@@emmanuelsunday8325 sio nchi zote za Africa kuna vita bali ni baadhi ya nchi. Ila wazungu wengi wao wanachukulia Africa nzima ni vita tu. Hakuna amani
daaaa kwwakweli niliaminishwa vibaya sana tena sana kwamba mbabe kwa dunia hii mbabe ni marekani kumbeeeee mmmh.kuna mbabe ni mmoja tu kwa hii dunia kumamae .PUTIN ndo kidume haswaaaaaaa❤❤❤❤❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💯💯💯💯💯
Ikiwa amuna mahandaki, sio lazima muongoje kutengenezewa, tengeneza handaki yako wewe na famili yako ata ikiwa chooni kwenye shimo la choo au kokote unapo ona ni sawa.
Unashabikia lakini tambua ulaya ikipigana vita Africa atutabaki salama shangilieni ujinga mkifikiri mko salama bora wenzetu wana mahandaki ni mifumo imara ya ulinzi sasa wewe Africa yetu
Walitusema sana oooh Africa bara la giza, mara oooh Africa bara la vita. Sasa kazi kwenu vita imehamia ulaya
Unajifariji
Amani ikikosekana ulaya usifikili Afrika Kuna amani
Jipe Moyo
Umeongea facts 👏👏👏 sidhani kama ni vyema kuamini wao ni Mungu ...kwamba bila wao hakuna Africa😢!
@@emmanuelsunday8325 sio nchi zote za Africa kuna vita bali ni baadhi ya nchi. Ila wazungu wengi wao wanachukulia Africa nzima ni vita tu. Hakuna amani
Nimeizima ndoto yangu ya kwenda ulaya,nimeona niokoke nitafute maisha nikajenge handaki kijijini kwetu kigoma 😂😂
daaaa kwwakweli niliaminishwa vibaya sana tena sana kwamba mbabe kwa dunia hii mbabe ni marekani kumbeeeee mmmh.kuna mbabe ni mmoja tu kwa hii dunia kumamae .PUTIN ndo kidume haswaaaaaaa❤❤❤❤❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💯💯💯💯💯
Haswaaaa Puttin huraaaaaaa
Vladimir Putin sends msg ulaya watakiwona Cha mtema Kuni mambwa hawo
Afrika iwe na amani ❤
siraha mpya ya russia Oreshnik ime wataabisha sana europeans
Hakuna vita ya tatu Wala ya nne.God Allmighty is on control.
yameyakanyaga ngoja waipate joto hawa wahaha kabura yakipigo yamemchokoza wenyewe putini sas wana jitekenya kala mahali pamoto pubuvu zao
Duuuh!!! Vita kuu ya tatu ya Dunia
Kazi kuleta vita kwenye nchi za watu wengine menyewe ni maoga kama nini😂😂😂😂. Yatandikwe yaone wengine wanayopitiaga
Mahandaki yanachukua watu lak4 nchi inawatu mil 80 vichekesho vikubwa hivi!!
mahandaki sio suluhu ya hilo.
Lkn sasa Urusi ana mabomu mazito kiasi kwamba anaweza kupiga mmoja hadi chini ya ardhi mita 100!!! Chini ya ardhi. Usiombe vita. Ni balaa tupu!!!
Ivikazi ya mahandaki kwa sasa ni ipi kama makombora yanauwezo wa kugeuza arithi juu chin chin juu 😂😂😂😂 au Mimi sifikilii sawa sawa?
Ndugu zangu wa africa anzeni kutengeneza mahandaki ili ujikinge na hii vita 3 ya dunia, kwa maana dunia imekua hakuna usalama makombora ni mengi
Asa kama bomu linapindua mpaka ardhi inakuwa chini juu, andaki litasaidia nini, apo ni kutoombea tu hiyo vita ili dunia iwe salama
Kwan ujeruman wanaulazima gani kuingia vitan au sababu ya mme wao america waache wapasuke tu
lile bomu moja tu la juzi lililopiga dnipro nato ilishangaa kwani haijawahi kuona mlipuko wa namna ile wakaingia hofu nakuopa sana
AKILI ZA MBWA KABISA KWNN MSITAFUTE MUAFAKA ? HANDAKI ZIZUIE NYUKLIA KUFUKUA ARIDHI YA CHINI KUJA JUU ?
afu wamezoea urusi sio libya au palestina damu ya palestina watalipa tu putini wapasue tucheke bwana kaka angu putini
africa kutamu wewe embe miatano wanawake wazuli efu 3000 ulaya nikafanye nini embe moja efu 3000 unaakili wewe?
Ikiwa amuna mahandaki, sio lazima muongoje kutengenezewa, tengeneza handaki yako wewe na famili yako ata ikiwa chooni kwenye shimo la choo au kokote unapo ona ni sawa.
mbona kumeanza ku changamuka ndy wanajianda na vta ya 3.
duh mungu tunusulu wa africa atuna kwaku kimbilia 😢
Unanimalizia Bando
Unashabikia lakini tambua ulaya ikipigana vita Africa atutabaki salama
shangilieni ujinga mkifikiri mko salama bora wenzetu wana mahandaki ni mifumo imara ya ulinzi sasa wewe Africa yetu
Ndugu wao sio miungu Mola atakup njiae z kuish huku ukishangaaa
Wewe bado ni mtumwa wa fikra Africa inalindwa na MUNGU pekee sio mataifa ya ulaya