NAPENDA KUTOA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI NA ZENYE UPENDO MKUBWA SANA MLIO UONESHA KUANZIA TULIPO IANZA MPANGAJI MPAKA LEO TUMEITAMATISHA ASANTENI SANA MMEONESHA UPENDO MKUBWA SANA PIA SHUKRANI ZANGU ZA PILI NI KWA KILA SHABIKI AMBAE AME SUBSCRIBE HII CHANEL NISEME ASANTE SANA SASA TUJIANDAE NA CHUMA CHA KUFUNGULIA MWAKA NIWA AHIDI TU ITAKUWA KAZI KAZI KWELI KAAENI MKAO MZURI KWANGU HUWEZI JUTIA BANDO LAKO NAWAPENDA SANA NA ASANTENI ❤❤❤❤❤
Movie imekuwa inavutia sana.... Nimekuwa mfuasi kutoka Uganda 🇺🇬🙏,,, tutabaki nanyi hapaaa. Shukurani sana Kakoso kama Director na pia waigizaji,,,, ahsanteni sana nyote kwa ujumla ❤🎉
It was a nice and interesting play,,,,nimeipenda sana,, nimekua na nyinyi kutoka mwanzo ady tamati,,, all was well guyz,,,,kazi saffy @Director kakoso na team yako,,,,,kama ni zuri tunalamba 😂,,,,mi nilkua nishailamba tayari 😂😂😂,,,#tamusanaaaa🙋🙋🙋🙋🙋
Kwanza kabisa Pongezi kwako S.G Director KAKOSO. Pili tunaomba kwenye Baadhi ya Movies Tone ya Muziki inakuwa Juu sana hadi Sauti za Watu hazisikiki vizuri. Tunaomba sana Kakaa🙏🙏🙏
@@Mzidole kaka Kwa mpangaji ulicheza part yako vizuri yaani nilitazama mpangaji Kwa ajili yako nilipenda ukisema mzidole mzidole mzidole watu kecha nawasha Gari 💓🌹
@@Mzidole af kaka mm naomba director kakoso Kwa kila akitoa movie asikose kukuweka kwenye movie maana wewe Kwa movie unafanya movie iko Sawa kabisa kwanza pale Kwa Sanda juu ya kaburi upo vizuri Sana yaani mm Hua nafurahia nikikuona ju ukiwa Kwa movie mambo inaenda vizuri 🌹🌹🌹🌹💓💓💓
Kazi poa ata nilikua nakuchukia kwa kumtoa oafara Doreen na kumuua chibu ata ndie niliona kamgeuza mgomba lakn kazi nzuri director kakoso nakutizama nikiwa Doha Qatar
Mkubali msikubali KAKOSO ndio muandaa film bora Tanzania japo hajawa na viewes wengi ila luna siku hamtokija amini jamaa anajua sana kuandaa film Wanao mkubali kakoso ginga like hapa
NAPENDA KUTOA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI NA ZENYE UPENDO MKUBWA SANA MLIO UONESHA KUANZIA TULIPO IANZA MPANGAJI MPAKA LEO TUMEITAMATISHA ASANTENI SANA MMEONESHA UPENDO MKUBWA SANA PIA SHUKRANI ZANGU ZA PILI NI KWA KILA SHABIKI AMBAE AME SUBSCRIBE HII CHANEL NISEME ASANTE SANA SASA TUJIANDAE NA CHUMA CHA KUFUNGULIA MWAKA NIWA AHIDI TU ITAKUWA KAZI KAZI KWELI KAAENI MKAO MZURI KWANGU HUWEZI JUTIA BANDO LAKO
NAWAPENDA SANA NA ASANTENI ❤❤❤❤❤
Asante san bwela yuko wp jmn
Kheri kabisa nasi tunawapenda sana mana mlikua sawa na program zenu kitu mnatuwekea kwa wakati .
Tupo Tayari huna Kazi Mbovu Kaka
@@directorkakoso tunasubiri kaz zingine jaman maan mpangaj imekuwa nzur san
Pole sana
Yani Kakoso, wewe ni Noma, wewe ni director wa Kweli, naomba like 10 tu kwako Kakoso. Nawapenda wote, Nzidole, Nzidole, Nzidole. From Moz 🇲🇿
Nilianza kuangalia tok mwanzo leo mwisho hakik Kaz Yen nzr sn 🎉🎉🎉🎉🎉
director kakoso upo vizuri upewe 🎉🎉🎉🎉 yako Kwa kazi nzuri
Movie imekuwa inavutia sana.... Nimekuwa mfuasi kutoka Uganda 🇺🇬🙏,,, tutabaki nanyi hapaaa. Shukurani sana Kakoso kama Director na pia waigizaji,,,, ahsanteni sana nyote kwa ujumla ❤🎉
Najua kama nimeshelewa too much, lakini nawaomba like zangu 10 tu. This is first love from Mozambique ❤🇲🇿✊🏿
congratulations team mpangaji 🎉🎉🎉pongezi sana kwa kazi yako mzidole❤❤❤🎉🎉
TULIOKUWA PAMOJA MWANZO MPAKA MWISHO KATIKA MOVI HIII NANI❤TUJUANE
Nimependa
Lakini wanazingua sidhani kama kuna uchawi wa Ivo jamani
Ongera sana kakoso kwa kazi nzuri Allah akuzidishie inshaAllah
Bora imeisha 😊😊😊sengo apumzike kuweka hv shingo jmn 😁😁😁
Wa kwanza leo from DRC 🇨🇩 congo tunawa kubali sana team DR kakoso 🎉🎉🎉
Hongera kwa KAZI nzuri kakoso super genius director 🎉🎉🎉🎉🎉
Kakoso kazi zuri sana iyi muvi ilikuwa atari zidisha stori baba kwa kitu kingine kipya
It was a nice and interesting play,,,,nimeipenda sana,, nimekua na nyinyi kutoka mwanzo ady tamati,,, all was well guyz,,,,kazi saffy @Director kakoso na team yako,,,,,kama ni zuri tunalamba 😂,,,,mi nilkua nishailamba tayari 😂😂😂,,,#tamusanaaaa🙋🙋🙋🙋🙋
All the way from Nairobi Kenya nikifuatilia series zenu Kwa udi na uvumba,,,,big upz guyz👊👊👊👊👊👊
❤❤❤Woow congratulations team mpangaji kazi safi sana
Very very nice 👍 mumemariza vizuri sana nawapenda sana❤🎉
Congratulations 👏 wakuu na director kwa KAZI njema nmekuwa na nyinyi tangia mwanzo 🎉🎉🎉🎉najua filamu ingne Moto inakuja
Safiii sanaaaaa❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumefuatilia mpaka mwisho na tumependa kazi yenu ..........twatarajia kazi mpya nzuri zaidi ya hiiii🎉🎉🎉🎉🎉
Mwanzo hadi mwisho wa mpangaji nimependa sana tena sana congratulations to you Directer Kakoso with your all entire family workers ❤❤❤❤
Leo nimekuwa wakwanza, nipeni like jamani
Kakoso hongera yk move nzuri sn nawapenda wt❤❤❤❤❤
Maashallah. Kazi nzuri kakoso🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Movie kali sana, tumeshukuru kwa vile mmetuburudisha 🔥🔥tuna wangoja bado
Team Mzidole Gonga like Kwa hapa🎉
Mmmmh!!! Mzidolee Mzidoleee Mzidoleeee Apwi👋🤣🤣
@AnnastaziaKitilima watukecha😂😂
Oyeeeeeeeee. Mzedole
Wa kwanza mkenya 🎉🎉🎉kakoso gusa apo❤
kazi nzuri kakoso twaomba ingine tena
Oi oi imeingia bahna mpangaji wakwanza Leo🔥🔥🔥
Kaka Butua waaah ❤❤❤❤😂😂😂😂 unajua kwa kweli
Tunamshukuru mungu. Mpangaji tumeiyanza salama natumeimaliza salam ALHAMDULILLAAH chukueni maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ilikua tamu sanaa hongereni nyote team kakoso genius pamoja na watu wako🎉🎉🎉❤❤
Ongera kwa kazi nzuri bana direct kakoso
Butua anaweza sana aseeeeee character ya ulevi inamfit sana 😍😍😍😍
Waaaaao Kaz nzur san jmn tumewazoea san jmn hay tuleteen huo moto🔥🔥
Mzee wa mishenyeto, mzee wa miuno migando ,director n team yako kaz ilkua nzur sana ❤❤❤❤❤🎉 mschelwe kutuletea kitu kwngine kiwe moto zaid ya mpngaji❤
Inshallah 🎉🎉🎉
Sijaelewa mimi kwamba imeisha ama imeisha kweli😂😂😂
Big up kakoso yaani hatupoi ❤ hii ndiyo maana halisi ya series 🎉🎉🎉
Waah moto sana hongereni🎉🎉🎉🎉🎉 kwa kazi njema
Nakubal kaz zako mkubwa super genius kakoso tuletee ktu kzuri
Nmechelewa lakini sio sanaaa..mlisema tunafunga mpangaji bila kulike coment yangu sio😢??
Leo nimeona maiti akifufuka 😂😂😂😂😂kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana from 🇲🇿🇲🇿
Kwanza kabisa Pongezi kwako S.G Director KAKOSO.
Pili tunaomba kwenye Baadhi ya Movies Tone ya Muziki inakuwa Juu sana hadi Sauti za Watu hazisikiki vizuri. Tunaomba sana Kakaa🙏🙏🙏
Kazi nzuri mno❤❤
Kumbe muzidole akiwa inje ya kazi ni muhandsome hivyo 🥰🥰🥰
😂😂😂😂
Tumalize mungu awepe nguvu mtuletee nyengine Kaz nzr
Nyie woteeeeee mumecheza vizuri❤❤❤❤❤
Nawapenda sana ❤❤❤❤ tuko pamoja kwa zingine nyingi
😂😂😂😂😂Jamani mbona mapema jamani😂😂😂ongereni mmeceza vizuri sana tuliipenda sana asante sana tunawapenda ndugu zetu❤❤❤
sema mzidole kunibamba kutoke kenya ❤❤❤❤❤❤ sanaaa
🎉🎉🎉🎉
🙌🙌🙌🙌tupe vtu kakoso wetu 🎉🎉🎉
Yaani director kakoso kazi yako imekua nzuri toka mwanzo ad mwisho naomba umsalimie mzidole 🙏🙏
Nip ap kaka mkubwa
@@Mzidole mzidole mzidole mzidole 🌹💓🌹
@@Mzidole kaka Kwa mpangaji ulicheza part yako vizuri yaani nilitazama mpangaji Kwa ajili yako nilipenda ukisema mzidole mzidole mzidole watu kecha nawasha Gari 💓🌹
@@Mzidole af kaka mm naomba director kakoso Kwa kila akitoa movie asikose kukuweka kwenye movie maana wewe Kwa movie unafanya movie iko Sawa kabisa kwanza pale Kwa Sanda juu ya kaburi upo vizuri Sana yaani mm Hua nafurahia nikikuona ju ukiwa Kwa movie mambo inaenda vizuri 🌹🌹🌹🌹💓💓💓
@@Msaniitz ahsant brother shukran san kaka mkubwa 🙏
Kazi nzuri kw wote❤❤
Salim kutoka South Africa,tunashkuru sana kwa kazi zako na Mzidole amemaliza viziri,ila Sengo bwana noma sana !!!
Shukran san 🎉🎉🎉🎉🎉
Director nambari moja. Kakoso👏
Wa kwanza kutoka kenya nikiwa Saudi Arabia ❤❤
❤❤❤❤❤🎉
Mishooh ❤
Mishooh nikutafute wapi naomba tuongee
Sengo umeniweza mwishoni😂😂😂😂😂😂 nikajua kafufuka 😂😂😂 respect
Jamani nitamumic mzindole wangu jamani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Usjl mamaaaa 🎉🎉🎉🎉
Safi sana nawapenda wote❤❤❤❤❤
Dah 😂😂😂😂😂mmeupiga mwingi kwakweli❤❤❤❤❤❤
Siamini kama hiki kipindi kimeisha sijapenda😢😢 . Kakoso tunangoja episode ingine plz
Asant san watu wote wamecheza katik iyo flm asant san mungu awabariki 🎉🎉🎉 niko saudia Saudia 🇸🇦 na wafata tano kwatano asant kakoso❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂Yan butua ananiuwag kabis mwamb ul pale🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Me ndo Wakwanza jamani naomba like
Kwanza nakujukua sana senko Mzee wa masenyetto mr senko 😂😂😂
Eeeeeh ndo mwisho jmn
Bc tuendelezee ile SIRI YA MGENI
brother kakoso
Wallah tena hata likuwa nimeisahau
Leo sengo kaongea hadi kilugha🤣🤣🤣🤣🤣🤣pongezi kwamzidole👏👏👏pia maua kwa direct kacoso ❣️❣️❣️❣️💞💞💞💞💞💕💋
Ahsant san my dear 🎉🎉🎉🎉
Ila hii filam kuangalia usiku ukisahau kusoma du'a ya kulalia kimekuramba 😂😂 unaota kama vilivyo anyway Kazi nzuri sana director KAKOSO 🌹🌹
Kazi poa ata nilikua nakuchukia kwa kumtoa oafara Doreen na kumuua chibu ata ndie niliona kamgeuza mgomba lakn kazi nzuri director kakoso nakutizama nikiwa Doha Qatar
Aaaaaaa haijaisha kama 2livyotarajia jamaniii mmmh sengoo kaazibiwa kidg sana tofaut na makosa aliyoyafny
😂😂😂😂
Chibu leo kashenyetwa😅😅😅
Ntawamiss jmn mzidole na sengo na wengin ktk hii movie😢 kaz kaz❤
🎉🎉🎉 usjl tup pamoja san
Waooooooooh vzuliii sanaaa ❤❤❤❤
😂😂😂😂😂butuaaaa mwamba huyooo 😂😂😂
Kazi nzuri nawapenda wotee
Daaaaah unapaswa ulete season 2 ya mpangaji ❤❤
😂😂😂😂😂😂😂mm mwenyewe nilikuwa namuangalia chibu kamdomo kamdomo , nikajua anacha ziada kumbe nguvu ya mapenz 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
@cristaezekiel1036 nguvu ya Huba , natamani nipte mtoto wa mama mkwe nimpende kama chibuuuuuuuu
Kakoso unajuwa kuwahisha safi sana
@Directorkakoso unadeni kubwa sana kwa mashabiki zako kwa kutoa tamthilia kali kushinda mpangaji kazi kwako
Asante sana ndungu zetu
Mzidole nakupenda ❤❤❤
Sengo mambo ya kumuita baby wangu zuwena mala binti ashura 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
@Mzidole sitaki wallah majina yenu ashura Binti juma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hatimaye mmeweza bwnaa❤❤❤
Hongereni Kwa kaz nzuri
Tujuane wana familiya ❤❤❤
Well-done and congratulations! What about THE GAME season 2, Bring it plz.
Hongereni sana mumeimariza vizuri nimeipenda hii 🇿🇦
Shukran san 🎉🎉🎉🎉
Sengo ashura binti juma 😂😂😂😂umeuwa sana kaka mzidole 🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉 ahsant san mkuu
Bantumweeeee mu mufashe SENGO😂😂😂😂😂 MUZIDOLEEEEEE🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉
Butua wangu leo umenifurahisha😂😂😂😂 ukilema pia unawez aiseeei hongera🎉🎉🎉🎉🎉chibu mwanakulitafut mwanakulipata
Dk 14 mi huyo ❤❤❤
Wakwanza from Mozambique
Mzidole❤❤ anakipaji chenyewe bro ametisha sana
Pia pokea shukurani za dhati kwa kutuandalia movie freshie Mungu akubariki. Tunongojea nyingine kwa hamu na ghamu
Faino huaga mnazikosea sana
Asanten pia kwakutupatia buludan tume enjoy kaz mzur mnoo mungu azid kuwapa nguvu 🎉🎉
Inshallah msichoke kutufatilia tunawapenda san jmn 🎉🎉🎉🎉
Toka mwanzo mpaka mwisho 30,tupeeni season 2 haraka bwana kakoso❤❤❤🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉 congratulations
@@Mzidole shukran sana mzidole wa wazidole ❤️❤️❤️
@@WaithiraGift 🫀💞
Mkubali msikubali KAKOSO ndio muandaa film bora Tanzania japo hajawa na viewes wengi ila luna siku hamtokija amini jamaa anajua sana kuandaa film
Wanao mkubali kakoso ginga like hapa
MUNGU ampe kibari Cha kuwa juu zaidi
Sio kweli mtu kafikisha 100k mchezo nn
Mbona apo vizur sana na kakoso anasifika bila hata kumtaja
😂😂😂kakoso mzidole sio mchawi ila ananguvu na pia anauwezo wakuona mbele kabla
Mzidoleeee
Nyote nawapenda❤❤❤
Wa kwanza kutoka kenya mnipe like
good job kakoso tukutane wakat mwingine