SITUATIONSHIP TAMTHILIA | EPISODE 5

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 134

  • @Jumajing
    @Jumajing 5 годин тому +1

    Movie ni nzuri sana. (Sound,quality HD, movement’s of camera na Watu wako Seeiously sana 🔥) HONGERA OTHMAN NJAIDI.

  • @mstaphaboazi
    @mstaphaboazi 18 годин тому +17

    Yyte anae soma comment hii mungu akubaliki mwaka huu ufanikiwe 🙏🙏🙏💯

  • @ronaldmoshy5864
    @ronaldmoshy5864 16 годин тому +11

    Ochu mnafeli sana epsode inatake almost a week alaf bado dakik nazo n chache hat popcorn haziishi tyri epsode imekata ongezen time walau hat 30 min

  • @janecheptei7196
    @janecheptei7196 17 годин тому +2

    Very interesting episode full of teachings and great massage more grace from God keep moving forward love it 😁

  • @emmalutumo4250
    @emmalutumo4250 7 годин тому

    Ni nzuri sana

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 18 годин тому +6

    Mama Othman,mama mkwe😂😂😂😂😂😂

    • @DABBIE
      @DABBIE Годину тому

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @OmanBd-s7z
    @OmanBd-s7z 18 годин тому +4

    Kwaiyo hii move ni story au😂😂😂😂 mbona mnachelewesha hivyo jumapil ad jumapil na dk ndg hivyo

  • @selemanisalehe6518
    @selemanisalehe6518 17 годин тому +4

    Tunasubiri muda mrefu sana kaka na bado vipande ni vifupi sana emu fanyeni wepesi wa dakika au movie kutoka kwa uharaka

  • @SadikiBakariKilua
    @SadikiBakariKilua День тому +3

    Thats really true inakuwa fupi sana one episode and zinaachiwa taratibu taribu atleast ziachiwe hata zaid ya moja

  • @PascalAlex-v5z
    @PascalAlex-v5z 17 годин тому +2

    Movie nzuri but mnachelewa kutoa episode na bado mkitoa dakika chache ani daaaaaa mnazingua sana aiseeeeeeee😊😊😊😊

  • @AnjeroChanguvu
    @AnjeroChanguvu 9 годин тому +1

    😂saivi vinaenda vyenyewe kujitambulisha hatari

  • @Priscaallen
    @Priscaallen 6 годин тому

    Kwasababu mnatoa jumapili tu angalau ingekua ndefu kidogo kwa namna hii anakatisha tamaa kufatilia

  • @frolajoel
    @frolajoel 15 годин тому +1

    Tamthilia ni nzuri lkn mume mnaweka kila siku jmn ❤

  • @archangemoses345
    @archangemoses345 18 годин тому +2

    Malalamiko ina zidi ebu let's gooo another sentence

  • @Annagaitan-tf5be
    @Annagaitan-tf5be 14 годин тому +2

    Hawajaoana alaf wanaishi wote alaf wanaenda kushauriwa khaaa😅😅😅

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 13 годин тому

      Na ndio uhalisia wa maisha ya sasa ata miaka 5 wapo wanaoishi

  • @magrethjames5950
    @magrethjames5950 18 годин тому +3

    Mnatukosea sana jmn muda mchache na mnachelewa mnatukata mood!

  • @noelashaoona
    @noelashaoona 2 години тому

    If you ever watched that movie women of principle this girl resemble her

  • @jogayatheboss2224
    @jogayatheboss2224 18 годин тому +3

    Series nzuri sana hii ila unachelewa sana kuitoa pleas jitaidi tuwe tunapata izo EPSOD KILA BAADA YA SIKU MOJA ALAFU ONGEZA DAKIKA KILA EP IWE NA DAKIKA 15 SIO MBAYA YOTE KWA YOTE asante kwa huu ujumbe unaturetea hapa you tube Asante sana

  • @robertmsonge1229
    @robertmsonge1229 3 дні тому +23

    Inachukua siku mingi Sana Kufanya muendelezo Wa episode zinazo fuata tamthilia Ni nzur Sana inafundisha,but Muda unakuwa mrefu Sana kusublia

    • @mustamimmushajara8992
      @mustamimmushajara8992 3 дні тому +1

      Half wanatoa dakika kidg mno

    • @NeemaKenneth
      @NeemaKenneth День тому

      Kabisa Bora ata ingekua dakika 30​@@mustamimmushajara8992

    • @MonsterMovieMansion
      @MonsterMovieMansion 17 годин тому

      Kaka wanakuza fanbase kaka 😆 uwezi ukawa unatoa hovyo

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 16 годин тому +1

      mbona alisema kila jumapili anaupload,
      labda chakuongeza ni dakika

    • @mrsliverpool4235
      @mrsliverpool4235 16 годин тому

      Mda pia ni mchache sana

  • @hassanlikha
    @hassanlikha 9 годин тому

    Movie nzuri nnaeka vipande vya kitoto dk 11 kweli msitufanyie ivyo bhn

  • @WilliamManase-vv1ou
    @WilliamManase-vv1ou 10 годин тому +1

    Mnafanya pouw but dakik chache mnooo guys

  • @SABURIMUTRA
    @SABURIMUTRA 7 годин тому

    Hii ni kali sanaaa,tunaofatilia gusa achia twende

  • @AlanMvula-f8s
    @AlanMvula-f8s 18 годин тому +2

    Na marudio mengiiii Yan da!

  • @estherAnzazi-e7s
    @estherAnzazi-e7s 18 годин тому +1

    WOW mama Othman 😂😂🎉

  • @MonsterMovieMansion
    @MonsterMovieMansion 17 годин тому +1

    Movie tami sana ii 😂😂😂 uyo bibie ni balaa ❤😂

  • @clainjovin6476
    @clainjovin6476 8 годин тому +1

    Kwa week episode 1 basi iwe hata 1hr au zaidi 😅😅😅

  • @magrethjames5950
    @magrethjames5950 17 годин тому +1

    Iyo ya kujitambulisha ukwenu sasa eeeh 😅😂 ndio ile mama alisema ilitokea kwelii 😂

  • @DINGIFILM1019
    @DINGIFILM1019 12 годин тому

    Unatisha sana kaka Allah azid kukuongoza vyema sana Kazi ziendlee🙌🔥

  • @AlanMvula-f8s
    @AlanMvula-f8s 18 годин тому +1

    Mnachelewesha Sana jaman na muda wenu mnatoa mdogo Sana

  • @pauldishon9424
    @pauldishon9424 11 годин тому

    ❤❤❤❤❤
    But muda, tunaomba kama wafatiliaji wa tamthilia yetu nzuri mpunguze muda isichukue mda mrefu hivi kutoa episode zingine
    🙏🙏🙏

  • @ayishaHabibu
    @ayishaHabibu 16 годин тому +2

    Mbona fupi sana dk 2. amalizi 😢😢

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 16 годин тому +1

    Mapenzi ni magumu sana sana kwa mademu wa mjini

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 13 годин тому

    3:30 ila huyu shemeji😮 anataka akafanye usafi hadi chumbani😂,aaaaweeeeh 🙌

  • @twillahbenaiah2879
    @twillahbenaiah2879 15 годин тому +1

    Bhs shajua mwanamke Ana mattzo ..anaendaje kujitambulisha mwenyewe na kutoa mahali ili alipiwe kwishaaaa😢

  • @MunaBintbadru
    @MunaBintbadru 17 годин тому +2

    Kweli dunia imeisha anaenda kujitambulisha mwenyewe mhh

  • @GilliardGodson
    @GilliardGodson 2 дні тому +2

    Tunasubiri j2 mwanangu😢

  • @HalimaBaraza
    @HalimaBaraza 10 годин тому

    Mm naama na ww juma ukiwa jua kali nipo ukiwa wap mm nipo

  • @fredrick3605
    @fredrick3605 16 годин тому +2

  • @Ummu-Nauthar98
    @Ummu-Nauthar98 12 годин тому

    Frank nimeanza kuwa na wasiwasi na weye😂😂

  • @PriscaZex
    @PriscaZex 17 годин тому +2

    Mama Othman mkali jmn mmmh 😂na ww nitolee jisimu lako😅

  • @Lss-v2l
    @Lss-v2l 9 годин тому

    Mda mchache sanaah na zinachelewa kutoka episode 😢

  • @HellenaRichard-f6s
    @HellenaRichard-f6s 3 дні тому +2

    Kwakweli muvi ni nzuli tam but kwa staili hii yatatushinda🙌

  • @chikeleplus
    @chikeleplus 16 годин тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂ila @Zendaya kwenda kujitambulisha ukweni😂🙌🙌🙌

  • @TheresiaPatrick-y7u
    @TheresiaPatrick-y7u 14 годин тому

    Nilijua tu huyu frank 😂hkuna msaada wa bure cha bure shkmoo tu

  • @dayanandama8873
    @dayanandama8873 17 годин тому +1

    C tulikubaliana vipande viwili jaman mbon ipo moja leo

  • @seraphinseraphino3507
    @seraphinseraphino3507 10 годин тому

    Nice job❤❤

  • @MwajeyEthany
    @MwajeyEthany 8 годин тому

    Zindaya umezidi shoga

  • @MansoorKhassan
    @MansoorKhassan 12 годин тому +1

    Mnachokifanya sio sawa dakika 11:21 kweli alfu tukae siku 6 kusubiria dakika 11 nyingine hapana bhana…
    Ebu jaribu kuangalia kuwa watu wengi tumevutiwa na series basi jitahidini hata kutuma vipande viwili ili kutuhamasisha kutazama kwa hali hii itatufanya kuipuuza kwa sababu inachukua muda mrefu kupata muendelezo..
    HITIMISHO :: Kama itakuwa ngumu kutuma kwa wakati mmoja basi fanyeni mara mbili kwa week hii itakuwa inavutia zaidi ni ushauri wangu tu..😊

  • @SeckySamwel
    @SeckySamwel 5 годин тому

    Movie nzur lkn tuongezee muda au ata kwa wiki mala tatu

  • @angelishika6054
    @angelishika6054 11 годин тому

    😂😂😂😂eti Mama mkwe

  • @Iamsalimah
    @Iamsalimah 12 годин тому

    Sasa ya sita lin jamni 😢.. Othmani Fanya jambo

  • @samwelmakono2786
    @samwelmakono2786 14 годин тому

    🔥🔥so amaizing

  • @JuliaKisimba
    @JuliaKisimba 12 годин тому

    🥰🥰🥰🥰

  • @donaldnanyaro6651
    @donaldnanyaro6651 15 годин тому

    Dakika chache sana

  • @marychuma6690
    @marychuma6690 15 годин тому

    Ongereni muda jamni 😢

  • @Iamsalimah
    @Iamsalimah 12 годин тому

    Jamni Zendaya sawa .ndio mapenzi ila kujitambulisha mwenyewe alooh..umenichosha apo 😂..

  • @angelishika6054
    @angelishika6054 12 годин тому

    Mbona mnachelewa kuleta muendelezo 😢

  • @julianamasangula4189
    @julianamasangula4189 15 годин тому

    Nomaa sanaa

  • @Mickyafrica
    @Mickyafrica 17 годин тому +1

    Story nzur so Ina bidi itoke Kwa madam sas kila siku mzeeee😂

  • @raajnyagawa1426
    @raajnyagawa1426 6 годин тому

    Tamthilia yako ni nzuri ila inachukua siku nyingi kupata ep mpya pia kwa nin utuwekee 10dk halafu tunasubiri week nzima

  • @FedhaLuhunde
    @FedhaLuhunde 18 годин тому

    Mnachelewesha sana jmn Othman

  • @HappyHpleesa
    @HappyHpleesa 13 годин тому

    Walau ht kila baada ya siku moja itoke jmn dk chache n kutok almost week mmh

  • @ireneevaristo5552
    @ireneevaristo5552 16 годин тому +1

    Mwanamke mjuaji kama Zendaya hapana kwa kweli mwanamke anataka mashindano na mwanaume?yaan mwanamke kama huyu kuolewa sahau hata uwe mzuri kiasi gani😉😉😉

  • @Revelation527
    @Revelation527 17 хвилин тому

    Ila Zendaya akili yake 😂

  • @kazezengwa
    @kazezengwa День тому +2

    OOTHMAN😂 KAA CHONJO NAHIII KIUMBE INAITWA FURE 😂 UTAKUJA KUNISHUKURU INATOLEA MACHO NYASHI YA ZENDAYA 😂

  • @joshuaoscar8183
    @joshuaoscar8183 14 годин тому

    .noumaaa sanaa

  • @AshaMussa-i8s
    @AshaMussa-i8s 10 годин тому

    Kwa maoni yngu kw nn usiwe unarusha kw wiki mala mbili jmn

  • @LinucPhilimon
    @LinucPhilimon 19 годин тому +1

    It's time 😁

  • @neemashayor4282
    @neemashayor4282 18 годин тому

    Mnaweka fuupi sana jamaniiiii😢😢

  • @Fancie-karia
    @Fancie-karia 14 годин тому

    😂😂😂 it's getting 🔥🔥🔥

  • @saadazubeiry8918
    @saadazubeiry8918 10 годин тому

    Hakuna soluhisho hapo mmekwenda kufukua makaburi tuu!

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 16 годин тому

    Hii seriea kali sana

  • @AmiriMustafa-r9x4k
    @AmiriMustafa-r9x4k 14 годин тому

    Mnachelewa sana kutoa

  • @SensoSamweli
    @SensoSamweli 17 годин тому +1

    Mda jaman ni mchache sana dakika 11 tu na tunasubili siku saba kwel

  • @asiaisaka2898
    @asiaisaka2898 18 годин тому

    Mama mkwe😅😅😅😅

  • @DobroHenry3442
    @DobroHenry3442 16 годин тому

    Sweet but too short,ufupi wake unataka kutuboa

  • @emes602
    @emes602 17 годин тому +1

    Tamthilia inachekesha hii zendaya

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 11 годин тому

    Mnachelewa sana kupost mpaka tunasahau, alafu mlisema kwa mtakua mnarusha episode mbili mbili alafu dk kiduchu mbwa nyie 😂😂😂😂

  • @bandotz5870
    @bandotz5870 День тому

    Mapemaaa snaaa

  • @OscarVenance
    @OscarVenance 18 годин тому

    Kheee ndo imeisha🤣🤣🤣

  • @hidayachanga4774
    @hidayachanga4774 13 годин тому

    Hapo zendaya umezingua asee kujipeleka

  • @rebeccazagabe
    @rebeccazagabe 18 годин тому

    bon dimanche wa pendwa 🎉

  • @ChristinaMbwambo-g8u
    @ChristinaMbwambo-g8u 18 годин тому

    Kwan kinachofanya mvhelew kutoa kaz ni nn mnachelewa location au wahusika hamkutan eneo la tukio😂😂😂😂
    Cha kusubr sana kinaboa othman bhana
    Bas achia epsd ata tatu

  • @Lightnesskibona
    @Lightnesskibona 18 годин тому +1

    Next linii??? ❤️💔

  • @WaydaHaji
    @WaydaHaji 5 годин тому

    Alichokifanya Zendaya sio sahihi..hao wakwe washakutoa thamani

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 3 дні тому +1

    Tunaomba mutuongezee dakika pls 🙏

  • @johnchimbiya2463
    @johnchimbiya2463 19 годин тому

    Watching from Zambia 🇿🇲

  • @AshaMussa-i8s
    @AshaMussa-i8s 10 годин тому

    Kw staili hii ya ochu hd mm ningeenda kujitambulisha😂😂

  • @AlanKimaro
    @AlanKimaro 2 дні тому

    Nzr sana

  • @SigwaKishkopa
    @SigwaKishkopa 3 дні тому +1

    Jmn mbn aitoki😢

  • @FedhaLuhunde
    @FedhaLuhunde 18 годин тому

    Zendaya kichwa chake jmn🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aliamindefortune6771
    @aliamindefortune6771 18 годин тому

    Munachemsha kwa kwly kipindi kizury mno lkn munavoiachia alaf pia mda kidogo kwly inaboesha

  • @Boniphacetz-w9x
    @Boniphacetz-w9x 11 годин тому

    Yan ep1 inaongelea kitukimoja tuuu 😢

  • @davidwilbert-w4x
    @davidwilbert-w4x 18 годин тому

    hamjajipanga kwenye swala la muda

  • @shaiduabdumalikishidepixel5419
    @shaiduabdumalikishidepixel5419 15 годин тому

    oi ongezen dakikia

  • @hkaniugu
    @hkaniugu 18 годин тому

    aiseee

  • @elizasix4216
    @elizasix4216 6 годин тому

    😂😂😂😂

  • @samiramsika3469
    @samiramsika3469 19 годин тому

    Mama mkwee

  • @IpyanaMwakyagi
    @IpyanaMwakyagi 18 годин тому

    Kaka episode hii imeua sana inabidi mda uwe unafupishwa hili nyingine iweze kutoka

  • @mercyteresamfikwa1334
    @mercyteresamfikwa1334 2 дні тому

    Kutuweitisha tu😂😂😂 so notification 🔔 ya 2days😂