MKE WA MREMA ATAJA UTAJIRI WAKE, UMRI, NI MWANASHERIA, AWAJIBU WANAOMSEMA - "SIJAFATA PESA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 бер 2022
  • MKE WA MREMA ATAJA UTAJIRI WAKE, UMRI, NI MWANASHERIA, AWAJIBU WANAOMSEMA - "SIJAFATA PESA"
    Dorine Mrema Ambae ni Mke kwa Sasa wa Agustino Lyatonga Mrema amefunguka mbele ya waandishi wa habari juu ya Mali anazomiliki na Historia yake huku akieleza kuwa yeye hajafata Mali kwa mzee Mrema.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

КОМЕНТАРІ • 368

  • @upendolema9809
    @upendolema9809 2 роки тому +24

    Nimekupenda Doreen,mstaarabu,unajiamini,mzuri,uko sharp,unajituma,Yani umekamilika Kila idara.....Hongera sana🤝🤝🤝

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 2 роки тому +57

    Mzee mrema oyèeeeeeeee, leo kiki za wabongo wote umezima.

  • @kichenjekichenje2072
    @kichenjekichenje2072 2 роки тому +13

    Umejitoa sn Dada,Mungu atakubariki kwa kukubali kumlea Mzee.

  • @mariamal3179
    @mariamal3179 2 роки тому +25

    Siku zote gari bovu huvutwa na gari zima hongera mzee Lyatonga

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 2 роки тому +18

    Malikia wa nguvu 💪❤uko vzr kimaisha

  • @crazyallien8335
    @crazyallien8335 2 роки тому +2

    Unakuta watu wanamsema dada wa watu kumbe wanaona wivu👌👌 kila la kheri mrs mrema

  • @cosmaselias187
    @cosmaselias187 2 роки тому +6

    Wachaga wanamalengo ya mbali kweli hawa! Ckukashfu lkn wadada wa kichaga aaaaaah!

  • @winifridakasibu2900
    @winifridakasibu2900 2 роки тому +2

    Mwaya acha ujikarie na mzee wako vijana ni mataperi wanafata ela zakina mama ,hongera sana

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 2 роки тому +1

    Hongera Dada mwenyew na karibia kuolewa namzee Tena kupita mrema

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 роки тому +2

    Wow kweli mke mwema atoka kwa Bwana kweli Mungu akusaidie muishi vizuri

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 2 роки тому

    Uko vizuri My Sister Achana nao wanaoongea ukipewa pesa chukua wewe Ni Mke

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 2 роки тому +3

    Huyu mzee mtuzee mapenz hayachaguii , daa nam nkipata kama huyu doreen ntafurah sanaa mzurii sanaa

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 2 роки тому +6

    Dada anaupendo Sana na ameamua kumtunza huyu Mzee Mrema,

    • @pilichuli4449
      @pilichuli4449 2 роки тому +1

      Huyu dada kaamua kuturia kwa mzee kachoka kelo za vijana

  • @angelmfinanga2354
    @angelmfinanga2354 2 роки тому +4

    Mungu atamponya mh mrema na mtainjoy ndoa yenu

  • @edwinernest2012
    @edwinernest2012 2 роки тому +12

    Wabongo sisi bhana!! Rais wa Ufaransa ni Kijana mdogo sana lakini kaoa mke ambaye umri kama mama yake lakini life yao inaendelea na Celine Dion aliolewa na mume wa miaka sabini lakini maisha yaliendelea na bado alifurahia!! Hongera sana sana dada!!

    • @manilabonalumanula1014
      @manilabonalumanula1014 2 роки тому

      Wivu wao tu, wengi walitaka mama zao waachane na baba zao halisi wakaolewe na "kaimu" baba

    • @nelsonshillah6618
      @nelsonshillah6618 2 роки тому

      Tatizo mila taifa lina mila na desturi zake

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 2 роки тому +1

      Evidenced comment. Good

    • @joycenicodemus.2232
      @joycenicodemus.2232 2 роки тому

      @@manilabonalumanula1014 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @annamachaki3644
    @annamachaki3644 2 роки тому +2

    Hongera my mlee Mrema wetu

  • @himidijenga535
    @himidijenga535 2 роки тому +11

    Dada amekuwa star ndani ya muda mfupi. Hongera dada hicho ni kibali mungu kashakupa.

  • @giftshirima9822
    @giftshirima9822 2 роки тому +4

    Hana umri mdogo huyu dada nimuongo kwanza anasema anamiaka 39 mh tunakujua nawatt wako wote

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 роки тому +22

    Pesa haitoshi shoga ila imani yako anaijua mungu pekee

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому

      Swadakta

    • @evelinemsaki2057
      @evelinemsaki2057 2 роки тому +2

      Mlikutana wapi Ina maana ulimfuata mwenyewe dada muongo huenda mtaji alitoa mrema

    • @laurianj.luzwela2830
      @laurianj.luzwela2830 2 роки тому +2

      Pesa ikiwepo akipewa hatakataa ndo kasema

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 роки тому

      @@laurianj.luzwela2830 hahahaaa ndilo alilokwendea

  • @husseinkhaji895
    @husseinkhaji895 2 роки тому +4

    Dada hongera sana kuolewa kama umekwenda kwa dhati ila kama umeenda kwa ajili ya pesa Mungu anaona

    • @enterenter1921
      @enterenter1921 2 роки тому

      Mpuuz wew unasikikiza anachoongea au nn duu pesa gani wakat yeanamali zake

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 2 роки тому +2

    Si kweli kuwa alikuwa hamjui
    Mbona kuna picha amepiga naye wakati wa msiba wa Mke wa Mrema 😳

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 2 роки тому +8

    Duuu! Nilifikiri ni mdada poa kumbe ni bonge la mdada wa akili sana. Yaani kwa kweli Mungu ambariki sana mdada huyu. Kama shule hivi.
    Pia mzee Mrema kichwa kipo bado fit sana

  • @abdulaziz703
    @abdulaziz703 2 роки тому +1

    Shemegi, sawa tunaelewa wewe tajiri na unajitegemea pia hujampendea pesa mzee wetu Mrema. Ila tuambie tu, UMEMPENDEA NINI mzee wetu.??¿

    • @hieljoe1017
      @hieljoe1017 2 роки тому

      Hahaha.. huyu dada ni mwanasiasa ajae jina kashapata.

  • @mbwanajuma2143
    @mbwanajuma2143 2 роки тому +1

    Ikija kwenye suala la ngono utamua huyo mzee🤣

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 2 роки тому +22

    Mwacheni bi harusi jamani muacheni apumzike.....

    • @richimniko9801
      @richimniko9801 2 роки тому

      Nimekusikiliza Sana Mrs Lyatonga Mrema kwa tafasili za awali uko vizuri Sasa ngoma ni ktk Activity .

  • @asnathmasegenya9890
    @asnathmasegenya9890 2 роки тому +1

    Sema vizuri upate Baraka

  • @tausimhando6866
    @tausimhando6866 2 роки тому +3

    Shoga angu Doreen,🤣🤣🤣pole manake wamekusakama Wana habari paka hupati oxygen

  • @johnchacha559
    @johnchacha559 2 роки тому +2

    Bgup sana , nawaombea uzao mwema.

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 2 роки тому +18

    Wewe unayesema Mali yake haitoshi wewe unayo"acheni wivu

  • @rehemakimbi4456
    @rehemakimbi4456 2 роки тому +1

    Hongera saaaaana dada .... Mungu akutangulie kwenye maisha ya ndoa ....

  • @bahatiunami3526
    @bahatiunami3526 2 роки тому +1

    Dada amewaza mbali Sana ongera dada mm binafsi nimemuelewa

  • @yasintaluyela3656
    @yasintaluyela3656 Рік тому

    Mmmmh Mama mrema pole sn mjane mwnzng mungu atakufuta machozi.

  • @mozasalum9715
    @mozasalum9715 2 роки тому +3

    Uko juu doreen nimekupenda

  • @mwanjinzara8009
    @mwanjinzara8009 2 роки тому +1

    Doreen pls umebeba dhamana kubwa itunze na mungu akutangulie mzee awe salama

  • @fausitinanyamtegera203
    @fausitinanyamtegera203 2 роки тому +1

    Unafanana na Mr.Hongera sana usijali mambo ya watu.

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 роки тому +11

    Hongera Mungu akubariki umtunze babu yetu

  • @murashanigilbert9347
    @murashanigilbert9347 2 роки тому

    Mzee Mrema ni mchaga mjanja sana

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 2 роки тому +1

    Dada yupo smart kichwani

  • @wazirmlogi7532
    @wazirmlogi7532 2 роки тому +24

    Kuwa na aman tu dada siye hiyo tunajua ni ndoa yani ni kitu kilichosainiwa na mungu hivyo usiyajali ya walimwengu walio vichaa

  • @belthonkakuru2666
    @belthonkakuru2666 2 роки тому +2

    Mpingaji huyo the coming Regnard Mengi😂😂

  • @mcmlandali441
    @mcmlandali441 2 роки тому +12

    Don't judge a book for its coverpage. I appreciate you..... 👍

  • @alihongerageza1234
    @alihongerageza1234 2 роки тому +1

    Uko vzr sana, hongera umejibu sawasawa.

  • @makwebaernest1903
    @makwebaernest1903 2 роки тому +3

    Mdada kasoma upepo kupitia hili la harusi na Babu itampelekea kutangaza biashara zake na kutafuta nafasi ya kupenya serikalini soon tutasikia anajiandaa kugombea ubunge awamu ijayo make kashakuwa maarufu

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 2 роки тому +1

    mama mtunze vizuri mzee lyatonga mungu akubariki

  • @edinalyimo2275
    @edinalyimo2275 2 роки тому +3

    Safi mumy MUNGU akutangulie kwenye ndoa yako

  • @salmaabdulabdul777
    @salmaabdulabdul777 2 роки тому +2

    Huyo mzee angekuwa Ana kitu asinge mkubali kaona miela kwaiyo tunaomba umtumzee mzee wetu

  • @urumtewele9693
    @urumtewele9693 2 роки тому +5

    Nimekusikiliza kwa makini hongera sanaumetulia endelea hivyo ishi kwa Amani Mungu awe nanyi

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 2 роки тому

      Punguzeni ufilauni, jinga kabisa

    • @urumtewele9693
      @urumtewele9693 2 роки тому

      @@georgemassebu2083 asante sana lakini kuniita Mjinga sidhani ninachofahamu mtu mwenye hekima na busara hatukani bali anashauri au anatoa maelezo yanayoweza kumwelimisha mtu hivyo kutukana tayari inanionyesha wewe ni mtu waaina gani pole kakayangu tupo 2022 jifunze maisha si kuishi kwingi bali nijinzi gani umeyaishi

  • @isackmwaluko407
    @isackmwaluko407 2 роки тому +1

    Utaolewaje na kijana ukeshe!! Chagua mzee ule raha!! Amaah

  • @agnessmunisi6668
    @agnessmunisi6668 2 роки тому +2

    Hapana kwel hata kama ni upendo umri umeenda sana jamaniii.

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 2 роки тому

    Hongera Sana Sana, umemheshimidha na wewe utaheshimika Sana dada.

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 2 роки тому +13

    Wabongo acheni basi kumbana dada wa watu. Maswali mengi mpaka mmazozana wenyewe kwa wenyewe.

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 2 роки тому +3

    Kazi ipo, njaaa na tamaa ya pesa inatesa wanawake wengi

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 2 роки тому +11

    Wewe unaye Mali yake haitoshi"wewe unayo?acheni wivu

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 2 роки тому +10

    Mama mrema unaupiga mwingi Sana. Au ulikuwa mchepu, Leo ndio umepata usajili rasmi nini 😀😁

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому +1

      Global TV, mtutafutie story ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Mke wake Brigitte Macron. Mke wa Macron ana umri sawa na Mamake ! Brigitte alianza mapenzi kisiri siri na Macron wakati huyu Kijana alikuwa na umri wa miaka 16 tu, na alikuwa mwanafunzi wake... Wakati huo, Brigitte alikuwa na umri wa miaka 40... Alikuwa ameolewa na kuishi na Mume wake na watoto... Mwisho wa siku, Brigitte alivunja ndoa yake na kuolewa na Macron (Macron ni mdogo kuliko Watoto wa Mkewe)!

    • @mnyamamedia7439
      @mnyamamedia7439 2 роки тому +1

      @@j.c.maxima816 Sasa akutftie habari gani kama unajua story yake 😡😡

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Itakuwa tu mwendelezo wa Wanandoa hawa wa ajabu! 😆😆 Na itapata "views" nyingi! Watu watafurahia!🤣🤣

  • @hbdina
    @hbdina 2 роки тому +3

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿Kuwa na furaha Doreen maisha ni mafupi, ndoa ni ya watu wawili tu.Anyway huko maarufu sasa hiyo ni fursa 😂👌👍Congratulations to Lyatonga Mlema na Doreen 🎉🎊🎈💐

  • @owinookello9358
    @owinookello9358 2 роки тому +1

    nampenda huyu dada hajafata pesa anaongea toka moyoni watu lazima waonggee angalia mbele

  • @paulmtungalyambo4522
    @paulmtungalyambo4522 2 роки тому +17

    Hii nchi sio ya kuhama kabisa

    • @user-pr8pv2du2x
      @user-pr8pv2du2x 2 роки тому

      Hahahaha 😂😂😂😂 nimecheka

    • @athanaskalihamwe3046
      @athanaskalihamwe3046 2 роки тому

      Wewe umemaliza kazi. Haaaa haaaaa Wabarikiwe tu

    • @jamesjacob4508
      @jamesjacob4508 2 роки тому

      Hata tukisema uhame nauli unayo??😂😂😂

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 роки тому

      Hahahahaaà!!!!!!!!!tamu nchi hiiiiii!!!!!

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 2 роки тому

      TRUE, HATA AJE PUTIN HAKUNA KUHAMA 🤣🤣

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 2 роки тому +2

    Huenda biashara zote kawekeza mzee mwnywe ..

  • @shijaenock7638
    @shijaenock7638 2 роки тому +1

    Wachaga nyie nmewapgia salut huyu mwanamke kaenda kutangeneza pesa make anajua huyu mzee hana muda mref

  • @roseamos9930
    @roseamos9930 2 роки тому +7

    Uwiii hapana jaman 39-77 ndoa ni ngumu watyu wanazitafuta ...na kaolewa bado anamwita mzee mrema

    • @manilabonalumanula1014
      @manilabonalumanula1014 2 роки тому +2

      Kumwita mzee ni heshima, hata wanandoa wenye umri miaka 25/27 bado mme ataitwa mzee

    • @tutindagacheyo737
      @tutindagacheyo737 2 роки тому

      Mapenzi mapya unamwita mzee tayari, duuu kitu pesa hamna kingne hapo

    • @doreenkimbi9830
      @doreenkimbi9830 2 роки тому

      Yes Rose. Neno Mzee ni Heshima dear

  • @mwambarock2562
    @mwambarock2562 2 роки тому +1

    Imeisha iyo hautaki andamana .👨‍❤️‍💋‍👨👨‍❤️‍💋‍👨👫👫👫👫👫..

  • @godsonndamgoba8053
    @godsonndamgoba8053 2 роки тому +2

    Safi dada wanyoooshe

  • @suezanna2690
    @suezanna2690 2 роки тому +1

    Hapo Kwa umri nikama amedanganya 39 ? anakaa mzee kunishinda na tunatoshana umri 😆

  • @manning979
    @manning979 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bongo raha sana 🤣🤣🤣

  • @winifridandale8239
    @winifridandale8239 2 роки тому

    Mungu awalinde

  • @jescaedwardkurumela4333
    @jescaedwardkurumela4333 2 роки тому

    Good say, Mrema's wife

  • @angeluslijuja3408
    @angeluslijuja3408 2 роки тому +5

    Dada hao ni wanadamu tu simamia utashi wako ulio pewa na Mungu iyo ni ndoa halali kabisa na kibari cha mungu

  • @tutindagacheyo737
    @tutindagacheyo737 2 роки тому +1

    Hamna mapenzi ,ni umaarufu na pesa basi zingine siasa

  • @jaberjohn7556
    @jaberjohn7556 2 роки тому +10

    Good job. That’s diversity in Tanzania. Always they will be negative but now is being accepted in Tz. Good job Mrema

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 2 роки тому +1

    Wow mwanamke wa shoka

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 2 роки тому +2

    Kwani Mrema ana hela? Mnamsumbua Dada wa watu.

  • @imanidaraja8275
    @imanidaraja8275 2 роки тому

    Huyu Dada anajielewa kbs, hongera Sana Doreen

    • @paschalpeter3784
      @paschalpeter3784 2 роки тому

      Akuna aise kumbuka furaha ya ndoa ni .............. Unahis Doreen na mze wata.....................

  • @mshangaemmanuel8964
    @mshangaemmanuel8964 2 роки тому +2

    Safii sana ndyo inavyotakiwa mzee kachagua binti coz anajua atamtuza angechagua mzee mwezake je ni nan angemsaidia ikifika kipindi cha kushindwa kwake,so dada mtunze mzee wetu uwe faraja kwake achana na hao maneno mengi wanakuonea wivu

  • @kanalddyso4648
    @kanalddyso4648 2 роки тому +4

    Mrema siopoa, kawakalisha mastaa woote bongo..apo unapiga pesa UA-cam na Instagram.

  • @elisanteshayo3882
    @elisanteshayo3882 2 роки тому +1

    Mama zari limekujia kajizolee utajiri mzee hana muda mrefu sana ila anahitaji joto lako

  • @naamlungwana4329
    @naamlungwana4329 2 роки тому +2

    mama uko vizuri

  • @kelvinmbelekwa1219
    @kelvinmbelekwa1219 2 роки тому

    Hongera sana,,,

  • @geofreymalekana8000
    @geofreymalekana8000 2 роки тому

    Nakubali sana Mtanga mtangalile kakitu kazuri nimekawona bana

  • @vallentinmvungi6657
    @vallentinmvungi6657 2 роки тому

    Very good bro Mrema

  • @salumnkugwa9096
    @salumnkugwa9096 2 роки тому +1

    Kwani tatizonini mtu anakichagua anacho kipenda ndo moyo wake ataukonga

  • @emmanuelmtono7576
    @emmanuelmtono7576 2 роки тому +1

    Safi sana mahojiano na majibu yametosheleza kiu waliyotaka watu kuelewa. Nimefurahishwa sana. Hongera na Mungu akuzidishia raha za ndoa na azipunguze au afute kabisa karaha za ndoa.

  • @fadhilimartin9466
    @fadhilimartin9466 2 роки тому +1

    Huyu Dada ana takiwa ahojiwe na wana habari kama salm Kikeke ndio zaizi yake nyie wengine hamna kitu yani kama ni mpira mmesha pigwa tano bila na ndio kwanza kipindi cha kwanza na kiungo kime katika!

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 роки тому +7

    Huyu mama ametaka mali zaidi.Huwezi kuolewa Na MTU miakar Karibu ya 80 Wakati hujawahi kuolewa hata siku moja.Wewe NI hela Tu ei zaidi.Hela hela hela.Usitudanganye wala kujidanganya wifi yetu.Wajinga ndio waliwao.Mzee anakuhitaji.. Lakini isijekutokea Kesi ya Mengi na Jacqueline.Hongera Sana

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Mwanasheria huyo... Tena ana biashara zake, sio mtu masikini ... Ila akili yake labda imepata matatizo kidogo...

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 2 роки тому +1

      Dear sio kila mwanamke anafata pesa? Me nina mtu kanizidi miaka 30 mbele me nikidogo kwake hana hata kuku ila niupendo tu

    • @meryevance6944
      @meryevance6944 2 роки тому

      Nikweri hapo nipesa tu

    • @obedpeter7500
      @obedpeter7500 2 роки тому

      Uyu asitudanganye huna pesa kama ya mrema na pesa aijai unataka kuongeza utajiri,usome sheria Dada hayo ni matokeo ya darasani apo lazima kuna mkataba unaokuweka hapo,komaa utakua billonare baadaye

    • @narrissajackson3869
      @narrissajackson3869 2 роки тому

      Inawezekana lakini hilo haliwezi kuwa jibu sahhihi, Ila Umesikiliza alicho nacho, wewe ukiwa na mali kama alizotaja hapo utakuwa masikini.

  • @azizamvungi6409
    @azizamvungi6409 2 роки тому +2

    safi sana ndugu yangu hongera sana.naninakupenda sana mwanamke anayejiamini safi sana

  • @rashidngwawile9062
    @rashidngwawile9062 2 роки тому +8

    AKILA PESA ZA MUME WAKE SI MBAYA. KUKESHA NA ZINAA NA MALAYA WA BAR AU MAKASINO

    • @annajustin1945
      @annajustin1945 2 роки тому +2

      Wee Rashid sijui Rashida..kwani kakuambia nani wanawake wanaofanya kazi bar ni Malaya? Huo ni ufinyu wa mawazo..

    • @ijueimanikatoliki980
      @ijueimanikatoliki980 2 роки тому

      @@annajustin1945 💕

  • @julianamushi3392
    @julianamushi3392 2 роки тому +3

    Kikubwa dada umempenda mwenyew chaguo lako mwenyew hakuna shida mtunze mumeo mchangamshe ili asikusahau wacha wapiga debe humu wapigi cha muhimu mmependana bac mambo ya umri waachie wambea

  • @salmaabdulabdul777
    @salmaabdulabdul777 2 роки тому +1

    Hongera Dada umtunze mzee wetu na Wala akuna msichana au mdada anayependa kuolewa na mzee labda huyo mzee awe na hela Ila tyu Dada umtumzee mzee wetu

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 роки тому +13

    HALAFU KUMUULIZA MWANAMKE UMRI NI FEDHEHA KUBWA ACHENI TABIA HIZO.

  • @faridanassorogama467
    @faridanassorogama467 Рік тому

    Nyie waandishi mnasema haijawahi kutokea kwa umri wa dorini kuolewa na mume mwenye umri mkubwa njooni kwangu mie nimeilewa na mwanaume ana miaka 89 na mie Nina miaka 47 mapenzi hatachagui alafu hana Mali ni masikini

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 2 роки тому +2

    *Tajiri uwaga hatosheki*

  • @hamisimuna125
    @hamisimuna125 2 роки тому +3

    Waw

  • @sudaissaid8428
    @sudaissaid8428 2 роки тому +1

    anatamani apate mtt mwandishi suali bovu kabisa..sasa ukiolewa watamani upate kuku au

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 роки тому +1

    Nice mama

  • @egonbuzaile6174
    @egonbuzaile6174 2 роки тому

    Uko sawa mapenzi hisia

  • @rashidkipingu7358
    @rashidkipingu7358 2 роки тому

    Dada anatangaza biasharazake jamani hii haina tofauti na ile ya stive nyerere

  • @rosendanshau2674
    @rosendanshau2674 2 роки тому

    Mi love you Dorin ufuate pesa usifuate pesa we endelea na mumeo huyo.apatae mume apata kitu chema.ila muokoke mumzime shetani

  • @ruqayaruqaya4283
    @ruqayaruqaya4283 2 роки тому +2

    Huyo mama afaa kabisa kuolewa na mrema ni mtu mzm huyo mama

  • @winnerjudith2007
    @winnerjudith2007 2 роки тому

    God bless you mama

  • @aminamussahmsumuka6558
    @aminamussahmsumuka6558 2 роки тому +3

    Watangazaji hawajatulia eti watu mmemjalia kila mtu anamuuliza alafu eti angalia kamera sa mnataka aangalie sehem moja kama robot

  • @bahatihassan5413
    @bahatihassan5413 2 роки тому +3

    Tuliyasema kwa mengi nayakatokea ,saiv tunakuja kwa mrema naamin yatajirudia kudai mirath imeisha hiyo