MWANAUME SHUJAA [ Sehemu ya 1 ] [ Michael wa Shilingi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • #BongoMovie#Shilingi#Huba#Panzia#ActionMovie#KingMedia

КОМЕНТАРІ • 62

  • @user-ek5nz6eq5g
    @user-ek5nz6eq5g 9 місяців тому

    ❤❤❤❤ ila kazi media tunaomba mkipunguza sauti z nyimbo mwache sauti z watch ziskike Ila hii movie n noma

  • @MariamuSaed-tk4nr
    @MariamuSaed-tk4nr 10 місяців тому

    Bi sikitu we kiboko sana❤much love from kenya

  • @FatumaMasoud-fc2ek
    @FatumaMasoud-fc2ek 10 місяців тому +3

    Sauti ya mziki yakera sana

  • @nijimbereradjabu
    @nijimbereradjabu 10 місяців тому +1

    Mmmh wanashindwa kutuletea shilingi

  • @edwardouma1630
    @edwardouma1630 4 місяці тому

    Nakukubali jembe nikiwa Nairobi Kenya 🇰🇪

  • @user-pp8qb3bb9r
    @user-pp8qb3bb9r 10 місяців тому

    Bisikut warereeeeeeee❤❤❤❤ panga ilo

  • @maryammaryam1560
    @maryammaryam1560 10 місяців тому

    Ninguwo yadukanj eee uyu mama nampendaga sana kwenye magizo sana eti shingo ntaifanya sup 😂😂😂bro you

  • @nasrahassan2260
    @nasrahassan2260 4 місяці тому

    Huyu jamaa namkubali sana

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 10 місяців тому

    Huo mziki unakera sana na mpaka maneno husikii

  • @SarahTsuma-w3v
    @SarahTsuma-w3v 10 місяців тому

    Sauti ya mziki Iko juu kuliko hyo mazungumzo

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 10 місяців тому

    Bi sikitu masha Allah kali upande uko Sawa... Mungu akurehemu mzee wetu akupe kitabu Chako kwa mkono wa kulia

  • @rahmajuma2946
    @rahmajuma2946 10 місяців тому +2

    Mulianza shilingi kutunyima sai na Moyo pia mwatunyima😢😢😢

    • @mwanaishakama3381
      @mwanaishakama3381 10 місяців тому

      Sema ww mwenzangu shilingi tulishukiru moyo pia inabidi tufanye ivyo pia yaani wakiona kitu movie umeipenda tu wananza kututesa

    • @PRINCEDADY
      @PRINCEDADY 10 місяців тому

      @@mwanaishakama3381 aisee mambo mengine ndio watazamaji huama kwenye channel tofaut na kupata burudani kwa wakat ufahao

  • @ignasmwaigombe8124
    @ignasmwaigombe8124 10 місяців тому

    Ongezeni saiti hamsikiki vizr

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 10 місяців тому +2

    Wa zazi kuingiliya kwenye mapenzi nachukiya daah

  • @RehemaRau-sq6gb
    @RehemaRau-sq6gb 10 місяців тому +1

    Ila jamani mziki uko juu kuliko maneno punguzeni

  • @user-eh3mf4te8x
    @user-eh3mf4te8x 10 місяців тому

    Broo wazi kazi zako nzuri sana

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de 10 місяців тому +1

    Sauti ipo chini nyimbo ndo inasauti y juu jamani

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 10 місяців тому

    Bi sikitu love you two😂😂😂😂

  • @aminahussain3058
    @aminahussain3058 10 місяців тому

    Mie sijaikia zaidi ya kawimbo

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 10 місяців тому

    Kwa kweli hemedi kazi zako ni nzuri zinamafunzo

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 10 місяців тому

    Davidi nimejikuta nmekupenda karibuni kwetu 🇧🇮 burundi❤ilove you

  • @bakaridiyo8467
    @bakaridiyo8467 10 місяців тому

    Pamoja Sana Kings media kazi kizazi kabisa🎉💪💪💪

  • @user-qs9pr7nn1e
    @user-qs9pr7nn1e 10 місяців тому

    Huyu msichana mjinga analzimisha alipiwe kodi ikiwa wazazi wake hawamtaki kijana wawatu na kingine hajamuoa mxiuu kwan huyo bint siakafanye kazi hata za ndani amekaa tu kwao aletewe

  • @marysikukuumary
    @marysikukuumary 10 місяців тому

    Umeanza viziri mwisho wa baka 😂 chunga penzi lisikuue mm nko Kenya mazishin sitafija

  • @maryammaryam1560
    @maryammaryam1560 10 місяців тому

    Sasa kumbee wazazi wako unawalipiya Kodi yanyumba kwa pesa yahuyo wasomtaka wanamfukuza hawamtaki jamani mafunzo kweli daaa

  • @maryd1538
    @maryd1538 10 місяців тому

    ❤❤❤❤media king pokea maua🎉🎉🎉

  • @LisaNgonde-o6q
    @LisaNgonde-o6q 10 місяців тому +1

    ❤❤❤

  • @maburudani1234
    @maburudani1234 10 місяців тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @rahmajuma2946
    @rahmajuma2946 10 місяців тому

    Muna boa na hizi nyimbo hatuskii watu wanasema nn kabisaa

  • @user-pp8qb3bb9r
    @user-pp8qb3bb9r 10 місяців тому

    Vp shilingi

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 10 місяців тому

    Inauma lakini vumiliyaneni tuu

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 10 місяців тому

    Mbona hapo unapoosha magari kama daraja bovu ni znz? ❤from 🇬🇧

  • @mtumwaali9438
    @mtumwaali9438 10 місяців тому

    Mapenzi yatakuroa roho

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de 10 місяців тому

    Mbona wazee wko hawamtki kisha ww wamlazmisha awalipie nyumba n mmko kiranga bbko nae hya

  • @BRYTAHOTMASTER
    @BRYTAHOTMASTER 10 місяців тому

    We mzee kwani shilling vipi ama imekufa ..juu naona nowadays unachapa zako solo

  • @rahmajuma2946
    @rahmajuma2946 10 місяців тому

    Mama Ni mkaza mwanao huyo unamshikia panga😂😂😂😂

  • @furahamaiko6851
    @furahamaiko6851 10 місяців тому

    Kwnye mziki mmezingua

  • @ggvv9970
    @ggvv9970 10 місяців тому

    Naminia❤❤❤❤

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 10 місяців тому

    😂😂😂😂😂davidi unamama mkali anakukanya😁😁😁

  • @husnabendera3604
    @husnabendera3604 10 місяців тому +1

    Kwani mziki niwa Nini jamani

  • @kingmediatz5243
    @kingmediatz5243  10 місяців тому +1

    Wadau mzigo uwo apo comment ziwe nyingi

    • @g18kenya
      @g18kenya 10 місяців тому

      sehemu ya pili ikuje Halafu sauti iwe juu

    • @moisesabbatique160
      @moisesabbatique160 10 місяців тому

      Tafazali sauti

    • @user-bq6tg1bj9s
      @user-bq6tg1bj9s 10 місяців тому

      Mnatuzinguwa na sauti mnaeka mziki juu sauti chini apo ndo mnapo feli

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 10 місяців тому

      Asante❤❤

    • @user-pz9lc3ml6h
      @user-pz9lc3ml6h 10 місяців тому

      Mnatuzingua mbona mnaishia katikati. Shilingi haikuisha pia na Moyo ndo hivo

  • @fatumashehe361
    @fatumashehe361 10 місяців тому

    Bibi we😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @nuruheartaman5925
    @nuruheartaman5925 10 місяців тому

    Nzur tupen part 2

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 10 місяців тому

    Du pore devidi unauza mwengine😢

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 10 місяців тому

    Sauti

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 10 місяців тому

    Jameni mutwambie kama shiling imeisha ama apatana😢

  • @stonefacestoneface2976
    @stonefacestoneface2976 10 місяців тому

    Poa

  • @maburudani1234
    @maburudani1234 10 місяців тому

    Post sehem ya pili kaka❤

  • @AlisaEbongelwa
    @AlisaEbongelwa 10 місяців тому

    Lakini kuna ahujamaliziya na unatoa zingine

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 10 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @marynyota6146
    @marynyota6146 10 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-tc5oo4fg9q
    @user-tc5oo4fg9q 10 місяців тому

    ❤❤❤

  • @user-zx8nq9yl3x
    @user-zx8nq9yl3x 10 місяців тому

    ❤❤❤