PATANISHO : SITAKI MANENO MINGI..UNARUDI AMA HURUDI ?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 118

  • @marywairimu5598
    @marywairimu5598 Рік тому +27

    This is the kind of man who never say Sorry, thr kind that never admits to his mistakes, the kind that orders you around just bcoz he has short leg btwn his legs, the kind that can't motive you or appreciate you. The most unromantic person

    • @marywairimu5598
      @marywairimu5598 Рік тому +2

      @@benwaish7277 maybe she was never in love with you, you may hav loved her deeply but roho yake haikuwa kwako , but listening to this guy you can tell from his words he is very impolite, and blames others kama mambo haiendi vile anataka, sorry for your heartbreak though

    • @edwinochieng9014
      @edwinochieng9014 Рік тому +1

      Mwanaume ni kukaa ngumu, ukibembeleza hawa wanadada, they'll feel entitled and that's not good for anyone...

  • @mmilly8952
    @mmilly8952 Рік тому +3

    💃💃💃💃💃💃💃Niko single na enjoy 😆😆😆🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗

  • @malukidavid5265
    @malukidavid5265 Рік тому +4

    Crazy man hadi bibi anampea signal that anampenda na anataka kurudi na yeye haoni. Angeonyesha amechange na aongee poa. These tough stands zitafanya wengi wakae bila bibi.

  • @PetronelaGidion
    @PetronelaGidion Рік тому +9

    😂😂😂😂😂wololoo iko kicheko cha gid mm hoiii🙌🙌much love radio jambo from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 Рік тому +5

    Degree, masters international kwa ulevi 😮😮

  • @purity134
    @purity134 Рік тому +5

    Diana quit as yesterday don't hope for any change mlipatana mkiwa na meno32 kanyaga kubwa Mama

  • @carollenin5152
    @carollenin5152 Рік тому +2

    Those are the kind of men that i will never entertain

  • @nangeshyknight9739
    @nangeshyknight9739 Рік тому +2

    I love her voice. I love her swahili.

  • @hamisikassimmwatamu7949
    @hamisikassimmwatamu7949 Рік тому +13

    Hapo akuna mwanaume kabisa ata pole pia kusema kwa mke wake ni shida bibi mzuri na heshima zake lakini hapo kwa uyo mwanaume mlevi na ajuwi pia kumbembeleza mke wake hizi bahati uwa zinapata watu wapumbavu kama uyu mshezi Sana ameniuthi Sana

    • @julianamalinda2357
      @julianamalinda2357 Рік тому +2

      He is like commanding not even a word of sorry I was mlevi this and that wanawake tupo na shida yawa thooo

  • @ahmedibrahim3870
    @ahmedibrahim3870 Рік тому +11

    Uyu Sammy Anakiburi ...hajui kwamba mwadada hubembelezwa ka mtoto very sad .....uyu janadume linatuaibisha

  • @janejanenjeri8350
    @janejanenjeri8350 Рік тому +3

    I love this show,I love Gidi na ghost

  • @jolynejuliet4870
    @jolynejuliet4870 Рік тому +5

    Hiyo kicheko y ghost😂😂😂😂

  • @marymathmarcelle
    @marymathmarcelle Рік тому +2

    Gidi leo your shoo leo imekua ngumu but I like the way you handle it. Your silent listener from UAE

  • @tumisiokonyo1028
    @tumisiokonyo1028 9 місяців тому

    Good girl. Wachana na hii jinga! Utoto mingi. Wakikosa wanatafuta mtu wa.kulaumu.

  • @b.3940
    @b.3940 Рік тому +5

    Huyo jamaa ana ujinga wa milele.

  • @linetkhavugwi209
    @linetkhavugwi209 Рік тому +3

    RADIO JAMBO SIMKUE MKITULETEA MAONI YA WANANCHI JAMENI..

  • @PetronelaGidion
    @PetronelaGidion Рік тому +5

    😂😂😂😂patanisho imepatwaaa🙌

  • @DanielMutinnda
    @DanielMutinnda Рік тому +4

    Huyu jamaa ni fala sana

  • @gracemburu6355
    @gracemburu6355 Рік тому +10

    😂😂😂huyu mtu si serious!! Hapa hakuna ndoa msichana move on!!!

  • @tomthomas6908
    @tomthomas6908 Рік тому +12

    Maisha ni ngumu,siku hizi hakuna kubembelezana.

  • @RosyAshy
    @RosyAshy Рік тому +5

    😂😂😂weeh huyu mwanaume tawe!😂

  • @philiskoech4010
    @philiskoech4010 Рік тому +5

    Haha uyu nimluhya😂😂😂😂

  • @fauzsky5399
    @fauzsky5399 Рік тому +1

    Please Gidi na Ghost, wekeni ka Classic radio mashabiki pia sisi tusikie wenye tuko Kenya.🙏🏾
    Penda patanisho sana👏🏾👏🏾👏🏾
    Huyuuuuuuu mzee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 Рік тому +3

    Pamoja sana

  • @tumisiokonyo1028
    @tumisiokonyo1028 9 місяців тому +1

    Leo gidi na Ghost kimewaramba 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @traveledra2015
    @traveledra2015 Рік тому +3

    Men ..women are people too

  • @kevinngereso7036
    @kevinngereso7036 Рік тому +5

    Jama kizungu ilipita..😂😂😂😂

  • @Kissarop
    @Kissarop 3 місяці тому

    Mr International kweli

  • @isaacchumba
    @isaacchumba Рік тому +4

    Usiskie mambo ya Gidi😂😂😂

  • @linetkhavugwi209
    @linetkhavugwi209 Рік тому +2

    Wueh mama run 🏃‍♀️ huyo ni chairman wa nersccist wote ulimwenguni 😅😅😅

  • @sarawambui4629
    @sarawambui4629 Рік тому +6

    Mwanaume ako na utoto sana
    Hajakomaa akili huyo

  • @tomthomas6908
    @tomthomas6908 Рік тому +8

    A graduate from @Andrew_kibe group of schools.😂😂

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 Рік тому

    😂😂😂😂😂😂😂Jamani jamani mbona makubwa ❤❤❤❤❤❤❤

  • @lilianrough6896
    @lilianrough6896 Рік тому +3

    Gidi Leo kimekuramba 😂😂😂😂😂

  • @francymalongo4657
    @francymalongo4657 Рік тому +5

    Sasa Hawa walitongonazana aje haki😂😂😂😂

  • @Bittone
    @Bittone Рік тому +3

    Leo kilikuramba gidi😂😂😂😂

  • @JanetkathiniWambua
    @JanetkathiniWambua Рік тому +2

    😂😂😂 nyumba sasa inamakosa ngan

  • @edwinochieng9014
    @edwinochieng9014 Рік тому

    A real man never says sorry...hata hiyo time ya kubembelezana na wanawake mwanaume anapata wapi...??nkt.

  • @JamilahOmar-cf2ow
    @JamilahOmar-cf2ow Рік тому +4

    Huyu jamaa ni dume suruali tu 😂😂😂😂

  • @hellennjenga5267
    @hellennjenga5267 Рік тому +4

    😂😂😂😂😂 Watu wako na stress Kenya 😂😂😂

  • @dominiclangat-ds8ky
    @dominiclangat-ds8ky Рік тому +5

    Kama huyo jamaa angekua karibu nawewe Gost angekua navita

  • @nelliaxo2011
    @nelliaxo2011 8 місяців тому

    Nipewe huyo mwananadada maturity yake iko level ingine

  • @hillaryruto8828
    @hillaryruto8828 2 місяці тому

    😢😢😢

  • @mohamohaze6993
    @mohamohaze6993 Рік тому +4

    Gidi wachana na yeye aendelee kukunywa pombe hiyo ndio kazi yke

  • @faithnyambura-fo7fm
    @faithnyambura-fo7fm Рік тому +1

    Ghost karibu kikurambe,unachochea Diana asitudi kwake na ng'ombe ilizaa jana😂😂😂😂😂😂

  • @StephenOdhiambo-kn4md
    @StephenOdhiambo-kn4md Рік тому +4

    😢huyu ni 😊 ngombe

  • @emilywangui
    @emilywangui Рік тому +3

    Huyu mwanaume ni toxic na funjo zake😅😅😅😅wacha akae ivo

  • @maohmdghg8398
    @maohmdghg8398 Рік тому

    Gidi pole kwa hayo masaibu this patanisho has killed me

  • @susanmuthoni5482
    @susanmuthoni5482 Рік тому +5

    Weeehh..huyu Sammy ako na attitude 🙄🙄

  • @lynnvion3466
    @lynnvion3466 Рік тому +2

    Huyu mume akili yake haina akili 😂😂😂

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 Рік тому +5

    😮😮huyu boy ni arrogant .Diana kanyaga kubwa kubwa huyu sio bwana mwache atafute mwengine yani mtu anatupanisha maneno kama ana command

  • @avyduke2206
    @avyduke2206 Рік тому +2

    Huyu Sammy ni gaidi Pro max, my sister run for your life before it's too late

  • @jemimahnafula9457
    @jemimahnafula9457 Рік тому +12

    Huyu Sammy amesota na lazima akunywe pombe😂😂😂So calculation yake ilikuwa ajaribu make wake live but intension yake ni ABOMOE NYUMBA POLE POLE AKIUZA VIFAA AKIKUNYWA UNTIL IISHEE🤣😂😂😂😂We know such people are there.MTU ANAANZIA KWA DIRISHA,KITANDA,MASUFURIA HADI VILE ATAFIKIA KUNI🤣🤣🤣🤣So this is original bachelor all life.Nko huku🇶🇦🇶🇦 Tu, telling my dear DIANA, Never look back for him🙌🙌

  • @julianamalinda2357
    @julianamalinda2357 Рік тому +5

    WaaaaH hata uku diaspora tumekosa la kukoment😮😮😢

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 Рік тому +5

    😂😂😂😂😂 unarudi au hurudi😢

    • @edwinochieng9014
      @edwinochieng9014 Рік тому

      Hii ni ile msee anakuja na panga, bakora, unakam ama hukam...?

  • @paulinekanyanjua6127
    @paulinekanyanjua6127 Рік тому +2

    good gal🎉🎉🎉🎉🎉 that's a foolish man

  • @traveledra2015
    @traveledra2015 Рік тому +3

    I agree with Ghost he is still drunk

  • @dicksonkiraithe6369
    @dicksonkiraithe6369 Рік тому +2

    Uyu si pombe tu mpaka bangi na takataka zote anatumia😂😂😂😂

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 Рік тому +1

    Bwanaweee unataka ubembelezwe vipi hyo mwanaume ndo alivyo 😂😂😂

  • @mwikaliliz3335
    @mwikaliliz3335 Рік тому +1

    Saaa iii vyenye doa zikona shida.. marriage inafaa kua inteams of contract

  • @nancymkesa3528
    @nancymkesa3528 Рік тому

    🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆

  • @jolynejuliet4870
    @jolynejuliet4870 Рік тому +1

    Kubomoa tena😅😅😅

  • @johnwambugu2868
    @johnwambugu2868 Рік тому

    Sammy abembelezani😅😅😅
    Hana time, eti n'gombe imejifungua na hakuna mtu wa kukamua

  • @nancymkesa3528
    @nancymkesa3528 Рік тому

    Grid Saidia tu

  • @Moses_404_
    @Moses_404_ Рік тому

    🎉🎉😂😂😂

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee Рік тому +2

    Yaani mtu anapiga Bibi anaogopa kupigwa,keguoya coward.🤷🏾‍♀🤷🏿‍♀👎🏾👎🏿☹🙁😣😖

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 Рік тому +2

    Huyu Sammy ni kichwa ngumu ati unarundi ama hutaki mama murife run 😂

  • @mdfrancis280
    @mdfrancis280 Рік тому

    Kimeumana

  • @fridahmwanzia9921
    @fridahmwanzia9921 Рік тому

    This is a boy..B FOR BOY😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @BensonKieti-g4l
    @BensonKieti-g4l Рік тому

    si nipewe huyu dem

  • @tewendehome
    @tewendehome Рік тому

    Funniest patanisho 2023 😅😅

  • @praxidesnanjala4426
    @praxidesnanjala4426 Рік тому

    Huyuni gaidi Gidi acheni naye hajui kuomba msamaha arudi Kwa international ya ulevimsichana move on hakuna ndoa hapo

  • @nelliaxo2011
    @nelliaxo2011 8 місяців тому

    Nipewe huyo mnanadada

  • @cassandraakinyi3399
    @cassandraakinyi3399 Рік тому

    Shenzi

  • @captinadams284
    @captinadams284 Рік тому

    Ulikunywako?????? 😂😂😂😂😂😂

  • @zippiemoraa2769
    @zippiemoraa2769 Рік тому

    Huyo bado ni mlevi. ata ulimi ni mzito

  • @priscahpriscah3990
    @priscahpriscah3990 Рік тому +1

    Sammy hapendi mke wake then hana heshima wachana naye aoe pombe basi

  • @FranciscaMutua-m2k
    @FranciscaMutua-m2k Рік тому +3

    There's no hope in. this marriage

  • @ummbalqis1633
    @ummbalqis1633 Рік тому

    Natafta bwana ,Mungu nikumbuke😢😢

  • @celinejudy1496
    @celinejudy1496 Рік тому

    uyu boy ako na utoto

  • @justuskemboi2322
    @justuskemboi2322 Рік тому

    Hakuna kubembeleza

  • @anitapendo6201
    @anitapendo6201 26 днів тому

    🤣🤣🤣

  • @faithkagendo1506
    @faithkagendo1506 Рік тому

    Nk

  • @philiskoech4010
    @philiskoech4010 Рік тому

    Nasiujipange kwani nilazima senzi

  • @doramnyongesa782
    @doramnyongesa782 Рік тому +1

    gidi hii ulichomaaa saaana,wewe unaonea boychild saaana.

  • @Palomamuriith92
    @Palomamuriith92 Рік тому

    😂😂😂😂

  • @juliahmuthoni-wp5df
    @juliahmuthoni-wp5df Рік тому

    Hahahaha 🤣🤣

  • @lennyozembo2504
    @lennyozembo2504 Рік тому +2

    This guy needs to assisted but Gidi you need to be professional
    Not all people know how to talk or seduce
    Gidi if you need to help someone help him from your heart

  • @Puredark3
    @Puredark3 Рік тому +1

    How can a man have such poor reasoning? A man!

  • @jacklineatieno6064
    @jacklineatieno6064 Рік тому

    😆😆😆

  • @marthanyabuto8634
    @marthanyabuto8634 Рік тому

    Kama hawa ndo wanaume wamapaki kwa kuoa waja ikae 🤣🤣🤣🤣

  • @themesonditi5797
    @themesonditi5797 Рік тому

    Akwende2uko he is rude

  • @Manutd317
    @Manutd317 Рік тому

    Hii jamaa ni ngo'mbe

  • @johnwaweru-z9v
    @johnwaweru-z9v Рік тому

    n john kutoka naivasha huyu Sammy ayuko sure kupataniswaa na bibi yake

  • @dianakamonya685
    @dianakamonya685 15 днів тому

    Wanaume wapukusu ni wajinga sana ati unarudi ama haurudi

  • @sekanicanory9915
    @sekanicanory9915 Рік тому

  • @jacklineatieno6064
    @jacklineatieno6064 Рік тому

    😂😂😂😂

  • @thogonuii
    @thogonuii Рік тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @pamelagatwiri8170
    @pamelagatwiri8170 Рік тому

    😂😂😂😂