Wanafunzi wengi wajipata njiapanda baada ya kusafiri kuelekea shuleni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 кві 2024
  • Wanafunzi wengi na wazazi wao wamejipata kwenye njiapanda baada ya kusafiri kwa ufunguzi wa shule bila kufahamu kuwa wizara a elimu imeahirisha ufunguzi wa shule kwa wiki mmoja. waziri wa elimu ezekiel machogu alitoa taarifa hiyo usiku wa manane na hivyo wazazi, wanafunzi na walimu hawakuwa na ufahamu walipoelekea maeneo mbalimbali kwa ufunguzi wa shule. Wanahabari wetu wanaangazia kizungumkuti hicho katika steni za magari ya uchukuzi wa umma na hata shuleni

КОМЕНТАРІ • 32

  • @erickchoi2141
    @erickchoi2141 17 днів тому +6

    It is sign of incompetent they should have proper of disseminating information in the right time

  • @beatrmuthoni4273
    @beatrmuthoni4273 17 днів тому +5

    Wana ujinga sana kwanini hakusema Jana Bure kabisa

  • @princessagy1552
    @princessagy1552 17 днів тому +3

    Yani viongozi bure zaidi ya sana, just common sense surely, sai the country is not stable, poleni wakenya, we are in trouble na sasa ni Mungu tu atatusaidia

  • @English-SomaliTranslationHub
    @English-SomaliTranslationHub 17 днів тому +3

    Hii ni elnino for real lkni government is still trying to force issues juu walimisuse the budgeted amount for this disaster...With flash floods, outbreak of diseases will be unavoidable

  • @caiser254
    @caiser254 17 днів тому +4

    Late response from the Cs and the government..

  • @Mina_zulfa
    @Mina_zulfa 17 днів тому +3

    This is so sad, met students in town stranded.This is pathetic,the government had a whole week

  • @user-ex2yd5gq1s
    @user-ex2yd5gq1s 17 днів тому +2

    Heli waturundizie matiangi yeye ndiye alikuwa anjua kupanga mashule.

  • @3D4FUN
    @3D4FUN 17 днів тому +1

    How hard was to communicate this yesterday or Saturday, surely govt

  • @janetwairimu6898
    @janetwairimu6898 17 днів тому +2

    Aki I also hope Machogu won't change his mind about Junior high. Imagine umerelax hivi then tusikie grade 9 wanaingia high school 😢😮

  • @florencewangechi8330
    @florencewangechi8330 17 днів тому

    So sorry for dear parents. I am praying God to have mercy and provide for the children

  • @bigdreamerairdrops
    @bigdreamerairdrops 17 днів тому +2

    sad, next time you vote remember this a non-functional govnt. Mpesa number nitumie huyo mama kakitu

  • @silentlessons8275
    @silentlessons8275 17 днів тому +2

    Mtu wetu, government...

  • @PoulineKitui
    @PoulineKitui 17 днів тому

    Serikali yetu iko na upungufu mkubwa😂😂😂😂😂

  • @juliusongori-jl4jn
    @juliusongori-jl4jn 17 днів тому +1

    Walitangazia watu wa bar😂

  • @user-br5ei4kd6w
    @user-br5ei4kd6w 17 днів тому

    Wazazi tuwache kulalamika,si Kenya yetu tunataka Amani,ama ni aje wangwana,si tume elewana na hii serikali tusonge mbele,😅

  • @annortis
    @annortis 17 днів тому +1

    Kweli hapo walifanya makosa

  • @silentlessons8275
    @silentlessons8275 17 днів тому +3

    Ni maombi sio uchawi... hmm.

    • @user-br5ei4kd6w
      @user-br5ei4kd6w 17 днів тому

      Waliimba ni maobi si ushawi,,,, the red line really works

  • @user-iz5pb6wp9b
    @user-iz5pb6wp9b 17 днів тому

    That minister need to sacked you are ok fit for work the goverment you need to think of those parents

  • @franklinewesala2642
    @franklinewesala2642 17 днів тому +1

    Kwani siku hizi kazi ya serikali hufanywa usiku?

    • @marymwai4072
      @marymwai4072 16 днів тому

      Thieves and drunkard they are.

  • @verahnyanchoka7480
    @verahnyanchoka7480 17 днів тому

    Sio wewe pekee mama nimedepost school na kufanya shopping amefika. Shule.amerudi tena nyumbani Ezekiel plz tuambie mapema tunaumia

  • @dianamungai6413
    @dianamungai6413 17 днів тому

    Ma Pheba sasa

  • @user-tc5pg6zc3r
    @user-tc5pg6zc3r 17 днів тому

    The life of your children is at your hand not school.kwani masomo na maisha ya mtoto gani muhimu.aendetushule hata kama barabara imejaa.wamama wa vituko ehhhh mtoto yangu.wacha watoto watulie