DUNIA (EP 32)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @Marty-A1
    @Marty-A1 9 днів тому +1585

    Tunawaisha Sasa hivi naomba mtusapoti mungu atasimama na nyinyi❤❤

  • @JacklinekherSay
    @JacklinekherSay 9 днів тому +425

    Kila anaeangalia DUNIA Mungu ampe afya njema First one from tz❤❤❤

  • @SamwelAbsalum
    @SamwelAbsalum 9 днів тому +70

    Hii kazi wapendwa mmeifanya kweli hii ndo dunia........tunaomkubari tulike

  • @zephaniamalale9523
    @zephaniamalale9523 9 днів тому +123

    Sipendi kuandika lolote lakini naomba niseme: miongoni mwa series nzuri, stori nzuri, waigizaji wazuri, location nzuri na uhalisia wa waigizaji. Kiufupi mmeupiga mwingi.🎉🎉🎉

  • @annaki318
    @annaki318 9 днів тому +362

    Raha ya Dunia bwana inapendwa na wengi sanaaa
    Kama unakubaliana na mimi gonga like😂

  • @EliaMwampamba-h3n
    @EliaMwampamba-h3n 9 днів тому +140

    Jamani tuombeane tuvuke mwaka salama mwisho wamwaka unamatukio sana

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe 9 днів тому +63

    Jamani Leo nimewahi nawaombea timu Dunia mvuke mwaka salama🤲🤲🤲 Inshallah 🙏

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 9 днів тому +55

    Aliyemmic Mudy cha pombe Gonga like Hapa, Halafu leo Mapema Tu, Manyanya uende kwa Mganga tu mnyoosheni Cathe nayeye aonje maumivu😅😅😅😅

  • @AishaJuma-x1g
    @AishaJuma-x1g 8 днів тому +28

    Nyie mpenzi ya manynya n marti hadi rahaa anaekublian n mm agonge like bc jmniii❤❤

  • @triphosenduwimana3219
    @triphosenduwimana3219 9 днів тому +470

    Wenye wanataka penzi la manyanya n'a Matty liendleleye ivoivo wangonge liké🇧🇮🇧🇮

    • @MugishaKalim-o7z
      @MugishaKalim-o7z 9 днів тому

      wakwanza nikimupata wakupenda

    • @flavafleury
      @flavafleury 9 днів тому +4

      Abarundi twarimukiyino 😂😂

    • @BayubasireBertin
      @BayubasireBertin 9 днів тому +1

      Tupo wengi kibao

    • @SimeonIrakoze
      @SimeonIrakoze 8 днів тому +2

      🇧🇮 tupo tunawafuatilia 100%

    • @DearNaah-st2nx
      @DearNaah-st2nx 8 днів тому +1

      Aaah sio kw Maty tu hat mm nataman Manyany angelikua danga langu nyieee🎉😢❤😅😅Maty usinun natania😅

  • @michaelbuta7388
    @michaelbuta7388 9 днів тому +612

    Wasio penda Matty aumwe wangapi jamani tujuwane kwa like

    • @SamyLove365
      @SamyLove365 9 днів тому +2

      𝐚𝐮𝐦𝐰𝐞 𝐭𝐮 𝐤𝐰𝐚𝐤𝐮𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐭𝐞𝐦𝐛𝐞𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐦𝐞 𝐰𝐚 𝐦𝐭𝐮😂😂

    • @NjoleZuma-ue9yo
      @NjoleZuma-ue9yo 9 днів тому +3

      ​@@SamyLove365😂😂😂

    • @JamilaMiraj
      @JamilaMiraj 9 днів тому +2

      Mm sipendi aumwe

    • @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r
      @SwabrinaamoohSwabrinaamooh-e3r 9 днів тому +2

      @@SamyLove365kwaiyo mwanaume hapati anacho taka kwa mkewe

    • @SuleimanSwidiq-fj5px
      @SuleimanSwidiq-fj5px 9 днів тому +1

      Sipendi Maty aumwe

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 7 днів тому +9

    Dunia imeteka mioyo ya watanzania bara na visiwani aisee ni vipaji vya namna gani vipo humu.....hongera san kwa mtunzi🎉

  • @isakajacob3758
    @isakajacob3758 9 днів тому +39

    Nawashukuru waandaaji wa hii muvi ... Hakika hii muvi imenikuta Kwenye umri mzuri... Najifunza mengi🎉🎉🎉

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 9 днів тому +45

    Ila manyanya hii movie Kwakweli imejitahidi kuitunga jmn... cjui hata tukupe tuzo ya nchi gani mana inamafunzo yote ya kidunia 😂😂😂❤❤❤❤❤

    • @DoongaVibes
      @DoongaVibes 9 днів тому

      Ni baba asuma ndiye mtunzi

    • @DoriceEdward-l6s
      @DoriceEdward-l6s 7 днів тому

      Na ndo ata ajibugi comments anaziona anachekelea tu kujibu aaah

  • @LaulianLucas-yc6og
    @LaulianLucas-yc6og 8 днів тому +40

    Wangapi tunamkumbuka MATRIDA kama alikua anaitwa ZINDUNA😊

  • @queenlisapherooz7321
    @queenlisapherooz7321 9 днів тому +429

    Najihisi upweke sana nataman kupata marafiki wapya kwan wazaman wameniumiza sana kam uko tayar kua rafik angu naomb ulike nikuone❤

  • @mwanamwinyi3372
    @mwanamwinyi3372 9 днів тому +117

    Upendo wa Manyanya unazidi kuimarika kwa Maty hata kama yuko ktk shida na hayo ndio mapenzi ya kweli dunia kweli inatufunza anaelikubali hilo aweke likes ❤❤😂

    • @MariaBwanza
      @MariaBwanza 9 днів тому +3

      Kwa kumchiti mkewe na kutengeneza kwa mchepuko 😂😂😂😂😂wakati kwakwe hovyo hapo Kate katengeneza au ndio kaongeza tatizo😂😂😅

    • @MinzahMkwamba
      @MinzahMkwamba 8 днів тому

      @@MariaBwanza wote tunaona ata wewe mwenyew shuhuda kuwa kwake kumeshindikana ata akijaribu kukujenga 😂😂

    • @Afsa-z3g
      @Afsa-z3g 8 днів тому

      Yaani wanaume wore wangekuwa km manyanya ndoa zetu na mahusiano yangekuwa na furaha sana aseee, huyu manyanya akioa mkewe atapata raha sana😀😀😀😀😀😀😀😀

    • @Afsa-z3g
      @Afsa-z3g 8 днів тому +1

      ​@@MariaBwanzamkeww Hana time anaenda anakopata furaha na mara nyingiiiiii ndoa zetu tunazivunja wenyewe

    • @MariaBwanza
      @MariaBwanza 5 днів тому

      😂😂. Ila vai sijui ana shida gani ila furaha haitafutwi uko alikoenda yeye Bali nikuongeza matatizo sure am telling you ​@@MinzahMkwamba

  • @RachelHassani
    @RachelHassani 8 днів тому +20

    Mwanaume unambinu za ajabu ni hatariii pongezi kwako manyanya👏👏👏👏

  • @RegisBikorimana-vm3yt
    @RegisBikorimana-vm3yt 9 днів тому +29

    Wakwanza kuiona from Burundi 🇧🇮
    Mauwa yang jamani ❤❤🎉🎉

  • @Cathymanyanya
    @Cathymanyanya 9 днів тому +198

    Naomba msinichukie ni movie tupendane tu❤❤ nawapenda sana mimi

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 9 днів тому +10

    Yaani ukiigiza na manyanya unaweza uka move on ukajikuta unampenda kweri.......manyanya Lomantiki love❤❤Mungu akutunze

  • @OfficialMwijaku25
    @OfficialMwijaku25 9 днів тому +40

    Mungu akupe afya njema nyote🙏 boy from Msumbiji 🇲🇿🔥🔥🔥

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media 9 днів тому +167

    Mungu atupe afya njema kwa wote tulio kuwa tunaisubilia muendelezo wa DUNIA ... Kama naww ni mmojawapo GONGA LIKE twende sawa 🎉🎉 LAHAULAAA

  • @JosephomariMaishaniyamungu
    @JosephomariMaishaniyamungu 9 днів тому +21

    Ongerasana manyanya Safi sana brow kazi nzuri kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @nicholaus-jackson295
    @nicholaus-jackson295 9 днів тому +204

    Mungu akuvushe mwaka salama unae soma comment hii

  • @SiwemaJohn-o5d
    @SiwemaJohn-o5d 9 днів тому +100

    Duuu kama mnalipwa naomba mood aongezewe mshahara duuu kaz yake ni nzito😂😂😂

  • @ZACHARIASAMU
    @ZACHARIASAMU 8 днів тому +10

    Daaah kiukwel munao igizaa hii movie 🎥 ni watu ambao mnajua sanaaaaaa very expensive ya talent ipo vipaj itoshe kusema mungu awazidishie ❤❤

  • @ShannyMoris
    @ShannyMoris 9 днів тому +137

    Tangu nianze kufatilia Dunia hadi leo hamjawai kunipa likes
    Au ni comment yangu hamuon😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @AbdulmalikYusuph-f5u
    @AbdulmalikYusuph-f5u 9 днів тому +220

    Kama unaamini manyanya ameanza mpenda matty zaid ya mke wake weka like hapa🔥🔥❤️

  • @AminaMjeni-iz8uo
    @AminaMjeni-iz8uo 8 днів тому +7

    Manyanya nakupenda sana buree ww ni mwanaume bora sana mungu akujaalie kheri na baraka 🙏🥰

  • @MissFreeda
    @MissFreeda 9 днів тому +27

    Jmni ukipata mchepuko km Manyanya jmni Mmmh tamu Sanaa 🎉🎉

  • @viviankemunto4435
    @viviankemunto4435 9 днів тому +20

    Wa pili leo kutoka kenya 🇰🇪 nasubiria kama dawa😂😂 asante yote tunawapenda kwa kazi yenu

  • @J74251
    @J74251 9 днів тому +43

    Kudaddadeki manyanya we kiboko Sana Kwa hizi game unazocheza nakukubali sana🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤❤🎉❤🎉❤🎉

  • @annaki318
    @annaki318 9 днів тому +66

    Hivi manyanya anawapataga wapi watu wa kumtetea kwa mkewe akichelewa kurudi nyumbani!???😂😂😂😂

  • @mustafakimwaga
    @mustafakimwaga 9 днів тому +22

    Aisee nipo pamoja na dunia mwanzo Hadi mwisho Nakupenda sana Matilda

  • @machindafadhili3186
    @machindafadhili3186 9 днів тому +27

    MUDI MUZUNGU ananipasua mbavu sana.
    Mashabiki wa Mudi Muzungu mpoo?❤❤❤😂😂😂.
    Nimefika nyuma jameni nawaombeni like 15 ndugu zangu

    • @Esther-pz2ri
      @Esther-pz2ri 8 днів тому +1

      Mudu muzungu apewe flowers 🌹🌹🌹

  • @ObileproJean
    @ObileproJean 9 днів тому +29

    Mungu anasaidiya kweli kwa chap chap mnayo fanya ASMA films ongera zenu daaah

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 9 днів тому +36

    Manyanya akichelewa basi atakuja na wageni na mambo yasio eleweka😂😂😂😂😂😂😂😂😂 me naogopa wanaume Maisha ya peke yangu raha

    • @HamdiHamdiAbdi
      @HamdiHamdiAbdi 9 днів тому

      Umetumwa umetumwa sio ushindwe na utokome kabisa huko😅😅😅

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 9 днів тому +1

      @HamdiHamdiAbdi acheni tabia bovu😂😂😂

    • @NjoleZuma-ue9yo
      @NjoleZuma-ue9yo 9 днів тому +1

      Akili mtu wangu😂😂

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 9 днів тому +1

      😂😂😂na pesa anazo zakuwalipa

    • @HamdiHamdiAbdi
      @HamdiHamdiAbdi 9 днів тому

      @@zahraabdul9652 huruma tu ndio inatupelekea tusitake kuwaona mukiwa pweke na ndio hivyo tu sasa but uwache kutufatilia uishi kwa amani wa ila rest in peace

  • @Mkama-M
    @Mkama-M 7 днів тому +2

    Penzi la maty na manyanya linatufundisha mengi. Penzi lidumu💙💙💙💙

  • @Kacimbaz
    @Kacimbaz 9 днів тому +41

    Anayeona penzi jingine la Amani na sindi honga like hapa😅

  • @ShabaniLumasanya
    @ShabaniLumasanya 9 днів тому +24

    nakupenda sana mati nita kuja kukuowa usijali niko apa kwa sababu yako

  • @JulianaMwilongo-o7y
    @JulianaMwilongo-o7y 8 днів тому +9

    Eti wanaume kama manyanya wapo kweli😂😂😂😂au imebaki kumbukumbu kama baba wa taifa😊😊

  • @DavisWalukaya
    @DavisWalukaya 9 днів тому +28

    Wakwanza kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 na Kama unamkubali manyanya na Matty konga like ❤ tukisonga

  • @ASHANDEGWA
    @ASHANDEGWA 9 днів тому +17

    Ila manyanya ww kiboko😂 Vai hawezi mshika mwizi kwa style hii😂😂😂😂

  • @IssaBengine-w5v
    @IssaBengine-w5v 8 днів тому +5

    Matty pole Sana adi unatia uruma kweli uyo mshenzi Rafik yako washobo zakijinga alishindwa kumtongoza manyanya na yye ndie mwenye kuangaika haina haja akufanyie donge kwako 😢😢😢 maskin unaangaika namisukosuko yajabu ju yaujinga warafik yko

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 9 днів тому +11

    Ivi wapo waume kama hawa bado ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂kumekucha kwa wazee wawili😂😂😂😂😂

    • @dodidodobd4272
      @dodidodobd4272 9 днів тому

      😢😢😢😢😂😂😂😂😂 khaaa

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 9 днів тому +13

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team manyanya and violet❤❤❤,Mudi muzungu

  • @davidmwemamwanzia
    @davidmwemamwanzia 8 днів тому +8

    Kaka manyanya nimekupenda sana jinsi unavyo mpenda mati❤❤❤❤❤❤

    • @davidmwemamwanzia
      @davidmwemamwanzia 8 днів тому +1

      Asante sana kwa yule ambaye amependa comment yangu Mungu hakubari sana

  • @QwerQwer-p8x
    @QwerQwer-p8x 9 днів тому +10

    Nawaombea kwa mungu tuvuke mwakahuu salam ❤❤team liad from saudia tujuane hapa❤

  • @Regina-p6r
    @Regina-p6r 9 днів тому +22

    Yani manyanya upo vizuli sana mungu akubaliki wanaume wajifunze apa

    • @HerswidaShonga
      @HerswidaShonga 9 днів тому

      Kwahiyo wajifunze kutudanganya

    • @Regina-p6r
      @Regina-p6r 9 днів тому

      @HerswidaShonga apana ila anajua kujali napya naanaongea pwenti ila kuusu kudanganya nakuchepuka chanzo nimke wake

    • @LoiceKatana-ci1tx
      @LoiceKatana-ci1tx 9 днів тому

      ​@@HerswidaShonga😂😂😂😂aty

  • @Noéslave
    @Noéslave 7 днів тому +3

    Mungu amujalie ndoa nzuri kila anaye tizama dunia na hampe maisha marefu

  • @DenisChuwa-p7i
    @DenisChuwa-p7i 9 днів тому +42

    Kabla sijaicheki...Naomba maty asipate madhara yeyote😢..

  • @Elibarikijigita-r4r
    @Elibarikijigita-r4r 9 днів тому +21

    Jamani hii movie ya kufungia mwaka,ime base kweny ndo na Kuna la kujifunza hapa,like Kwa ajili ya Maltrida a manyanya.

    • @ASMINEMKINGA
      @ASMINEMKINGA 9 днів тому

      Nimejifunza mengi sana yani mudi nampenda pia ananikosha eti akiwa mbali na bili yake atazulumiwa😂😂😂😂

  • @MturukeyFurnishes
    @MturukeyFurnishes 9 днів тому +6

    Jamani movie nzuri mnajua mpaka mnakela ila tunaomba isihishe mapema❤❤❤❤❤❤❤❤mbalikiwe jamani

  • @hadijahamis4080
    @hadijahamis4080 9 днів тому +16

    Yan nilikuwa nachungulia tu. Kumbe kitu tayar jaman asanten sana mmejua kutufuhisha mashabiki zenu😊😊 napenda sana

  • @safiBaguma
    @safiBaguma 9 днів тому +63

    Mungu akubariki wewe unaye soma hiii comment

  • @asyakhamis327
    @asyakhamis327 8 днів тому +4

    Jamani manyanya 😂😂😂😂😂noma hawa waume zetu wasijekitudanganya kama hivi😂😂😂😂😂😂😂

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 9 днів тому +10

    Matty aki hata natokwa n machozi 😢😢😢😢😢manyanya mungu akubari kwa kazi nzur ila Cate ni nyoka mkali😂😂😂

  • @MariamAlmas-ix3jq
    @MariamAlmas-ix3jq 9 днів тому +11

    Mpaka nimesisimkwa maneno yako manyanya mashallah❤ningepata kama wewe daa wangenisikia redion

  • @CharlotteMutambala
    @CharlotteMutambala 8 днів тому +7

    Nawapenda sana toka 🇱🇷🇱🇷❤❤❤kazi nzuri sana

  • @LoyceAndrew-z1b
    @LoyceAndrew-z1b 9 днів тому +8

    Kazi nzur alafu inawaishwa 🎉🎉 tunawapenda team manyanya❤

  • @costerlugwadi
    @costerlugwadi 9 днів тому +17

    Ujeur wako Vai Kwa Drama za Manyanya Usishangae Siku kuletewa Mchungaji Suguye Nyumbani kwako 😂😂😂

  • @IrakozeHami-t9m
    @IrakozeHami-t9m 9 днів тому +20

    Baba Asma na Director mkion maty na manyanya wanaachn mjuwe movie vieuws mmekosa haki ya mungu

  • @YOUNGPRIVALDINHO
    @YOUNGPRIVALDINHO 9 днів тому +11

    South Africa 🌍 😊😊 big up more 🎉🎉

  • @ObileproJean
    @ObileproJean 9 днів тому +15

    angalau nmawaisha mambo kweri 👍👍 alakini kase ana roho ya huuni sana bila kujuya kama Matilda ni nduguye 🫣🫣 ila kama upo na mimi naomba sapoti yako kila saa 🫵🫵🫵🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Roby-nw8sz
    @Roby-nw8sz 8 днів тому +3

    Imagine unampata mtu mweny mapenz ya kwel kama manyanya hiyo raha iliyoje jamaan ee mwenyezi Mungu tunakuaomba umponye Maty wetu penzi likolee zaid❤❤❤❤❤

  • @RachaelFuraha
    @RachaelFuraha 9 днів тому +17

    Asanteni sana nyote mnaoendesha hii movie ya manyanya imenifunza mengi na bado naendelea kujifunza hii ndio movie tumeitengemea duniani 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦

  • @Johnleetzofficial
    @Johnleetzofficial 8 днів тому +59

    ULIKUWA NA UMRI GANI MPAKA KUGUNDUA COMMENT YA UA-cam UKIIGUSA MARA MBILI INA LIKE 🤣

  • @RechoSamson-p7b
    @RechoSamson-p7b 8 днів тому +3

    tamthilia nzr sana hii, inafundisha sana, nawapenda wote mliogiza ❤️❤️

  • @DavimwaijumbaMwaijumba
    @DavimwaijumbaMwaijumba 9 днів тому +14

    Manyanya unanifulaisha naako kamchepuko tekea 😅❤😅🎉🎉

  • @manaseezekiel8165
    @manaseezekiel8165 9 днів тому +6

    Manyanya unajua mpka una Kela ila endelea kutudindisha kipitia wewe ata ndoa zetu niza PONA sabubu ya dunia ❤❤

  • @QueenAmanda254
    @QueenAmanda254 8 днів тому +3

    Walai kwa ii serious najifunza mengi🥳🥳🥳🥳🥳

  • @ScolaNalle
    @ScolaNalle 9 днів тому +10

    Manyanya litakukuta jambo😂😂😂😂😂hizi mbinu balaa

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 9 днів тому +13

    Walio mkumbuka kipini kwenye familia ya mzee kicheche like hapa 😂😂😂😂

    • @FatumaKishasha-ph6ii
      @FatumaKishasha-ph6ii 9 днів тому

      Nimemkumbuka huyo binti 😂😂😂

    • @fatmaathumani7116
      @fatmaathumani7116 3 дні тому

      @@FatumaKishasha-ph6ii 😂😂😂 yaani kalikua kanafurahisha baby wake mzee kicheche

  • @Back-sanSaimonifather
    @Back-sanSaimonifather 8 днів тому +4

    Iyi muvi kweli inatisha Sana ya isiwai kuisha mapema yani ni nzuri sana

  • @MwanaidHamiss
    @MwanaidHamiss 9 днів тому +24

    Tunaempenda muddy mkono moja juu 😂😂😂

  • @AyubuKamendu-r7l
    @AyubuKamendu-r7l 9 днів тому +18

    Mudy mzungu, eti ndiye bosi wa uji😅😅😅😅😂

  • @Laroseback
    @Laroseback 8 днів тому +2

    Jamani heeee namipenda sana muna nifundisha mengi sana🥹♥️🔥💪🏾🇨🇩🇨🇩

  • @JenniferAntony-b9v
    @JenniferAntony-b9v 9 днів тому +7

    Mko pow kweli mungu awatangulie tunawapenda sana

  • @BinwaTiba
    @BinwaTiba 9 днів тому +38

    Kazininzuli ongezeni dakika nawapenda sana kutoka burundi 🇧🇮🇧🇮 nipeni likezangu ❤❤❤❤❤❤🎉🎉😢😢😢

    • @BOBGJUNIOR
      @BOBGJUNIOR 9 днів тому

      ❤❤comment nzuri Sanaa👍👍

    • @NkeshimanJosaphat
      @NkeshimanJosaphat 9 днів тому

      ❤❤❤ together my best from Burundi too my bro

  • @rukiahamisi3079
    @rukiahamisi3079 8 днів тому +4

    Moja ya katika series nzuri mwaka huu,. Hila naomba manyanya asimuwache mati tuone shogile atajinyonga au😅😅

  • @johnnasubo
    @johnnasubo 9 днів тому +13

    I like the duration ya kupost videos you guys are the best much love from Kenya from ep 1 now epi 32 we love you ❤️❤️💕😂

  • @DesiratteMuhizi
    @DesiratteMuhizi 9 днів тому +8

    nawapenda sana kwasababu munawaisha mzigo❤❤

  • @IddyAthumani-nm2fd
    @IddyAthumani-nm2fd 8 днів тому +3

    Yaan nakubali sana hii move ya kuvuka mwaka uko vizuri mnatowa kwa wakati

  • @kastusbonifas2674
    @kastusbonifas2674 9 днів тому +11

    WANGAPI. TUNAPENDA NGUMI ZA HIO MISHAANGAZI🤣🤣😀🤣

  • @LenardWanjala-xj1ti
    @LenardWanjala-xj1ti 9 днів тому +6

    ahsanteni sana wana Bichwa kwa movie nzuri ya kidunia naipenda sana

  • @SwazlaynaPanka
    @SwazlaynaPanka 8 днів тому +2

    😂😂😂kaka manyanya shikomoo marrihaba vep😂😂

  • @AnisethOdilo
    @AnisethOdilo 9 днів тому +7

    Aaah uyu manyanya nimemnyooshea mikono juu

  • @labanmikepro
    @labanmikepro 9 днів тому +36

    Kenya najua mko hapa umbwa nyinyi 😅😅🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @KimoriKennedy
      @KimoriKennedy 9 днів тому +3

      utaki niende mbinguni...kumbavu zako😂😂😂😂

    • @labanmikepro
      @labanmikepro 9 днів тому +2

      🫵🫵🫵🫵😂😂😂😂

    • @RachaelFuraha
      @RachaelFuraha 9 днів тому +4

      😂😂😂

    • @silviak1776
      @silviak1776 9 днів тому +3

      Umbwa wwe 😂😂😂😂😂😂

    • @faithe4063
      @faithe4063 9 днів тому +2

      Niko ila mimi sio umbwa 😂😂😂

  • @styvesumaili7244
    @styvesumaili7244 8 днів тому +3

    Munipe like jameni 😢😢😢 mimi sipendi hizo hali wadau

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 9 днів тому +13

    Jaman like zangu tm manyanya from oman wa kwanza leo ❤️❤️🎉

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 9 днів тому

      Ebu leta story mama Oman naskia kumetokea nini😢

    • @Rehema-h6t
      @Rehema-h6t 9 днів тому

      ​@@zahraabdul9652jaman My hakuna zaidi ya rialo kushuka samani kutoka elfu 7100 hadi 6000 My ndio hilo My 😢

  • @ChristinaJonh-e5d
    @ChristinaJonh-e5d 9 днів тому +10

    Leo mimi ni mtu wa 198 nipeni like zangu

  • @RooneyGestionnaire
    @RooneyGestionnaire 7 днів тому +1

    Yeeeeeeeeeeeeeeeeh MANYANYA eeeeeeeeeh kumbe una chelewa unakuja Na plani za watu eti eti😃😃😃😃😃
    Si Ebitokeeeee

  • @nclaud.n9101
    @nclaud.n9101 9 днів тому +30

    Siku za mwizi manyanya ni 40days 😂😂😂😂 sumejifanya mtalaamu utagundulika tu

    • @DenisChuwa-p7i
      @DenisChuwa-p7i 9 днів тому +1

      Naona Leo anaenda kudhalilika😂😂😂

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 9 днів тому +1

      😂😂😂mkewe anayataka mwenyewe

    • @hawwaselemani
      @hawwaselemani 9 днів тому

      hata siyo mkewake wanaume wanamabadiliko sana jaman

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 9 днів тому

      @hawwaselemani angalia kilichombadirisha manyanya.mwanaume anapobadirika mara nyingi kuna sababu sikwamba nawatetea ingawa wengine nitamaa

  • @AnnaEmmanuely-l2t
    @AnnaEmmanuely-l2t 9 днів тому +6

    Leo nimewahi mapeemaaaaaaaa❤❤❤

  • @KarolinaOman
    @KarolinaOman 8 днів тому +2

    Manyanya sasa umenishinda tabia kabisa so kwa kuwanunua watu huko ,kwa ajiri ya kutetea ndoa Yako ,wanao chukizwa na kitendo hicho Cha manyanya gonga like hapa tujuane,huku tukimuomba Mungu atuvushe salama🤲🤲🤲

  • @LucyJumwa-w6t
    @LucyJumwa-w6t 9 днів тому +9

    Kazi nzuri sana manyanya pongezi kwenu nyote🎉🎉🎉

  • @ashuramanya9282
    @ashuramanya9282 9 днів тому +5

    Kazi nzuri manyanya mambo ni mwa mwa kabisa mauwa yako🎉na MUNGU azidi kuwabariki sanaa kwa kutupa maraha.

  • @DenisIsagi-h9e
    @DenisIsagi-h9e 8 днів тому +2

    Kaka Manyanya jamani your are very smart guy

  • @wadakewake8474
    @wadakewake8474 9 днів тому +15

    Napenda Sana hii dunia muendelee Ivo adi 50 please 🙏