I am here in gulf country working as a domestic worker is not easy,am listening ni wewe yesu nimebaki nawe thank you brother mungu akutangulie kwa praise and worship...much love the song
niliwachia std 8 becouse of school fees sai ningekuwa form one nilikuwa nimekata tamaa ya maisha but when i listen to this song i knew that yote yawezekana kwaimani, thank you bro may god bless you more
Woooooowu what a nice song i really appreciate your good work may almighty God continue to bless you more and more i will invite you for my introduction party in Uganda 👍👍👍👏👏👏👏👏👏
Kwa hakika nimebaki na Yesu 😢😢🙏🙏🙏🙏 thank u Jesus because am rest assured that no matter uwont leave me 🙏Mungu akubariki ndungu kwa kazi nzuri unayofanya
Thank you brother for your channel, its coming at the right time, when am hitting a wall in everything, am encouraged, hakika ni wewe yesu nimebaki nawe
Hallelujah hallelujah nyimbo zako umeimba za wengine lakini zinaupako na nguvu ya Mungu zaidi I don’t know why but God knows thank you.all the way from 🇺🇸
Mungu nisaindie sina wazazi sina ndungu wala dada ni wewe yes nimebaki na weeee
I am here in gulf country working as a domestic worker is not easy,am listening ni wewe yesu nimebaki nawe thank you brother mungu akutangulie kwa praise and worship...much love the song
Amen amen
It will be well dear
12:34 watching from Mombasa Kenya God 🙏 bless you bro
Be strong dear. I will be alright
Team strong God ako nasi🙏
Amen,Mungu akubariki mtumishi wa Mungu 🤲🤲🤲nainuliwa kiwa Saudia wapi wakenya .🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ni wewe Yesu nimebaki nawe tuu sina mwingine.Asante sana mtumishi wa Mungu.Be blessed.
Tiktok has just brought me here....what a wonderful praise!To God be the glory.
Tik tok has brought me here at the right time
Amen amen
Courtesy of DJ ombash fireeeee
Thank God, for you never forsake me nor leave me alone Amen.
niliwachia std 8 becouse of school fees sai ningekuwa form one nilikuwa nimekata tamaa ya maisha but when i listen to this song i knew that yote yawezekana kwaimani, thank you bro may god bless you more
Yeye tu ndiye rafiki mwaminifu,
Amen hallelujah
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen tim TikTok lets gather here 💃💃💃💃💃💃
Niwewe yesu nimebaki nawe nasikiza nikiwa gulf❤
Everything with faith is possible, I'm much blessed my brother here in California. I love 💕 the way you worship the Lord Jesus Christ 💕🙏
Ni wewe Yesu nimebaki nawe😢sina mwingine ila ni wewe tu Baba yangu🙏
❤sure niwewe nimembaki nawe. Nimembarikiwa sana asante
Amen
Amen 🙏 God bless you minister your songs used to give my Dad hopes while on his bed, Daddy Rest in Peace 😢
😭😭😭
Ni wewe yesu nimebakinawe amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
HAKIKA NI WEWE TU JEHOVAH HAKUNA MWINGINE, BARIKIWA SANA KAKANGU KWA KUENDELEZA KAZI YA BWANA 🙏🎶🔥
amen hallelujah
They left me thinking my boat would sink only for Jesus to fill the empty space He has taken over like no body"s business Jesus I love you
Niwewe yesu nimebaki nawe mungu akubariki sana mtumishi mzuri wa mungu❤❤🎉🎉
Yote yawezekana kwa imani.
Kazi yako ni njema Mungu azidi kukuinua
Praise the God🙏🙏🙏am so much blessed with your songs brother thanks 🙏🙏
Ni wewe yesu nmebaki nawe kwa maana n wewe tu waweza yote maishani mwangu. Amen
Amen amen 🙏🏻
Yote yawezekana kwa imani❤️❤️❤️❤️🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
When I hear your songs I feel the spirit of the Lord upon my life
Amen
Amen
Same here
Amen 🙏🙏🙏 may God 🙏🙏 bless you abundantly nyimbo zako huwa zinanitia moyo thx so much
Am a Kenyan in USA. He's my brother but never knew he was terribly working on this wired mission. More grace brother. Never look back 👏👏👏
Woooooowu what a nice song i really appreciate your good work may almighty God continue to bless you more and more i will invite you for my introduction party in Uganda 👍👍👍👏👏👏👏👏👏
COurtesy of dj ombash
brought here😂🎉
Amen....yote yawezekana kwa imani...nimebarikiwa sana na Mungu akuinue zaidi kwa uimbaji
Kwa hakika naamini umekua baraka kwa wengi mana mimi mwenyewe umenibariki zaidi.
Amen amen 🙏🏻
Niwewe yesu nimebaki nawe kwa kila jambo bro mungu akubariki
Niwewe yesu nimebaki Nawe Ooh yes hallelujah
This praise ❤❤❤❤❤❤❤
Very talented Mungu akupeleke mbali❤
Amen amen
Amen🙏🙏🙏,kwa kweli Ni Wewe Yesu Nimebaki Nawe🙏🙏🙏,More Grace🙏🙏🙏
Aaaaaameeeen.
Nitabaki na Yesu kwa sababu ndiye Lafiki wa kweli.
Amen amen
Ni wewe yesu tu nimebaki nawe what a worship 😢 more grace bro🔥
Nyimbo nzuri zinabariki na kufariji keep it up bro
Hii praise nimeielewa sana mkuu Ubarikiwe
Oooooohhhhh fire 🔥🔥 inawaka huku 💃💃💃 waoooo I love this,,,nabaki na Yesu 😄🙏🙏
Amen
Mungu akubariki sanaa mtumishi wa Mungu kwa wimbo huu uliojaa nguvu ya Mungu ndani yake
May God continue helping u
Amen
Nimebaki na YESU na sitatikisika kwani yeye ni mwamba imara na jiwe la kuu la pembeni
Kwa MUNGU RAHA we better stay
Ukiwa na yesu ndan yake huez shndwa na lolote ....Nmebarikiwa
Kwa hakika nimebaki na Yesu 😢😢🙏🙏🙏🙏 thank u Jesus because am rest assured that no matter uwont leave me 🙏Mungu akubariki ndungu kwa kazi nzuri unayofanya
Ni wewe tu Yesu nimebaki nawe.
Naomba usiniache
Hey nyz worship brother may God blessings be upon u
From tiktok up to here be blessed brother you are so talented 🙏
Amen 🙏🏻
No body like you Jesus abenueeee leshe tataeeeee
Am in love with swahili language ,,,
Only God is my hope in my nothing else or nobody else woooow l love this song more ❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤ Glory to God
Good work continue pressing on & on forever
God of all Nations, thank you for sending Jesus Christ your son to come and die on the cross for, Niwewe Yesu nimebakia nawe milele yote🙌🙌🙌
Ni wewe Yesu nimebaki nawe na yote yawezekana tu kwa imani I know God will make a way...
By faith all things is possible only to be strong in prayer 🙏
Yote yawezekana amen 🙌🙏🙏🙌🙏 🙏🙏🙌😇❤️♥️🎤🎤🎤🎹🎤🎹🎹🎹🎹🎤🎹 amen
When I hear your amazing song's i feel the spirit of the Lord upon my life be blessed 🙏🙏 Dany
Nice praises songs ❤❤❤❤ God bless all....❤❤❤❤
Eish I love this 🔥🔥🔥🔥
Amen
What a blessed morning..keep on preaching the gospel with your ministry..you are blessed and you are going far in Jesus Mighty name 🙏
Mumgu akutunze mtumishi wa mungu nabarikiwa na nyimbo zako
Wow nice songs for worship i really miss church watching from Saudi🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hakika n ww tu yesu wangu 😭😭😭🙏🙏🙏
Wow! Very very energetic praise may God take you wherever your disire want amen
What a gift n anointing
Soit béni abondamment mon frère
Yote yawezekana kwa imani🙏🙏🙏
Mungu azidi kukuinua
Amen
Mungu akupe maisha marefu mtumishi wa mungu
God bless you my brother 🙏🙏🙏 napenda nyimbo zako sana, nikizikiza hizo nyimbo nafeel comfortable 👏👏👏🙏🙏🙏
Wow 🔥
🎉I'm blessed. May God uplift you more brother.
Nini yeye tu nimebaki naye ❤❤yesu
Naamini yote yawezekana kwa imani. Yale Vita Mungu amenipigania kwa imani kweli kuamini Mungu ni muhimu zaidi. Aamen nabarikiwa zaidi
Be blessed the man God . Your worship and praises songs inspires many many people.
Ameni yote yawezekana ukiwa na imani
Through worship songs really lifts my heart, be blessed 🙏
Listening 🎧 from Gulf najengeka Saana na nyimbo zako barikiwa saana baba wa imani
You inspire me to serve the lord God bless you PAPA 🙏🙏🙏
I truly love your worshipping
God bless you 🙏🙏🙏
Thank you brother for your channel, its coming at the right time, when am hitting a wall in everything, am encouraged, hakika ni wewe yesu nimebaki nawe
Congratulation I love u songs may God liften u up 🙏🙏🙏😘
Wooooow wooooow wooooow wooooow ❤❤❤❤❤❤❤lovely
Amazing song 😂😂😂😂okkky nimebaki aky na wewe halelluya
I just feel blessed unanitia moyo
🙌🙌🙌🙌haleluya yote yawezekana ukiwa naima ni barikiwa sana nanyimbo zako barikiwa sana
Nakukubali bro talents
Amen hallelujah
Ni wewe tu yesu nimebaki nawe
What an inspiring song grace abound in you in abundance Saint
Shalomu ubarikiwe sana kaka mwenyezi mungu azidi kukuinuwa nakupenda sana❤
Wooow wonderful song to God be the glory hallelujah ni Yesu tuu nimebaki nawe
Nko hapa gulf hapa s rahisi bt mungu nimebaki na ww uniongoze mungu akubaliki
Blessings to be here 🎤🎤🎤🔥🔥
Amen glory to God ❤❤
Amen 🙏 it's only God in my life 🙏🙏🙏
Amen nitapona katika jina la yesu
Nabarikiwa zaidi ,nikibaki na Yesu niko salama
ni wewe yesu,nimbaki,👏🙌🙌🙏😄😄🤣🤣🌹🌹👍
Yeah nimebaki nawe Yesu rafiki zangu na ndugu zangu wameniachia shida niliyokuwa nayo! Ila Yesu amenisaidia shida imekwisha!!!! Hallelujah
Only God is our father thanks for that song
Amen and amen
Hallelujah hallelujah nyimbo zako umeimba za wengine lakini zinaupako na nguvu ya Mungu zaidi I don’t know why but God knows thank you.all the way from 🇺🇸
I'm blessed 🙏 am here dancing 💃💃
Ni kweli ndugu ni Yesu peke yake...Mungu aendelee kukuinua