Ukabila atasema nn 1:06 goddess lema mbowe na lema wanatafoutiana lakini kanda moja chadema inaitaji kiongozi mpiyia wa juu na ni lisu na. Heche wapo makini wasafi ktk chama
@FrancisThomas-jc8wq watanzania sio wale wale siku zote akili moja tupo njee tunaifahamu siasa za nchini na njee ya nchi za kiafrica na playa uarabuni daspra sio wajinga kusadia siasa nchini lazina mjue hilo tupenda nchi yetu na wala ccm sio mbaya bali Baazi ya watu ccm ni ya watanzania hata chadema ni ya watanzania tunataka siasa za kistaarabu ktk taifa letu kubadilishana madaraka bila damu kwahityo tunaipenda hata ccm lakini kwa sasa freeman mbowe amuache tundulisu ili aeshimike kwa watanzania wengi
Hii ni kanjanja media for content..
Huyu mchaga mwenzake hawezi kumsaliti mbowe
SACCOOS WAMECHEMSHA 😢😢😢😢WAPOTOSHAJI HAWAJIELEWI
Nitaamin pare nitakapo isikia sautiya lema sio izipolojo
Lemma inajulikana hata bila kuandika. Huweza kumuunga mkono Lissu. Baada ya uchaguzi tutegemee baadhi ya viongozi kuhama chama.
Lema mwenyewe ni muathirika wa mfumo wa mboe
Lema hana sababu ya kutokumuunga mkono Mbowe kwa sababu ya ukanda....hana sababu nyingine
Ukabila atasema nn 1:06 goddess lema mbowe na lema wanatafoutiana lakini kanda moja chadema inaitaji kiongozi mpiyia wa juu na ni lisu na. Heche wapo makini wasafi ktk chama
Akili za ajabu yani mnataka kila mtu amuunge mkono lisu, acheni mihemuko.
@FrancisThomas-jc8wq watanzania sio wale wale siku zote akili moja tupo njee tunaifahamu siasa za nchini na njee ya nchi za kiafrica na playa uarabuni daspra sio wajinga kusadia siasa nchini lazina mjue hilo tupenda nchi yetu na wala ccm sio mbaya bali Baazi ya watu ccm ni ya watanzania hata chadema ni ya watanzania tunataka siasa za kistaarabu ktk taifa letu kubadilishana madaraka bila damu kwahityo tunaipenda hata ccm lakini kwa sasa freeman mbowe amuache tundulisu ili aeshimike kwa watanzania wengi
Unamwogopa mchaga wako😊
Lincon-media ni chawa wa ccm hilo lipo wazi .....ndiyo maana taarifa zenu za uongo uongo hamna la maana
Sasa title yako na maelezo yako mbona hayaendani?
Pumba tupu lincon-media, furaha yenu ni kuona kwamba Chadema inasambaratika
Pambavu
Shame on you lema