FUNGU LA KUKOSA
Вставка
- Опубліковано 10 вер 2024
- #clamvevo
This video is fair use under U.S. copyright law because it is non-commercial, transformative in nature, uses no more of the original work than necessary for the video's purpose, and does not compete with the original work and could have no negative affect on its market.
Copyright Disclaimer Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for 'Fair Use' for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research, Fair use is a permitted by copyright statute that might otherwise be infringing, Non-profit, educational or personal use tips the balance in favor of fair use
kiukwel nampenda uyu dada unaeigiza nae mzuri kwel🥰african beuty
daaa we jamaaaa unahatariiii
Ama kweli ni fungu la kukosa na ng'ombe wa maskini hazai😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
Clam we ni kiboko ya comedian Tanzania 🇹🇿 god bless walahi afu..upon kwenye hualisia wako
Wakwanza 😋 like zangu hapa
Ongera
@@sophsoph4740 HDTV
Naitwa vanadium ni comedian chipukizi naomba support yenu ndugu zangu 🙏🙏
SAWA mhaa
Nipe no yako
Ukovizudk
Uko wap
@@bashiruhassani1017 ua-cam.com/video/3pK6XRUOz4Q/v-deo.html
Kama umesikiaa mchuz gonga like 😂😂😂
Hahahaha aa we clama kweli nakuona duu demu kakwelewa mwishon hafu chizi kafuta namba oya ee sikuping damu yang
Nakukubali sana clam❤❤
😂😂huyu ni first Tanzanian comedian kunifanya nicheke kwanguvu..
Sana
Yn ndo mwenzako
Sio mchuzi maji hayo🤣😂 Clam we vipi
Clam nakubali Sana kwa kazi nzuri naomba support ndgu
🎉clam nakubali xana kazi yako@ you're number oneTz
Clam unaweza bhana mim nakukubali balaa
Ndungu yangu hko sawa👍💪💪😁😁😁🤣🤣🤣
Cram unajua kutufurahisha et fundi Mkuu ni mm sikiliziah kwenye bei sasa
Hizi siku banakuonea San kwr🙏🙏🇧🇮🇧🇮
Daah uyo demu kwl mzuri nampata wapi na mie ata nimuone tuu
Napenda kazi zako na tamani niwe kama wewe.
hahahahahahahhahahahaaaaaaaaa aki nmecheka kwa saut kubwa sana 😂😂😂😂😂
Jaman nakupend wew clam ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Imefanya nimeacha kuboeka 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😅😅😅😅😹😹
Mungu akubariki mbwa ww🤣🤣🤣clam senge
Jamani we clam umetisha 🤝😂😂😂
Clam abia huyu dem asiwai bleach shes beautiful the way she is😙😙😙
Jaman clam kam hakupend me nakupend bhn❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Imeweza kabisa. Clam good job 👏
Clam hujawah kukosea uko vizuri
clam u realy made my day!.naenda nyumbanii😂😂
Nimempenda yule mwanamke Sasa nilikuwa nataka sifa 😂😂😂😂🙌🙌
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥 Clam kweli fungu la kukosa🙌🏼😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥 wallahi mmenibamba sana.all of you are professionals upande wa Drama.kwanza huyu jamaa amepaka Dai kichwa Yuko Sawa kabisa.he is funny enough.
Clam we mjinga kweli ww😂😂😂alaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 clam jamani mbazi zavunjika babaa
Shenzi kabisa elfu 15🤣🤣🤣🤣boya weee
Yanii hii ya leo nzuri sanaaaa
The Oscar goes to that cow behind when he reacted huh also cow shocked if u saw that guys 😂😂😂😂😂😂😂
Hahahaha 😂 nguo kama wehu 😂
🤣🤣🤣🤣 sio mchuzi maji ayo mta vunja mbavu zangu 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 fungu lakukosa kweli
😂😂😂mwakatobe 😂😂😂nimecheka kabla kuisha hii move
😂😂😂😂😂nmecheka na vingi sana
Yani dogo unanichekesha sana ⭐⭐
😂😂 na izo nguo sas
Kama weu et aina mfuko 🤣🤣🤣🤣🤣
Clam really never disappoint 💔😂😂😂😂😂
Unanichekesha sana mbwa weww
😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣 Yan hii mbwa unachekexha na masuruali yake Yan anachekexha mpaka anakera!
Mungu akubariki saana mmbwa weweee 😂😂😂😂
Nakubali sana amazing SHOWKALI from kenya
😂😂😂 toka Congo 🇨🇩 na tazama clam
.😎😉😘😇da unaweza sana
Aki clam ww wanivunja mbavu 🤣🤣 from 🇰🇪🇰🇪 love you ❤️ ❤️
Hahahaaa Hahahaaa Hahahaaa ila jamaa wew Daaah kwenye vitambaa apo daaaah paka alcohol
Usilipe nitalipa 😂😢
Domo la clam akiigiza kama chizi
Hahahaha😅😅😅😅😅😂😂😂😂 nakupendaaaa clm
Clam una ufala sana 😀😀
Na hyo suruali ach2
Pole kaka
Haaaaaaah kweli wewe n kaly
Duh maskin namba zake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamani muendeleehivi hivi kutufurahisha
Noma sana bro
🤣🤣🤣mjuzi mix
duh mbavu cna fundi😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
Much love from Uganda by wizo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌jaman nimecheka
Sharp san braz wew n genius
mrembo xana huyo dada, namkubali xana
🤣🤣🤣upo vizuri blood
Huna baya clam 🇹🇿
Nakukubali sana mwanangu clam vevo
Imeanza vzr sanah🤣😂😂😂😂
Jaman hii ndo kali sanaaa
Duuuuh kwel mwamb unatish
🤣🤣🤣Clam ulitaka kupita wapi kule🥰🥰
Eeeeh kari😂😂😂
Mtot mwenye paja waz😢ovyooo
Clam fireeee
🔥🔥
Mchuzi😂😂😂😂🤣🤣😍
Hujawah kosea mbwa mim
Iyo midomo clam mm huwa wanifrahisha 😁😁
Nchuzi kwani mmakonde ❤
We love u our best comedian
This guy is too much fun 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Mchuuzi😂😂
Clam kwel ww ni kijana wa hovyooo!!!
Nimecheka sanaaa
Clam utaniuwaaaa 😂😂😂😂😂😂
Hhhh kinjana wa. Hobyo
I like🇹🇿🇲🇿
Clam we ni🔥🔥🔥🔥
Unaweza mwanetu
😂😂😂mshtuko wa kicheche me hoi
Mmmmh hiyo gari iliyo pita juu ya namba inakuwaje 🤣🤣🤣🤣🤣
Cram banaa nakulombotov unajua kumichekesha
Mamae🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mhuuzi si mchuuzi ni maji😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zang🤣🤣🤣🤣clam hapana kwakwli🙌😂😂😂😂
Mchuzi😄😄😄
😂😂😅😅 Eti mbwa ww