PATANISHO : MERCY - MPENZI WANGU ALINIPIGA KWA SABABU ALINISHUKU NIKO NA MPANGO WA KANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 194

  • @stargal906
    @stargal906 4 роки тому +2

    Ila malast born kumbe tuko wengiiiii🤩🤩🤩🤩😄😄😄

  • @teamwakanda995
    @teamwakanda995 4 роки тому +3

    Nani alizaa huyu mercy ...I need to see this comedian😂😂😂😂😂💯🔥💔

  • @evethomasdaktari5641
    @evethomasdaktari5641 3 роки тому +1

    This made my day aty

  • @josephinewafula37
    @josephinewafula37 4 роки тому

    Gidi and ghost kazi nzuri Sana,nawasikiza from USA🇱🇷,

  • @gracekim144
    @gracekim144 4 роки тому +1

    mercy huyo hapana😂😂😂😂😂😂😂😂😂Jehovah.love kwaaaaa

  • @tracyloveofficial6701
    @tracyloveofficial6701 3 роки тому +1

    The last born part😂😂😂😂😂

  • @lilymummy7973
    @lilymummy7973 4 роки тому +4

    UAE 1st

  • @Ruthbosibori-uu7eq
    @Ruthbosibori-uu7eq 4 роки тому +6

    Last born panga line hapa eti hatupigwi we can also fry water wakijeza nazi

  • @beatricebolger9824
    @beatricebolger9824 4 роки тому +2

    Correct respect the young lady.

  • @alexwahu1842
    @alexwahu1842 3 роки тому +1

    This is so hilarious 😂😂😂. Hicho kicheko cha Ghost hufanya show inabamba zaidi 😅😅😅.

  • @shamimaoko
    @shamimaoko 2 роки тому

    Radio jambo school of laughter 😂 😂 😂 😂

  • @wambugu3752
    @wambugu3752 4 роки тому +1

    This one got me🤣🤣🤣🤣🤣last born Cheei huwa hatupigwi🙄🙄🙄

  • @agneswanjihia1383
    @agneswanjihia1383 4 роки тому +2

    Wapi likes zangu wapili leo

  • @wlkmwlkm53
    @wlkmwlkm53 4 роки тому +2

    Kumbe Ana yeye ndo wanauwanga, watu pale mwochari, mtu anapo fufuka, wah kama pia wewe umeskia kuwa piga like

  • @thomashezekiah4656
    @thomashezekiah4656 4 роки тому

    Hii ya leo ni kali sana

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 роки тому +5

    Huyo Timo ni mature mercy ako na utoto mwingi

  • @asikokimeuniceeunice9158
    @asikokimeuniceeunice9158 4 роки тому

    😂😂🙌🙌👏👏👐👏 ma last born

  • @faithalivizaluyayi5470
    @faithalivizaluyayi5470 4 роки тому

    Waah 🙄😳🙄😳 mercy Ruuuunn 🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️

  • @jaicymbatha1841
    @jaicymbatha1841 4 роки тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂Aii mercy wahh pia mimi ni lastborn

  • @lizfranco2282
    @lizfranco2282 4 роки тому

    Waah last born mercy waah

  • @benjohnson1763
    @benjohnson1763 4 роки тому +6

    Mercy hajielewi, na akirudi, huyu Timothy atakuja kumtendea unyama siku moja

  • @benardpaul1271
    @benardpaul1271 4 роки тому +1

    Hapo akuna mapenzi nyinyi bado niwatoi hata hamuwezi aminiana 😃😃😃😃😃

  • @gracewangari2521
    @gracewangari2521 4 роки тому

    Timo waaah hapo Pa mwisho ni PA moto

  • @irenekendi4553
    @irenekendi4553 4 роки тому +2

    Waaaah nikuanika ama patanisho huyo dada shenzi type

  • @mpendaamani2251
    @mpendaamani2251 4 роки тому +4

    Mercy rudi kabembelezwe na Mamako, but that doesn't mean she should be hit

  • @veromurigi6375
    @veromurigi6375 3 роки тому

    Napita tu🤣🤣🤣

  • @rossyrossy5890
    @rossyrossy5890 4 роки тому +1

    Hii ni kuanikana

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 4 роки тому

    Huyu mercy ni mtoto sana

  • @ka5919
    @ka5919 4 роки тому +2

    The place where people are burnt is called CREMATORIUM/CREMATORY
    The process of burning people is called CREMATION
    The person who carries this out is called CREMATOR

  • @sabbylulu1
    @sabbylulu1 4 роки тому

    😂😂😂😂🤣🤣😅😅😅huyo alichomwaaaaaa😂😂😂🤣🤣😅😅

  • @kaihugacangacangimlachake1862
    @kaihugacangacangimlachake1862 4 роки тому +1

    Timo ulioa lastborn wewe🤣🤣🤣🤣huyu dem kichwa mzuri

  • @budeskoeddy3642
    @budeskoeddy3642 4 роки тому +3

    Wacha tu nicheke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wololooo hata kama huku Beirut ni kubaya 🤐🤐

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 4 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂ghaiii ameamua kumuanika😂😂😂ati akilala usimuamushe ata nikama yuko mortuary😂😂😂spare my ribs akii

  • @kevinngereso7036
    @kevinngereso7036 3 роки тому

    Mercy mercy mercy

  • @stargal906
    @stargal906 4 роки тому +8

    Huyu dem utoto ndio mob, then siku hizi wanawake mbona mnapenda kwanika wanaume kwenye media?
    Hata mume wako anafanya kazi ipi kwani ni lazima umwanike?
    Wanawake tubadilike na tuwe na heshima kwa wanaume tafadhali.

  • @alicekmusic3925
    @alicekmusic3925 4 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂 Eeeeeee hiyo kicheko cha last born imenimaliza🤣🤣🤣🤣🤣

  • @maryschroeder521
    @maryschroeder521 4 роки тому

    Mercy your the best 😂😂😎

  • @irenematari6218
    @irenematari6218 Рік тому

    Hii ni kama primary school ilikuwa siku ya closing day kama ulikosea mtu unapata kipigo kwa shule za bara

  • @chullakoi1508
    @chullakoi1508 4 роки тому

    Last born #Burekabisa!😂😂😂

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 4 роки тому +2

    Last born my foot

  • @selineotirih9398
    @selineotirih9398 4 роки тому +1

    Eti last born waaahh

  • @ericmayaka7040
    @ericmayaka7040 4 роки тому

    Ghost unacheza vibaya sana

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 роки тому +5

    Timo Ni muugwana sanaaa ila shida ni mercy eti mm Kwetu ni last born sipigiwi nikikosa n'a mbembelewa lol

  • @winiewinnie2770
    @winiewinnie2770 4 роки тому +1

    😂😂😂😂😂surely wonders shall never end yawah.kamrembo ati ww ati hupigagwi waah

  • @sabinamuhanda9903
    @sabinamuhanda9903 4 роки тому

    Hii patanisho nitamu sana 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @valyvaly1610
    @valyvaly1610 2 роки тому

    😂😂😂😂😂waah

  • @jacobjuma1668
    @jacobjuma1668 4 роки тому

    😂😂😂😂😂last born wako na vituko

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 4 роки тому +1

    Kulikuwa kubaya bt imefikia tym ya kucheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @FamousBerry139
    @FamousBerry139 4 роки тому +1

    Last born hata ufike 60yrs utabaki last born. Last born lives matters tuko hapa hatupigwi

  • @andrewmbuvi5804
    @andrewmbuvi5804 4 роки тому

    mimi ni last born unipembeleze prriisss

  • @periswarish7022
    @periswarish7022 4 роки тому

    Olooo masaimba nya mapezi(mercy matusi wacha kuwa last hinyo ni nyako mercy..

  • @oletip-tipmarion5463
    @oletip-tipmarion5463 3 роки тому +1

    Mercy Uko na mushene sana😅😅😅

  • @Ruthbosibori-uu7eq
    @Ruthbosibori-uu7eq 4 роки тому

    Number three

  • @everlynemulongo7004
    @everlynemulongo7004 2 роки тому

    Ewooooooo👹👹👹👹👹hatari

  • @hellennjeri2431
    @hellennjeri2431 4 роки тому +4

    Aki sisi last born tulikosea wapi 😂😂😂😂

    • @amoskivondo6595
      @amoskivondo6595 4 роки тому

      Am proud to be last born tuko sawa kabisa apart from a few lastborn wenye wanatuchomea

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 4 роки тому

    😂😂😂😂aki lastborns yawaaaaaa😂😂😂😂hii kudekezwa mtu anaioneanga viu sasa

  • @benardpaul1271
    @benardpaul1271 4 роки тому

    unajua mimi n last born kwetu 😁😁 huyu mschana anini chekesha sana

  • @youngmummy3838
    @youngmummy3838 4 роки тому

    No 3 team Turkey

  • @amissahassan495
    @amissahassan495 4 роки тому

    Ghost unavyo cheka apa Mimi hoyi😂😂😂

  • @eunicenbog26
    @eunicenbog26 4 роки тому

    Kuchelewa dio yangu

  • @routhawad2150
    @routhawad2150 4 роки тому

    😅😅😅kuna mambo

  • @KenyanUnicorn
    @KenyanUnicorn 9 місяців тому

    Huyu ni mwanamme unakaa naye kweli kama uko na akili timamu?? Can never be me.

  • @alexkasyoka8291
    @alexkasyoka8291 4 роки тому

    😀😀😀😀

  • @gamingwithryan6548
    @gamingwithryan6548 4 роки тому

    Wuuui 😳😳😳😳

  • @janegitau6857
    @janegitau6857 4 роки тому

    Lebanon tuko ndani

  • @pamelakonya545
    @pamelakonya545 4 роки тому

    🤣🤣shida ya last born hukuwaga gani lakini

  • @wlkmwlkm53
    @wlkmwlkm53 4 роки тому +1

    Naona mercy akirudi kwa timo nahiyo utoto yote, lkn hii kuni, iliaribu watuwengi sana, akili juu yakuni paka mtu anaweza uliwa juu yahiyo kitty, mungu naomba unisaidie!!

    • @ndutawanjiku9367
      @ndutawanjiku9367 4 роки тому +1

      Why do I feel you this much 🤗 are you a lady??Enyewe kuni imeharibu hadi watu wazima akili 😂😂

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 роки тому +1

    Huyo bwana zimemruka kwa hii kazi ya kuua watu, last born hapigwangi🤣🤣🤣🤣

  • @nellywanyanja81
    @nellywanyanja81 4 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣hadi GIDI na GHOST wameshituka

  • @madamboss348
    @madamboss348 4 роки тому +4

    Inaitwa cremation 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @lionsdota1989
    @lionsdota1989 4 роки тому +1

    Ulikuwa unaeda Kwa MTU wa moshari Kwa nini kama hauko tayari,tafutatu wa class yako

  • @annitabobo5438
    @annitabobo5438 4 роки тому +1

    Timo una deal na mtoto tafuta mtu grown-up. But mambo ya vichapo weka kando Timo

  • @marcellarodero1749
    @marcellarodero1749 4 роки тому +2

    PTSD from the military.... That man is suffering from that...

  • @ameenasur656
    @ameenasur656 4 роки тому +2

    Jmn mmekatisha maneno matam😆😆

  • @pickychrissytetich.7715
    @pickychrissytetich.7715 4 роки тому

    Huyo dem akanyage lamu....acdhubutu kuishi na huyo jamaa.

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 роки тому

    Sasa umekuja kumuanika mwezako au umekuja patanisho hii sipoa kbsa
    Kma humupendi just move on with ur own life juu kma sikukugombanisha ilikua uko tayari kuwa his wife

  • @cathynjeri5108
    @cathynjeri5108 4 роки тому

    Uuuuuiii jesuuuuuuuuuu

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 4 роки тому +3

    mortuary unapasua watu aje sasa? huyu dame nae ametupa mbao

  • @winniewayesu6876
    @winniewayesu6876 4 роки тому

    Ngai.

  • @bilhawilliam7599
    @bilhawilliam7599 4 роки тому +1

    Pia mi ni lastborn but nkifanya kosa kichapo kinatembea kutembea

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 4 роки тому

    ghost cheka nitume soda saa hii vile nimeshikiria matumbo hivi cheka nikutambue
    nimestuka leo pia sitakuwa naamsha mtu akilala haki

  • @benardpaul1271
    @benardpaul1271 4 роки тому

    Ati usi muwamushe😁😁

  • @suzziejelagatt
    @suzziejelagatt 4 роки тому

    Lakini huyu wa kuamushwa na kuuwa mtu akidhani ako wapi... hope they are well

  • @halimashaban7637
    @halimashaban7637 4 роки тому +6

    I'm still listening to the girl's side, she sounds so mouthy and immature

  • @phylisratemo5086
    @phylisratemo5086 2 роки тому

    hahahaha!last born

  • @winniesgesare3662
    @winniesgesare3662 4 роки тому

    Last borns yawa

  • @linetnyaboke1982
    @linetnyaboke1982 4 роки тому +1

    Mercy mercy mercy nimekuita mara ngapi?? Acha tabia ya kuanika mme wako

  • @aliciahope492
    @aliciahope492 4 роки тому

    Ii nmecheka pia mm ni lastborn cpigagwi🤣🤣🤣🤣

  • @trizakhasungu6207
    @trizakhasungu6207 4 роки тому

    Mm.kama last born sichapwangi

  • @dellakenyangirl5271
    @dellakenyangirl5271 4 роки тому

    That guy😂😂😂😂🙄🙄🙄

  • @mugongunda
    @mugongunda 4 роки тому +2

    Ako na PTSD HE needs help

  • @catherinealiviza96
    @catherinealiviza96 4 роки тому

    Huyu dem ataki kupatanishwa nikumwanika huyu mama kweèeera

  • @brendafassyothiambobrendaf7649
    @brendafassyothiambobrendaf7649 4 роки тому

    Mercy ololoo 😂😂😂😂

  • @bethmae5589
    @bethmae5589 4 роки тому

    Mm ni last born hahahaaa nimecheka

  • @Shuu.A
    @Shuu.A 4 роки тому

    Hana adabu tu

  • @prettybabygalmichelson6557
    @prettybabygalmichelson6557 4 роки тому

    Kuchelewa nayo

  • @cathynjeri5108
    @cathynjeri5108 4 роки тому +1

    Wacha kutoa mtoto wa mwenyewe nguo si ulikua unamtolea nguo roho safi

  • @mismamina3787
    @mismamina3787 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤭

  • @jaicymbatha1841
    @jaicymbatha1841 4 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂😃😂😂

  • @alinebenja3925
    @alinebenja3925 4 роки тому +1

    Sasa hii ni ujinga gani ya last born😜😜😜 mercy rudi kwa timo upewe miti mpaka ukuwe first born....