MCHUNGAJI AGOMA CHAMA HAJAENDA YANGA |KUNA JAMBO LA SIRI HAMJUI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 3 місяці тому +3

    Wewe ndiyo mwenye matatizo tena makubwa. Kwani wewe ni msemaji wa Simba? Mfuate bwana wako huko. Mbona huyu mpumbavu anazungumza upumbavu uliopitiliza. Ati kuna watu watakufa kwa chama kuhama? Sijawahi kuona mtu taahira kama huyu. Alihama Zamoyoni Mogella aliyekuwa anafunga kila mechi na hatukutetereka sembuse huyu aliyechoka?

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 3 місяці тому

    Mchungaji wewe ndio mchanganyikiwa alaf Simba ndio wavurugu

  • @benjaminnelson4834
    @benjaminnelson4834 3 місяці тому

    Awezi kucheza milele Simba ungetoa PESA yako umsajiri

  • @MwajumaNgaruma
    @MwajumaNgaruma 3 місяці тому

    Majonzi umepata wewe,, nani apate majonzi kisa chama ,,,,kwani yeye nani? Sijaumia , ata kidogo ,,,

  • @CareenJulias-iu7tf
    @CareenJulias-iu7tf 3 місяці тому

    Wewe kweli nawe Ni mjinga kweli mfuate huyo baba yako Chama pumbavu.

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 3 місяці тому

    Mchungaji nimekuelewa unaongea kweli kimpira

  • @muridundhikri
    @muridundhikri 3 місяці тому

    Sasa wewe kama hata wachezaji wazuri huwajui ao wachezaji wako unaowaleta simba watafiti kweli

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 3 місяці тому

    chama anastahili aondoke na km kweli mchungaji anajua mpira chama alistahili aende, simba ipo ktk project hivyo inahitajika kuwepo na maamuzi magum

  • @mkuumkuu3158
    @mkuumkuu3158 3 місяці тому

    Wewe ndio una matatizo wewe hamia alipo enda sio kweli wewe ndio umeumia

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 3 місяці тому

    Mchungaji na mpira wapi na wapi wew ni mhuni tu kama wahuni wengine shenzi class A na d 2

  • @Shaha-d1i
    @Shaha-d1i 3 місяці тому

    Wewe mjinga achakujaza watu upuuzi

  • @mirajiali3926
    @mirajiali3926 3 місяці тому

    Acha hajakwenda yanga amekwenda kwa mkeo kolo wewe

  • @samsonpopat1474
    @samsonpopat1474 3 місяці тому

    Kichaa tu ndo anaweza kuhama timu chama kwa sasa umri utaona kama timu ya taifa ya zambia kama watamwita tena

  • @NyasanaTv-ol4ix
    @NyasanaTv-ol4ix 3 місяці тому

    Wewe mzee inashinda pole

  • @YeremiaKabizo
    @YeremiaKabizo 3 місяці тому

    Mtu mzima hovyo sana😏

  • @SwalehNunda
    @SwalehNunda 3 місяці тому

    Wewe pekeyako umeuumiaa

  • @alitante4279
    @alitante4279 3 місяці тому

    Huyu nae mgonjwaa wa chama

  • @mkuumkuu3158
    @mkuumkuu3158 3 місяці тому

    Na wewe hamia uko

  • @AbdulHamiss-pm4qz
    @AbdulHamiss-pm4qz 3 місяці тому

    Wewe unamatatizo makubwa ,kamuulize bwana ako alie kuambia kasaini mala mbili

  • @MaguguStore
    @MaguguStore 3 місяці тому

    Kaka kila siku nilikuwa nakuona unafaham mpira kumbe zero

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 3 місяці тому

    Wewe mchngaji hatukuelewi

  • @MaguguStore
    @MaguguStore 3 місяці тому

    Bora chama kaondoka

  • @mkuumkuu3158
    @mkuumkuu3158 3 місяці тому

    Wewe ujui mpira

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 3 місяці тому

    😂😂

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 3 місяці тому

    👍