Mwenye akili timamu anaona jinsi kidawa anavyohaha, maswali yapo ndani mada lakin hawezi kuyajibu kwakua akijibu tu atakua kakubali vigawanyo vya tawheed, namuomba Allah amuhifadhu sheikh Muhammad Bachu
Sheikh bachu hiv unajiona unajuwaa hujiskii aibu ww lkn nakukusanya matabu hayo ujulikne umesom acha ujahili uwo waliosoma hswa hawakai namatabu kam hvy walisoma hswa wanajuw kwamba ww hujuw bali nimbishani tu kasome lugha kwnza
Nime jaribu kufuatilia mjadala huu tangu mwanzo ktk hoja ya mwanzo kuhusu shahada . Kwa kuwa makini katika kufatilia billa shaka huyu sheikh kidawa ameongea kupitia aya za quran pamoja na mtume tu. Ikiwa shahada ni mlango wa mwanzo kwa mtu kuingia ktk dini bila shaka ustadh bachu kakosa utetezi kutoka kwa mtume au allah. Ikiwa msingi utaanza kwa mola na mtume wake. Billa shaka sheikh kidawa kachambua vizuri sana. Nukta ya pili nilicho gundua ni lugha ina changanya ikiwa rabbi ndio allah anae faa kuabudiwa na ikiwa ilahi ndio anae paswa kuabudiwa na ndio allah kinacho mchanganya ustadh bachu ni kutazama saana wana wachuoni na kumsahau mtume na allah. Kiufupi sheikh kidawa katika suala zima la tawhid ameongea vizuri ni moja mtu akisha toa shahada amesha kuwa muislam. Kusoma na kuelewa ni vitu tafaut hapa naviona
UMEELEZA VIZURI MKUU ALLAH AKUWEKE UKIPATA MUDA INGIA KTK UTUBE UONE WANAOMPINGA ALLAH NA MTUME SAW KAMA HUO BACHU NA WENZAKE ANDIKA RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA
Mwalimu akiweka masharti kwa wanafunzi akisema lazma kufata masharti:kutochelewa, kua na nidhamu na kusoma kwa bidii. Jee ni lazima aseme masharti ni matatu? 😂
Watu wa bidaa ni Shida sana, Yaani kwa kuwa vigawanyo vya Tawheed vinawabana wao kwenye ushirikina wao wanataka dalili kwenye Quran, Hadith, Maswahaba na Tabiin. Wakati huo huo wakitetea maulid na bidaa nyinginezo msingi huo hawautaki.
Shkh bachu maashallah hongera minakasha imekufanya uwe na hikma kdg mana unapata kusoma pia Kwa mashekh wengine
Yaan sheikh Kidawa ungekubali tu haqi, sio kwa kujidhalilisha ivi
Swali walizwa vingine wajibu vingine Acha ukiristo huwo wa mungu baba mungu mwana na mungu mtakatifu
UBISHI SIO USHEIKH....
Mtoto wa bachu elimu huna kasome ulivyo sikia inalaaha aliimun bidhaatisuduury mwenyezi mungu nimjuzi wa vilivyomo ndani ya nafs zao
Sheikh kidao Allah akuoe heri nimekuelewa sana ..
Unatia darsa iliyonyooka
Muhamadi bachu allah akuhifadhi endelea kuwafundisha
wew pumbav aendelee kufundisha bidaa wew pungi
Ameen
Mpiga danadana bachu😅😅😅
Bachu Huna unacho juwa jmn ebu someni kwanza
Huyu kidawa haelewi mashwali kabsa ana shida ya ufahamu
Mwenye akili timamu anaona jinsi kidawa anavyohaha, maswali yapo ndani mada lakin hawezi kuyajibu kwakua akijibu tu atakua kakubali vigawanyo vya tawheed, namuomba Allah amuhifadhu sheikh Muhammad Bachu
Pumbavu wewe na huyo bachu wako na mtajinyea pado
@ZaituniMkwamba siezi kutukana lakin ujue ww ni kiazi , na kw kua ww ni mwanamke acha nika kimya ila tambua kw matusi huniwezi
Bachu wasoma vitu usivyo vifaham
Watu wa maulid mkiulizwa maswali muwe mnajibu watu wapate faida kwann mnapenda ushindani
Huyu kijana hajielewi kazi ni kupoteza muda Tu wallah
Huu ndo mdahalo nilioupenda coz wenyeviti walikua makin san
Ww ni yonda tu
Mtoto wa bachu elimu ww huna
Sheikh bachu hiv unajiona unajuwaa hujiskii aibu ww lkn nakukusanya matabu hayo ujulikne umesom acha ujahili uwo waliosoma hswa hawakai namatabu kam hvy walisoma hswa wanajuw kwamba ww hujuw bali nimbishani tu kasome lugha kwnza
Nime jaribu kufuatilia mjadala huu tangu mwanzo ktk hoja ya mwanzo kuhusu shahada . Kwa kuwa makini katika kufatilia billa shaka huyu sheikh kidawa ameongea kupitia aya za quran pamoja na mtume tu. Ikiwa shahada ni mlango wa mwanzo kwa mtu kuingia ktk dini bila shaka ustadh bachu kakosa utetezi kutoka kwa mtume au allah. Ikiwa msingi utaanza kwa mola na mtume wake. Billa shaka sheikh kidawa kachambua vizuri sana. Nukta ya pili nilicho gundua ni lugha ina changanya ikiwa rabbi ndio allah anae faa kuabudiwa na ikiwa ilahi ndio anae paswa kuabudiwa na ndio allah kinacho mchanganya ustadh bachu ni kutazama saana wana wachuoni na kumsahau mtume na allah. Kiufupi sheikh kidawa katika suala zima la tawhid ameongea vizuri ni moja mtu akisha toa shahada amesha kuwa muislam. Kusoma na kuelewa ni vitu tafaut hapa naviona
Hukuona chochote basi,
UMEELEZA VIZURI MKUU ALLAH AKUWEKE UKIPATA MUDA INGIA KTK UTUBE UONE WANAOMPINGA ALLAH NA MTUME SAW KAMA HUO BACHU NA WENZAKE ANDIKA RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA
Kwahiyo hao WALIO Tunga vitabu hivyo WALIKUA Wana fanya Bida
Mwalimu akiweka masharti kwa wanafunzi akisema lazma kufata masharti:kutochelewa, kua na nidhamu na kusoma kwa bidii. Jee ni lazima aseme masharti ni matatu? 😂
Watu wa bidaa ni Shida sana,
Yaani kwa kuwa vigawanyo vya Tawheed vinawabana wao kwenye ushirikina wao wanataka dalili kwenye Quran, Hadith, Maswahaba na Tabiin.
Wakati huo huo wakitetea maulid na bidaa nyinginezo msingi huo hawautaki.