We mzee huwa nakupendea kitu kimoja tu cha umbea wa kuiongelea yanga vibaya kila kukicha. Nilifikiri utakaa chini kuitafakari timu yao ilifeli wapi mpaka kushika nafasi ya tatu. Domo kubwaaa!!!
Kumbe ushabiki nao ni sana 😂😂😂, ki uhalisia wanayanga hawana baya juu ya Fei Wala mchezaji yeyote aliyewahi chezea Yanga. Shida ni baadhi yao ndiyo wenye matatizo akiwemo Fei maana analazimisha kushindana na mashabiki wa Yanga anasahau kuwa yeye ni mmoja mashabiki ni wengi. Nitoe mfano tu Ntibankiza, Bangala, Msuva na wengine mbona hawasemwi vibaya na mashabiki wa Yanga?.
Mtasema sana,ningeomba uisemee shirikisho lako pyeeeee
We mzee huwa nakupendea kitu kimoja tu cha umbea wa kuiongelea yanga vibaya kila kukicha. Nilifikiri utakaa chini kuitafakari timu yao ilifeli wapi mpaka kushika nafasi ya tatu. Domo kubwaaa!!!
Huyu jamaa ni popo muda wote Hana Msaada Kwa timu yake
wew Fei hana shida ya kurudi yanga
Ww k kwel ushindi wa magumashi wakati ww umepigwa gool 7 kwanza katoe ekari 4 ulizoaidi ngili weeee
Hakuna mwenye shida fei ila Hana adabu hata akiomba kurudi yanga hakubaliwi zwazwa huyooo
Arudi utopolo kufanya nini? Nyinyi yanga ndo hamna adabu. Kibaya zaidi mna roho mbaya na washamba
Kisugu usijipendekeze kwa fei ila ishauli timu yako ifanye marekebisho huku ukiipambania familia yako uchawa unaoutafuta kwa fei hauna fillchure kwako
We kisugu usitudanganye hiyo ishara maana yake mmeniona hapo si sawa
Huna mpango chawa mkubwa
Bro kisugu wewe ni wa ovyo sana mwongo sana fei alionyesha kuwanyamazisha yanga ila wewe kichaa unayeongea bila kujua
Huyoo kibichwaa ni kunguni huyoo kisugu hana jipyaa chawa. Bichwa
Jamaa mshamba tu si muongeaji wa football, ni mshabiki maandazi, aige kwa miraji yule ni mshabiki wa Mpira Tena smba mwenzake
Huyu KISUGU ni shoga tu Hana Jipya
Utasema tu mwishowe utakubali
Kombe la kisugu ni fei
Ya namkubali kisugu
Kisuhu ni msenge tu hunalolote sawa na mauzinde huku kwetu zanzibar
Kumbe ushabiki nao ni sana 😂😂😂, ki uhalisia wanayanga hawana baya juu ya Fei Wala mchezaji yeyote aliyewahi chezea Yanga. Shida ni baadhi yao ndiyo wenye matatizo akiwemo Fei maana analazimisha kushindana na mashabiki wa Yanga anasahau kuwa yeye ni mmoja mashabiki ni wengi. Nitoe mfano tu Ntibankiza, Bangala, Msuva na wengine mbona hawasemwi vibaya na mashabiki wa Yanga?.
Pambana nahali yako
Aulizwa mengi ajibu mengine mshamba kweli uyu
Wachen kumdiscus fei dogo anakipaji harogeki
Ajifanya ajuwa kusema kweli ila ana lolote
Wewe kweli bichwa tenge kwani shabiki kazi yake ni nini
Kisugu usiape mbona unachanganya
Armando Diego maviiii
Ni kweli yanga wana chuki na roho mbaya dhidi ya Fei