SITUATIONSHIP TAMTHILIA | EPISODE 1
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- usiku mmoja Zendaya anapatakufahamu siri nzito ya mpenzi wake Othman ambayo inapelekea ugomvi na othman kwenda kwa mshauri na saa kwa nia ya kuokoa mahusiano yake lakini kero zingne zina ibuka baina yao Je Zendaya ataweza sema siri hio kwa Mshauri ?.
( English ) one night Zendaya finds out about her lover Othman's deep secret which leads to a quarrel ,Othman go to a therapist with the intention of saving his relationship but other problems arisen between them. Will Zendaya be able to tell the secret to the therapist ?.
Setting nzur waigizaji mmemaster character zenu na dialogue zimepangiliwa vizur. Congrats more team SITUATIONSHIP
Great revolutionalist in film in this century.Great film,great colour,great story.Everything has been done greatly
Ebwna ee partirck Umetish brother yani naona kabisa utapinduwa weng sana bongo move big up from America mzee we are together 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
For sure your a king ,nilishangaa kuaminiwa Kule na kanumba Kwa umri ule sasa ndo tutaona sura ya kanumba kwenye mawazo yako
Hongera sana kazi nzuri sana
Mko vema sana mnani inspire sana❤❤❤❤
❤❤1 st waiting for it
Kazi nzuri🔥
Hongera kaka Othman🎉 namkumbuka Kanumba gafla😢🎉🎉🎉🎉
Final say hiii ni noma mwanangu chereani umetishaa ssnaaa by micky
😅zendaya anajishangaza ety aaaah victor kama anaonewa vileeee 😂😂
@@Joyceabelhath 😂😂Zendaya
Wooh what a nice series I like it congratulations fam🎉
Thank you 🤗
Makini sana
Chukua maua yko🎉🎉🎉🎉@Othman kazi safi na 🔥🔥🔥,next please
Katisha sana dogo hum ndani🎉🎉
Mmetisha sana umu ndani❤🙌
SHUKRAN SANA
This is so huge 🎉 hongereni sana
Wooow😮😮
Creativity to the point 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Cover,colour,sound,creativity very👌🙌🔥
Sema fupi sanaaa💔
Wow🎉
Safi sana hongera baba umeweza ❤❤❤❤
Kaz nnzuri mno mdogo wangu ❤❤❤
🙌🏾🔥
🙌🏾🔥
This is so gorgeous can't wait for the next episode ❤
Napenda unavyo tamka Othman 🎉🎉🎉
🙌🏾
Kazi nzuri tunaomba muendelezo tafadhari
Kazi kalii
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 hongera Sana Njaid family 🎉🎉
🙌🏾🔥
Hundred % movie in terms of colors, sound creativity and story
Ohhhhh inavutia 😋
Nice movie congrat Othman your fan from🇰🇪🇰🇪🇰🇪👊👊
That's good bro keep it up❤
Nilikuwa naona tangazo tuu lakin nikapenda hii tamthilia wallah ni nzurii
Man wow iko vizuri so pouwa aisee ni nouma
Great job Othman... Better you drop the next one plz
🙌🏾🔥
Frank hata awe serious vp me nacheka😂😂😂 I always see comedy kwake
Yeeeees dats my brother 255
Congratulations 🎉🎉tuko pamoja nawe bro kazi safi sana ❤
🙌🏾🔥
@OthmanNjaidi1 Much love from 254🇰🇪🇰🇪
Ni muda wako let's go 💪
Kazi nzuri sana broo wangu
JOHARI🙌🏾
Mnajua wazee kila k2 kipo onpoint❤🎉
Njaidiiiii to the top❤❤❤
Duhhh ni nzuri barrraaa
Congratulations sana dogo kazi nzuri sana yani ongeza juhudi na usisahau kumuweka mungu mbele
Nakubar xna mwambaaaa next please🙏🙏🤝
Bonge la move hongereni sana
mmejitahid sana mov tam
Kazi nzuri sana🎉🎉🎉
I love it, keep them coming..!🔥
Niliisubiri sana hatimae🙌🥰
Hii nayo itaenda mwanng🤝
Yani Mapenzi bana yanachekesha sana 😂😂😂😂😂
NOMA😄
@@Othamannjaidiyou killed it blood
😂😂😂
Moto mkali brother🔥🙌
Msitukatishiyiiiiii mu endeleye kutuwekey jamaniiii❤💋
@@lareineminah1353 share kwa watu tuachie episode mpya
Umetisha njaidi
Njaid unajua sana bro pambana
Huyu dem wa Othman mrembo 🥰😘
C ndy Betha wa Tufani huyu
@Shaniatwain06 ndyo
Yan mzuri nilipoom trel tu nikasem nimuon man kule kaoneshwa kdg
@@Shaniatwain06ndyo
Othuman hivi utaweza tena kufanya kazi nzur kama hii story nzur camera safi hapa TZ hakuna msanii alotumia!kaz nzur sana❤❤❤❤❤ MUNGU akupe upeo wakutengeneza kazi nzur zaidi
Chukuwa mauwa 🎉🎉 yko kazi nzuri
Hahahahahah hii tamu sana 😊
🤣🤣 Good one next episode please
😄🔥
Kazi nzuri Sana broh ila tupate episode 2 mapema sasa
Aaaah imeisha patamu jamani lini tena muendelezo
Juma anapendezwa sanaa vituko zile comedy
Otman njaid nakukubali mwanangu naomba collabo piah
Congratulations good work love it ❤❤
Nakuona unafata nyayo za Dingi yako Kanumba mdogo wangu umeweza sanaaaaa
Ongera sana Kaka umetishaa
Team juma 😂 eva angekuepo ingenoga 😂😂😂😂
❤❤❤❤bonge la dude
😂😂jamani wanaume kudanganya mlishindwa kupewa character hiyo waao nipenda hii🎉
Fam from Zanzibar 🎉🎉🎉, pigup sana Njaidy
We need Muendelezo tu kazi iko So nice
🙌🏾🔥
This movie 🥳🥳🙌🙌❤️
noma sana👏🏾
Wow I think we need more ❤❤😂
Nashemeji bwanaa
Waauuu so amazing 🎉🎉🎉🎉
Hongera saana kazi nzuri mashallah
Finally ❤❤
Hili dude ni 💥
Kaz nzur 🇹🇿 tuko pamoja na nyie
AHSANTE SANA
Tunaomba muendelezo jaman ❤❤❤❤
Kazi nzur 🎉🎉
Hahahaha victor ameingiaje vipiii!!!!
WEWE NI MAPINDUZI YA BONGO MOVIE UKIANGALIA COLOR SOUND CAST CRIP SHOTS NOMA BRO I AM YOUR NUMBER 1 FUN
🙏🏽🙏🏽
SHUKRAN BRO SAMAHANI SIWEZ KUPATA HATA SCENE MOJA NAPENDA KUWA ACTOR@@Othamannjaidi
@@Othamannjaidiyour the best blood
Bonge la film❤
Very good i love it❤🎉
Masha Allah❤ 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤💯💯💯💯
Dhuu niraha tupu.nomasana....hapa Bongo sihami....kumeanza kuchangamka.
🔥🔥
Imeisha patamu sana
Very nice 👌 👍
Vizuri sana
Situationship🥇
Congratulations 🎉🎉
Nakubali Effort ya Kujaribu kufanya jambo
ILA TANZANIA kenywe swala la uigizaji BADO BADO BADO sana
Nani kasema bado,,,leta kazi yako ,nzuri tuione,kazi kukatisha tamaa,mmefanya vzr🎉🎉
@jolinoyohana3904 Hiyo ndio Fact Tunaambiana Ukweli hatakama ni mchungu
@jolinoyohana3904 Na kama wewe no Mtu wa kukatishwa Tamaa kuendana na maneno ya watu haswa pale inapo ambiwa ukweli
Then utakuwa na Mindset ya kimasikini and you are not the right person for the job
@jolinoyohana3904 mfano wa series kali ya kibongo ni "SIRI YA MTUNGI" sijaona nyingine
@jolinoyohana3904 iyo series scrip yake ni mbovu, from no where una mpiga kofi na kumbamiza mpenzi wako na hauna Matatizo ya akili, hujalewa wala hauna panic attack
Kazi nzuli kak
Duh! Mmecheza saan wanangu
New family member Nipo apa 😂🔥🔥🔥💯🎥🎥💯
Good job guys ❤❤