Alfu naona team hammamianz ndio wengi huku kwani patanisho n yetu ama n practise makes perfect niende kuwapatanosha wabae wenye wameanza kenya Hope's you are brave hakuna kubeg mwanaume
Huyo sio kulelewa kwa kudekezwa ni ujinga ako nayo na hii nimejua baada ya kuskia age yake 38 year huyu ni mschana ama mama akili punguani huyu jamaa alipenda pabaya atamshumbua sana
Very disappointing comment section...filled with jealous, vicious women who covet the blessings that God has given their 38 yr old sister...Bahati ya mwenzio usiilalie mlango nje. Be happy that others have found (understanding?) spouses and in due time, you will also be blessed with the same.
Leo sijachelewa sana 😀 😀 ☺️ waQatar 🇶🇦 💋 mikono juu 💞💞
🙆♂️🙆♂️ii paka ya duka ni mbaya
Tuko area
Amelelewa kinyanya nyanya😂😂😂
Al Wakrah representing big time 🇶🇦🇶🇦🇶🇦
Paka ya duka baya sana (+974🇶🇦🇶🇦)
Paka ya duka oooh noooo😆😆😆😆radio jambo is soo sweetie much love from Uganda mimi nataka wimbo ya geofrey lutaaya Nice and lovely 😆😆😆
nyani mm praying so hard God to bless me na chali caring wengine out there taking advantage of others 🤐🤔🤔
Ndio uyu mimi
Mm pia maombi yangu ni hayo 🙏
Aky
kumbe tuko wengi hivii
Ambia Gidy akuconect mrembo
Yeye.....fun wa patanisho but mara ya kwanza kukoment.....
Kicheko tu jameni ghost😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yvonne mpolee mwanaume kajieleza yeye ni mcool sasa tutajuajeeee🤩🤩🤝 ila nilikuwa nimemiss patisho asanteni sana Gidi na Ghost
Hii pananisho imeisha mzuri😊😊😘😘
Wapy likes za paka wa duka
🤣🤣
Gapsay Mukuha 😆😆😆waaa
Chukuwa
🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha
This lady is cool, listening from Estonia, Europe
Team hamamu n free Wi-Fi say hi
At paka wa duka ako na nini???😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Hahahaha
Mdada ako naujinga sana
Pamoja
@@RoroRoserororo leo umeniweza
Hamam team goga likes tukisonga
Team hamam, wapi likes za ivyone,,,,,,,, mwanaume wa mdomo mkae kwa amani
Am in
Naipenda kofia ya Ghost
You guys you made my day 👍
Pole boy child, huyu madam si real.... Iko shida pahali
If the guy wants to understand her present,let him dig into her past,maybe she has a dark past haunting her,she has some secret
Kama hukupata salamu za Gidi za Jana .tujuane na likes
Nko hapa
Mimi
Wewe huwa hukosi kuwatch patanisho.
@@edwardaron729 siwezi kosa nichekwe.Heheeeee
Nathani ni kimakosa.
Who else noticed Gidi read out Yvonnes no. on air?😒😒😒
He read our 7 letters one more letter remain but Yvonne ni sumbua akuna mtu atamtafuta hii paka ya duka 🤣
Alfu naona team hammamianz ndio wengi huku kwani patanisho n yetu ama n practise makes perfect niende kuwapatanosha wabae wenye wameanza kenya Hope's you are brave hakuna kubeg mwanaume
Ujeuri na miaka inaenda pole sana,style up
Number 11 leo wapi like zangu
No 16 kuchelewa nayo.team Saudi Arabia mko wapi
PRETTY BBYGAL MICHELSON Dammam ndani
Leo umeniacha wapi
Pretty kuchelewa aki
@@agneswanjihia1383 Tumejipata leo
@@sweetmumwake9729 aki
+90 well presented no 1 today
Haiya 38 na bado unapembelezwa ole wako utaregret dada saudia hammam ni sawa kuliko hizi ndoa
Hahaha
Imagine
Ata I thought ni 20s,huyo hata ana bahati ,at that age ...na amepata mume, awache ujinga
In dammam jubail
Beatrice Njeri ndoa sikuizi sinasinya ni stress tupu
38yrs with no child n still want to abort? menopause is knocking on the door.
😂😂😂😂ati kulelewa kama paka wa duka 🐈.but huyo mdada ana shida
Patanisho kama kawa kutoka kisumu city
Alafu hawa watu sumbua wanapatanga wapenzi wazuri shida yao inakuwanga nini hawataki ku appriciate
C ninge pata mme kama huyo jamani
@@RoroRoserororo Utapata tuu bibie tulia
Doa ina wenyewe
@@mirriammukai6004 kabisaaa
Ikimshida akanyage big big mwigine aonekane
Huyo dada achunge sana maneno yanayotoka kinywa chake ulimi kiumbe kidogo lakini matatizo yake ni makubwa
Ndo hiyo
Kabisa
huyo dem hadi voice yenyewe kali damn huyo mwanaume akae 👀👀
Hehe apana
Watching from Mississippi USA
Hello tutumie hata chai ndugu.
Nipe invite nikujoin
Ya Leo si imeisha poa aky Gidi na Ghost mnafanya kazi poa mungu awazidishie
Caro kemunto watching from saudia wewe shosho ajamaringo
Huyu mwanamme anaongea kama chiriku jameni, anakaa mkora siyo wa kuaminika ata😎😎😎
Skiza tune imeweza
Timu hamamu muko wapi? Kujeni haraka
Nko hapa
Niko niko
NIko hapa
🖐️🖐️
Tupo
Better kuchelewa kuliko kukosa team Bahrain hoyeee
Notification gang💪
Sisi kama Yvonne we are always cool❤️❤️❤️❤️
😂😂😅🐈
Wanadada Ata kama ni paka ya duka jameni Chunga ulimi wewe @ your age shetani anaeza kuingilia ifanyike wakati wa kuzaa,mungu awabariki🙏
Leo kuchelewa Gidi mbona ukuniharifu mapema jamani boss
wanaume kama hawa wako wapi jamani ..hizi ndoa daaaaah.38yrs na mimba wataka kutoa jamani kifo wajitaftia.
Leo nae nimechelewa team hamam,team+966penda nyinyi saana,ghost aki kicheko nayo,,pthooooo
Faith sasa
Team hammam.niko hapa niko Riyadh wewe uko wapi
Nko Riyadh pia
@@faithnyangweso8699 OK thanks. Give ur whatspp conducts plz
AK imagine niko na three months but bado sijapewa Sim card
Vitishio wanawake wenzangu tuache hawa wanaume ni binadamu pia
Ooh thank-you
Kweli
Thanks for that Nelly 👊❤️
Pembelezwa ni myaka 18 to 23, but 38 wewe ni nyanya my friend. Women grow up in early ages.
Gidi ameboeka sana na hiyo call tone... 😅 🤣
Leo nimejaribu sana like zanguuu team +973
Paka wa duka
Wow toka saudia loud and clear eti paka wa duka mmmmmm Mungu saidia wanadada
Iddi njoo uku am single but niko saudi kuosha machoo, team hammam oyee
Nimefika lizy Beby njoo usikie
paka wa duka uwa maringo na stress sana
Kabisa
Paka ya duka😂😂😂😂😂😂
38 a flash bol huyo ni mjinga
Huyo sio kulelewa kwa kudekezwa ni ujinga ako nayo na hii nimejua baada ya kuskia age yake 38 year huyu ni mschana ama mama akili punguani huyu jamaa alipenda pabaya atamshumbua sana
Nimeshangaa pia 38 waa huyu ni mama mzima
🙄🙄
Asanti kwa kazi jema mnafanya
Hehe ghost tumeanza kicheka mapema🤣🤣🤣leo nilichelewa kuingia patanisho.
uyo chali waoohhh congratulations
Aslay - muhudumu (Ongeza glass)
Aiiiiiiwe..ghost kicheko nacho😂😂😂
Very disappointing comment section...filled with jealous, vicious women who covet the blessings that God has given their 38 yr old sister...Bahati ya mwenzio usiilalie mlango nje. Be happy that others have found (understanding?) spouses and in due time, you will also be blessed with the same.
I also don't get the attack on her based on age. Gosh
Team saudi
leo niko number kumi
Ndyo kuingia sasa heri kuchelewa kuliko kukosa 🏃🏃🏃.
I was waiting for coacher Mulee until 1:53 😂
Angalia hii👇
ua-cam.com/video/i9QHtYGmaNE/v-deo.html
kisha like,subscribe na comment
Saudi Tuko ndaaani ndaani kabisa😂😂😂😂👌👌✋✋
Pamoja
@@agneswanjihia1383 Agnes wanjihia inakupelekaji hii saudi
@@moniwambu5662 baridi diyo mob
@@agneswanjihia1383 ata siongei sana kutetemeka nayo yani baridi imezidii kutoka jana na leo wacha too dadangu
@@moniwambu5662 mm kwanza Leo niko na wageni ata siskii Job mob aki
Huyo mama ni mjinga sana
A good man there just a communication needed
38 yrs na anataka kutoa mimba , huyu ako na mapepo yanamsumbua
Hapo ni kweli 🤣🤣
Mtoto ni mzuri evon
Hy Kenyans
Mamaa umri umechapa makinika tafadhali
Watching all the way from Philippine nawapenda sana guys nd I'm missing home but soon I will come home
pwaaaaaaa
Mwanamke akiwa na mimba huwa hayuko sober mind..so wanaume wanatakiwa kujua hayo..hapo ndio wanawake hutaka kudekezwa kama yai..
Hakuna kitu Kama hiyo nikujifanya
@@lizkanjah8503 🤣🤣🤣true...ni kujifanya tu
Haaaaaaaa yawa na tupendane 😍
First comment today 😂
Venye nimelala u tube alafu nikue 78 sio fare, Giddy na ghost Atleast comfort me🤦♀️🤦♀️
Mme kama huyu ni ngumu kupatikana wanakimbia miba zao
Paka wa duka 😁😁😁😁😁
Kwanini utoe mimba? unajua vile watu wanalia sana juu hawana watoi
Kama mimi imagine😢
@@elizawanarumoro6867 mungu ndo kila kitu utapata na atasikia maombi yako
@@euchariahahoya6518 Amen🙏
Sasa nyanya wa 38 years niwa kusema atae ball stupidity of high level
Inaweza kuwa si ya bwanake
38 bado aneza shika mimba acha matusi just give an advice heshima ni bora kuliko utumwa lol!
Mzee mtu mzima badala atulie anajikuta under 18
Imagine
Woi kumbe Mimi ni Nyanya @38 hahaha woi
Waah paka wa dukani 😃😃😃😃😃😃😃😃
Hiyo mariege n poa sana
Leo nimebambika na patanisho, sasa mtu wa mwika 38 bado ako naujinga kiac hicho kweli ujinga haina dawa kabisa
Hakuna ujinga hapa, just going through the ups and downs like normal human being.
dio ata mm nimeshangaa....
@@emilymuthoni3776 this couple love each other, compared to the other ones we have heard in this show.
@@atuyade1 Ni sawa bt ajue menopause c ungojwa wa akili.... na achunge ulimi
@@atuyade1 kama si ujinga nini hiyo unaeza tamka kwa mmeo eti nitatoa bol surely
Paka ya duka🤣🤣🤣🤣🤭
Paka wa duka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dad's dota wako hivo waa kijana uko na shida
Sio wote am also dad's daughter na sina hio tabia mbaya
Yvonne ako depressed lakini pia hana hamu ya ndoa.
Kuchelewa nayo
Jamaa ako sawa, bibi anafaa ajitume coz hako kwao ako kwake
Late comers pliz let's gather here and see how many we are
Kasuku😂😂😂
Ha ha ha
Paka wa duka 😂😂😂😂😂
38 years na bado anapebelezwa??bro achana na yeye hio miaka sio ya mtu wa kuchukuliwa kama mtoto ni mtu mzima
41yrs na haujasettle???? Hii n kali😲😲
38 yrs?? Aachwe tu huyo. I thought she was like 22 yrs hivi
Huyu shushu aache umama.38 years na huu ujinga wote.
Hahaha
38yrs na unataka ku flash mtoi?? Tena una mtu anakuhudumia kila kitu" jaribu kuflash utajuta maishani mwako, uliza kina wema wanavyo juta sasa.
Aki inaudhi sana
Ile Wimbo ya kidum ilichezwa hapo ni gani?
Paka ya duka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Paka wa duka lodged in hammam+974😂😂😂😂
Eti paka ya duka.....😂😂😂😂😂 Wololo mololo tena ati muhudumu song
Wah 39yrs.... wengine apa 37yrs na tunangoja wajukuu jamani
Ghost hiyo tarbush umevaa ni ya culture yetu najua unapenda watu wa uko sana