Safi sana mm napenda sana kilimo cha mbogamboga jee mimi nipo sehemu ya mchanga mweupe zinaweza kuota na kufanya vizuri kama hivo na nitumie mbinu gani
Bado information sio enough unatakiwa useme clear heka ngapi ? Umepanda miche mingapi kila mche unatoa kg ngapi za nyaya na soko likoje umeongea lkn sio professional
Naipenda shamba lako. Napanda huku Homabay, Upande wa Nyanza, Kenya. Hongera ndugu.
Safi sana mm napenda sana kilimo cha mbogamboga jee mimi nipo sehemu ya mchanga mweupe zinaweza kuota na kufanya vizuri kama hivo na nitumie mbinu gani
Mimi niliwahi kulima kama hii hiyo hela atapata manake atachuma muda mrefu sana zaidi ya miezi 4 utunzaji tu na soko liwe wastani
Umeona bloosam end root, kuoza nyanya "chini kuoza kwa rangi nyeusi"
Hongera saana Nami naomba no yako tafadhari
Bado information sio enough unatakiwa useme clear heka ngapi ? Umepanda miche mingapi kila mche unatoa kg ngapi za nyaya na soko likoje umeongea lkn sio professional
Kazi nnzuri sana allah atawalipa
Naitwa samata nakaa muyuni A naomba namba zenu samahan lakin
Asante Sana mungu akubaki endelea naiokazi
hongera sana
Allah awabariki
Wow ni safi sana hadi nikafikiria ni kwa green house 💞💞keep it up
Naomba unitajie dawa znazotumika nahitaji kujifunza Niko dar
Hello wadau naombeni kufaham zaidi kuhusiana na mbolea aina ya yara vera, na je, inafaa pia kutumika kwenye zao la nyanya.
Inafaaa kabisa
Ndugu nauza ivi kunakitonge cha mbolea?
Asante kwakuhamasisha
Hekari1 unaweza kupata kreti ngapi boss
Naomba kukuliza vp mtu akihitaji msaada wa kupata maeneo ya kulima afanye nn ili apate
Dunga au bambi hapo karibu na kambi ya jku.
Samba zuli lime nivutia sana hongela kwa usimamizi mzuli
Nimependa Sana hongera mbegu gani hiyo
Spaina plas
Inapatika wapi na inauzwaje
Anti bacterial wilt hiyo mbegu?
Hiyo mbegu ni Aina gani?tupe faida tujifunze
Naomba kujua majina ya dawa inayotumika kupiga mwanzo hadi mwisho.
Naombakujua vipimo cya upandaji
Mimi nataka kuuriza dawa za ukungu bora zaidi.
kaka hizo mbegu aina ya kipato iko sawa na nyanya maji
Jee niulie heka moja hutoa tenga ngapi za tungule
Dawa za ukungu unatumia dawa gani
Ekari moja unaweza kuvana kiasi gani kwa mchumo moja
Hii high brid nlilaza uvuge au Kuna mbini higine
Huu mtindo mliotumia sijaelewa.
Jibuni coment jamani
Hiyo mbegu inapatikanaje?
Najifunza sana
Mnatoa elimu nzuri. But jitahidini kuchukua video vizuri. Video inayumba sana
Sawa Asante
Mbona matunda machache njoo uone huku mby utaona inavyozaa
Naomba namba yako nijifunze kitu toka kwako
Nina swali hekali moja inamashina mangapi na inatoa nndoo ngap
Samahan je tunawapataje wateja wa uhakika
Maharage hamlimi
Nisaidie namba zako bro nikutafute.nahitaji uzoefu wako mkuu
Shamba la ekari kumi nalimuduje hadi kuvuna,,?
rusha namba as simu
Kwanini IMRA F1 hupukutisha maua Sana?
Mmetumia mbolea gani ya kukuzia?
Naomba mawasiliano yenu
Ulilima mwezi wa ngapi?
Aina ya mbolea
Mbegu gani
Hamujibu koment za wateja
Ni aina gani iyo mbegu
Malkia
Katka ukuaji
unalima maeneo ya wapi zanzibar ?
Fuoni
Zanzibar wanajua kulima
@@davidedison4450 dawa gani na mbolea gani naweza kutumia katika kilimo Cha nyanya
Unatumia mbinu gani kumwagilia
Natumia malkia AF 1 namwagilia kawaida
@@tomatozanzibarcompanylimit7006 kawaida yaan bila mashine kwa kutumia ndoo
Hii inaitwa mbegugani?
Malkia inauzwa 35000
Hii mbegu ya sh 35000 inatoa miche mingapi
rusha namba as simu