Tatizo ni mfumo wa kuwapata hao mahakimu, majaji ndiyo mbovu hauoni hata Bunge la Sasa halina nguvu tena Kwa serikali ndiyo maana Watu wanataka katiba mpya Mifumo ibadilishwe Jaji anateuliwa na Rais unategemea Nini hapo
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Huna akili kabisa Mambo hayo sio Mungu ni mwanadamu na Mwanadamu Unafikir slaaa hamwamini Mungu Acha ujinga umeniuzi kweli yani Mungu anajua Kwanini yupo hapo
Tanzania !!Tanzania !!Tanzania watawala wangu wanako kupeleka wanajuwa wenyewe sijui kama unaumwa au uhai mimi yangu macho tusio na macho tunaona wenyewe wanao oña wanafumba macho tusilazimishwe kufumba macho wote oneni jamani siyo kabisa Utakufa Tukiku angalia pole sana Tanzania ninaye kupenda daima moyoni mwangu
Wewe Muite anaropoka Hio Nchi haina Sheria na kuna Siku yakikukuta ndio utaelewa.Mzee Ali Kibao alitekwa kwenye Buss na kuuwawa jee na yeye alijitakia.Kuweni na mioyo ya kibinadamu Hatupaswi kuwa hivyo.
Kwani uongo?, nikweli slaa karopoka anatakiwa awempole tu mamlaka zimuhurumia umri alionao sio rafiki kufanya mambo Kama hayo na kua katika mazingira hayo binafsi niombe tu mamlaka zimuhurumia coz anaonekana afya + umri sio rafiki kwake na Mzee slaa pia ajitathmini mwenyewe na achague upande akipenda kuendelea kutumika kisiasa haitakua nzur kwake muda haupo upande wake alishafanya ya kufanya Sasa atulie tu.
Ona aibu wewe na mzee wako kupayuka hovyo, acheni kuleta mazoea na serikali makosa afanye Doctor silaa aibu aone rais wapi na wapi acha kumuandika rais na kumuhusisha na mambo ya makosa yenu huyu mzee aache kutumika kisiasa
Watanzania bwana huyu Mzee alivyokua anachezea vyombo vya Dola na kutukana mmekaa kimya tu bila hata kutoa ushauri Kwa huyu Mzee kua pumzika acha kupambana na Dola. SI kitu kizuri kwake
MUNGU AKUBARIKI DR SILAA UNATESEKA KWA KUWATETEA WANANCHI WANYONGE WASIOKUWA NA UELEDI WA HAKI ZAO WANATESEKA NA MAISHA MAGUMU MNAOMTESA HUYU BABA SIKU MOJA MTAYALIPA.MBELE ZA MUNGU
Hii nchi yetu inalaana kubwa sana wanajalibu kufanya kila linalo waflahisha mioyo Yao hata kwa kudhulumu maisha ya wengime ili mladi tu wapate Wanacho kitaka kisa wako selikalini
Tanzania tumelelewa kuwaheshimu na kuwatunza wazee na kuyanyamazia yale wanayoyatamka kwa hasira na mihemko, mstufundishe utamaduni mpya kuwadhalau kuwakamata kamata, sisi wazee wakiingia hata kwenye gari tunaangaliana nani anyanyuke
Mi namuomba mheshimiwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania amsamehe tu si Kila atae sema kuhusu yeye amfuatilie mengine asamehe tu tuendelee na mengine
Hii ni dalili tosha ya utumishi wa umma hii leo umejaa watumishi kama sio wote walio wengi ni wenye vyeti feki. Kama matokeo tunashuhudia leo kila kona utendaji usio na hekima, weledi wala utu! Comde Slaa analindwa na askari/silaha kama makomando utadhani Paulo Escoba gwiji wa madawa ya kulevya kule Mexico! Kisa: Slaa kasema rais Samia anaongea na Mbowe/anafisadi uchaguzi CHADEMA! Mwamba Magufuli alipiga vita sana vyeti feki, alivojiondokea, sera hii ikatupiliwa mbali na kuwarejesha kazini vyeti feki! Hivyo kuhalalisha vyeti feki zaidi vipya! Sasa tusishangae mauzauza: polisi - sisi ni weledi, tutachunguza kifo cha mzee Kibao, hadi leo kimya! Mchengelwa - CCM imeshinda kwa 99.8! (Kwa viwango hivi hakika CCM sasa ni malaika!) CAG - jamani kuna ufisadi, serikali kimya! DP World badala ya yeye kunyenyekea kuomba kazi kwa wa tanzania ya kuendesha bandari, Steaven Wasira (na wenzake) aliziara nchi nzima kumuombea kazi huku DP World amelala mustarehe Dubai! Na mengine mengi, si rahisi kuyataja yote hapa!
Samia unamtesa mzee hivyo kisa mmetofautiana mawazo duuu,this is not good,na wewe Mzee Silaha mwombe Mama Samia msamaha muyamalize na wacha ongea mambo ynayokwaza serikali,toeni tofauti zenu hatuwezi wote tukawaza katika mtazamo ulio sawa lazima tutatifautiana
OOH MAMA TANZANIA....AIBU NA FEDHEHA KUBWA KWA TAIFA LETU KWA HAYA MAMBO YA AIBU YALIYOFANYWA NA HAKIMU WA MAHAKAMA YA KISUTU, OFISI YA DPP AKISHIRIKIANA NA POLISI....AIBU KUBWA SANA KWA SERIKALI YETU....DUNIA INATUSHANGAA!
Serikali inapenda kuwafunga watu wanaowakemea wezi ili waache Wizi. Na wale wezi wanalindwa. Yaani hapa Ni Mungu tu aingilie Kati. Ni ngumu Sana hii kuwaondoa wezi madarakani. Wanalindwa sana
Slaa mwenyew ndio mwizi mkubwa alikimbia upadri kwa tamaa ya fedha za siasa hayo ndio malipo yake, alipokua anatukana na kuwadhalilisha watu tena viongozi hakujua Kama Kuna sheria?
@kamanapomo7029 lakini Serikali yako si ilimpa ubalozi huyo baada ya kutoka ujambazi akiwa Padre. Sasa Serikali kwanini ilimfuga kumpa ubalozi. Ndiyo maana nasema Serikali inapenda kutetea majambazi. Leo jambazi mwenzao kawageuka inawauma nini? Huyo tayari ameshajua mbinu za ujambazi mnazotumia. Mwacheni huru.
Haya yanaonekana ni maagizo kutoka juu kabisa lakini yatapita tu sote ni damu na nyama mungu wetu atatenda kwa wakati usio julikana mteseni mzee lakini ipo siku
Wanaacha mawaziri majambazi,wanafunga watu wanaotetea mali za Tanganyika
@@timboxlee919 huyo pimbi tu,wenzake Wana kula bata yeye ananyea DEBE
Mungu Akubariki Peter Madereka na Team yako, Dr Peter Slaa uko salama kwa uwezo wa Mungu. Insha Allah
Mbwembwe nyingi nguvu kubwa Askari wengi Kwa mzee.just intimidating
AT THE END OF THE DAY EVERYINDIVIDUAL WILL DIE. Pole sana Dr Wilbroad Slaa
Yaani ni upuuzi sana mahakama zetu zimegeuka kuwa chombo Cha siasa na ukandamizaji.
Tatizo ni mfumo wa kuwapata hao mahakimu, majaji ndiyo mbovu hauoni hata Bunge la Sasa halina nguvu tena Kwa serikali ndiyo maana Watu wanataka katiba mpya Mifumo ibadilishwe Jaji anateuliwa na Rais unategemea Nini hapo
Dokter Slaah tuko pamoja tunazidi kukuombea namungu akulinde
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Huna akili kabisa
Mambo hayo sio Mungu ni mwanadamu na Mwanadamu
Unafikir slaaa hamwamini Mungu
Acha ujinga umeniuzi kweli yani
Mungu anajua Kwanini yupo hapo
Hata injili yenyewe Hujui Mbinguni sio ENEO la kijeografia Ni ufahamu
Mbinguni ni ndani yako Acha kutarajia kwenda mbinguni
@@childofgod3216sasa ndg biblia inasema nitawahukumu kwa sheria zilezile mliojiwekea
Mwachie dk sira mzee wetu moja ya wazelendo wa nchii hii wapenda haki.
Aisee,tz kwa hiki kinachoendelea kwa dr.slaa ni aibu na unaweza kuona jinsia mahakama zetu hazipo huru,wanafanyakazi kwa maelekezo ya watawala.
Yes
Hilo lizee silaa lilijifanya mjuaji Sanaa aache uwongo atambue raisi ni taasisi kubwa
Serikali du!
Ila askari magereza Wana mbwenbwe 😅😅😅
Wanambwembwe au wanasifa??
Mafala tu😂
Tanzania !!Tanzania !!Tanzania watawala wangu wanako kupeleka wanajuwa wenyewe sijui kama unaumwa au uhai mimi yangu macho tusio na macho tunaona wenyewe wanao oña wanafumba macho tusilazimishwe kufumba macho wote oneni jamani siyo kabisa Utakufa Tukiku angalia pole sana Tanzania ninaye kupenda daima moyoni mwangu
Mungu tunakuomba umnusuru mzee wawatu,ukweli hana kosa,
Jambo God bless you always,
Tufike mhli hwa wazeee tuwalipe waliofanyia hpa Dunia ,Tusisahahu mema Yao maxury tusiyasahau tukahukumu kwakidgo alichokifanya.Tuwaelimishe ili waishi uzee wao kwawema.
Sio aache siasa, bado hatujapona
Mungu akutetee
Mahakama nizatia aibu kweri mnamteza mzee wawatu makusudi subri mtaktana na mungu.
Jaman
Tunaomba mahakama impe dhamana Mzee wetu
Sema nani alikwambia Rais katoa hela mzee?,au wamepigiana simu?,ulipo pewa ubalozi ulikubali ulipotolewa umeanza umbea,sasa utamjua Samia vizuri,hongera mama samia mitano tena.
Mimi najiuriza Mzee mangufuri adi alimpa ubarozi duu
Wewe Muite anaropoka Hio Nchi haina Sheria na kuna Siku yakikukuta ndio utaelewa.Mzee Ali Kibao alitekwa kwenye Buss na kuuwawa jee na yeye alijitakia.Kuweni na mioyo ya kibinadamu Hatupaswi kuwa hivyo.
Kwani uongo?, nikweli slaa karopoka anatakiwa awempole tu mamlaka zimuhurumia umri alionao sio rafiki kufanya mambo Kama hayo na kua katika mazingira hayo binafsi niombe tu mamlaka zimuhurumia coz anaonekana afya + umri sio rafiki kwake na Mzee slaa pia ajitathmini mwenyewe na achague upande akipenda kuendelea kutumika kisiasa haitakua nzur kwake muda haupo upande wake alishafanya ya kufanya Sasa atulie tu.
Hivi Samia Suluhu haoni aibu kweli kwa matendo haya ya kipuuzi
Godly blindness
Ona aibu wewe na mzee wako kupayuka hovyo, acheni kuleta mazoea na serikali makosa afanye Doctor silaa aibu aone rais wapi na wapi acha kumuandika rais na kumuhusisha na mambo ya makosa yenu huyu mzee aache kutumika kisiasa
Mzee ndio mpuuzi ningekuwa mimi Rais
Kwani amefanya nni?
Samia sio mahakama ,cha msingi usaliti wake utamuumiza , Mzee angeachana na siasa akalea vitukuu ,sasa hata lissu hana muda naye
Twaafwa Watanganyika. Tukimbilie wapi Yarabi, Mahakana zenyewe ndio hizi...
Moja ya mambo ya aibu kwa taifa ni kuendelea kushikila mzee Dr slaa mtu mwenye. Hazi zake na pia mzee huyu ajaonekana kutenda kosa wakina ndani
Wacha afundishwe kusheshimu dola
Watanzania bwana huyu Mzee alivyokua anachezea vyombo vya Dola na kutukana mmekaa kimya tu bila hata kutoa ushauri Kwa huyu Mzee kua pumzika acha kupambana na Dola. SI kitu kizuri kwake
Sasa kama ametukana si ahukumiwe ?
Kuma la mama yako
@Wardenburg-h5x wewe acha matusi ni jinsi Gani umefilisika kimawazo .Mimi sikutukani ila Dola l itakushukia😀
Hivi kuns haja ya dr Slaa kulindwa kwa mbwembwe hivyo kama amekuwa Gaidi au kaua mtu laana itawapata wahusi wakati wa MUNGU ukifika.
Lisu kashinda tayr na we umesha shinda apa ni swala la mda2🇹🇿✌️✌️✌️❤️❤️💪💪💪💪💪💪🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🙏🙏
Tz bhana 😂😂😂 Yani kama Gahidi
Inachekesha kwa huzuni sinema tupu .Tupo bado usingizini
Drama za kututishia raia wa Tanzania 😢
@leokamil6284 kabisa
Kwa kweli hii selikari iwe na huruma. Umri wa mzee slaa umeenda sio wa kukaa rumande bila sababu za msingi.
Hoja dhaifu, wazee wapo wenge sana nchi hii, huyo kakosea aombe radhi mamb yaishe ujuaji wa uzeeni sio sawa aachekutumika vibaya
Shetani hawezi kuwa na huruma
Wazee si wengi kwa nini akamatwe yeye. Au kichwa kikubwa akili kisoda
Dah mzee wetu anateseka jamani
Kwa kile alichokisema anastahili
Kasema uongo ingekuwa vema angeomba msamaha
V@@giztony2009Wala hastaili mana hajaua mtu mbona
Wacha afundishwe kuheshimu dola
Iyo ndio dawa yake, ttzo lake ni kiherehere sana
Kazi ya Mama na "R" nne ipo kazini 😮
Mzee anamaliza vibaya kwenye siasa zake jmn kila jambo Lina mwisho wake
Wajinga ndiyo mtaamini kuwa anamaliza vibaya muda wake
Tanzania mambo yanayoendelea ni aibu mambo yakijinga SANA serikali ya samia imeshindwa kuendesha nchi
Muogopeni MUNGU kwa mnavyomtendea huyu Mzee. Duniani tunapita tu!
Upo sahihi ndg...yaani watu utu umepotea tunaishi kama wanyama pori yaan alie na nguvu ndo mwenye haki
Tuna serikali ya hovyo sana!
HAPA BONGO HAKUNA SHERIA KABISA
Mahakama ya Tanzania ni ovyo sana imegeuka chama Cha siasa
Mmh nimetumia sanaaaa
Hilo zee silaa ni mchochezi achukuliwe hatua kali za kisheria
MUNGU AKUBARIKI DR SILAA
UNATESEKA KWA KUWATETEA WANANCHI WANYONGE WASIOKUWA NA UELEDI WA HAKI ZAO
WANATESEKA NA MAISHA MAGUMU
MNAOMTESA HUYU BABA SIKU MOJA MTAYALIPA.MBELE ZA MUNGU
Iviii ileee makamaaa yaaa mafisadii ikooo waziii auuu imefungwaa naonaaa wanahangaikaaa naaahuyuuu mzeee wajanjaaa wanapigaa elaaa wanabadilishiwaaa wizalaaa tuuu tanzaniaaa ninchií yakishalii shalii tuuu
Hii nchi yetu inalaana kubwa sana wanajalibu kufanya kila linalo waflahisha mioyo Yao hata kwa kudhulumu maisha ya wengime ili mladi tu wapate Wanacho kitaka kisa wako selikalini
Slaaa hiyo ni sehemu ya kazi yake huwezi kuwa mwanaharakati bila kukukuta hayo yeye yupo sawa tu
Safi kabisa wakili msomi
Nawashangaa mnaomlaumu Mama ! Tatizo lipo kwa huyo mzee yeye ndiye aliye Twitte ujinga kumuhusu mama sasa muacheni apate alichokua akikitafuta.
Jamani mpe haki huyo mzee
Vyama vya upinzani ongezeni nguvu mzee Slaa apate dhamana,
CCM NI CHAMA CHA UONEVU HAWATAKI KABISA KUKOSOLEWA KILA KITU WANACHOKIFANYA WAO NI SAHIHI LKN YANA MWISHO WAKE
Daaah nchi hii😢😢😢😢
Tanzania tumelelewa kuwaheshimu na kuwatunza wazee na kuyanyamazia yale wanayoyatamka kwa hasira na mihemko, mstufundishe utamaduni mpya kuwadhalau kuwakamata kamata, sisi wazee wakiingia hata kwenye gari tunaangaliana nani anyanyuke
Mi namuomba mheshimiwa Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania amsamehe tu si Kila atae sema kuhusu yeye amfuatilie mengine asamehe tu tuendelee na mengine
Kwani huyu mzee hata angekuwa askari mmoja anaweza kukimbia kweli au ni mbwembwe tu
Analindwa sio Asikimbie...Analindwa ili Asizulike.wangemsamehe tu Mzee ..Naona kama Amechoka kiafya.
Kwani huyu mzee wakimwacha alale nyumbani na kwenda mahakamani kila wanapomhitaji kuna shida?
Yaaani
Askari wa Tanzania vituko kweli😂.. sasa huyo pimbi kavalia kama anakwea mlima Everest😂
Mahakana imeahirisha uamuzi Ili kusubiri maelekezo kutoka juu kama Dr.Slaa apewe dhamana au la.
Ukipanda mahindi utavuna mahindi so watavuna wanachopanda. Mbingu na ahdra iko hapahapa. Mungu ni wa haki atahukumu kwa haki.
Kwa umri huu na uzee huu Dr slaa ulikuwa hauna sababu ya kusumbuana na dola.
Komenti zingine ni za kipuzi sana wewe kripu aliogea mzee silaa hijaiona.acha wanasheria wafanye kazi zao.
Samia kapania na ndio sababu Dr. Mpango ameamua kujitenga na maovu haya.
Unaushahidi na hilo?
CCM na serikali mnatia aibu sana mnawaogopa hata wazee vikongwe? basi mmefirisika vibaya kisiasa, mwisho mbaya unawasubiri.
Yani bongo bwana sasa huyu mzee ndio tushio sio mpka mwampeleka left right
Ni jambo la aibu,serikali imajidhalilisha.
daaa hayaa mungu hana yaona
Hv kanisan au misikitini huwa mnaenda kweli na bdio maana mkifa tnafrahi
Wanaenda ila Mungu hayupo
Yani maaskar wa kibongo baana yani wanamlinda mzee na srahaa kubwa utazan jambaz
Kudos akili ni Jamboree LA ajabu mno.. Ndio kinachowasumbua
Hii ni dalili tosha ya utumishi wa umma hii leo umejaa watumishi kama sio wote walio wengi ni wenye vyeti feki. Kama matokeo tunashuhudia leo kila kona utendaji usio na hekima, weledi wala utu! Comde Slaa analindwa na askari/silaha kama makomando utadhani Paulo Escoba gwiji wa madawa ya kulevya kule Mexico! Kisa: Slaa kasema rais Samia anaongea na Mbowe/anafisadi uchaguzi CHADEMA! Mwamba Magufuli alipiga vita sana vyeti feki, alivojiondokea, sera hii ikatupiliwa mbali na kuwarejesha kazini vyeti feki! Hivyo kuhalalisha vyeti feki zaidi vipya! Sasa tusishangae mauzauza: polisi - sisi ni weledi, tutachunguza kifo cha mzee Kibao, hadi leo kimya! Mchengelwa - CCM imeshinda kwa 99.8! (Kwa viwango hivi hakika CCM sasa ni malaika!) CAG - jamani kuna ufisadi, serikali kimya! DP World badala ya yeye kunyenyekea kuomba kazi kwa wa tanzania ya kuendesha bandari, Steaven Wasira (na wenzake) aliziara nchi nzima kumuombea kazi huku DP World amelala mustarehe Dubai! Na mengine mengi, si rahisi kuyataja yote hapa!
Hata jambazi akiwa mahakamani hakuna haja ya kubeba silaha namna hii labda kama Yuko kwenye tukio la ujambazi au kama ni gaidi.
Samia unamtesa mzee hivyo kisa mmetofautiana mawazo duuu,this is not good,na wewe Mzee Silaha mwombe Mama Samia msamaha muyamalize na wacha ongea mambo ynayokwaza serikali,toeni tofauti zenu hatuwezi wote tukawaza katika mtazamo ulio sawa lazima tutatifautiana
Mabunduki kulinda mtuhumiwa mzee, mtoto kauliwa na fisi Simiyu!!!!
OOH MAMA TANZANIA....AIBU NA FEDHEHA KUBWA KWA TAIFA LETU KWA HAYA MAMBO YA AIBU YALIYOFANYWA NA HAKIMU WA MAHAKAMA YA KISUTU, OFISI YA DPP AKISHIRIKIANA NA POLISI....AIBU KUBWA SANA KWA SERIKALI YETU....DUNIA INATUSHANGAA!
Em muacheni huyo mzee bwana mnamtesa sana jmn
Kamateni mafisadi na wala rushwa! Sio wanao waking! Laana inawatawatafuna!
Kwa umri huu lengo kumtia presha mzee adondoke mana hakuna jambo alofanya ujinga tu
Tz viongozi hovyo
Mtamuuuwa bule mzee wa watu
Wakumuuwa Kwani wao Wana hati miliki ya uhai au Wana ujomba na mungu?
Huyu Mzee akitoka na akutulie achane na siasa
Huyu mzee mnamtesa bure mnajilimbikizia laana Mahakama na serikali yenu. Kawafanya nn huyu mshua mbona hana hata shida na mtu
Mwacheni mzee amechoka. Huenda hata aliyoandika sio akili yake. Ni uzeeee 😅
Slaha stafu siasa umezeeha achia vijana jamani
Tunawaamini mawakili wetu kuufatiria kesi ya dokter Slaah il aachiwe huru wanaamua tu kumtesa mtetezi wawanyonge wananchi watanzania .
Watanganyika tunahangaika sana
Wewe mnyarwanda
Nakuonea huruma dr slaa lkn nadhani tujifunze kutokuwa wasemaji wa mambo yasiyo na ukweli,taasisi ya urais ni kubwa mno
Sasa huyo babu,simuachie tu
Serikali inapenda kuwafunga watu wanaowakemea wezi ili waache Wizi. Na wale wezi wanalindwa. Yaani hapa Ni Mungu tu aingilie Kati. Ni ngumu Sana hii kuwaondoa wezi madarakani. Wanalindwa sana
Slaa mwenyew ndio mwizi mkubwa alikimbia upadri kwa tamaa ya fedha za siasa hayo ndio malipo yake, alipokua anatukana na kuwadhalilisha watu tena viongozi hakujua Kama Kuna sheria?
@kamanapomo7029 lakini Serikali yako si ilimpa ubalozi huyo baada ya kutoka ujambazi akiwa Padre. Sasa Serikali kwanini ilimfuga kumpa ubalozi. Ndiyo maana nasema Serikali inapenda kutetea majambazi. Leo jambazi mwenzao kawageuka inawauma nini? Huyo tayari ameshajua mbinu za ujambazi mnazotumia. Mwacheni huru.
Haya yanaonekana ni maagizo kutoka juu kabisa lakini yatapita tu sote ni damu na nyama mungu wetu atatenda kwa wakati usio julikana mteseni mzee lakini ipo siku
😢😢
Mzee mwenyewe kutembea shida askari wote hao wa kazi gani.
😂😂😂 mi mwenyewe najiuliza yaaani dooh
Kafanyann
HAWA MAWAKILI WANAKAUKA MAKOO WANATETEA CHAO WAKO KAZINI HAO.
Huyo mzee muachieni
Mimi nadhani wanatka kuwajua hao waliompa taarifa
Mwachieni jamani huyo ni mzee msinyanyase hivyo
YAANI NI JAMBO LA AIBU SANA KWA SERIKALI YETU
utazani mtuhumiwa ni bonge lajambazi
😮😮😮😮😮
Nimaagizo kutoka juu hayo
Awamu ya bibi inaonea sana wazee
Kamdomo kamdomo
KOMREDI SILAA....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU.
Huyu ni komredi wa kuropoka hivyo.wacha ya mfike.
😢😢😢😢
Acha anyowoke mze anazalawu sana
Sawa sawa.
Dah serikal hii jmn
Mzee kama huyo mnamwandama kama gaidi jaman wanalaana hawa