Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mtumishi umebarikiwa ,asante kutufungua ufaha mu
Endelea kutufungua ufahamu mtumishi wa Mungu, walio kinyume ni hao wanaolazimisha watu kutoa na kuwatishia.
Ni ufunuo wa Roho naamini hakika!!!
Good nimeipenda na nimeanza kuelewa
Nimekuelewa mwalimu
NAKUKUBALI MTUMISHI WA MUNGU, UBARIKIWE KWA KUNIFUNGUA UFAHAMU, NILIKUWA KAMA NIKO MAGEREZA KWA AJILI YA ZAKA,
Nawashauri Watumishi wa Mungu, iweni waangalifu juu ya suala hili la Fungu la 10. Kwa nini mnatofautiana hivyo juu ya suala hili na Roho Mtakatifu, mwalimu wetu ni mmoja?
Asante Bwana Yesu kwa injili ya uzima kupitia Mtumishi wako Carlos!.
Naam, naam, hakika Mungu ni mwaminifu uko ka Mimi ninavyojua. Ubarikiwe saanaa na Be Mkubwa
Challenges brings changes
Utofauti unakuja sababu fungu la 10 .limenakiliwa katika agano la kale pekee,katika agano jipya Hamna mahali Yesu na mitume walitoa fungu la 10
INA MAANA MANENO YA BIBLIA SIO YA YESU
Biblia inabeba maneno ya watu, shetani, Mungu na yesu
Ni ya kweli maneno ya Yesu, ila sasa wewe kuyaelewa ndio neema!