RADDI (09) KWA MUHAMMAD MAFUTA NA KUJITETEA KWAKE KUJINASUA,UST ABUU ZAGHAR حفظه الله تعالى

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 26

  • @ABDULRAHMANIDAS
    @ABDULRAHMANIDAS 2 місяці тому

    Shekh jazaka Allah khaira kwa kutubainishia uhizbi wa muhammad mafuta

  • @AtiqQassim
    @AtiqQassim 2 місяці тому

    Allah akulipe khair kwa kuwa jasiri kuibainisha haki usiache ewe sheikh wetu mbora endelea usiache nakuomba lillah taala atakama watajiweka kimya nakuomba ewe sheikh wetu mbora Allah akupe mwisho mwema pamoja na sisi

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 2 місяці тому

    Asalam aleykum warhmatullah wabarakat vp masheikh zetu. Muhammad bachu tumsikilize

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  2 місяці тому

      Bachu ss hatuko nae ktk dawa'a yetu Bali hatujui msimamo wake km ni Salafy au answar au ikhiwan

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  2 місяці тому

      Kama ataswibu haki iliyokuja KUTOKA kwa Allah na Mtume wake basi bc chukua haki hiyo

  • @ABUU_SAAD-ut4fd
    @ABUU_SAAD-ut4fd 2 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @SuolFat
    @SuolFat 2 місяці тому

    Mawahabi ni genge la ccm mashushu

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  2 місяці тому

      Achaaa ww, kosa la mtu mmoja usiutie makosa usalafy Wala masalafy wote hili ni kosa la mtu binafsi na ss tunamuomba Allah amuongoze sheikh wetu na amrudishe ktk haki na akubali nasaha

    • @SuolFat
      @SuolFat 2 місяці тому

      @@Ibnsalim3 ni lenu nyote mawahabi nyie sio salafi nyie ni mawahabi

  • @jechasuleiman5532
    @jechasuleiman5532 2 місяці тому

    Khatar kubwa mashekh

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  2 місяці тому +1

      Lkn salama, Akhy usijali kwasababu kawaida ya dawa huwa inauma sana lkn inatoa MAJIBU mazuri

  • @SwalehMohamedi
    @SwalehMohamedi 2 місяці тому

    Asalam alaykum. Naombeni namba ya shekhe abuu zakhari

  • @JumaJuma-z3d
    @JumaJuma-z3d 2 місяці тому +1

    Hivi haya MATUSI, MJINGA, MPUMBAVU, kweli waislamu wamefika hapa ,hebu waislamu tuache ushabiki wakijinga namna hi,

  • @AbuuRayyan-j8x
    @AbuuRayyan-j8x 2 місяці тому +1

    Hawa watu wengine ktk izi comment wallahi ni kama mabaradhuli acheni usenge so lazma mtu achangie na so lazma mtu aseme wee Zagar acha uwongo acha kujifanya unaakili kuliko watu wote ety tumeipata picture kwa tawfiq ya Allah piga kazi yako ya ubaharia bhana acha balbala.

    • @ShamsudeenOmary
      @ShamsudeenOmary 2 місяці тому

      Sasa mbona unatukana akhi😢

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 2 місяці тому

      Bangi mbaya snaaa ,unatumia bangi gani naona leo umeivuta sana😅😅😅

    • @ramaqaasim239
      @ramaqaasim239 2 місяці тому

      Huyu anavuta bangi za Kisumu Abdallah humed huzitaja sana​@@AbAlhuraas

    • @AbulAbbas-yp5ph
      @AbulAbbas-yp5ph 2 місяці тому

      Jibu hizo nukta aliyoulizwa sheikh Mohammad mafuta jibu

    • @AbulAbbas-yp5ph
      @AbulAbbas-yp5ph 2 місяці тому

      Wewe funga mdomo wako kama huna maneno ya kuzungumza wanao maneno ya kuzungumza wacha wazungumze kwa hakki jibu hizo nukta mulioulizwa

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 2 місяці тому

    masalaf mchwara mmeyaganyaga hiki chuma
    mpka mtaeleza !
    Allah akuhifadh shekh wetu tunazid kuwajya nia eatu wa aina gan Qassim Mafuta na wafuasi wake!
    Na tunamtaka
    1-Ataraji kwa kuwa na Kadi ya ccm
    2- Wenzake salafiy kadida wamRaddi.
    3-watuambie amefunja mcngi wa ngapi na hukum yake nini!😅😅😅😅😅😅😅😅😅( Qassim Mafuta where are you man! tujibu haya)

  • @ramaqaasim239
    @ramaqaasim239 2 місяці тому

    Assalam alaykum warahmatullahi wa barakaatuh al Akhy mi nilkua naulizia duruus huendelea na sisi pia tupate labda kama kuna group la Whatsapp au telegram maana siku hizi naona ruduud tu vipi kile kitab حلية طالب العلم ??

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  2 місяці тому

      Usijali akhuy darsa zitaendelea kutumwa inshaa Allah hichi kipindi Cha rududi kitaisha inshaa Allah kwasababu haki imeshabainika

  • @NuryaMusa
    @NuryaMusa 2 місяці тому

    Muhammad mafuta ni pimbi hizbi na genge lake. Loote maaan kadi niyakwake. Na kiapo. Hawezi kukileta

  • @ABUU_SAAD-ut4fd
    @ABUU_SAAD-ut4fd 2 місяці тому

    Anatisha tena..😂 wacha tuone kweli . Watu wakimya tupo ila ndo awaogope hao wakimya asijesema aonewa akiyaanza au akija huku kwa njia yoyote.. 😂