Tunaitumia vibaya kauli ya TIME IS MONEY tukidhani kuwa na muda kunatosha kupata pesa. Uhalisia ni huu, MUDA SIO PESA (Time is NOT Money). Tunachohitaji kuwekea mkazo ni thamani ya muda, yaani uwezo wa kuzalisha fedha zaidi kwa muda mfupi zadi. Jifunze zaidi na Michael Kamukulu kupitia LENZI @lenzipodcast
LENZI imekuwa sehemu ya darasa langu hasa hasa katika safari yangu ya financial freedom
Asante sana 🙏🏾
❤❤❤❤
🙏🏾
🙏🏾
Thanks for what you feed us🙏🏾
My pleasure!! 🙏🏾🙏🏾
Kazinzur
Ni sahihi uwezo na maarifa zaidi hasa kwa mjasiliamali
Tunaitumia vibaya kauli ya TIME IS MONEY tukidhani kuwa na muda kunatosha kupata pesa. Uhalisia ni huu, MUDA SIO PESA (Time is NOT Money).
Tunachohitaji kuwekea mkazo ni thamani ya muda, yaani uwezo wa kuzalisha fedha zaidi kwa muda mfupi zadi.
Jifunze zaidi na Michael Kamukulu kupitia LENZI @lenzipodcast
kazi nzuri keep it up
Thanks
Thank you my brother Allah akubariki.
Shukrani 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Safi sana Masta Kamukulu
Asante sana Bro! Nafurahi kuona comment yako🙏🏾🙏🏾😀
Kweli muda siyo pesa bali uwezo wa mtu ndiyo pesa
🙏🏾🙏🏾🙏🏾