Pongezi sana kwa wimbo...kwa ushauri wangu, usibadili style yako ya mivalio unayo valia kwenye nyimbo zako au zakushirikishwa na waimbaji wengine... tambuwa unatizamwa na wadogo zako, dada zako, kaka zako, mama zako, baba zako na kadhalika...ivo basi uwe mfano bora kwa kizazi kijazo dadangu.... pia kama nitakuwa na kosea unisamee....
Proud to be mbebe 💯 %....je vous aime mon peuple du fond du cœur....merci ma soeur de m'avoir rappelé mes origines après plus de 15 ans loin de mon territoire
Nafataka nyimbo zako sana na nifuraa sana lakini kisuahili na kibembe yangu sio mzuri sana nilicha kwetu miaka mingi sana Naismith hapa Cologne (Allemagne)Mungu akulinde
Kitu kikisimamiwa nawakubwa lazima kiwekikubwa sana ❤😂🎉🎉🎉🎉nakupa Mauwa Yako 🎉🎉🎉
Asante Kaka yangu miye🙏🏻
I’m ready to be one of the most supporters of this generation (mireille) mmbebe toka hapa Virginia USA
Where in VA?
Félicitations mtoto wetu Mireille kwa kazi nzuri uliyo ifanya ❤❤❤❤❤❤. Najivuniya kuwa Mubembe abenu hadi raha sana 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼🔥🔥🔥🔥.
🙏🏻
I like it ,me too
Lesheeeee, akunakitu kitamu sana kama kuzaliwa mubembe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤💪🏽
😂🙏🏻
I like it,me too
usha ona
Yahani ni raha sana kuzaliwa mubembe🎉❤❤🎉
ninavyo jivunia kuzaliwa mcongomani❤ tena mmbembe ni raha mtupu❤❤❤❤❤🎉🎉
🙏🏻
fière sana kuwa mbembe❤
Kama unamkubali Mireille tosha gonga like twende sawa
Namupenda saana
napendaka sana udada iko nasauti ya mzuri sana❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Tumupe dada yetu nguvu! Félicitation dada, najivuniya kuwa mubembe
🙏🏻
Asikwambie mtu ❤
❤❤❤
Bien que ne comprenant pas cette langue, j’avoue que da Mireille UNANITUMBWIZA KABISA NA HUU MWIMBO. Courage… la dada.
Babúngwe to the world umehuwa dada yangu we ni machine de Guerre kweli by Jolby
🙏🏻
Mwakole manga dada ❤❤ niatari kabisa
Je m'ensouvien Mon enfance wana Ep Lugufu mpo wapi ninakikao nanyi
😂🙏🏻
😂
Pongezi sana kwa wimbo...kwa ushauri wangu, usibadili style yako ya mivalio unayo valia kwenye nyimbo zako au zakushirikishwa na waimbaji wengine... tambuwa unatizamwa na wadogo zako, dada zako, kaka zako, mama zako, baba zako na kadhalika...ivo basi uwe mfano bora kwa kizazi kijazo dadangu.... pia kama nitakuwa na kosea unisamee....
najivuniya kuwa mbembe mbondo ,mungu akubariki dada yangu akutiye nguvu❤❤❤❤
This is cacha songs of bembe from drc congo
Ila mireille unajua chezesha nyonga zako wangap mumeona ilo gonga like apa kama na ww Umeona kiono chake kilivyo laini 😋🥵😁😁
Even if I don't understand this but it is wow🎉❤,,more love from Kenya
You’re welcome brother the music is from Congo 🇨🇩 and she’s singing in kibembe traditional language tunakupenda sana 🙏🏿🙏🏿
One love ❤ together as one
@@KABWEM thanks 👍 though am a Lady 😊
@@puritywakochwe7894 you’re welcome dada 😊
@@KABWEM thank you
Tome emo, sauti kali 🙌🏾
🙏🏻
Aweee dada mireille wayaka wetu mwana❤❤🎉🎉
🙏🏻
Wababungwe 🎉🎉🎉
🙏🏻
Wetú mwana *Mireille tosha* mwakole manga yane aci❤
Nile namibia🇳🇦🇳🇦 nimú úcanga 100/100
Mubembe 2the world🎉
Tutakusapot kazi nzuri sana unajuwa sana dada
🙏🏻
Nazaliwa burundi rakini napenda sana inchi ya congo aba ba mama banacheza muzuri sana ❤❤
🙏🏻
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉upewe mauwa yako mama 😊😊😊
I wann support her ❤❤❤
🙏🏻
@@MireilleTosha nataka niku support dada
Kazi nzuri.
Umebarikiwa unajuwa kucheza na kuimba Hongera Dada
🙏🏻
Upewe ulizi dada ❤❤🎉🎉
🙏🏻
Kuku love njo miye najuwak mtoto wetu ❤❤❤
Wetu mwanaeeeee😊😊
huyo Dada nimkali sana hongera sana kwakazi nzuri.
🙏🏻
Proud to be mbebe 💯 %....je vous aime mon peuple du fond du cœur....merci ma soeur de m'avoir rappelé mes origines après plus de 15 ans loin de mon territoire
🙏🏻
Agh
@@MireilleToshaA
Hogera sana Dada yangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante kaka yangu miye🙏🏻
Weweeeee🔥🔥🔥tupe mama
🙏🏻
Huu wimbo umenikumbusha nyumbani kabisa 😢 hee huu wimbo umenigusa sana, hongeza sana ❤❤❤❤
Uko machine kweli kweli ❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️
🙏🏻
Mwana weto pogezi from south Africa ❤❤❤❤ I remember wedding back home Fizi misofi
Nakupenda sana dada, keep going.❤❤❤ Una kipaji dada I really like you
Mireille Umekuja Vizuri Ukirndelea Ivi Utukia Bien Sana ❤
Karibu kwenye Sana
Yetu
BIKO BI MODELE
🙏🏻
Kazi kazi mtoto wetu ❤️🔥🔥🔥🙌
🙏🏻
Mungu awe nawe Dada yetu inaimba sawa kbs
Ba maman yangu asante saana ❤❤❤
🙏🏻
Wababungwe mtoto wetu utaniuwa na kiuno jamani haunaga mfupa ikosa hashiya bali sauti nzuri ongera mtoto wetu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
M'mbembe siyo mwenzako
Tu es notre fierté nous les babembe ❤❤❤
🙏🏻
Nakukubali sana dada yangu
🙏🏻
Nafataka nyimbo zako sana na nifuraa sana lakini kisuahili na kibembe yangu sio mzuri sana nilicha kwetu miaka mingi sana
Naismith hapa Cologne (Allemagne)Mungu akulinde
Kazi nzuri mama yangu
Hubu bu dances bwako njo buna niuwaga kweli. hongera sana dada
Kimbe wa bembe tunaweza iviii uhhhh
Sauti nzuri Hongera sana
🙏🏻
My culture dance...love you my people... love from new Zealand
Tujitaidi kumpa dada au mdogo wetu ahu shangazi yatu ahu ma mdog au ma kubwa tafathali tu share na kulilisha alama ya kengele🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante dada🙏🏻
Kweli tudance twako tunahumizana saaaana hongera dada yetu Mireille
Actrice mkubwaaah❤❤❤❤
Uko eneo gani, mambo sio mbaya tuko pamoja
🙏🏻
Umeuwa sana nakupata toka suth African
Congratulations mama ❤❤
Une étoile montante
Wabembe tunaweza kbs
From dar es Salaam Tanzania 🇹🇿 ♥️ ❤️
Najivuniya, kuwa mbembe❤❤❤❤❤❤
Yani wimbo uhu niahurudilia mpaka watu wnanichuki jameni nikimbiliye wapi Dada unanifurahisha ovyo
Unakasauti kazuri. Nimekapenda
Wimbo iko bien sana❤❤❤🎉
❤ kazi mzuri
🙏🏻
Magnifique vraiment home is Home nimehipenda hiyo mziki wa kwetu
Félicitations ma soeur je suis bembe mbondo🎉❤❤❤❤❤
Babungwe oyeee
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Congrats 🎉🎉sanan dada
Machine de Guerre 💪🏻
Asante Kaka yangu miye 🙏🏻
Bildozer wetu❤❤❤
Asante sana Wabembe tunaweza
🙏🏻
My favorite song ❤❤❤❤
Gonga like 👍 matata kama umependa huu wimbo
Congratulations my dear sister i like this song to much
Nakupenda sana mireille.
Mimi kama fuliru 🔥🔥🔥
Vraiment c du banger ma sœurette big up a toi🥰 #BEMBE
j'aimes ça vraiment👏👏👏👏
Ce toujour aux congo 🇨🇩 mon frère la langue ce kibembe Merci 🙏🏿
Dada mwamba ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Love the melody so much from Nigeria
I SAY YES ,KEEP IT UP MIREILLE ❤
Hongera Sana nimimi Eselo B Wa wanyaturu kwaya
Mwakoleeee ❤😂😂🇨🇩🔥🔥🔥
Nimekubali tumefika mbali. Hongera
Bon travail ❤
🙏🏻
Chaleur 🔥🔥🔥
Asante Kaka yangu miye 🙏🏻
Nipo USA TUNAKUPENDA SANA WEWE NA KAKA ZETU WENYEWE UNAIMBA NAO ❤
Depuis Bujumbura nawafatilia 🎉❤❤❤❤❤🎉
Am so much in love with this song.nigeria
Nakumbuka kwetu kaseke fizi tukiwa watoto nakumbuka nyumbani
Mierelle machine 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤,,💐💐💐💐💐💐🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🏻
Uli himba bien sana iyo nyimbo
Bembe girl 💥💥💥
Kweli unacheza vizuri Sana
OK dada kazi nzuri
Sawa kabisa
Canon rapids 💥💥
Asante Kaka yangu miye 🙏🏻
Ebondo to the world ❤❤❤❤
🙏🏻