Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Aende kwa mama samia ampe kombe
Eti fei Toto,mayele,jemedali,elisasi,jonesia,ndimbo,kasonzo,kalia ,w.oluma,g.job ni viumbe vya kuzimu?
Huyo siyo mtoto ni mtu mzima ambaye hajitambui
Jiwe la msingi lile
Msipate taabu na kiswahili Cha Zanzibar . Hapa Unguja mtumzima kuitwa mtoto Ina maana yake .
Hivi Fei kugomea medali anamkomoa nani? Akili ndogo kashindwa kujua madali ni za TFF na CRDB waandaaji wa kombe la FA si medali za Yanga.
Inaonekana kipindi fei ananyonya mama yake amembemenda sana ndio maana ana akiri za kuzimu
Huyo ni mtoto wa mama inajulikana
Fei sio mtoto Bali hajitambui tu
Muacheni mwana kumsakama
Fei anan'gara na ataendelea kun'gara nyie semeni mwisho mtalala
Na wewe ni waajabu,Mfundisheni mtoto wenu Adabu!Msimtumie Kiburi
Badala ya kumfundisha adabu wewe unasema aachwe.ina maana na wewe hujafundwa

Na wewe ni waajabu,
Mfundisheni mtoto wenu Adabu!
Msimtumie Kiburi