Hapo Ndipo Jina la Yesu lipitalo majina yote linasimama hakuna uponyaji kwa waganga maana hao ni wachawi tu ila kwa Jina la Yesu ukiliamini yote yanawezekana. Poleni sn.
INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAAJI'UUN. Poleni sana kwa msiba huo mzito. ALLAH SWT AWAJAALIE SUBRA NA marehemu ALLAH SWT AWAJAALIE PEMA peponi palipo na wema pamoja na Ndugu zetu waliotangulia. Nasikiza nikitokwa na machozi.
Duh pole sana ila jamani watu tuweni nahuruma maana hiyo hukumu alotoa huyo mama yy angemwachia allaah ss kweli kutoa roho mbili kwawakati .duh allaah atufanyie wepesi tupate mwisho mwema ishaa allaah allaah awarehrmu marehemu
Poleni sana. Sijui kiundani,ila natahadharisha tulee watt wetu Hali ya kuwa tunawaogopesha kuamini Amin waganga,mara madawa ya KIENYEJI na tuwaambie ubaya wa shirk .ALLAH ANAJUA ZAID.
Innalillah wainna ilayhi rajiuun wallahi inauma sana Allah awarahamu watt hawa Ila kaka kwann usimuulize huyo ambae yupo na ufahamu kua wamekula nn jamani , subhanallah
Kuna midawa flan watu wanapewaga ata wamasai wanauzaga eti unaambiwa ukinywa inatoa uchafu mwilin, nahis uyu mama aliwapa aina ya dawa izo zikawa sumu eitha alizidisha kipimo ila sidhan kama alikusudia kuua!Mungu ajua zaid
Shida nini sasa mbona ata amueleweki nyie jamani hao watoto wamekufaje jamani na wangeenda kuombewa wasinge kufa uyo mganga tapeli jamani ebu na yeye afe tu afai kuishi
Inna lillah wainna ilayh rajiun, poleni sana Familia nzima kwa ujumla ni simanzi imetawala kwenu ila mtulete majibu yanasemaje maana tunafatilia sana ili tukio kwakwelii
Kaka anajieleza vzr mashallah
Japo upo na uchungu Mungu akutien nguvu inshallah
Innalillah wa Innalillah rajiun mungu awalaze mahali pema peponi
Salaaam Aleykum. Naomba mrejesho wa kinachoendelae juu ya kesi ya Al marhum wetu,Allah awaweke pema peponi.AMEEEN
Dah so painful , 😭😭😭😭😭 mungu awape raha ya milele kaka zetu
Innalillah wa innalillah rajiun, msiba mzito Sana mungu awape subira wakat huu wa uzuni,na inshallah Allah awajalie pepo yake
Poleni sana wapenzi mungu awape subra na marehemu hawapumzishe kwa hamani in shaa allah allah awape wepesi kwenye makaburi yao
Innalillahy wainna ileyhi raajioun..poleni sana..Allah awape subra..msiba mzito!
Hapo Ndipo Jina la Yesu lipitalo majina yote linasimama hakuna uponyaji kwa waganga maana hao ni wachawi tu ila kwa Jina la Yesu ukiliamini yote yanawezekana. Poleni sn.
INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAAJI'UUN. Poleni sana kwa msiba huo mzito. ALLAH SWT AWAJAALIE SUBRA NA marehemu ALLAH SWT AWAJAALIE PEMA peponi palipo na wema pamoja na Ndugu zetu waliotangulia. Nasikiza nikitokwa na machozi.
Daaaaa poleni sana hivi uliyapokeaje maneno ya dokta yaani navaa kiuarisia wako Mungu awapeni nguvu.
Innalillah alla atujaalie mwisho mwema pole.sana kaka kwa mtihani
Mmh inasikitisha sana masikini
Duh pole sana ila jamani watu tuweni nahuruma maana hiyo hukumu alotoa huyo mama yy angemwachia allaah ss kweli kutoa roho mbili kwawakati .duh allaah atufanyie wepesi tupate mwisho mwema ishaa allaah allaah awarehrmu marehemu
poleni sana mungu awatie nguvu daaaaaaaa msiba mzito sana
Poleni Sana Aki Aimameni Kwa Mungu Ndie Akimu WA Yote Aki Kma Wamedhulumiwa Walio Wadhulumu Awataishi Kwa Amani Kabisa
Meshetani waja Yesu awafungue macho mpate kuona poleni sana jamaa na marafiki
Inauma sana kaka
Innalilah wainalillah rajiuni ya Allah warehemu uko walipo uwaondoley adhabu zakaburi uwangaziye nuru katika kaburi Lao uwapanuliye kaburi Lao alhamdoulillah japo inauma saaanaaa 😭😭
Amin
Inna lillahi waina illahi rajuun inaumiza kwakweli mungu awarehemu awajalie wawe waja wema katika waja wake wema
Poleni sana. Sijui kiundani,ila natahadharisha tulee watt wetu Hali ya kuwa tunawaogopesha kuamini Amin waganga,mara madawa ya KIENYEJI na tuwaambie ubaya wa shirk .ALLAH ANAJUA ZAID.
Pole sana jamani inaumiza kwakweli
yani iki kisa kimeni vimbisha loho sana yani uzuni sana mungu awapokeye peponi🙆♀️🙆♀️😭😭😭
Innalillah wainna ilayhi rajiuun wallahi inauma sana Allah awarahamu watt hawa
Ila kaka kwann usimuulize huyo ambae yupo na ufahamu kua wamekula nn jamani , subhanallah
Poreni sana ira kaka ugewai kumuuliza ariyokuwa bado yupo mzima kurwa ugepata ushaidi hata kidogo
Ni rahisi kuongea lakini likikukuta ukishaingia muhma ndo utajua aliyoyapitia kwa wakati huo
Poleni sana ndugu zanguni kutoka Tz.
Cjui aliwapa nn watoto jaman huyoo mama hana huruma
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,..
So sad jamani poleni Sana msiba mzito mno Hadi nimelia😭😭😭😭😭😭
Kwakweli wengi tumelia😭😭😭😭
Inna lilahy wainna ilayhi rajiuun, sina lakusema 😭😭😭😭😭😭😭😭🙏
Mungu awalaze mahala pema
😭😭😭😭😭😭😮
Aghakan wengempa huduma ya kwanza huenda angesave cjui,au maziwa
Innalilah wainalilahi rajiuun Allah akusameeheen makosa yenu 😭
Iinnailahy wainnailahy rajiuni
Poleni sana
Polrni sana kwa msiba
Innalilah wainnaillah rajoun 😢
Dahaa msiba ulinigusa huu na isitoshe na upendo mlionao
Dah inauma Sana hakiamungu
Duuh inaumiza mno poleni wa fiwa
Jaman polen sana sana
Inalilah wainailah rajiun 😭poleni wafiwa
Inauma sana 😭😭😭
Inalillah waina illah rajing'un Allah awape wepes katika maisha yao mapya ya milele
Nimeumia Sana
Polenisana ni msiba mzito alla awafanyie wepesi
Inalila waina ilahi rajuuna
Pole sana 😭😭😭jamani uchungu vijana bado wadogo sana
Pole jamani😭😭😭😭😭😭😭
Poleni Sana wafiwa Mungu awatie nguvu
Ina Lillah waina illah rajiun 😭
Jaman walioewa sumu Kali sana duuuh
Kuna midawa flan watu wanapewaga ata wamasai wanauzaga eti unaambiwa ukinywa inatoa uchafu mwilin, nahis uyu mama aliwapa aina ya dawa izo zikawa sumu eitha alizidisha kipimo ila sidhan kama alikusudia kuua!Mungu ajua zaid
@@aishamsuya333 itakua na ndo anaenda kunyea debe hivo ndo keshaua sasa
Innalillah wainna ilayh rajiun . InshaAllah kionekane walichopewa na uyo mama kama ni sumu basi sheria ifuate mkondo
Si wanasema ni shetani alipokuwa anawatoa wakamshindwa nguvu
@@nameno8608 Duh mbona mtihani
😭🙏
Huo mpira wa mkojo ulitokaje aiseeee kwa kutoa yy mwenyewe
Huu msiba mzito sn wallah Allah awajarie makaburi yao yawe makaburi ya waja wema😪
Hawa mapacha wameniliza sana
Shida nini sasa mbona ata amueleweki nyie jamani hao watoto wamekufaje jamani na wangeenda kuombewa wasinge kufa uyo mganga tapeli jamani ebu na yeye afe tu afai kuishi
Inauma sana aisee ,nakumbka kuna mama alifia Kwa mganga
Jaman kurwa mvumilivu sana masikini alikua anaumia ndani Kwa ndani Ila anawaonyesha tabasamu mungu awape pumzko jema jaman
Kafa bila kujua doto pia kafariki
Nadhani alihisi tu maana alimuulizia mdogo ake
Wale c pacha damu inavutaa...
Yaan Hawa mapacha mara nyingi Huwa mmoja anabeba maumivu ya mwingne
Polen xna akky mwanzo wa story mpka mwisho nimelia akky rip my brothers
Inna lillah waina ilayh rajjiun
Inna lillah wainna ilayh rajiun, poleni sana Familia nzima kwa ujumla ni simanzi imetawala kwenu ila mtulete majibu yanasemaje maana tunafatilia sana ili tukio kwakwelii
Innalilahi wainna ranjiun
😭😭😭😭
Na kwa nini awauwe uyo lafiki yao nae afatiliwe akamatwe huo ni mchongo tu
Kazi ya majini
Peleni sana