Hemedi Sanyua mkulima kutoka Kibaha anaitegemea YaraMila OTESHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024
  • Hemedi Sanyua mkulima kutoka Kibaha anaitegemea YaraMila OTESHA linapokuja suala la kilimo. Pamoja na bidhaa/mbolea zingine za Yara wakulima kama yeye wanahakikishwa kuwa mazao yao hupata lishe muhimu kwa wingi na ubora wa mavuno.
    Je! Una zao kama hili? Tutumie ujumbe leo kujua jinsi Yara inaweza kukusaidia mwongozo wa lishe. #MboleaNiYara

КОМЕНТАРІ •

  • @deogratiasmapunda7277
    @deogratiasmapunda7277 Рік тому +1

    Mbolea za yara ni nzuri tatizo hazipatikan kwa mawakala wao

    • @yaratanzania4642
      @yaratanzania4642  Рік тому +1

      Asante kwa mrejesho, tafadhali tunapenda kufahamu unapatikana wapi kwa msaada zaidi.

    • @deogratiasmapunda7277
      @deogratiasmapunda7277 Рік тому

      Napatikana Turiani wikayan mvomero na wakala wenu hana mbolea zenu kabisa. Ukienda agrinature na yeye pia hana. Upatikanaji wa mbolea zenu sio wa uhakika

  • @h_zoomproduction.4136
    @h_zoomproduction.4136 Рік тому

    Pia tunaomba muweke mawasiliano ya simu kwenye content zenu. Nimevutiwa sana na ubora wa kazi zenu.

  • @h_zoomproduction.4136
    @h_zoomproduction.4136 Рік тому +1

    Bei zake zinauzwaje

    • @yaratanzania4642
      @yaratanzania4642  Рік тому

      Karibu utufahamishe unapatikana wapi kwa msaada zaidi.

  • @h_zoomproduction.4136
    @h_zoomproduction.4136 Рік тому +1

    Wakala wao kwa zanzibar wanapatikana wapi

    • @yaratanzania4642
      @yaratanzania4642  Рік тому

      Karibu uwasiliane na Bi.shamba mauzo wetu +255 755 417 996 atakusaidia wakala aliepo karibu yako zaidi.

    • @h_zoomproduction.4136
      @h_zoomproduction.4136 Рік тому

      @@yaratanzania4642 asante sana

    • @h_zoomproduction.4136
      @h_zoomproduction.4136 Рік тому

      @@yaratanzania4642 Nimewasiliana nae tayr na nimepata mbolea zenu. Asanteni sana kwa ubora wa kazi zenu