Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Nimependa sana maisha yao
Bora waendeleze Mila zao TU wasielewe UTANDAWAZI ,,, wanaweza enda mbinguni 🤣🤣🤣🤣huku dunian kwetu utandawaz umevuruga raia aisee
😁😁😁😁
Kabisaa
Kweli kabisa
They leave a good life they are not polluted
Umewaza vema
Utahala wewe hooo🤣🤣
Nimependa maisha yao. Sema wangelima pia. Mtu akawape elimu hiyo.
Mzizi wa nmti gani
Barcelona oyeeeeeeeeeeeeeeee
Kwahyo hadi Wahadzabe wanaijua Barcelona..
Barcelona ni tm kubwa wewe
Hatar kweli 😂😂😂
😂😂😂😂
Wafundishwe kulima,mbona ardhi yao ni nzuri
Bora wasijue mgogoro wasiasa
Muandishi angalia usijeharisha kwakula mizz
Maisha noma Sana
Wang aga
Daaaa miziziz tena
Kha awarimi iyo mizizi na wanyama uwa vinaisha
Kmae umejikazaaa
Nataka kupeleka msaada wa Mavazi, hivi watapokea?
Wavivu kulima hao wafundishwe kulima waache ujinga wao
😂😂😂waache uvivu waje mjini
wewe ni kumbafu
Subr uje uugue tumbo mtangazaj wenzio washazoea hao
Duuuu
Nawa mkono mzee
Wachafu😂😂😂😂
Kwanni awarimi awawatu
Ni wafugaji
Vp hao watu kuhusa kusali wanaimam ya mungu
wanamwamini Mungu hao Ila hawana dini
hata mababu zetu walikuwa hivo hivo tusiwashangae, subirini serekali inaenda wavuruga etii huwo msitu ni za serekali
@@gorettimtungwe9011 hata babu zetu walikuwa hivo hivo sio kitu lakushangaza hapo
Nyie ongeeni yote ila hio jezi akiiona mes ataumia sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣sio atatoa nyingi kwaniaba ya timu