HIZI NDIZO BARABARA HATARI ZAIDI, USIPOKUWA MAKINI UMEKWISHA, MOJA IPO SAME...
Вставка
- Опубліковано 1 гру 2024
- HIZI NDIZO BARABARA HATARI ZAIDI, USIPOKUWA MAKINI UMEKWISHA, MOJA IPO SAME...
Barabara ya Chome iliyopo mkoa wa kilimanjaro katika wilaya ya Same ni moja kati ya barabara zenye zinazohitaji umakini sana kwa madereva wanaoitumia, kwani inapita pembezoni mwa Milima na miinuko mikali, hali inayoweza kusababisha ajali kama dereva hatakuwa makini.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
CHOME pazuri karibu tena mtani
Nenda milima ya Usambara si mbali na hapo, kule ndiyo uta ona na kujua rusha roho maana yake nini! Nadhani uki rudi kwenu salama, hauto rudia tena 🤣🤣🤣
Kweli naende hatarudia tena kwenda
Barabara ya Tanga kwenda Bungu
Hawa wacha wakae hivyo hivyo ni uchaguzi wao, wanapewa kilo ya sukari wanachagua mbunge ambaye haonekani bungeni mpaka uchaguzi ujao
safu za milima ya upare yote hiyo zamani ilikuwa tanga kuanzia mwanga mpakasame ilifanywa kugawanywa na kurudishwa kilimanjaro😅😅😅😅ukienda lushoto ni hivyo hivyo
wapare wajanja mno wanataka kukaa juu view zuri hali ya hewa zuri wanawangalia madui vizuri enzi hizo za wakoloni wa kijeruma na badae waingereza
Eti hapo wanasifia serikali siasa bhana!!!!🤗🤗
Upumbavu na uchwa tu. Eti wamama walikua wanajifungulia njiani!!! Sasa huo umbali wa chrome Hadi same . Hata kama ni lami so moto anazaliwa mpaka mkifika same anaongea.
Yani hapo mnapopita sasa hivi panaitwa vwasuu alafu ukiabgalia kushoto kwenye hilo bonde ndio nyumbani kabisa vudee nilipokulia kwangu mimi ni kawaida nimekulia hapo
Jamani tuchimbieni barbara tuinjoi
Same nyumbani
Sasa mnashukuru serekali .kwani hamkulipa kodi zenu? Ni sawa kutengenezewa barabar maana mmelipakodi. Shukurani nyingine ni uchawa au unafiki flani hivi. Huo umbali wa chome hadi same hata kama ni lami. Mama anaweza kujifungua njiani na mkifika same mtoto anaongea.
Panaitwa chome nimefika wilaya ya same
Ipo myingitu kilwa kipatimu ndoshinda iyo mbaya zaidi
Kwani Kilwa kuna maeneo kuna milima ??
Hhhhhh yani hapo unaambiwa imetengenezw ahuweniiii
Barabara tanga mombo kuelekea bumbuli ipo hivo
Duh!!!
Sipiti hapo
Duuh aisee hyo barbara ni hatar
Nenda lushoto mtae au nenda soni vuga kuelekea kihitu halafu ukifika kihitu nenda sehemu inaitwa mkumbara wewe hujatembea tuulize sisi
Mwanga Usangi???
Yani iyo ndio imetengenezwa real?
Hawa jamaa lazima waishi huko?
mwembe kwetu
Hawa mabbabu na mabibi walifata nini huko juu ???
Imekuwaje barabara hatarishi serikali ipo wapi, haitizami Usalama wa wananchi.
UJINGAAAA MTUPU ETI MTU ANASIFIA GREDA BADALA WAWAZE LAMI
Duuh inatisha huko sipiti kabisa