Wazazi wengi wanahofia usalama wa wanao waliokuwa tayari wameelekea shuleni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 кві 2024
  • Wanafunzi wengi na wazazi wao wamejipata kwenye njiapanda baada ya kusafiri kwa ufunguzi wa shule bila kufahamu kuwa wizara a elimu imeahirisha ufunguzi wa shule kwa wiki mmoja. waziri wa elimu ezekiel machogu alitoa taarifa hiyo usiku wa manane na hivyo wazazi, wanafunzi na walimu hawakuwa na ufahamu walipoelekea maeneo mbalimbali kwa ufunguzi wa shule. Wanahabari wetu wanaangazia kizungumkuti hicho katika steni za magari ya uchukuzi wa umma na hata shuleni
    _

КОМЕНТАРІ • 1

  • @kennethokumu6375
    @kennethokumu6375 Місяць тому

    Situation is serious seriously! Hapo ndio tumefika.