Daah! Uturehemu Mungu mkuu, uhai wetu upo mikononi mwako. Hatujui siku Wala saa. Utusamehe Mungu wetu. 🙏🙏. Waweza Fanya lolote Kwa wakati wowote. Hatuna Cha kusema bali tunashukuru. Amina
Kwa haraka , nafkiri hili eneo la mwinuko lilijitengeneza kama bakuli/bwawa baada ya kujaa maji ya mvua nyingi, kingo zikaachia njia, kwa ghafla maji mengi yaliyosomba tope na taka yakaelekea bondeni kwenye makazi ya watu na kusababisha maafa.
Sasa hapo umeonyesha sehemu iliyo poromoka au umeonyesha maeneo yaliyo athirika na maporomoko? Mbona mnaanza kudanganya watu!!? Mnacho ongea hakifanani kabisa na mnacho onyesha, kuweni serious basi.
Daah! Uturehemu Mungu mkuu, uhai wetu upo mikononi mwako. Hatujui siku Wala saa. Utusamehe Mungu wetu. 🙏🙏. Waweza Fanya lolote Kwa wakati wowote. Hatuna Cha kusema bali tunashukuru. Amina
Amina 😭🙏
Ayo tv hapa tz ndo namba 1.bas tunaomba mjitahidi mfike mpaka kwenye mlima wenyewe ili tuone ulivyo fumuka
Poleni Sana wote mlioguswa na Hili tatizo Mungu wa mbinguni atawajalia
Mungu awatie wepesi ,wote waliofikwa na janga hili
Mungu awe nasi kila wakati Inshallah
Tuombe Mungu hatulinde sana sisi watanzania🎉
Itakua labda huo mlima una volkano labda Mungu tunusuru viumbe wako ktk mithani.
Laiti wangemlia Mungu awape rehema .hakika yeye ni mwaminifu angesitisha zoezi la kuwapiga na mawe na hilo tope
Bora nikae kmy
Kwa haraka , nafkiri hili eneo la mwinuko lilijitengeneza kama bakuli/bwawa baada ya kujaa maji ya mvua nyingi, kingo zikaachia njia, kwa ghafla maji mengi yaliyosomba tope na taka yakaelekea bondeni kwenye makazi ya watu na kusababisha maafa.
Hiyo ni volkeno
Bado hujaonesha palipo anzia ayo
Ayo ko ckuiz tunadanganyana au ko hapo ndo ulipo meguka mlima hanangi
Tupeni aerial view vizuri tuone ilipoanzia… hapo tunaona tuu Kama mkondo…
Tunaomba mtuonyeshe picha ya drone sehemu ambayo mlima Hanang ulimeguka na kusababisha maporomoko ya matope kwenye makazi ya watu
😅😂😂 aende polini aache uoga au?hiyo ni volcan
Mbona sijaona hata chanzo
Sasa hapo chanzo ndy wapi! Nilidhani drone ingetembea na hayo maporomoko mpaka mliman very poor
Ulipaswa drone uielekeze hadi mlimani siyo kuizungusha hapo hapo, mkuu umekula mb zangu za bure tu
Kwanin wasitumike mbwa wa kunusa kwenye vifusi humo Ili kupata miili ya watu
Huo mlima au ninjia yamaji toka awaliiii
Acheni kukata. Miti, hata madhara yataendekea kutoka msipoachs
Sasa Milan ayo mtu ambae Hajawai kufika Tanzania 🇹🇿 😢😢ataelewa vp maelezo kidogo leo nakupunguzia Maksi kaka🎉❤😅
Sasa hapo umeonyesha sehemu iliyo poromoka au umeonyesha maeneo yaliyo athirika na maporomoko? Mbona mnaanza kudanganya watu!!? Mnacho ongea hakifanani kabisa na mnacho onyesha, kuweni serious basi.
Video not clearly taken
hapo Kuna sehemu ya quality chagua quality unayotaka wewe Kuna hadi 1080hd
Inna illahii wainna liilah rajuun
Chanzo cha maji bado hakijajulikana? Maana mvua wanasema ilikuwa sio nyingi
Ee Mola wanusuru waja wk
Mbona hamjaonyesha chanzo huko juu mlima, heading nyingine na content tofauti kabisa
Inna lilah waina ilah rajiuun
نعوذب اللله
The angry mother nature
Duuuh😢
Au mlima una dalili ya volcano ya ndani kwa ndani???
Yes
Kwahiyo hapa unapotuonyesha ndo kwenye chanzo cha maporomoko kweli Millard?
Hizo kelele zinazotangulia ni za nini au zinamaana gani
Mlituambia mlima ulimeguka, tuonesheni sehem ya mlima iliyomeguka.
Se
😢😢😢😢
😢😢
Bado hujaonyesha yalipoanzia maporomoko. Hua inaonekana mahali ardhi imemeguka na kubaki wazi.
Tumia hiyo drone kitaalam zaidi.
Ni kweli kabisa hajatutendea haki bado. Peleka drone mlimani kabisa ukifuata huo mkondo