Kabila la Wairaq - Kaskazini mwa Tanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 49

  • @petersulle1937
    @petersulle1937 2 роки тому +7

    Hii historia/simulizi ina mapungufu mengi, siyo sawa kabisa, wairaqw hawakuanza kuishi mama Isara, walianzia mahali panaitwa guser maàngwatay halafu guser tiwalay, maeneo ya kondoa irangi, na pembezoni mwa mlima hanang giting' na ndipo waligawanyika gortoo akafuata bonde la dareda, irqutu akapanda dabil kwenda irqwar daâw.

    • @hansmwasakyeni3038
      @hansmwasakyeni3038 4 місяці тому

      Alipoongelea kulima tu nimejua hajui anachosimulia! Waarabu na ukulima wapi na wapi?

  • @annaawinoolalaodero1672
    @annaawinoolalaodero1672 Рік тому +1

    Sisi wote ni watoto wa mungu Amen Amen

  • @lovenessisojick2139
    @lovenessisojick2139 3 місяці тому +2

    Hapo ngorongoro hatukukuta wamasai tulikuta Wadatoga .Wamasai wamefika ngorongoro karne ya 19 siyo siku nyingi sana Ngorongoro ilikuwa ya Wadatoga au waman'gati.Hatukuwahi kuchanganyika sana na Wamasai kuliko Wan'gati..

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 2 роки тому +6

    Wenye kujua ukweli waandike historia sahihi kuliko kuandika kupinga kilichoelezwa na mhusika.
    Kama hutoi ukweli hakuna haja ya kupinga

  • @MartiniJohn-ew6us
    @MartiniJohn-ew6us 5 місяців тому +1

    Hapa ndio nilikuzwa na ugali wa kusagwa namna hii.ahsante Mungu uwatunze wazazi hawa

  • @adamdaudi6191
    @adamdaudi6191 2 роки тому +8

    Hili swala la kusema wa Iraq wametokea Iraq ni ujinga ambao sijawahi elewa mpaka leo nani aliwaeleza ujinga huo!, kama mmetokea Iraq vip lugha mbona tofauti?, vip kuhusu dini mbona wengi wakristo?, vip mbona sura zenu na waarabu zipo tofauti?, tzameni wapemba walivo, hakuna mwarabu mwenye kisogo, kuwa weupe na nywele singa siyo sababu!.

    • @leodenicodemus72
      @leodenicodemus72 Рік тому

      Na hautaelewa achana nayo

    • @ggcrank6264
      @ggcrank6264 Рік тому +1

      Ni upuuzi ambao hauna mantiki hata kidogo chimbuko ni Ethiopia na southSudan

    • @jacquelinemabula2519
      @jacquelinemabula2519 Рік тому

      Kifupi tu wa Iraq original yao sio Iraq ila ni Ethiopia sababu hata majina na baadhi ya maneno ni kama wa Ethiopia hata vile wanavyo pronounce maneno

    • @lovenessisojick2139
      @lovenessisojick2139 3 місяці тому

      Wewe usiwe jua usipayuke tuu una ELEWA kwamba wametoka huko miaka 1000 iliyopita kuhusu lugha Kama unafahamu vizuri lugha ya Kiiraaaqw utajua uhusiano uliopo hata matamshi ya kiiraaaqw yana sauti zilizoko katika lugha ya kiarabu.Kuhusu sura Wairaqw wengi ni weupe wenye pua nyembamba lakini Wairaqw wana nywele laini sana ukilinganisha na makabila ya kibantu.Kingine lazima tukubaliane kwamba safari yakitoka Mesopotamia ilikuwa ndefu ya kutembea kwa miguu.Njiani wamekutana na makabila mengine wenye asili ya kihimitic na Wabantu na mpaka leo tuna koo za Wairaqw zenye asili ya Wanyiramba/wanyisanzu na koo za Kidatoga.Kwahiyo Wairaqw wanaweza kweli wametoka Iraq kwa kupitia Ethiopia..Kama hujui historia usirukie treni kwa mbele njoo tukuelimishe.

    • @lovenessisojick2139
      @lovenessisojick2139 3 місяці тому

      ​@@ggcrank6264Una uhakika umefanya research au unapayuka tuu

  • @deogratiussaru3074
    @deogratiussaru3074 2 роки тому +1

    Safi tumewaskia ❤️❤️ yy

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 Рік тому +1

    Asante

  • @AnnaAnna-kv6ki
    @AnnaAnna-kv6ki 7 місяців тому +1

    Tokaaa hapa acha kundanganya jamiii km huwez kujieleza kale ugali na maziwa kalale

  • @catherineupendo6536
    @catherineupendo6536 Рік тому +1

    Hiyo sketi nitaipata wapi

  • @gamalnassertv
    @gamalnassertv 5 місяців тому +1

    Wairaq wapo!

  • @YudaGaare
    @YudaGaare Місяць тому

    Huyu Ana buni buni historia

  • @matayhando6519
    @matayhando6519 2 роки тому +2

    Ni vizuri kuacha kuliko kuelezea uongo ...huyu natamani nimfate nimpe makavu yake

  • @emanuelinaman8240
    @emanuelinaman8240 Місяць тому

    Sisi ni waarabu kiasili siyo Africa lugha inaonyesha dahiri shahiri

  • @vickylayda6336
    @vickylayda6336 2 місяці тому

    Nafiliri nimona maharishi tumetoka Mesopotamia, ndio tukaja Abysinia yaani Ethiopia ndio tukaelekea huku

  • @gulionigulioni3234
    @gulionigulioni3234 Рік тому +1

    Huyu muongo mkubwa kabisa, historia halisi ya wairaq haijui huyu.

  • @ismailainan4952
    @ismailainan4952 2 роки тому +1

    Mzee huo uwongo usiidanganye jammii

  • @vickylayda6336
    @vickylayda6336 2 місяці тому

    Similar ni wairaqw wa Iraq

  • @lazarosule7761
    @lazarosule7761 2 роки тому +1

    Safi

  • @izraeltsaxarra2469
    @izraeltsaxarra2469 2 роки тому +1

    Huyu anauetoa histori hajalamilika nadhani hajui atafutwe wazee

  • @JacobNikolaus-oy2ld
    @JacobNikolaus-oy2ld 6 місяців тому +1

    Waooo😅

  • @allymfule
    @allymfule 4 місяці тому

    Wataogeaje kialabu wakati wametoka miaka milioni iliyopita

  • @karimhgau9020
    @karimhgau9020 2 роки тому +2

    Tsuwaa loo waay.aidoosing'.

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 4 місяці тому +1

    Mwongo wewe hujui kabisa

  • @husseinkarim9211
    @husseinkarim9211 2 роки тому +1

    Wairaq mbona hawaongei Kiarabu

  • @thomaswilsonrotich6467
    @thomaswilsonrotich6467 2 місяці тому +1

    Si Iraq ni kwa waarabu , na ni wazungu weupe, but you are obviously black Africans?

  • @ismailainan4952
    @ismailainan4952 2 роки тому +1

    Waameanzia ethopia

  • @newtonnyembe8228
    @newtonnyembe8228 2 роки тому +2

    Mbona weusi???🤓

    • @nuramoboy
      @nuramoboy 2 роки тому

      :) Iraq wanalima wapi majabali?

    • @manubei3574
      @manubei3574 5 місяців тому

      Ulijuahe

    • @gamalnassertv
      @gamalnassertv 5 місяців тому +2

      Because some clans are more mixed with Bantus, Nilotics and Hunter-Gatherer communities

  • @hadijaossi7821
    @hadijaossi7821 2 роки тому +1

    Saita

  • @nuramoboy
    @nuramoboy 2 роки тому +1

    1:35 wairaq hawapendi vita Sasa huko Iraq wanalima wapi majabali? Nyie wambulu bana mi nakujuweni nyie Arusha huku

    • @gulionigulioni3234
      @gulionigulioni3234 Рік тому +1

      Iraq haitawaliwi na majabali ktk sehemu kubwa, ni nchi ya kilimo pia, naifahamu vzr nimeishi miaka 7 kule Basrah

  • @izraeltsaxarra2469
    @izraeltsaxarra2469 2 роки тому +1

    Acha uongo bhana wewe ni mwiraghw wa wp unaongea uongo?