THE SPIRIT OF WORSHIP TV
THE SPIRIT OF WORSHIP TV
  • 49
  • 18 079 250
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Lyrical video] Majina yote mazuri
Welcome to Spirit of worship tv Kenya, is not in vain for you choosing this channel. Surely Jehova God is going to do a mighty wonders in your in ur life,
Переглядів: 106 013

Відео

MAJINA YOTE MAZURI LYRICAL VIDEO FOR STATUS & TIKTOK By Min Danybless
Переглядів 7 тис.5 місяців тому
MAJINA YOTE MAZURI LYRICAL VIDEO FOR STATUS & TIKTOK By Min Danybless
WORSHIP MIX BEST OF MINISTER DANYBLESS 2023
Переглядів 86 тис.Рік тому
Download audio free www.boomplay.com/share/music/141430595?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID
KAMA SIO WEWE NINGEKUWA WAPI MIMI SINGLE TRACK worship by minister DANYBLESS
Переглядів 95 тис.Рік тому
BOOMPLAY www.boomplay.com/artists/76669202?from=search SPOTIFY open.spotify.com/artist/0GC441trL2B0cNJHJNBm4v?si=GDvWC3oyQzuPzrfhRSoKDA MDUNDO mdundo.com/a/329779 Trials comes in life not to kill but to strengthen us, Giving up in life is one of the dangerous enemy of DESTINY KILLER, Come all so that we may worship the Lord Jesus together. It's time to see those who will worship the Lord in tru...
HERI WAMTUMAINIO BWANA SINGLE MINISTER DANYBLESS
Переглядів 36 тис.Рік тому
BOOMPLAY www.boomplay.com/songs/143304130?srModel=COPYLINK&srList=WEB SPOTIFY open.spotify.com/artist/0GC441trL2B0cNJHJNBm4v?si=_3wEOvC_QO6bx7Bp_yBRfw MDUNDO mdundo.com/song/2693042 Trials comes in life not to kill but to strengthen us, Giving up in life is one of the dangerous enemy of DESTINY KILLER, Come all so that we may worship the Lord Jesus together. It's time to see those who will wors...
SALAMA ROHONI MWANGU SINGLE MINISTER DANYBLESS
Переглядів 8 тис.Рік тому
Spotify spotify.link/RnUcfsUSIDb Boomplay www.boomplay.com/share/music/141956088?srModel=COPYLINK&srList=IOS
MAJINA YOTE MAZURI SINGLE MINISTER DANYBLESS
Переглядів 405 тис.Рік тому
Download and stream on boomplay 👇👇 www.boomplay.com/share/music/138224053?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID Spotify👇👇 spotify.link/EJHiVjlcHDb Welcome to Heaven Sound tv Kenya, is not in vain for you choosing this channel. Surely Jehova God is going to do a mighty wonders in your in ur life, Contact the following number for the following SERVICES; _Piano training _Tutorial Videos _Vocal coaching ...
MUNGU NI YULEYULE cover and Mimi nataka ushirika na wewe cover by Minister DANYBLESS
Переглядів 146 тис.Рік тому
Welcome to Heaven Sound tv Kenya, is not in vain for you choosing this channel. Surely Jehova God is going to do a mighty wonders in your in ur life, Contact the following number for the following SERVICES; _Piano training _Tutorial Videos _Vocal coaching _Recording to our studio HSP _Mixing and Mastering production class or even you can send your support via M_Pesa number 254759829257. God ble...
YOU DESERVE ALL THE GLORY AND HESHIMA NA UTUKUFU NA SIFA worship by Minister Danybless
Переглядів 106 тис.Рік тому
YOU DESERVE ALL THE GLORY AND HESHIMA NA UTUKUFU NA SIFA worship by Minister Danybless
JESUS IS MINE cover by Spirit of Praise YAHWE UHIMIDIWE and UNABAKIA MUNGU Praise Atmosphere
Переглядів 53 тис.Рік тому
JESUS IS MINE cover by Spirit of Praise YAHWE UHIMIDIWE and UNABAKIA MUNGU Praise Atmosphere
AMENIBADILISHA YESU, HAKUNA ALIYE KAMA MUNGU WA ISRAELI AND JEHOVA MUNGU UMEINULIWA
Переглядів 75 тис.Рік тому
AMENIBADILISHA YESU, HAKUNA ALIYE KAMA MUNGU WA ISRAELI AND JEHOVA MUNGU UMEINULIWA
Ee BWANA WANGU NITAKUIMBIA, Ee YAHWE AKUMAMA AND NDIYO NDIYO BWANA by Minister Danybless
Переглядів 724 тис.Рік тому
Ee BWANA WANGU NITAKUIMBIA, Ee YAHWE AKUMAMA AND NDIYO NDIYO BWANA by Minister Danybless
BWANA Niwewe tu and Ndiye Mwamba nisalama worship atmosphere
Переглядів 1,6 млнРік тому
BWANA Niwewe tu and Ndiye Mwamba nisalama worship atmosphere
KWAKE YESU NISALAMA, UNATAWALA BABA HALLELUJAH worship
Переглядів 28 тис.Рік тому
KWAKE YESU NISALAMA, UNATAWALA BABA HALLELUJAH worship
NI WEWE YESU NIMEBAKI NAWE AND YOTE YAWEZEKANA KWA IMANI Praise moment by MINISTER DANYBLESS
Переглядів 793 тис.Рік тому
NI WEWE YESU NIMEBAKI NAWE AND YOTE YAWEZEKANA KWA IMANI Praise moment by MINISTER DANYBLESS
NAONA KAMA MAONO [ROSE MUHANDO cover] and NIWEWE NIWEWE BWANA BY Minister DANYBLESS
Переглядів 319 тис.Рік тому
NAONA KAMA MAONO [ROSE MUHANDO cover] and NIWEWE NIWEWE BWANA BY Minister DANYBLESS
2HOURS AND 37MINUTES OF WORSHIP MIX THE BEST OF HEAVEN SOUND TV by Minister DANYBLESS
Переглядів 583 тис.Рік тому
2HOURS AND 37MINUTES OF WORSHIP MIX THE BEST OF HEAVEN SOUND TV by Minister DANYBLESS
UNIJAZE HEKIMA, NINANI KAMA WEWE BWANA & NIKUJUE ZAIDI BWANA by Danybless X Chanceline
Переглядів 60 тис.Рік тому
UNIJAZE HEKIMA, NINANI KAMA WEWE BWANA & NIKUJUE ZAIDI BWANA by Danybless X Chanceline
AFADHALI Kuwa na wewe Bwana & JINA la Yesu ni Ngome imara by Minister DANYBLESS
Переглядів 286 тис.Рік тому
AFADHALI Kuwa na wewe Bwana & JINA la Yesu ni Ngome imara by Minister DANYBLESS
SIFA ZIVUME, MOYONI NIMEMPATA YESU AND UPENDO WA YESU by Minister DANYBLESS.
Переглядів 37 тис.Рік тому
SIFA ZIVUME, MOYONI NIMEMPATA YESU AND UPENDO WA YESU by Minister DANYBLESS.
POWEFUL WORSHIP NINASHUKA UINULIWE, UNIFANYE JINSI WEWE UPENDAVYO AND UTUKUFU NA HESHIMA Ali cover.
Переглядів 73 тис.Рік тому
POWEFUL WORSHIP NINASHUKA UINULIWE, UNIFANYE JINSI WEWE UPENDAVYO AND UTUKUFU NA HESHIMA Ali cover.
MWAMBIYE YESU NI DAWA NJEMA AND BABA NGURUMA by Minister DANYBLESS
Переглядів 136 тис.Рік тому
MWAMBIYE YESU NI DAWA NJEMA AND BABA NGURUMA by Minister DANYBLESS
NIKUFANANISHE NA NANI BWANA, SEMA NA YESU AND WEWE WEWE PRAISE ATMOSPHERE BY Minister DANYBLESS
Переглядів 140 тис.Рік тому
NIKUFANANISHE NA NANI BWANA, SEMA NA YESU AND WEWE WEWE PRAISE ATMOSPHERE BY Minister DANYBLESS
SALAMA ROHONI AND ALIINGIA ROHONI MWANGU worship by Minister DANYBLESS 🙌 😤
Переглядів 426 тис.Рік тому
SALAMA ROHONI AND ALIINGIA ROHONI MWANGU worship by Minister DANYBLESS 🙌 😤
NISHIKE MKONO BWANA MESSIAH, YESU WA BARAKA, KATIKATI YA MIUNGU & MIMI NAKUITA MUNGU Praise ATM
Переглядів 480 тис.Рік тому
NISHIKE MKONO BWANA MESSIAH, YESU WA BARAKA, KATIKATI YA MIUNGU & MIMI NAKUITA MUNGU Praise ATM
UINULIWE YESU WEWE NI MWEMAPastor Epa cover NIMKIMBILIE YESU MWOKOZI WANGU AND YESU ANAWEZA praise
Переглядів 78 тис.Рік тому
UINULIWE YESU WEWE NI MWEMAPastor Epa cover NIMKIMBILIE YESU MWOKOZI WANGU AND YESU ANAWEZA praise
Umbali tumetoka and Usifiwe Bwana Yesu powerful worship by Minister DANYBLESS 🙌 😤
Переглядів 81 тис.Рік тому
Umbali tumetoka and Usifiwe Bwana Yesu powerful worship by Minister DANYBLESS 🙌 😤
AHSANTE KWA YOTE UMETENDA AND BABA WA BINGUNI HAKUNA KAMA WEWE worship by Minister DANYBLESS 🙌 🙌😤
Переглядів 161 тис.Рік тому
AHSANTE KWA YOTE UMETENDA AND BABA WA BINGUNI HAKUNA KAMA WEWE worship by Minister DANYBLESS 🙌 🙌😤
iKEMO ikeemo, POWERFUL POWERFUL TUNAKUSINZANGA YESU, WORSHIP by Min DANYBLESS
Переглядів 30 тис.Рік тому
iKEMO ikeemo, POWERFUL POWERFUL TUNAKUSINZANGA YESU, WORSHIP by Min DANYBLESS
JINA JINA NILIPENDALO JINA AND HAKUNA WA KUFANANA NA YESU powerful worship by Minister DANYBLESS
Переглядів 454 тис.Рік тому
JINA JINA NILIPENDALO JINA AND HAKUNA WA KUFANANA NA YESU powerful worship by Minister DANYBLESS

КОМЕНТАРІ

  • @RachelMligwa
    @RachelMligwa 14 годин тому

    Hivi ni Damu ya thamani au ya dhamana naomba kujua ili niimbe kwa usahihi

  • @TheKingsKids254
    @TheKingsKids254 15 годин тому

    15:00 that moment ....damu ya thamani,damu takatifu

  • @TheKingsKids254
    @TheKingsKids254 16 годин тому

    I want to come with a testimony next year january ...amen

  • @WazaTimothy-kh9ip
    @WazaTimothy-kh9ip 19 годин тому

    Maombi yng kupata mtoto yesu

  • @nelsonomoro5322
    @nelsonomoro5322 20 годин тому

    28/12/2024 am writing my comment let God open my doors,i shall write back soon in Jesus name

  • @fauzialeonida3518
    @fauzialeonida3518 21 годину тому

    Barikiweni sana the heavenly TV worship team be blessed through you my prayer life has improved because now I can worship for 1hour before praying

  • @TravisChlornerious
    @TravisChlornerious День тому

    Dr Ipyana Mungu akuzidishie maana wimbo nyingi umetoa ya shukrani na inanijenga Kila siku na najua pia nami nitafanikiwa tu

  • @stellanihenzi9293
    @stellanihenzi9293 День тому

    Amen

  • @ceciliasianoi
    @ceciliasianoi 2 дні тому

    Maombi yangu yafike kwako 27/12/2024 lord I have lost a lot 😌nimelia sana nyenyekesha moyo yangu baba haja ya moyo yangu nifanane nawe ..nitowe kwenye vifungu vya umaskini na madeni ..baba mwaka mzima sijalipa nyumba 😌😌😌sijui nifanye nini na sijui utakalo Fanya lakini najua utatenda baba.nimelia sana imetosha sasa nimelalamika sana nimechoka kuja tu mungu wangu talk to me through this song pliz .kupitia hiyio damu ya dhamana damu takatifu funika watoto cecilia na peter wangu na hiyio damu takatifu wasikose school fees rent wala chakula chao na mahitaji yao baba yasikose ..bariki kazi ya mikono yangu baba unaweza baba kubadilisha hali yangu baba ..hakuna wakufananishwa na wewe ..hakuna wa kuliganishwa na wewe ..wewe ni mkuu sana ..2025 pliz be a blessing to me I declea and I decree in Jesus might name ..some like my comment so that I will coming here to testify the doing of the lord

  • @kelvinarasa1230
    @kelvinarasa1230 2 дні тому

    Nifinyanyange niwe chombo cha kuwavuta wengi kwako wapate kuokokolewa

  • @ReginaNjuguna-v9j
    @ReginaNjuguna-v9j 2 дні тому

    Maombi yangu ya kupata KAZI ifike kwako rejection and kudhurumiwa ifike kwako bwana sikiza ombi langu

  • @OliverJoy-ew8tx
    @OliverJoy-ew8tx 3 дні тому

    Fantastic, glory be to God forever 👏👏🙏🙏🥰🥰

  • @DorisWanje
    @DorisWanje 4 дні тому

    Maombi yangu yafike kwako nifanikiwe kazini ili nijenge ni kae kwa plot yangu mungu wangu asante sana kwa kua umesikia

  • @PrudenceMemo-p4e
    @PrudenceMemo-p4e 4 дні тому

    It's really touching me

  • @GladysMbugua-s9h
    @GladysMbugua-s9h 4 дні тому

    Soon I will come to give out my testimony help me oh lord

  • @JustinaStansilaus
    @JustinaStansilaus 4 дні тому

    wimbo una ujumbe mzuri sana

  • @JosephineOngachi-w6u
    @JosephineOngachi-w6u 4 дні тому

    Unanitia nguvu ninapoishiwa

  • @hellennthambi8379
    @hellennthambi8379 4 дні тому

    This is my prayer too 🙏🙏🙏🙏

  • @hellennthambi8379
    @hellennthambi8379 4 дні тому

    Powerful ministration

  • @RodahNkirote
    @RodahNkirote 4 дні тому

    I thack lord I have come from far

  • @KAROLINAPAMBA
    @KAROLINAPAMBA 5 днів тому

    GOD IS GOOD

  • @eivamu4402
    @eivamu4402 5 днів тому

    niondolee majivuno bwana angusha kiburi bwana

  • @Judycaster-e6i
    @Judycaster-e6i 5 днів тому

    God hear my prayers 🙏🙏🙏

  • @WILBRODAHUPANDENEKESA
    @WILBRODAHUPANDENEKESA 5 днів тому

    So sad continue resting in peace daddy 😭😭😭😭😭😭😭... Shine with angels

  • @WILBRODAHUPANDENEKESA
    @WILBRODAHUPANDENEKESA 5 днів тому

    Ak asante mungu umenitoa mbali yesu ❣️😭😭

  • @RUPHENCEMwakawi
    @RUPHENCEMwakawi 5 днів тому

    Oh my dear God my papa 😢 don't let me suffer hear my prayers i don't want my kids to suffer in this world i just want to make there life best i want something big for them if not for me do it for my kids they are your children God please 🙏🙏🙏🫂🫂😭😭😭

  • @BrianLamuya
    @BrianLamuya 5 днів тому

    Brian

  • @VickMuya
    @VickMuya 5 днів тому

    Amazing

  • @TimothyMmasi
    @TimothyMmasi 5 днів тому

    May do u great more than ur vision

  • @FranciscahMuturi
    @FranciscahMuturi 6 днів тому

    Maombi yangu yafike kwako baba 7yrs ya kuwa jobless n nko n degree n education arts geography and kiswahili came 2025 naomba nipate tsc job amen

  • @puritykanja6537
    @puritykanja6537 6 днів тому

    Maombi yangu yafike kwako today 23/12/2024.

  • @GraceSanka
    @GraceSanka 6 днів тому

    Mungu ni mwema

  • @rehemamosha8282
    @rehemamosha8282 6 днів тому

    Mungu aumbaye asikie haja ya moyo wako mpendwa tumbo lako la uzazi likapokee uzao wsko❤

  • @SamanthaNechesa
    @SamanthaNechesa 7 днів тому

    😭😭😭my dreams shall come true

  • @geophrisgarama4258
    @geophrisgarama4258 7 днів тому

    In finance baba

  • @geophrisgarama4258
    @geophrisgarama4258 7 днів тому

    ❤Amen ,the song raise my spirit

  • @Tereziwawuda
    @Tereziwawuda 7 днів тому

    Uwe nguzo yamoto mbele yangu Ewe Baba 🤲🙏

  • @ruthkerubo4947
    @ruthkerubo4947 8 днів тому

    21dec someone like my comment 2024 imekuwa mwaka mgumu kwangu 😢but I hope 2025 will be my year I will come back with my testomony

  • @nishstanleyz32
    @nishstanleyz32 8 днів тому

    Napenda huduma yako

  • @josephinemutinda894
    @josephinemutinda894 8 днів тому

    amen am blessed uniondolee majivuno komesha kiburi na unitawale bwana

  • @SylviaOnyango-h2i
    @SylviaOnyango-h2i 8 днів тому

    More grace 🙏

  • @MeshackNzuma-wd2yj
    @MeshackNzuma-wd2yj 8 днів тому

    Rose wow amazing job God bless blessings

  • @Prichy-x7g
    @Prichy-x7g 8 днів тому

    I leave my comment here God monitor my ways 😢 niondolee any evil monitoring spirits in my body God❤

  • @LUCYNYAMBURA-d9s
    @LUCYNYAMBURA-d9s 8 днів тому

    Amen thank you stay blessed.. praise n glory be unto almighty God ever amen

  • @LucyMantaine-w6i
    @LucyMantaine-w6i 8 днів тому

    This song reminds me of my kid 😭😭😭,,,I sung this song when she was admitted until her death😭😭

  • @paulinewabomba
    @paulinewabomba 8 днів тому

    God is preparing my testimony,i eill come back here😢

  • @EdgerYegon-d5q
    @EdgerYegon-d5q 8 днів тому

    Umbali huu ni God manzee!!!

  • @JohnShikuku-r3p
    @JohnShikuku-r3p 9 днів тому

    Blessed MOG🎉#🇰🇪🇰🇪