EXCLUSIVE: ALLY KAMWE AJIBU YOTE, KUTOFAUTIANA NA MANARA, YUPI BOSS KATI YAO? PRIVA AIBUKA NA TOP 5

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 179

  • @gooleserviceyoutubescandar3450

    Ahsante Kwa Kujulisha Umma Kwa Makini Zaidi Kuhusu Utendaji Wa Wanahabari Wa Timu.

  • @marynjani1370
    @marynjani1370 Рік тому +2

    Finally the second person i wished to watch is here I can’t wait for more suprise to come

  • @anithqpaul3923
    @anithqpaul3923 5 місяців тому +3

    Sasa kama nikolo hasemeje ndio nikolooooo

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 6 місяців тому +2

    Nikweri Ally Kamwe baki apo Ally anafulehishaga wanavikamataga vibaya wenye ciki Ila kuwa Musemaji wa Yanga itakuwa nzuli zaidi🎉🎉🎉🎉

  • @gladismatunda5271
    @gladismatunda5271 Рік тому +4

    Ureee yanga

  • @georgemgalega2388
    @georgemgalega2388 Рік тому +7

    Ally & Priva mmekomaa, watu wanapenda kuwaona mnafurahi pamoja katika kazi

  • @abuukilanga2249
    @abuukilanga2249 Рік тому +1

    Hongereni saana Ally kamwe $ Privadinho mko makini saana

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 Рік тому +4

    Ma'sha Allah Millad is always good. Big up brother Millad

  • @petermmehe9202
    @petermmehe9202 Рік тому +1

    Najivunia sana kuwajua na kuwafaham nawafuatiria my friend

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 Рік тому +1

    Penda xana nyie vijana mwajiamini na mwaweza kujieleza mungu awabarki sana nawakubali

  • @wisefolks1669
    @wisefolks1669 Рік тому +1

    Shout out sana Kwa Millard ,vido, bwana mkubwa Farhan, priva na big up kwa brother Alli kamwe

  • @patisondidas6720
    @patisondidas6720 Рік тому +5

    Mpo cool San priv na Ally hamkulupuki Kam manara 😃

  • @sakinaomary7207
    @sakinaomary7207 Рік тому +1

    Ali anafaa kuwa msemaji very smart

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 6 місяців тому +2

    Frida amefanana na Priva...

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 7 місяців тому +1

    Mimi niseme tuuu nawapenda sana awa watu mnajuwa kunipa raha bala

  • @AllyASalum
    @AllyASalum Рік тому +2

    Sisi Yanga tunamshukuru Mola kwa hizi Talents...big brains...

  • @peter19896
    @peter19896 Рік тому +5

    Safi sana Ally Kamwe na Priva Kwa ubunifu.Yanga itatisha sana .

  • @mollelagnes673
    @mollelagnes673 Рік тому +35

    Ukiangalia hata namna Priva na Ali wanavyojibu maswali onaelewa ukubwa wa Yanga Hawa jamaa wanajua nini maana ya Interview na wanazingatia displin ya tasnia wanayofanyia kazi big up sana wazee

    • @kasibantemedia2659
      @kasibantemedia2659 Рік тому

      Ndo Maana Ya Taasisi au Mashirika Kuwaajili Watu Kwa Kutumia Professional zao

    • @bbsahl1242
      @bbsahl1242 Рік тому

      Wewe ali kamwe kuma ongelea club yako wacha kuongelea club ambayo haikuhusu

    • @abuuayoubayoub9260
      @abuuayoubayoub9260 Рік тому

      @@bbsahl1242 matusi ni ya nini mzee

    • @bbsahl1242
      @bbsahl1242 Рік тому

      @@abuuayoubayoub9260 hawa wtt wanazingua sana ss timu zinatuum zipo damin km juzi anadai tareh 5 siku ya kuwacheka mie siwamand hata ahmed ali namuomba asipende kuongelea timu nyengine azungumzie timu yake

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 Рік тому

      Hamna kitu

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 Рік тому +2

    Kijamaa kinaakili kweli hiki

  • @MusaKogan-l6q
    @MusaKogan-l6q Рік тому +1

    WE NI MTOTO MPUMBAVU SANA YANI BABA YAKO UNAMUITA KOLO???? DUUU!!! WAZAZI TUZAE WALEZI MLEE😢😢

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 Рік тому +1

    Falhan unatumia vibaya urafikiwetu. Ila kamwe kiboko eti kilo mmoja

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 6 місяців тому +2

    Ali kamwe anauwezo mkubwa sana wa kuelewa na kujibu sahihi kwa kiwango cha kuikonaisha akil...

  • @neemakyando7328
    @neemakyando7328 Рік тому +1

    Muulizq maswali ni mmoja tyu😊

  • @merymarwa2253
    @merymarwa2253 Рік тому +1

    Interview imetulia . Nimewapata vzur
    Millard so love from Iraq

    • @victorernest7702
      @victorernest7702 Рік тому

      Kaka mungu akupe afya njema na uhai zaid kifupi milard unajua sanaaaaaaa🔰💚💛🙏

  • @TeophilBuilding
    @TeophilBuilding Рік тому +2

    Km kuna mchambuzi kuma smpend ni farhan anakurupuka san

  • @graceanyungu2774
    @graceanyungu2774 Рік тому +3

    Wisdom to my pple Ali and apriva

  • @jacksonhakiim1561
    @jacksonhakiim1561 Рік тому +1

    Mnajibu vizur

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 6 місяців тому +1

    Uyufara mukosa adabu urilaniwa nimbingu n'alizi unamutukana Ally Kamwe wevashanga utumiwe nyuma apa kwenya mutandawo nigucaruwana siomatusi ukiretamatusi wenifara haufayi Ally Kamwe anagushinda kilakitu nikiongozi kipenzi cawatu wenishoga👁️👁️👁️🙊🙊🙊🙊🤸🤸🤸🤸

    • @olteshlolepo1326
      @olteshlolepo1326 5 місяців тому

      😂😂😂😂😂 nini hiko umeandika

  • @simongshayo4678
    @simongshayo4678 Рік тому +1

    Ukiondoa mambo 10 sasa hivi huna jipya maana huna akiba naomba Mungu hilo kombe la CAF mkose ili ufunge mdomo mjini hatukai

  • @rahabundeje7206
    @rahabundeje7206 Рік тому +1

    Hii interview nzr mnoo yaan hata hainichoshi kuisikiliza👌👌

  • @mohomedalmarjibi9021
    @mohomedalmarjibi9021 Рік тому +2

    Nawakubali sana Kamwe na Priva💪💪
    Daima mbele nyuma mwiko 💛💚💛💚

  • @idrissaomba8803
    @idrissaomba8803 Рік тому +13

    Nimefurahi Ally alivyokwepa swali la Hajji, nimependa sana

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Рік тому +1

      Ally ni msomi bhana hamuwezi kumchonganisha na Manara....Yanga Oyeeeee😃😃😃

  • @lightnessmsangi3148
    @lightnessmsangi3148 Рік тому +1

    Ila watangazaji wa cku hizi mnapenda viuchochezi zaidi, sehemu yenye mpishano mnaipenda sana

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 Рік тому

      Kumbe na we walijua hilo maana sometimes wanazingua sana mpk inafika pahala ata kama wahusika hawana mipishano sana inapelekea tofauti zao kuzidi,UNA AKILI MINGI SANA MPARE MWENZANGU

  • @fayeezabdallah2217
    @fayeezabdallah2217 Рік тому +1

    ingependz zaid ungetmy Kaka Haj while haj

  • @RajabuBojo-j2l
    @RajabuBojo-j2l 7 місяців тому +1

    Ally shaabam kamwe fundi mmoja anaejua kujb maswali

  • @kapondazenaida-nq5hk
    @kapondazenaida-nq5hk Рік тому +1

    🤝❤️❤️❤️yanga

  • @nappekiliakiliasalimu346
    @nappekiliakiliasalimu346 Рік тому +1

    ❤❤ timu ikiwa na vijana wengi nivizr kwa7bu hawana tamaa na upigaji wa hela. lakn ikiwa na wazee wengi wanatamaa kama fisi

    • @abdulkheri7322
      @abdulkheri7322 Рік тому

      Ongeza ...vijana wanao jitambua na wanajuwa nn wanafanya😊

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Рік тому +1

    kwani Msemaji nae ni Kiongozi?

  • @emmanuelsilungu446
    @emmanuelsilungu446 Рік тому +3

    Vichaa wawili wanaojielewa mnoooo

  • @DreamCheaser-xy7qh
    @DreamCheaser-xy7qh Рік тому +1

    Majib mazur sana hakika viongoz yanga tunao

  • @jr_mkumbojr
    @jr_mkumbojr Рік тому +1

    Ali Kamwe 👊👊👊

  • @abdulkarimkheir158
    @abdulkarimkheir158 Рік тому +2

    Nakubali sana Ali Shaban kamwe

  • @festomombo5859
    @festomombo5859 7 місяців тому +1

    Mr Ally ,umezungumza vizuri kuhusu utani wa Simba na Yanga,
    Kwanini man promote Juha Mchome Mapovu?Je ni strategy ya Yanga?

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 Рік тому +1

    Hawa vijana wana akili sana hasa huyu Ali...namuona mbali...he is very professional kaja kuweka standard kwenye eneo la wasemaji wa vilabu vya mpira wa miguu

  • @vincentsendwa7898
    @vincentsendwa7898 Рік тому +1

    Wimbo wa Marioo unatosha sana

  • @ownmpompo6299
    @ownmpompo6299 11 місяців тому +1

    Ni Wana mipasho tu,si hivi unavyowachkulia.Ukubwa wa Timu si porojo,ni uchumi

  • @paulnyingo7316
    @paulnyingo7316 Рік тому +1

    Kolo mmoja mzee Kamwe😀😀

  • @linnahcasmir5275
    @linnahcasmir5275 4 місяці тому

    Kina akiliii Sana haka kajamaa💚💛

  • @ابوأزهدالليثي
    @ابوأزهدالليثي Рік тому +1

    Hata mie ni miongoni mwa wanaoupenda mpira cos ya manara hata mapenzi ... ya yanga nimekuja cos ya manara lakini kwa sbb ya dhulma aliyofanyiwa samba

  • @HabibaKawabwa
    @HabibaKawabwa Рік тому +1

    Habar

  • @mussabinford9872
    @mussabinford9872 Рік тому +2

    Ali na priva mmeua interview mcenany mnoo

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 Рік тому +1

    Ila vido hayo maswali yako makali sana...ali asingekua kichwa ungemtoa kwenye njia

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 Рік тому +1

    Vijana wadogo akili kubwa inapendeza hakika.🎉🎉🎉

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 6 місяців тому +1

    Wote hao wanatoka kaskazini..

  • @danielmllay8332
    @danielmllay8332 6 місяців тому +2

    💚💚💛

  • @MakuoeJafary
    @MakuoeJafary 5 місяців тому +1

    Kiwanda cha jembe eneji waongeze uzalishaji ni eneji Bora kuwai tokea

  • @subirachuttar7181
    @subirachuttar7181 Рік тому +1

    Ila Yanga wanasifa Sana!
    Sawa wameajiri vijana, lakini mbona hao vijana wote ni Ma' handsome??
    Huyu Ally mimi ananivuruga kabisa.

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt Рік тому +1

    Yanga Strikers strikers in Rwanda Lacked creativity eg.Lomalisa is given a very good ball by Aziz k instead of playing v-pass to player waiting for the ball he kick the ball to side netting i😮😮

  • @JumaNassor-cj3zy
    @JumaNassor-cj3zy Рік тому +2

    Ila kweli wamefanana kweli

  • @honestgroup2116
    @honestgroup2116 Рік тому +1

    Yanga🎉

  • @lightnessmsangi3148
    @lightnessmsangi3148 Рік тому +1

    Millard barikiwa saaaaana

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 Рік тому +1

    mimi yanga ukireta mdomo kwa manara utajuta kwa cc yanga nakuambia msemaji mpya tz utakwama mbwa wewe kamwe manara mwache kakupa mipango unavimba choko

  • @sirielsamweli4751
    @sirielsamweli4751 Рік тому +3

    💚💛💛💛💛💛 navyokupenda yanga, Ally Msemaji alafu hapo eti nisikie unadeti na hamisa duuu ntanenepa mie maana nampenda sanaaa Hamisa.

  • @Doreen_ONLINE
    @Doreen_ONLINE Рік тому +1

    uyu kolo mmja ameelewa 😁😄

  • @christopherrimba2276
    @christopherrimba2276 Рік тому +2

    Hawa jamaa wako vizur sana kwenye kazi zao na hata kujieleza pia wanajua sana

  • @yusuphgemonda1269
    @yusuphgemonda1269 Рік тому +1

    Wooow

  • @gladismatunda5271
    @gladismatunda5271 Рік тому +1

    Fanyeni yote Ila nabi asiondoke

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 Рік тому +5

    Umbile dogo Akili mingiiiii😃😃

  • @ShadrackSiuh-l3u
    @ShadrackSiuh-l3u Рік тому +1

    Marais wa yanga badye like 5 tyuuu

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 8 місяців тому

      unadhani yanga kinyesi sio ?

  • @messaabbas739
    @messaabbas739 Рік тому +3

    Yomiiiii 🙆🤣🤣🤣🤣ww Ali bhana,,ety baba Kolo mmoja uuuuuh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka kwa sauti mungu wangu 😂😂😂😂

  • @meccijuma1990
    @meccijuma1990 Рік тому +1

    Manara alizungumza wazi kumpoint Ally Kamwe na akajitetea yeye huwa anazungumzia baada ya mechi

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Рік тому +1

    Hamna kitu hapo

  • @fitinakisamuhagakisamuhaga693
    @fitinakisamuhagakisamuhaga693 Рік тому +1

    Binafsi nijuavyo maana ya kolo siyo tusi bali nimlinzi wa getini ambaye siyo askari mwenye mafunzo ya uaskari ila kama nitofauti mnieleweshe ruksa

  • @dullamuso6955
    @dullamuso6955 Рік тому +1

    Hakika Rais Hersi Akae Milele Ametuletea Vijana Wenye Kudhubutu.

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 Рік тому +1

    Wazazi wa hawa vijana wachunguzwe kupina DN muhimu😅😅😅😅😅 just jokes

  • @cosmascastory9193
    @cosmascastory9193 Рік тому +3

    Kwani Privadinho na Ally kamwe ni ndugu au mbona kama wanafanana

    • @HalimaJuma-de5gc
      @HalimaJuma-de5gc Рік тому

      Wanafanana sana tena sana mwanzoni nilikuwa cjui yupi ni yupi

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 6 місяців тому

      Nafikiri ni 'genetic environment ' ..wote wametoka kaskazini..mkoa wa Kilimanjaro..

  • @Doreen_ONLINE
    @Doreen_ONLINE Рік тому +2

    wanakela hao 😁😁😁😁

  • @georgemgalega2388
    @georgemgalega2388 Рік тому +1

    Kwani kolo ni tusi? Mimi naamini siyo kosa.
    Pia vizuri kutofautisha ulimwengu wa mpira na ulimwengu wa kifamilia. Pale kwenye familia wana raha sana, shida ipo kwenu mnashangaa😂😂😂

  • @aminangano3635
    @aminangano3635 Рік тому +3

    Interview nzuri sana, nimeipenda💚💛🔥

  • @shaomytellnampendahuyukaka8175

    ❤❤

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 Рік тому +3

    Privadinho na Ali wanapatana mpaka wanafanana.
    Wsnanchiiii huu ndo upendo unaopatikana Jangwani.

  • @happyvicent4151
    @happyvicent4151 Рік тому +1

    Hamjui Mana ya kolo..kolo ni mtu anaeshabikia Simba ndie anaitwa kolo

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 Рік тому +1

    Akuna kama kama Hadji Manara

  • @azizimangara9024
    @azizimangara9024 Рік тому +1

    Kolo Ni mtu mshamba, Kwa maana ya watoto wa mjini, Ila Kolo anaweza akawa Safi Kwa maisha kuliko hao watoto wa mjini wanaotegemea nyumba za urithi na awafanyi KAZI., Mfano wasukuma au masai wengi wetu, tunawaona na tunawaita makolo, Ila huyo Kolo msukuma unayemwita Kolo ana ng'ombe 1000 wewe mjanja hata kuku huna.!!!! NA UTOPOLO Maana yake Ni utindio wa UBONGO, Yaani akili mgando, Yaani MTU AMBAYE abadiliki, anajua ajui, ajui hajui, na hataki kujua wala kuelimishwa. Yupo yupo Tu.🤝🙏

  • @allymtinge4505
    @allymtinge4505 Рік тому +5

    Ila kamwe umezingua🤣🤣baba nae unamwita kolo mmoja

  • @ibrahimibra2720
    @ibrahimibra2720 3 місяці тому

    😂kwaiyo baba yake kolo mmoja nandobahat mbaya aliyo pata kwenye maisha😢

  • @rashidkhamisjuma3714
    @rashidkhamisjuma3714 Рік тому +2

    Innalillahi wainnaailaihiraajiun
    Ali ninakukubali sana ila unapongea unatakiwa uwe makini usije ukajikuta unavuka mipaka ya dini yako ktk mazungumzo yko kuna mambo mawili nitayagusia:
    1 kuhusu kutofunga ndoa na m mke anaeshabikia simba
    2 kumuita mzee aliekuzaa kolo
    Haya maneno mawili ukiyaangalia kiushabiki shabiki utaona nimaneno ya kawaida tu lkn ukija ktk misingi ya kidini nimaneno mazito ambayo yana athari kubwa ndani yake .

  • @AnsethThomson
    @AnsethThomson Рік тому +5

    Nakukubal semaj retu ra nchiiiiiii❤❤❤❤❤❤❤

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu Рік тому +1

    Kwani kupewa uhuru ndosababu yakutokuwaheshimu wengine? Ona unavomkosea hata mzeewako heshima mtandaoni hivi ahujui kolo wanalitumiakama matusi?

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Рік тому +1

    ukitaka kujua kama Diara dhaifu kamuulize simba kamfanya Nini

  • @magrethshishwa5481
    @magrethshishwa5481 Рік тому +1

    💚💛💛💚

  • @godsson5954
    @godsson5954 Рік тому +2

    kazaliwa mwaka gan huyu dogo had awe anaongelea mpira nafas zinahitaj ukongwe pia

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu Рік тому +1

    Kweli ASHULA CHEUPE aliongea ukweli yakwamba yeyote ambaeyuko YANGA ni AMNAZO ila yeye alimueshimu mzeewake ilawewe umepitiliza hatamzeewako umekosa kumueshimu! Inasikitishasana.

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 Рік тому +1

    💛💛💚💚💚💚

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 8 місяців тому

    critivity😅😅😅😅

  • @deniskamamba7347
    @deniskamamba7347 Рік тому

    duuuu!!! mtoto amemkosea sn baba yake haiwezekani mtoto amuite baba yake koloo.

  • @saidmussa9587
    @saidmussa9587 Рік тому

    Mlopokaj TU huyu mtoto hajakua

  • @taucdulle7460
    @taucdulle7460 Рік тому

    Ali bana kakaa kama mhamasishaji sio mwanauabari kabisaaaa

  • @MasoudKijeshi
    @MasoudKijeshi Рік тому +3

    Iv msemaje wa yanga ni nani mbona privaa unatuchanganya

    • @idrissaomba8803
      @idrissaomba8803 Рік тому

      Privaa ni msimamzi wa media, yaani yee ni nyuma ya camera ila Ally ni mbele ya camera , au skiliza vizuri dakika ya 28:14 waligawa kazi zao wote na jib liko wazi kuhusu Priva, Ally na Manara

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Рік тому

    sioni kazi mnayofanya zaidi ya kuzungumzia Habari za simba Tuu badala ya kusemea Habari za yanga