рік тому +30

    Muhammad Nassoro Bachu Salaf Saleh❤❤❤May Allah preserve you! #Blessed_Salaf

  • @musafirbaba2100
    @musafirbaba2100 Рік тому +24

    Allahu akbar ☝️ Allah akulinde sheik Muhammad bachu hakika sisi twataka haqii hatutak makundi

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 Рік тому

      Kwel insha Allah

    • @jamilahjamilah4157
      @jamilahjamilah4157 Рік тому

      Mm cji kitu ila naona hapa kuna mshekeli bachu kauliza swali kajibiwa hapo na yy akarundishiwa swali kwanini asijibu hilo swali ana kwepa kwa nn wakati dini imetuelekeza age jibu tuu mm hapo sijui tusikie anafundishwa nn yy maamuma mnafurahi kitu kisicho patiwa majibu bachu arundi ajibu swali kama anajua na km hajui aseme na ss tupate faida atacho fundishwa eti mijitu inampa pongezi ajibu alight ulizwa taabu ya yy mawahabi niwabishi sijui mmelishwa nnbaadla ya kutagaza dini mmekalia maulidi biidaa nje wanaosema na bii issa mungu watafundishwa na nani acheni kila mtu afate anacho amini tuuangaalie nje yupo kwenye allaa illaa haillaalah muhammad rasuulu llaah basi marumba

  • @alimarsahussein-ls7fm
    @alimarsahussein-ls7fm Рік тому +4

    MashaAllah shk Mohammed bachu kwa kutufahamisha dini na penda sana darsa zako

  • @aboumuqbil2529
    @aboumuqbil2529 Рік тому +22

    Wallahi thumma wallahi mnaqasha wa wa tanga sabas kidogo sana alituteteresha lakini mnaqasha huu yena kapewa ijazaaa aaa badooooooo. MUHAMMAD ALLAH AKUJAZE AFYA KIUKWELI UMEJITAHIDI KWENYE ILOOOOOO

    • @zeitunMohammed
      @zeitunMohammed Рік тому

      ولا تقطع كل خلاف مهين

    • @SamMus-qn1pu
      @SamMus-qn1pu Рік тому +1

      Kwa jina alie muweza na muomba mola awahifadhi woootee watu wa sunnah

    • @SamMus-qn1pu
      @SamMus-qn1pu Рік тому

      Aaa sabas yy mwenyewe kit ilikua chachomaaa

  • @KiluaFilm
    @KiluaFilm Рік тому +24

    Bachuu Hoyeeee MashaAllah | Hawaa Jamaa Wa Twarika Hawana Hoja

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 Рік тому

      😅😂😂,hawana lolote amenakia kuenuka enuka na kumtishia bachu 😅😅

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris Рік тому

      Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

  • @alitom6069
    @alitom6069 Рік тому +25

    Muhamad bacho twakuelewa Mashaallh allh akulinre uzidi kuchuilimisha Allh akuhifadhi mimi mkenya lakini nakuunga mkono ✋✋✋✋

  • @khamismajlo9333
    @khamismajlo9333 Рік тому +21

    Bonge la elimu inaletw na kijana mdogo Muhammad bachu mashallah shekh nasor bachu kaleta kijana

  • @khaleedthande6457
    @khaleedthande6457 Рік тому +23

    Allah akuhifadhi sheikh muhammad nassor bachu

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 Рік тому

      MANDONGA ANAITWA SKUIZI, SIO BACHU TENA🤣🤣🤣

  • @badrumulinda7349
    @badrumulinda7349 Рік тому +22

    Mungu ambariki sheikh Bachu ,hapa tuko ulaya, sheikh said
    Katupotezeya mda wetu.

  • @shaaden-
    @shaaden- Рік тому +34

    🤲 Allah akujalie uhai mrefu wenye manufa akuepushe namaradhi khatari akuwekee wepesi kwenye maisha yako uondoke duniani Allah akiwa radhi na ww sheikh wangu Bachu. Chukuwa 🌸💐 yako❤❤❤

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris Рік тому +1

      Sheikh gani anaemtukana na kumpinga babake mbele za watu mwanchuoni bachu sio yeye huyo mohamed mwenye kibri

  • @AbdullahiMohammed-j3o
    @AbdullahiMohammed-j3o Рік тому +5

    MashaAllah ustadh Bachu, the aim was the world to know not him to know even though he has no points he is only emphasizing one question for the whole debate, but for us viewer we have learnt a lot MashaAllah, May Allah increase your Knowlge

  • @is_haaqbimany3430
    @is_haaqbimany3430 Рік тому +6

    Mohammed bachu Allah akuweke sheikh wetu MashaAllah

  • @swafiaismail-ji1op
    @swafiaismail-ji1op Рік тому +2

    Allah akuhifadhi ya sheykh muhammad nassor bachu. Hao matwariqah hawakuja kwa nia ya kuilimishana maana iko wazi hawana hoja ila wmekuja kiushindani na uyo sheykh said n mtoto sana kwako ki elimu. Allah akunusuru sheykh muhammad bachu na pia atuongoze sote nimejifunza hau wtu maulidi wanatumia mfumo wa paster wahepe swali na na kueka hoja ilio inje ya mada

  • @Banly-FamilyMombasa
    @Banly-FamilyMombasa Рік тому +29

    Huyo sheikh abubakar ndio alimsomeshaa saidiii since mdogooo . Na pia nimesoma kwao. Lakini bwana ukweli maulidiii nimeona ni giza nimetoroka alhamdullilah

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 Рік тому +51

    Ustadh Muhammad Nasor bachu May Allaah preserve you young man ,our Akhy who willing to connect people to the creator

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 Рік тому

      MANDONGA

    • @AbdillahJuma-b7j
      @AbdillahJuma-b7j Рік тому

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 Рік тому +1

      BAADA YA KUJIKOJOLEA MAMBRUI BAADA YA KUJIKOJOLEA MAMBRUI NA KUKIMBIA KUULIZWA 🤣🤣🤣

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris Рік тому +1

      Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

  • @Wida_de_boss
    @Wida_de_boss Рік тому +3

    Mashallah sheikh bachu Allah akupe uwelewa zaidi inshallah na sheikh said Allah akupe umelewa zaidi inshallah.

  • @sabahikhamisabdulla4361
    @sabahikhamisabdulla4361 Рік тому +3

    Shukran ya Akhi Bachu, bidaa haiwezi kusimama mbele ya haki.
    Mada ni UWONGO WA BARZANJE na si uwongo wa Mtunga kitabu.

  • @yusuffadhil6195
    @yusuffadhil6195 Рік тому +24

    Allah akuhifadhi sheikh Bachu, hawakuwezi hata kidogo

  • @KhadijaSeleman-g3w
    @KhadijaSeleman-g3w Рік тому +2

    Just guys tuchukue elimu na tupate elimu tumjue allah❤❤ vizazi vinategemea uwepo wenu tuswali swala tanoo na tumche allah na tuish ktk misingi ya lailaa hailla llah na tuishi ktk misingi ya imaan huku ni kupotezana na huu ni ujingaa na upuuzi wa kupoteza vizazi

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork Рік тому +3

    Wallah bado hajatokea wa kufanya mjadala huu na sheikh Bachu...

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 Рік тому +23

    Maashaa Allah..
    Sheikh Muhammad Bachu.. Allah akupe kheri .. Tutakuja Zanzibar kupiga Goti in Shaa Allah. ❤

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 Рік тому +19

    Sheikh Bachu Nimekufahamu na Kukuelewa Kwanz ulivunja hoja ya msingi wa Swali lake kama halina hoja wala uhai wa kielimu

  • @ahmedmohd2836
    @ahmedmohd2836 Рік тому +2

    Sheikh umemaliza kazi umesomesha vzr sana🎉,jukumu la kuwabadilisha kuwacha uzushi baada ya kuonesha ukweli ni la Allah,mwenye kutaka na amini na mwenye kutaka basi ayakataee,Hukmu atahukumu Allah.

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris Рік тому

      Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

  • @issackkhalifali1220
    @issackkhalifali1220 Рік тому +4

    Watu ya maulidi hawana masikio ya kusikia ilmu ,,,sheikh bachu ulimwengu mzima wamekufahamu ,,Allah akuhifaidki

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris Рік тому

      Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

  • @husseinamani9818
    @husseinamani9818 Рік тому +2

    Huyu Saidi ni tapeli mpotoshaji ubishi tu Haqi ipo wazi kabisa. Sheikh Bachu Allah akubariki sana.

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 Рік тому +25

    Wallai billahi tallahi... haqqi upande wa Dj saidi wanaijua ila hawataki kufuata. Nimegundua kua mawlid ni chama tuu hicho wanaopoteza watu wasiojua dini. Alhamdhulilah nimeling'amua hilo. 3:15:30.
    صاخ الديك وطلع الصبح واستيقظ الناس

    • @SamMus-qn1pu
      @SamMus-qn1pu Рік тому +1

      Sana akhy tue mskin na familia zetu

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris Рік тому

      Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

    • @yusufathman2478
      @yusufathman2478 Рік тому

      @@jambojambosafaris swali lilijibiwa kitambo tena kitaalamu

  • @qasemindho3746
    @qasemindho3746 Рік тому +2

    Allah Amhifadhi sheikh Mohammed bachu
    BarakaAllahu fiicafiyatik wa fii cilmik....

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +27

    Mashallah tabaraka llah 🥰 Bachu nakupongeza saana 🤗 hao wengine ni watu wabidaa sijapenda walivyo maliza na Maulidi 😢 Subhanallah 🤔

    • @SamMus-qn1pu
      @SamMus-qn1pu Рік тому

      Wajinga waangamiaa

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Рік тому

      Acha usenge, huyo naecho alijibu hapo hilo swali

    • @farahadan5587
      @farahadan5587 Рік тому

      Mowliid bidaa akuna daliili hadhisi ni munkar

    • @alisaidi6358
      @alisaidi6358 Рік тому +1

      mawlid hayana shida bro

    • @alisaidi6358
      @alisaidi6358 Рік тому

      ​@@farahadan5587na youtube nayo dalili ni ipi

  • @amaribrahim6561
    @amaribrahim6561 Рік тому +5

    Tumeelimika alhamdulilah sheilh Bachu mungu atakulipa kwa kutaka ukweli ubainike na wenye kukataa ukweli mungu awaongoze na atuongoze sote

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris Рік тому

      Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

  • @rashidsalim1759
    @rashidsalim1759 Рік тому +15

    Subhaanallah, kwa hakika huku ni kupoteza muda tuu, hawa watu wanaojiita twarika huwa wanataka ubishani na ushabiki tuu,, huwa hawatafuti haki,,, Allah atuongoze sote

  • @MerabaqshAbdulaziz
    @MerabaqshAbdulaziz Рік тому +1

    Mawahabi Lini Mutakubali mumeshinda.Pia Haya hamuna.Hamuendi Kwa ilmu yenyu zaidi ni Ufedhuli.Mumuogope Allah.Munatumiwa na Mayahudi kugawanya imma.

  • @yusraahmed1783
    @yusraahmed1783 Рік тому +9

    Bachu ana hekma sana ma sha allah,aneleza vzuri tukaelewa,na hakutaka kushindana na mtu aliebobea maulidini na barzanji akaeleza vzuri sana,mm nilikuwa na shakana sasa umenitowa shaka,shukran shk bachu allah akuhifadhi amiin amiin.

    • @saidessry9942
      @saidessry9942 Рік тому

      Kakutoa shaka gani ndugu yangu
      Ktk midahalo yake yote hakuna mdahalo alioharibu kama huu
      Na ninakuhakikishia bachu hakusoma elimu ya hadithi lakini mambumbumbu hawawezi kuliona hilo
      Kwasababu alikuwa hajui chochote ktk mustalahil hadithi na anatafsiri makosa matupu 3:32:16

    • @maimunasalim7946
      @maimunasalim7946 Рік тому +1

      Mtihani huu wanazungusha uku na uku lakini hawataki kuthibitisha uwongo wao shekh Muhammad bachu mungu akulinde

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris Рік тому

      Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

  • @RayaRaya-d1h
    @RayaRaya-d1h Рік тому +2

    Shekhe Mohammed Bachu Allah akuzidishie elim na umrimrefu tuzid kunufaika ni kweli hasaa mauld ni uzush mim nimekisoma kitbu cha barazanj hakina ukweli wowote ni uzish ulio wazi

  • @yusufkhanna
    @yusufkhanna Рік тому +11

    Mwenyezi Mungu akuhifadhi sheikh Muhammad bachu

  • @NafisaAhmed-g9k
    @NafisaAhmed-g9k Рік тому +1

    Mashallah sheikh Muhammad Bachu Allah akuhifadhi

  • @Lamapacha001
    @Lamapacha001 Рік тому +3

    Wallahy hakika sheikh Said umetupotezea mda maana kila ukiongea unasema “swali langu liko pale pale” kama Bachu ilikuwa hajui basi ingelijibu ww…. Kisha hilo sio swali hilo wallahy Said umetupotezea mda sanaa

  • @ShakilaMohammad-i1d
    @ShakilaMohammad-i1d Рік тому +2

    Allah akuhifadhi shekhe bachu

  • @AhmedAlbaity84
    @AhmedAlbaity84 Рік тому +38

    SAID KIUKWELI AMETIA AIBU AMEISHIWA HUWEZI KUJIBU ANAZUNGUSHA LUGHA TU NA ANAFANYA ISTIHIZAI. SHEIKH MUHAMMAD BACHU ALLAH AKUZIDISHIE ELMU. BARAKALLAH FII.

    • @abdallahomar79
      @abdallahomar79 Рік тому +2

      Tupe ushahidi Ya kwamba hyo maneno Ya barzanji ni ya uongo ndo tuamini ni uongo

    • @MuhammadMuhammad-lq2um
      @MuhammadMuhammad-lq2um Рік тому

      Kumuita mtu sio fast 11 sio istihizai kwako?waona said tu hebu jiongeze

    • @shuaibsaid515
      @shuaibsaid515 Рік тому +1

      ​@@abdallahomar79 urongo umetajwa angalia mjadala sio kukurupuka😂😂😂

    • @Themkool-eh2ow
      @Themkool-eh2ow Рік тому +1

      ​@@abdallahomar79 tegesha sikio lako from 2:12:12 kwa makini..Na ukitaka kusikiliza Afadhali sikiza Asubuhi na mapema kichwa yako itakuwa safii utaweza kufahamu kuliko baadaye kichwa yako itakuwa kina moshi wa bangi😂😂😂😂

    • @Teralkum
      @Teralkum Рік тому +1

      Allahumma amiin❤

  • @AliOsweto
    @AliOsweto Рік тому +1

    JazaakaLLAAHU kheiran yaa habiib sheikh Muhammad bachu.

  • @azizashaaban870
    @azizashaaban870 Рік тому +9

    Mashallah tabarakallah shelkh Nassor bachu may allah s.w.t protect you and muslim ummah always the truth hurt every one.jazakallahul kheir yaa sheikh.

  • @rubugahassan3057
    @rubugahassan3057 Рік тому +4

    Allah azidi kukuhifadhi sheikh wetu Muhammad Bachu kwa kutudhihirishia wazi kuwa maulidi ni bidaa iliyokua wazi.

  • @Maryam-h4y1q
    @Maryam-h4y1q Рік тому +8

    Mashalla wote niwasomi nimefurai sana Allah awape afya na ngufu inshallah ❤❤❤

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 Рік тому +9

    Sheikh Bachu Maashaa Allah.. ... Yupo vyema

  • @saidgawawa8519
    @saidgawawa8519 Рік тому +22

    MashAllah tabarakah Allah,sheikh bachu Allah akuzidishie elmu ,akupe na afya njema uzidi kuelimisha ummah .amiin ya Rabb 🤲🤲

  • @omarsongz4422
    @omarsongz4422 Рік тому +2

    Said Omar huna elimu kwenye hili,maulid hayafai kalas..Muhammad Bachu Allah akuzidishie In sha Allah

  • @khamisimoshi5947
    @khamisimoshi5947 Рік тому +16

    Munaqasha wa Tanga ulikua vizuri na umetulia kuliko huo wa kenya mombasa vurugu tupu

  • @hamzaadan5659
    @hamzaadan5659 Рік тому

    M.a Mohamed Bachu may Allah increase you in knowledge, and may Allah guide and grant him understanding our brother Said. KAZI yake tu nikubishana na wala sijafaidika kwake Hata kidogo wallahi. Ilmi ndigo ni hatari kweli

  • @babauna3458
    @babauna3458 Рік тому +19

    Jazzaka Allah shekh nassor bachu. Allah akuhifadh. Na sema: "Haki imekuja, na uwongo umetoka. Hakika ni uwongo, usio dhihirika." (Al-Isra [17] : 81
    Maulidi ni Uzushi . Khitima uzushi. Na zefee pia ni uzushi , kuomba makakaburini uzushi. Allah atuhifadh na wazushi.

  • @hudheifaali8702
    @hudheifaali8702 Рік тому

    Mshllh muhamad nasor bachu mungu akupe umri mrefu chuzidi kuyilimika haki iwe nihaki na upotevu mungu au onroshe inshllh songa mpele bachu shkh langu

  • @zeinabibrahim382
    @zeinabibrahim382 Рік тому +5

    Allah akuhifadh sheikh Mohammad Bachu

  • @nasserabdallah5750
    @nasserabdallah5750 Рік тому +16

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه أجمعين❤

  • @mahamoodomar3790
    @mahamoodomar3790 Рік тому +18

    Jazakallah Bachu, Allah akupe kheri nyingi dunia na akhera, Hakuna anayeza kutetea batwili wanababaisha tu

    • @hajiurio9274
      @hajiurio9274 Рік тому

      Allah akulipe kila la kheri Bachu kazi ni kufikisha khiyari ya mtu kufuata,haiwezekani kizazi hiki kijue ya kheri kuliko Maswahaba .

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris Рік тому

      Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

  • @IddySharifu-sg1xz
    @IddySharifu-sg1xz Рік тому +1

    Shekh Muhammad bachu mungu akuhifadh

  • @hassanihassani-r2q
    @hassanihassani-r2q Рік тому +14

    Shekh Muhammad Bachu Allah akujaze kher kwa jitihada yako kwa ya kuwaelesha hao masuf
    Kwakweli hawa jamaa wanahila nyingi tuuuu!!

  • @abuahmado
    @abuahmado Рік тому +4

    Allah yihdeeh....anauliza swali baatil, halafu anaact kama mtoto hataki kuendeleya. Kama mtoto aliyegoma mpaka apewe peremendi.

  • @basmabasma6287
    @basmabasma6287 Рік тому +41

    Sheikh bachuuu ma shaa Allah .Allah yahfadhak.ameen

    • @SamMus-qn1pu
      @SamMus-qn1pu Рік тому

      Allah atuekeee

    • @شيخنيف
      @شيخنيف Рік тому

      @@SamMus-qn1pu Aamin

    • @شيخنيف
      @شيخنيف Рік тому

      Aamin

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris Рік тому

      Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

  • @KuradusengeAbdurahman
    @KuradusengeAbdurahman Рік тому +2

    Mashaallah jazaakaallhu alkhayir sheikh Mohammed bachu

  • @mody-guyngido2792
    @mody-guyngido2792 Рік тому +30

    Long live Sheikh Bacchu Allah Akuhifadhi Na Akuzidishie elimu

    • @abdikadirgodana7528
      @abdikadirgodana7528 Рік тому +1

      Aameen

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 Рік тому +1

      Aameen

    • @شيخنيف
      @شيخنيف Рік тому +1

      Aamin

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 Рік тому

      AAMIN, MAANA HUYU MANDONGA KATUAIBISHA HUKU MAMBRUI, ASIENDE TENA MAMBRUI MAANA KULE HATOKI MTU SALAMA. TUMEPINDULIWA CHALIIII MAWAHABI NA WASHENZI HAWA WA MAULIDI, HATA MTAANI NAONA AIBU KUTOKA, LAKINI TUJIKAZENI KUJISIFU TUMESHINDA HIVYO HIVYO 🤣 JAPO TUMEPIGWA BAO ZITO ILI WAFUASI WETU WASIJE KUHAMA SANA WA KAINGIA USUFI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @HusseinAli-bu9ej
      @HusseinAli-bu9ej Рік тому +1

      Mashallah sheikh bashu

  • @MohdOmar-d9r
    @MohdOmar-d9r Рік тому +14

    Shekh bachu ni mfasaha sana na mtulivu sana katika kutetea haqqi allah akufungulie kifua chako shekh bachu

    • @musakibwana4596
      @musakibwana4596 Рік тому +1

      yeah, mtulivu kwenye dharau na kiburi

    • @shabaniabubakar7262
      @shabaniabubakar7262 Рік тому +2

      Ibara zamshinda

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris Рік тому +1

      Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

    • @Zahra_Media255
      @Zahra_Media255 Рік тому +2

      Tatizo mnaofuatilia mjadala mwafuatilia kiushabiki hamzingatii hoja wala mada, kwasababu hapo mada sio maulidi yafaa au haifai bali mada ni urongo uliopo kwenye kitabu cha Barazanjy. Hivyo acheni ushabiki kuweni waadilifu katika kufuatilia mada inavyozungumzwa

  • @Abdul-latifAdam
    @Abdul-latifAdam Рік тому +4

    Haqi nishaiona walillahil hamd bachu masha allah allah akuzidiahie

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris Рік тому

      Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 Рік тому +4

    Mashaallah sheikh sad na sheikh wako mupo vzr ila kwa alie na jicho la nyoyo ndio atalijua hilo

  • @salumrashid8513
    @salumrashid8513 Рік тому +6

    Tumekulewa sheikh Bachu

  • @atefswaleh1367
    @atefswaleh1367 Рік тому +1

    Naam Maa_Shaa_Allah mimi kama mzaliwa na mkaazi wa Mombasa, manhaj yngu ni Salafiy na mtume s.a.w twampenda kwa kupitia Sunnah zake...❤❤❤❤
    Amma ba3d,
    Shukran kwake Allah Subhānahu wa Ta'āla na
    Alhamdulillaah kwa sheikh Muhammad Nassor Bachu kwa JIHAD YA MUNAQASHAA.
    Japo ilikua ni nukta mmoja kwa masaa yote, sisi kama ahlu salafffiyu tunaelewa kwa HUJJAH/HOJA iko bayaaana. Allah Akuhifadhi sheikh Mohammad Bachu na wote wenye kupeperusha bendera ya Sunnah,,

  • @fatmasuleiman6991
    @fatmasuleiman6991 Рік тому +14

    Mashallah shekh muhamad bachu Allah akuhifadhi daimaa hao watu wa maulid niwabishi sanaa ndio maana akabaki kwenye point yake Moja hawajuleta mtu alioshiba elim bachu upo vizur

  • @hamadhamad3502
    @hamadhamad3502 Рік тому +1

    " Hakika ya halali iko wazi na haramu iko wazi. Na baina ya mawili hayo kuna mambo yny kuchanganya ...."
    Na maulidi ni ktk mambo yny kuchanganya watu, wanazozana je yanafaa au hayafai? .
    Ushauri wangu: Kuacha mambo yenye kuchanganya ktk dini ni bora na ni kuitakasa dini yako na heshima yako.
    مع السلام

  • @sinawsinaw6201
    @sinawsinaw6201 Рік тому +3

    Subhaanallaah allaah waisilamu tusomeni 😢😢allaah atujaalie kwa hilo

  • @Noorahjaffar143
    @Noorahjaffar143 Рік тому +10

    Iam so proud of you sheikh bachu.

  • @is_haaqbimany3430
    @is_haaqbimany3430 Рік тому +3

    Said na masheikh wake Allah awazinduwe masikin

  • @JumaJuma-et5ei
    @JumaJuma-et5ei Рік тому +1

    Masha Allah sheikh Muhammad bachu

  • @Safinatulshifaa
    @Safinatulshifaa Рік тому +3

    Allah akuhifadhi sheikh wabishi na umeonyesha elimu

  • @abdulsadickkasim5157
    @abdulsadickkasim5157 Рік тому +1

    Mtume Muhammad صل الله عليه وسلم alikua kizungumza na viumbe vp allah ashindwe هذا علم الغيب

  • @ahmadmadaai1357
    @ahmadmadaai1357 Рік тому +4

    Wallahy annaekataa maulid amepotea km atajua. Siri. Ya Mauliid

  • @FahadAbdallah-nv9wz
    @FahadAbdallah-nv9wz Рік тому +2

    Mashaallah sheikh bachu ni simba allah amlinde InshaAllah

  • @سعدياقوت-ت2خ
    @سعدياقوت-ت2خ Рік тому +19

    Ma shaa allah Sheikh Said Mungu akuzidishie elimu na akuruzuku fahamu shukran sheikh

    • @abuyusuf-it5rm
      @abuyusuf-it5rm Рік тому +4

      Ana elimu gani si afadhali yule majazi alijitetea mwamletea bachu watoto wakufunga nepi

    • @saidsheha1336
      @saidsheha1336 Рік тому

      Kwa kipi hhhh😅😅😅

    • @KubwaKuliko-dk4bm
      @KubwaKuliko-dk4bm Рік тому +3

      Saidi ana elim ya ubishi

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Рік тому

      ​@@KubwaKuliko-dk4bmna hyuo bacho ana nini

    • @KubwaKuliko-dk4bm
      @KubwaKuliko-dk4bm Рік тому

      @@mafiatv5479 ndugu yangu ust said anatete kiubishi anlojua ni uongo na hapingi hilo bali anakubali

  • @saidswaleh7742
    @saidswaleh7742 Рік тому +11

    BARAKHALLAHU FIYKUM AL AKHY SHEIKH WANGU MUHAMMAD BUCHU

  • @fatmamahdi7847
    @fatmamahdi7847 Рік тому +17

    Shukran Sana bachu, wewe ni mtu wa hujja na dalilimashallah. Hawa ni Kama vikaragosi, Hawana mbele Wala nyuma. Wao walishapanga kuharibu,Lakini uliwaweza. Hana ilimu hata kidogo Hiyo ustadh said.Tanga wamejiaibisha na wame shindwa na hapa ni hivo hivo.Allah Akupe umri mrefu uzidi kutuilimisha. Barakallah fik.

    • @imranabdallahsaid6770
      @imranabdallahsaid6770 Рік тому +2

      Sasa maswala ya kutukanana yatoka wapi tusipo ji heshimu ulifkiri dini zengine zitatuheshimu

    • @muhsinmwambule9435
      @muhsinmwambule9435 Рік тому +2

      Kuna swali sheikh Bachu hakukijibu. Amenukuu hadithi na akanukuu wanawazuoni kuwa hii ni munkar. Akaulizwa swali: Ikiwa mtu akinukuu hadithi ya munkar ni wapi wanawazuoni wa hadithi wanasema huyo mtu ni muongo? Hajatoa jawabu!

    • @ramadhanyusuf2401
      @ramadhanyusuf2401 Рік тому

      Kinacho nifurahisha ni kwamba kijana wa Bachu ameshkilia hoja hapo hapo hatutoki😅

    • @SamMus-qn1pu
      @SamMus-qn1pu Рік тому

      Tumuombee allah atuhifadhi na mashekhe wetu

    • @SamMus-qn1pu
      @SamMus-qn1pu Рік тому

      ​@@muhsinmwambule9435wewe kipofu na nikiziwii

  • @khadijaabdalla4673
    @khadijaabdalla4673 Рік тому +2

    Mashallah tabaraka Mohammad bachu

  • @saidfhamad
    @saidfhamad Рік тому +74

    Wallah mimi naacha Maulid kwaajili ya Allah 😢😢 Sijaona ushahidi wa ukweli wa Maulid Tanga mpaka Kenya 😢

    • @wardah-mb6kb
      @wardah-mb6kb Рік тому +7

      Kwel hata hawajasema ukwel wametuacha njia panda kikubwa tuswal swala Tano Kwa Iman nakumwamin allah

    • @yahayaidarusi
      @yahayaidarusi Рік тому +3

      Siku zote hizo ndo wataka ujulie kwenye minakash we jahri kweli

    • @saidfhamad
      @saidfhamad Рік тому +3

      ​@@yahayaidarusiAllah ndio anajua zaidi ila nasubiria ushahidi wa Maulid kufaa!!

    • @sadikihamad9770
      @sadikihamad9770 Рік тому +3

      Tunanye yenye uhakika ndugu tuachane na huu ubabaishaji wa maulid 😂😂😂

    • @mbarakomarmbarak5863
      @mbarakomarmbarak5863 Рік тому +1

      Acha lakini ujue bachu ameshindwa kujibu

  • @CheffmabroukKhamis
    @CheffmabroukKhamis Рік тому +1

    Aibu kubwa sana wlh kama nyinyi viongozi wetu mwapiga ndo mana hamukuruhusiwa kufanya kiwanyani ingekua aibu kuwa sanaa kwa waislamu kwa jumla mungu atustiri sisi wlh waislam kama nimesema vibaya naomba msamaha kwa waislamu wote shukran

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm Рік тому +7

    Furaha yangu ni twarika wamekubali yalio kuemo katika barzanji ni uongo sasa wataka jee na barzaji mwenyewe nimuongooo lakini maulidi barzanj ni uongo wamekubaliii

  • @Aishamohd-tu5fj
    @Aishamohd-tu5fj Рік тому

    Mashaallah tumejiridhisha shekhe nilikuwa nausubiri mda mrefu allah akuhifadhi mrithi wa maalim wangu

  • @AA-yr7sr
    @AA-yr7sr Рік тому +6

    Hamumuwezi Bachu hatakidogo well dane Kwa kuwanyosha🖤🖤🖤🖤👋🏿

  • @suleyazidu4991
    @suleyazidu4991 Рік тому +2

    Said inaonesha elimu huna ,kabisa
    Allah akuongoze.
    Allah amuhifadh shekh mummad bacho

  • @izmamuizmamu6521
    @izmamuizmamu6521 Рік тому +9

    Allah akuhifadhi bachu

  • @manixawadh7198
    @manixawadh7198 Рік тому +1

    Baraqallahu fiyq Sheikh Mohammad Nassor Bacho kwa jitihada zako... inaonyesha wazi kuwa umekita katika dalili na msimamo wa haki na hoja yako moja tuu Sheikh Saeed imemshinda. Haki iko wazi na batil iko wazi.

    • @jambojambosafaris
      @jambojambosafaris Рік тому

      Swali hakulijibu je mtu akiandika hadithi dhwaifu huitwa muongoo kulingana na wanazuonii jibu swali rahisi litafteni kwa wanazuoni waislamu msifate watu tusomenii

  • @alf8177
    @alf8177 Рік тому +5

    KAMA TWAENDA MAULIDINI KUMSIFU BARZANJY BASI SAID KASHINDA NA KAMA TUNAKWENDA KUNSIFU MTUME BASI BACHU KASHINDA 🎉🎉

  • @shabankandi7453
    @shabankandi7453 Рік тому +1

    Huku kwenye comment nako kuna mashabiki wa timu, Allah atunusuru na huu uislamu

    • @B_C_Bellah
      @B_C_Bellah Рік тому

      Umeonaaaeee😂

    • @hhonest9553
      @hhonest9553 Рік тому

      Sio mbaya kuwa na timu ilio kwenye haqq na haifanyi uzushi katika dini.Kuna Right and wrong icho ndio kinachojalisha