Tanu + Asante sana kwa kazi nzuri tunashukuru kwa kutuburudisha Kila mara kwa kweli MKOBA WA MAMA unabamba ❤, Ombi langu ni; 1. Uzidi kutuletea next episode kwa wakati kama unavyofanya hata ikiwezekana haraka zaidi 2. Mzidi kuwa na ubunifu wenu 3. Tofa apatikane arudi nyumbani😂😂😂 Big ups to fellow team Kenya💪 Vaito, Sebomana na Shedafa kwa kweli nawapenda❤😂😂😂
Tunae angalia mkoba wa mama tukiwa kitandani tujuwane apo kwenye like naitwa Grande PiQui kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏👏
Me naona vaito angeenda mjini bag ingepatikana kama unaamin nawewe gonga like tujuane
Shukrani sana TANU. amna youtuber anaetoa kazi kwa wakati na wingi kama wewe. Respect!
Ntanu anavyo muangalia kasongo kwenye umoja wa kwenda kuangalia walionasa na begi😂😂😂 nilijua atamkata mtama😂😂🙌🏾🙌🏾 ila kasongooooo mbona wewooo
😅😅😅😅ntamuuuwa
Wanaofurahia kuachwa kwa mapombe nipeni like zenu❤❤❤
Walo Mmiss AWA gongeni like
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 wakuwaza Léo gonga 👍👍👍
napolen kwa maswahibu yauko
Nimekuwa wa kwanza leo kama unaamini tanu atarudi kijijini nipe like
Mimi niwa kwanza naomba liké zenu
Vaito mwaba vipi ume muelewa sura mbili nika kusemee😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩
This is the most interesting episode in this movie
Wakwanza mim from 🇲🇿
Tanu + Asante sana kwa kazi nzuri tunashukuru kwa kutuburudisha Kila mara kwa kweli MKOBA WA MAMA unabamba ❤,
Ombi langu ni;
1. Uzidi kutuletea next episode kwa wakati kama unavyofanya hata ikiwezekana haraka zaidi
2. Mzidi kuwa na ubunifu wenu
3. Tofa apatikane arudi nyumbani😂😂😂
Big ups to fellow team Kenya💪
Vaito, Sebomana na Shedafa kwa kweli nawapenda❤😂😂😂
😥😥😢🥺 funga funga tuondoke mama mchawi hana huruma dada sauda unaniliza mimi leo duuh chukua mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Wa kwanza mm Leo tanu nipe like zangu pls
Jamani kale ka mwimbo ka pesa
@KING VAITO NAKUAMINIA SAANA YAANI WAKIMWAGA MBOGA UNAMWAGA UGALI NA MA CHORUS KAMA BONUS.
Niliisubir kwa hamu sana
😂😂😂😂ILa Vaito Mungu anakuona😂😂Mapombe sulishobokeya mujini sikuutarudi kijijini kimekuramba Vaito amekukomowa kisawa sawa utaliya uku ukitambaliya magoti naanza kukuonea uruma😢
Nimekua wa kumi na nne tunaomkubali Tanu 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
Vaito kapenda mpododo wa sura 2😂😂
😂😂😂😂ni
Maskini Sauda😂😂😂ila naona mimba ya Mhina imenoga kabisa,karibu utajifungua....
Yani kila umoja wakwaza wakwaza mbona hatuwaelewi nyny aya na mimi wa 25 naomba like zenu ata 30 mungu atawabaliki ❤❤❤🎉
Sauda ulemavu umeuweza 🎉🎉
🙏
Safi sana team Tanu plus,na shukran pia kwa kuongeza dakika zaidi....🎉🎉🎉🎉
Mkoba wa mama ❤❤hii nisliz bola Africa 🎉🎉🎉
Kasongo,, 😂😂😂😂 watoto wakasongo mko
Kazi hii kazi kweli umetisha kaka tanu
🤣🤣🤣🤣 kasongo 🤣🤣🤣 nimezimia dada halima
Jmn wasipo lipata begi Kina tandu bola niache tu kuangalia maana roho yangu ipo jujuuu😂😂😂
Tuombeee tu
Tanu + move nzuri sana hii
Sema sauda anajua sana
🙏
😂icho kibuno kilivo kiasi vaito ujirambe
Iko vizuri
Nimecheka kasongo eti nimezimia da Halima😂😂😂😂😂😂
Wa kwanza toka oicha nord kivu Drc ni ite Adeboy Musedeku like zangu
Saudi nakukubali sn Allah azidi kukikuza kipaji chko
Saudi tena😂😂
@DelvinChepkorir-t1d umecheka ilikuwa nakuangalieni muko makini ila hyo nimefanya makusudi (Sauda)
🙏🙏🙏✍️
Mnachelewesha sana movie jaman
Hahahaha! Vava waachie begi lao bhana 😂😂🎉🎉
Kaz nzuri sana
Mko vizuri hongereni
Laki 3 Tu mwandola wajiita tajiri😂
Uyu kasongo ni wale waganga matapili ndo yeye😂😂
Kutoka niaza kuangalia ino series ino ndo nmechelewa wiki nzima❤❤
Unaacha mgonjwa eti unasindikiza mgeni,atabakwa na afanywe msukule vile unataka.
Naarabuk chizi😂😂😂😂hamaki zimempanda kweli kweli ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Munachelewa sana ckuiz kutowa move
Machibya nakuona mbali sana kazaa kijana🎉🎉🎉🎉
Vaito VaitoVaitooooo😂😂😂😂,hukuna kuwabembeleza😂😂😂😂 nimeipenda iyo❤❤❤❤❤❤❤❤
Mkoba umerudi kwa mwenyewe.
Kazi nzuri sana ila kaka ntandu mliwai beg lisifike kwa vava tunaomba sn kweli 🎉🎉
Kazi nzuri
Sikuisi mbona kama mnachelewa sana jamani
Daaaah
Nice movie ❤❤❤
Hatimae ❤ nlikua nasubiaria kwa hamu muendelezo... 🎉🎉🎉
Kw ntandu amekimbia leo😂😂😂😂😂
Nimekimbia hatati were wacha
Nimeipenda iyo vaito apeleke vifaa❤❤
Nlikua nasubiri sana 🎉🎉🎉
Vaito asiuwawe jaman huyo jama ana itendea haki kbsa vazi la kiganga jaman anafanya kazi nzuli
Bag lionekane tuendelee na mengine sasa
Shedafa mwanangu San ww ujuwee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Awiloooo huyo naenda ngoma zake
naomba wakutane na tofa please tuendelee na mengine😊
Kisamvu kimestawi mashallah
No moja from tanga tz
Nilijua mm ndio w kwnz
Mwamba yupo vizuri sana ila vipande vinachelewa kutoka
Nicelew kidog😢❤❤il sio mbay nawapend sana washilik😂
Swadaqta ❤❤❤ wa kwanzaa
Mkoba wa mama inazidi kuchangamka
Masikini mapombe nakofeya lake kama bakuli la ujii😂😂😂
Kumbe mandola akili unazo 😅hongera
Bora muhina aamke tu apachangamshe
Mkoba WA mama gangi la movi kabisa naipenda sana 🎉🎉🎉Yako kaka tanu.❤❤❤
😂😂😂ilahuyo mkoba shida kazi nzr sana😂🎉🎉🎉🎉
Sibo alivodondoka😂😂😂
Waganga wote mbiooo😅😅
Munachelewasha San ndugu zangun mpaka nachoka❤❤❤❤❤❤ from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
😔kwa kweli sijapenda bag kufika kwa vava na mama tofa😪
ila kasongo unazingua 😂😂😂 sema mm na sibomana damu damu
Kutoka Kongo 🇨🇩🇨🇩 Kasongo nimekuhimiza kufanya kazi yako na ushujaa na uaminifu.
😀😀😀mwenye kuaguka nayo
Mdogo wangu kasoongo😂😂😂mbona weeeooo😂😂😂slaash😅😅
duuúh kwa vava watatoboa kwel vava 🎉🎉🎉🎉🎉 yako chukuwa
😂😂😂😂Waganga wanakimbia mjini kama wendawazimu😂😂😂😂kasongo utapandisha wenzako chumvi
Kazi nzuri kaka jitahidini kuwaisha kazi tuko na nyie pamoja MUNGU awabaliki sana
Leo nimekuea wa kwanz 😮
Sibomana shtua kasongo na Kofi, akili irudi😂😂😂😂
Kaz nzuri 🎉
Leo nimekuwa wa kwanza kutoka Texas.
Kaz nzur sana me leo sijacheleew ila unachelewa sana kutoa episode zinazo fuata
Nakubali
Narabukuuuu piga mchenzi😅😅😅😅😅
Naupigaji mbayaaaa
Couple ya wahuni inanicekesha sana,na mama lulu kanasa
😂😂😂 ivi uyu kasongo anakuwaga nahakili kweli
Nakuomba Tofaa asilipereke hilo bag jamn please sitalingalia tena hii movie
Mnairefusha movie bhnaa
Atakama nimechelewa bado Niko kwa watoto wa vaitoo ❤😂
Ilipoishia sasa😢 bag limejulikana na mama tofa🤭 sijui tofa ndio atapatikana wala vp...tuna uchu jaman
Hivi nyie mnauhakika kasongo ni mganga😂😂😂 hii gusa unate watanasa wengi sana 😂
Congrats 🎉🎉tn