ZAKA (fungu la kumi) HATUTOI ILI TUBARIKIWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @loycep7785
    @loycep7785 Рік тому

    Amina Amina sana Askofu kwa maelezo mazuri ya kutoa kuhusu matajiri
    Yule mama mjane alitoa zaidi ile cent lkn matajiri walitoa vingi kwa kujionyesha mama mjane alitoa vyote kutoka moyoni
    Ndy mtu unaweza ukashangaa
    Kuoakwa lmani na kwa kuongozwa na Rohoni jambo jema sana

  • @mapendoimani2462
    @mapendoimani2462 3 роки тому +4

    Kwa hiyo matoleo yote kanisani inatakiwa iwe hiari kama uwezavyo.kila mtu atende kama kama alivyokusudia moyoni mwake siyo kwa huzuni wala si kwa lazima ili iwe baraka.sasa unatoa fungu la kumi moyo umesononeka maana haujakusudia mbali umelazimishwa na kuhani wako.i akuaje hapo

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 роки тому

    Mungu akuzidishie Hekima Askofu!

  • @AyubuChacha
    @AyubuChacha 2 місяці тому

    .sema kweli fungu lak

  • @christianmwasakogo5579
    @christianmwasakogo5579 2 роки тому

    Mada Mubashara kabisa!! Tunabarikiwa sana

  • @kivuyoloishoki6304
    @kivuyoloishoki6304 3 роки тому

    Asante mtumishi wa Mungu kwa kutufafanulia maandiko matakatifu ubarikiwe na bwana Amen

  • @AyubuChacha
    @AyubuChacha 2 місяці тому

    Fungu kumi,😅nila

  • @patrickjohn627
    @patrickjohn627 2 роки тому

    Nabarikiwa kwa mafundisho haya ubarikiwe na Bwana wetu

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 2 роки тому

    Changamoto inayohusiana na Zaka kwamba Wakristo wengi siyo (waaminifu kutoa?) ; Ni matumizi yenyewe ya zaka makanisani. Je, zaka inatumika kama BWANA Mungu alivyoagiza ktk Agano la Kale? Je, Wakristo wanatoa zaka kwa moyo wa ukarimu au mpaka watishwe?
    Kwa nini Watumishi wa Mungu wanatofautiana ktk jambo la zaka ilhali Roho Mtakatifu (Mwalimu wetu) ni yule yule! Inakuaje Jambo hili?

  • @sarahabdulatif7391
    @sarahabdulatif7391 5 років тому +2

    Nashkuru kwaufafanuzi kuhusu fungu lakumi nanifurahika mana nimepata tabu sana mpaka ikafika wakati hela ZANGU nikakubaliana nabosi zikae benk mpaka nitapoondok mana nilipenda.kutowa zaka sadaka LAKINI kwavile SIKUWA namuhubiri maalumu wakunijenga nikawa naangalia WATUMISHI TOFAUTI WENGINE wanakataa zaka WENGINE wanakubali nikamuomba MUNGU ANIPE MTUMISHI ATAKAEIKUZA IMANI YANGU NANDIP TOKEA MWEZ WA 8 NILIPOANZA KUMSIKILIZA BABA HAPO SIJAHAMA TENA NIPO NAE NAOMBA MUNGU ANIRUDISHE SALAMA NITAKACHORUDI NACHO YESU NIKIPAUMBELE CHANGU AMIN

    • @lwimboderick7479
      @lwimboderick7479 4 роки тому +1

      Sarah Abdulatif askofu ninwa huduma gani ,,, nimempenda ghafla

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 4 роки тому

    Swali muhimu ambalo halijaulizwa moja kwa moja na ni changamoto ktk makanisa ni hili:
    Je, Wakristo ktk Agano Jipya wanalazimika kutoa Zaka na Dhabihu pamoja na sadaka zote kama zinavyoelezwa ktk Biblia hususani ktk Agano la Kale (malimbuko, shukrani, n.k.)?

  • @greenusangu953
    @greenusangu953 3 роки тому

    Mungu Ni Mwema

  • @wambuakasimu2431
    @wambuakasimu2431 Рік тому

    Umekula sadaka ukashiba Sasa umeanza kuongea ovyo🤣

  • @barnabazawadi5686
    @barnabazawadi5686 5 років тому +2

    Me naomba kuuliza, hivi kama mtu akiwapa wahitaji pesa ambayo ulikuwa kwa ajili ya fungu la kumi inakuwaje? Yuko sahihi? Au kama kuna ujenzi wa kanisa mahala fulani halafu nikachukua pesa ambayo ningetoa fungu la kumi, je niko sahihi?

    • @gospotv
      @gospotv 4 роки тому

      Upo sahihi kwa maana umetoa kwa moyo

    • @wambuakasimu2431
      @wambuakasimu2431 Рік тому

      No no no 10💯 hio Ni ya Mungu,usijaribu kujichanganya juu imewekwa wazi

  • @venturebown6983
    @venturebown6983 3 роки тому

    Bless up

  • @emmanuelgeorge6295
    @emmanuelgeorge6295 3 роки тому

    Naomba kuuliza umepewa hela ya mkopo ni haki jutoa fungu la kumi

    • @hajimnzava1972
      @hajimnzava1972 3 роки тому

      Hapana

    • @christianmwasakogo5579
      @christianmwasakogo5579 2 роки тому

      Haitakiwi kutoa fungu la kumi kutoka kwenye hela ya mkopo na hakuna andiko linalo sapoti hivyo na kwamba usipotoa basi unahesabiwa hatia!! Kwani hata hivyo kwa ujumla biblia inapinga sana kukopa

  • @jeremiahmwalukosya8431
    @jeremiahmwalukosya8431 3 роки тому

    Hapo ndo nashindwa kuelewa kama wachungungaji kama wanapingana na biblia kuhusu zaka yeye anasema nijalibuni mwone kama sintawafulia madilisha ya mbinguni na pasiwepo mahali pa kuweka

  • @nicholausmushi44
    @nicholausmushi44 5 років тому +1

    Kama mtu anapokea mshahara wa shilingi laki tano akitoa asilimia mia anabaki na nini ,mtu atoe sawasawa na alivyokusudia moyoni mwake na kwa moyo wa ukunjufu

  • @michaelsiweya6500
    @michaelsiweya6500 4 роки тому

    Malaki 3:8..Je mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi.
    Lakini ninyi mwasema tumekuibia kwa namna gani? ..Mmeniibia zaka na dhabihu.. 9 Ninyi mmelaaniwa kwa laana, maana mnaniibia mimi ,naam, taifa hili lote 10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo asema BWANA wa majeshi ',mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni na kuwa mwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye... Unaweza kuendelea
    Sijasikiliza clip ya mtumishi wa Mungu .iLa maandiko yanasema ukitoa zaka Mungu anaachilia baraka tena baraka tele..Sidhani ...Pia hata fungu la kumi lina baraka maana kuna andiko linalosema tunapotoa tunakuwa na hazina mbinguni ambako hakuna kutu wala nondo watakaoharibu...

    • @samwelilazaro2835
      @samwelilazaro2835 4 роки тому

      sasa humwamini Mungu mpaka unamjaribu? hapo alizungumza na watu wa malaki waliokua wamekwisha kukata tamaa
      na yalikua mafundisho ya kale chini ya sheria

    • @greenusangu953
      @greenusangu953 3 роки тому

      Mungu Akubari Sana

    • @yohanaben-yosef9325
      @yohanaben-yosef9325 2 роки тому

      Muktadha wa Andiko Hilo ni upi?

    • @shuhudiamtasiwa6646
      @shuhudiamtasiwa6646 Рік тому

      Fungu la kumi kazi yake ni ulinzi wa Mali zako yaani ukipata Hela usipate matumizi yasiyo ya lazima mfano magonjwa ya kipepo ili upoteze hela